#TBC1

  Рет қаралды 22,876

TBConline

TBConline

Күн бұрын

Пікірлер: 67
@iam_deo
@iam_deo 14 күн бұрын
This is Extremely nice❤❤❤
@titonkwabi7430
@titonkwabi7430 11 күн бұрын
Kongole akina mama,tunafurahi kuwaona mukiwa na afya njema.Mwenyezi Mungu aendelee kuwatunza
@merinachillonwa6646
@merinachillonwa6646 14 күн бұрын
Hongera sana wamama, wadada. Nami naitwa Merina Michael, nilimaliza Shule Tabora Girls mwaka 1982
@robertmasolele3559
@robertmasolele3559 12 күн бұрын
Binafsi nimefurahi sana kukuona mama yangu, mama L. Nhigula ukifurahi na mama zangu wengine. Mungu aendelee kuwatunza, kuwalinda, awape afya njema na amani tele. Asanteni kwa kulitumikia Taifa letu kwa maadili na uaminifu mkubwa uliotukuka.
@user-lm3kj3gn2v
@user-lm3kj3gn2v 13 күн бұрын
mwenyenzi mungu awabariki zaidi na zaidi.
@SungiMahumbi-s8h
@SungiMahumbi-s8h 13 күн бұрын
Hongereni bibi zangu
@flavianmashimi6327
@flavianmashimi6327 11 күн бұрын
Nafurahi kuwaona waliosoma na Mama yangu Tabora Girls. Angekuwepo hapo lini ni mgonjwa yuko kitandani. Hongereni sana Mama zangu
@mohamedS-yd9wh
@mohamedS-yd9wh 22 күн бұрын
Huu no mfano mzuri sana wameuonesha kina mama Mwenyezi Mungu awabariki sana, endeleeni kuelimisha kuwafunda wasichana wa sasa wajielewe wanatoka wapi na wanakwenda wapi. Hi imenifurahisha sana
@joycedavid1331
@joycedavid1331 8 күн бұрын
Hongereni wamama.Na Mimi nilisoma hapo Tabora Girls 1970.
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 15 күн бұрын
Wasomi wa Vipaji Maalum Mko Smat sana Mama Zangu
@devotaluwungo887
@devotaluwungo887 26 күн бұрын
Jamani Bibi Hadija Salmini umenikosha sanaa. Hongera Bibi.
@MariethaTillya
@MariethaTillya 16 күн бұрын
Hongereni sana Wana Tabora Girls kwa hili jambo kubwa sana na la kutisha. Mimi ni Marietha Ngowi nilimaliza Tabora Girls mwaka 1986. Tupo pamoja
@user-lm3kj3gn2v
@user-lm3kj3gn2v 13 күн бұрын
Beautiful.....stay blessed.
@alipipimapunda9927
@alipipimapunda9927 26 күн бұрын
Hongereni sana
@generosennko8343
@generosennko8343 18 күн бұрын
Hongereni sana wana warsaw. Mmependeza sana. Hakika upendo unaleta umoja na afya. Keep going girls❤
@RachelEmmanuel-r6v
@RachelEmmanuel-r6v 13 күн бұрын
Oyooo''oo
@christinelokaji664
@christinelokaji664 24 күн бұрын
Mama zangu na dada zangu hongereni sana. Mungu aendelee kuwatunza na kuwapatia nguvu na afya njema. Be blessed bibiz❤🤗
@EsterTemu-fl9vo
@EsterTemu-fl9vo 16 күн бұрын
Hongera kwenu, kwa kweli mmetisha. Jambo zuri sana hili mlilolifanya.
@RevocatusSebastian-c8o
@RevocatusSebastian-c8o 16 күн бұрын
Mimi mama yangu alimaliza msalato girls mwaka 1984
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 15 күн бұрын
mazoezi mazuri ongera mama zangu wote kwa mazoezi hakika mmeweza ❤❤
@maangorajabu6990
@maangorajabu6990 14 күн бұрын
Hongereni saana Mama zetu , Lakini Ninaomba niwakumbushe kwa nafasi zenu kuukumbuka Mji wa Tabora ni Mkongwe ambao haufanani na Jina lake,ninamumba Allah awape Maisha marefu yenye Faraja
@rehemanhende9237
@rehemanhende9237 21 күн бұрын
Wakongwe wa Shauritanga mpoo
@hopefully7090
@hopefully7090 18 күн бұрын
Shauritanga mwaka gani?
@DhahabuSafi
@DhahabuSafi 25 күн бұрын
Hongereni mnoo, Mmependeza mnoo.Warembo haswa.Msiache kuchangamsha viungo vyenu kwa mazowezi.
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 20 күн бұрын
Ooo nakuona Mama yangu Mama Mzaba 👍🏻🤝🙏🏽 Mungu azidi kukutunza❤
@honorathampemba5392
@honorathampemba5392 15 күн бұрын
Mama MONGERA Hongera kwa kuwatetea wazee wa Tabora Girls.Lakini kuna wazee wengine wa nchi hii bila kujali hali zao wote wapewe pension !!! Wanakufa kwa maisha magumu hawawezi kazi tena.
@MagdalenaMagere
@MagdalenaMagere 26 күн бұрын
Hongereni sanaaaa. Mungu awalinde na kuwaongoza.
@lucasmlowezi9214
@lucasmlowezi9214 16 күн бұрын
Hongereni sana bibi zetu, nimefurahi sana kuwaona mkifurahi❤
@hildakagilwa
@hildakagilwa 26 күн бұрын
Hongereni sana .Mungu azidi kuwapa nguvu na awalinde muwe na afya njema.
@ust.shamsaalkindiya4832
@ust.shamsaalkindiya4832 22 күн бұрын
Nimefurahishwa sana Tabora girls 😍💖
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p 26 күн бұрын
HONGERENI SANA Mama zetu kwa kujitunza na kuifanyia haki elimu.
@nkambaMhamba
@nkambaMhamba 12 күн бұрын
Mungu awatunze wana warsaw wote popote walipo,naitwa nkamba Mhamba mwana Warsaw 1991-1994.
@jojianaskibura3190
@jojianaskibura3190 26 күн бұрын
Hongereni kwenu pia kwa Mungu ambaye amewatunza na kuwapa umri, nyie ni tunu ya taiga letu
@martha4788
@martha4788 16 күн бұрын
Mauwa kwaoooo
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 26 күн бұрын
Hongereni sana wanawake wa shoka.❤
@venerandamaufi8574
@venerandamaufi8574 16 күн бұрын
Jamani,dada zangu pia Theresia Maufi,na Franciska Maufi wamesoma Tabora girls.dada Theresiia yupo hai na 93 years now. Mdogo wake Francska ameshatangulia kwa baba apumzike kwa amani.
@nemilakiangela5153
@nemilakiangela5153 24 күн бұрын
Hongera sana Tabora girls alumni ! najisikia fahari kuwa MMOJA old girl wa Tabora girls. ASANTENI SANA KWA HILI, NI MUHAMSHO WA MAENDELEO NA UZALENDO
@beatrice4780
@beatrice4780 23 күн бұрын
Hongereni sana Mama zetu, Warsaw Girls hakika mmetuonyesha njia, nasi tuliokuwa Warsaw Girls wa 80's tutafuata nyayo. Upendo, afya njema na maisha marefu kwenu❤🙌
@MbwilizaJoseph
@MbwilizaJoseph 23 күн бұрын
Hongereni sana dada zangu. Nana Berlin wa Bisco. Prof Mbwiliza.
@mandelasamson8401
@mandelasamson8401 26 күн бұрын
Hongereni sana mama zetu
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 15 күн бұрын
❤❤❤❤
@merinachillonwa6646
@merinachillonwa6646 14 күн бұрын
Ni jambo zuri sana
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 26 күн бұрын
Wakongwe wa Msalato je wapo😊😊🎉
@nyakatongongo4292
@nyakatongongo4292 26 күн бұрын
Nawapendeni Dadangu alisoma hapo sikumbuki.mwaka nilikua mdogo jina Adelina Kahwa ambaye ni marehemu na Mungu ailaze roho yake peponi
@mzadomwongozo3671
@mzadomwongozo3671 13 күн бұрын
Huyo anapiga back vocal hapo kwenye ushairi katisha sana
@mpefu_4936
@mpefu_4936 15 күн бұрын
Heee wasichana wa zamani
@restcyprian1598
@restcyprian1598 26 күн бұрын
Mama zangu hongereni sana. Mungu amewapaka mafuta yasyoifutika ndiyo maana mna nguvu, uwezo wa kumbukumbu. Na sababu mlikua mnaishi kimaadili.
@odiliagara5728
@odiliagara5728 20 күн бұрын
Najisikia faharina furaha mmemnikumbusha mbali hahaha.....
@EmmanuelLuoga-c1o
@EmmanuelLuoga-c1o 16 күн бұрын
Muwakumbeke na Washington... Milambo High School😂😂
@mpefu_4936
@mpefu_4936 15 күн бұрын
Wawakumbuke jamani
@honorathampemba5392
@honorathampemba5392 15 күн бұрын
Dole gumba la mkononi lisugue vidole vingine kuzuia ganzi Zoezi hili lifanyike kila unapopata nafasi wakati wowote. .Damu itatembea kwa urahisi
@edwardmakonge6951
@edwardmakonge6951 24 күн бұрын
wakongwe wa Bwiru Boys mpoo??
@mariamagdalena-bulegi4630
@mariamagdalena-bulegi4630 26 күн бұрын
Hongereni sana!,wakongwe wa Kazima Sec.mpo?
@vivianshalua2383
@vivianshalua2383 26 күн бұрын
Tupooooo
@GBPazzo
@GBPazzo 16 күн бұрын
Fanyeni jambo nanyi​@@vivianshalua2383
@djumakonki1964
@djumakonki1964 14 күн бұрын
wazazi wangu naomba radhi kwa haya nitakayosema. Hivi miaka yote mlikuwa wapi mpaka leo mmekumbuka kuitembelea Tabora!! Mji wa tabora unahistoria kubwa kwa kusomesha watoto viongozi wote waliopata kushika madaraka makubwa katika nchi ya tanganyika na sasa tanzania. masikitiko makubwa kwa wazawa wa tabora ni kwamba Mji wao utupwa na hauthamini kwamba ulikuwa ndiyo chimbuko la uhuru kwa sababu kuanzia baba wa taifa na viongozi wengine wote walisoma tabora. Leo tabora wamebaki masikini wa kutupwa! Mji hata heshima ya jiji hauna .masikitiko makubwa sana. Hata hivyo wakazi wa Mji wa tabora wanawashukuru kwa kuwakumbuka japokuwa dakika za lala salama.
@NahidaMbwana
@NahidaMbwana 25 күн бұрын
Good. Korogwe girls mpo?
@christinemasiaga863
@christinemasiaga863 21 күн бұрын
Tupo
@HIACINTHAKYAUKA-uz5pj
@HIACINTHAKYAUKA-uz5pj 21 күн бұрын
AISEE, NIMEKUMBUKA WAKONGWE WA KIRAENI GIRLS!!!😂😂
@tifadent1112
@tifadent1112 14 күн бұрын
Nimekaa kiraeni kama mtt wa masista
@restcyprian1598
@restcyprian1598 26 күн бұрын
Mama kumbuka ualimu ni wito. Wafanyakazi wa sasa hivi wanapewa kazi kama zawadi, inabidi serikali ianze kujichunguza na kuajiri wafanyakazi kulingana na wito. Na hapa ni wazi kwa sababu ilikua wanafunzi wamalizapo form four walikua wanajaza form kwa kazi ambayo mwanafunzi alikua akipenda. Na hapo ndipo inakua rahisi kupata wafanyakazi wanaowajibika.
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 26 күн бұрын
Wewe Gertude ulikuwepo serikalini ulitakiwa uyagenge wakati huu,si kusubiri mpaka sasa ndio unasema tutaiomba serikali
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 14 күн бұрын
Kwa hiyo ukishafanya kazi serikalini unaacha umesiliba matatizo yote? Toa mawazo ya kujenga siyo lawama zidizozingatia uhalisia.
@Mtana-d2x
@Mtana-d2x 26 күн бұрын
Simulizi ya brigedia bayeke ndo amtaki kutupa tena ????
@janethleonard5577
@janethleonard5577 21 күн бұрын
Asante kwa kufuatilia Nyota wa Wiki, simulizi ya Brigedia Jenerali Bayeke tumekwisha weka hewani sehemu ya kwanza na ya pili. Wiki hii tutakuwekea sehemu ya tatu. Karibu sana.
@beatricenangale5439
@beatricenangale5439 25 күн бұрын
Nina amini mna vitukuu na vilembwe, hata sisi tuliosoma shule zingine tuige mfano huu
@GBPazzo
@GBPazzo 16 күн бұрын
Kabisa
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 15 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 874 М.
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 48 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 44 МЛН
TT Comedian Movie's KATUMBAKU _Full Movie
1:00:49
TT Comedian
Рет қаралды 5 МЛН
TT Comedian Movies MADEE Part 2 FULL MOVIE_ #MADEE #TTCOMEDIAN
1:05:36
TT Comedian
Рет қаралды 1,8 МЛН
TENGENEZA URAFIKI NA WATU WENYE AKILI WATAKUJA KUKUSAIDIA BAADAE "PASTOR MGOGO
50:27
Ndakomaga na muthuri wa boss yakwa uriri wao | Milka Wangari
1:03:55
Ngugi wa karanja Mcee TV
Рет қаралды 66 М.
NYOTA WA WIKI   BRIGEDIA JEN.(MST) BAYEKE
28:13
TBConline
Рет қаралды 7 М.
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 15 МЛН