Tanzania kazi mwafanya mmetushinda kwa maendeleo nmependa sana umoja na bidii yenu
@Abounaumaan224Ай бұрын
Manager wa Serengeti Lounge nadhani ni kutoka nchi Jirani amekuja kuungana watz kuleta maendelea, JAMBO JEMA... tusonge mbele kama majirani.
@irenewile28 күн бұрын
Kwani nilikuwa na mashindano na hatujui
@Kabwela77622 күн бұрын
Yaani Mimi uwa nasema tofauti ya Ngozi nyeusi ya kibongo Na Ngozi nyeupe ni akili uwezo wa kufikiri na kuona mbali hapo tu ndio tofauti Na hapo ndio maana vitu vya nchi za watu weupe vingi ni vizuri ! Mbona Tanzania 🇹🇿 hela mna ila ona ushunzi huo mnaojenga sasa akilini kuna makimba manina zenu !!! Terminal ya jiji kubwa kama Mwanza halina hata air bridge
@eddechriss2664Ай бұрын
Kipindi JPM akiwa madarakani aliwapiga watumishi na wataalamu mikwara ya kutosha kisha wakasaau professionalism ona sasa design za kwanza zinaonyesha kabisa jengo lilikuwa kwa ajiri ya domestic destinations tu ila kwa sasa wanalazimisha liwe na international destinations, km ningekuwa ni mimi mwenye mamlaka ili jengo lingebaki kuwa la domestic kisha tungejenga terminal nyingine ya kimataifa ya kisasa na vigezo vyote vinavyostahili
@isaacmwaipopoАй бұрын
Kweli mdau. Mie pia nadhan jengo la International lingekengwa kubwa zaid. Na liwe pemben ya hapo.
@rodgersasuАй бұрын
interesting,
@ngamaizinzi398729 күн бұрын
Mwanza hamuitendei haki aisee😢 apo inabidi muunganishe jengo lingine lenye ramani hiyohiyo . Yaungane mawili. Hicho kijengo n kidogo sana kwa Mwanza.
@jacksonerasto3696Ай бұрын
Miaka ya 2005 kurudi nyuma kiwanja hicho kilikuwa kikipokea ndege kubwa za mizigo ambazo zilichochea maendeleo na kukuza uchumi wa jiji la mwanza na taifa kwa ujumla pia fursa za ajira zilikuwepo kutokana na ubize wa uwanja huo likina kwa sasa hakuna hata ndege za kubeba samaki hazitui hapo badala yake ndege hizo zimehamia Nairobi ni jambo la kusikitisha sana kuona samaki zinavuliwa na kusindikwa katika viwanda vya Tanzania na kupelekwa Kenya kwa ajili ya usafirishaji kiasi ambacho ni fetheha na maumivu kwa watanzania kana kwamba wizara husika hazioni kwamba hili ni tatizo na linazorotesha uchumi wa taifa letu.
@isaacmwaipopoАй бұрын
Meneja wa Kiwanja cha Ndege anajielewa. Inaonesha ana vision... na anajua anachokifanya. Hongera kwa sisi Watanzania kwa mradi huu mzuri. Hongera Serikali kwa kutoa pesa. Kimenifurahisha sana Wakandarasi ni Wazawa. Ila kwa maoni zaidi. Hilo jengo baadae liachwe liwe la local tu, kuwe na jengo jinginge pembeni la International Flights ✈️ tuwaze miaka 100. Kwa plan hiyo miaka 20 tu! Tunaweza ona haifai.
@AlbertSabo-hp3ssАй бұрын
Bil 28 mbona nyingi sana kwa jengo la vyuma na vioo 😮
@Abounaumaan224Ай бұрын
Nadhani cost inaenda pia kununua vifaa vya operation litakapokamilika.
@nashonjoel20Ай бұрын
That building is too small for Mwanza city, considering the rate of growth of this peculiar lake side city.
@DenisFelicianАй бұрын
Serikali haipo serious huo uwanja hauna hadhi ya jiji la Mwanza.. kiukweli hapo mumezingua xn aisee
@jelasnkoma424026 күн бұрын
Jengo ni zuri ila ni dogo sana Kuliko Stand ya Bus ya Nyamhongolo
@Kabwela77622 күн бұрын
Hamna hata planning nzuri ya hilo jengo akili maboga ya kibongo imevurunda kazi toka kwenye ramani , halina mpangilio mzuri na jiji kama Mwanza utajengaje terminal ya kuchukua watu 600 , terminal zote standard maduka yote yako ndani ya terminal ona Wachina walivyojenga Arusha AirPort ingawa ni ndogo ila jengo liko standard , kumalizia hilo jengo ilitakiwa apewe mchina ila sio akili maboga ya kibongo hao wakandarasi wa kibongo !
@Peter-fy3gfАй бұрын
Yan Mnajenga Stendi 2 za Mabasi za Maana Alaf Ki Airport cha Kipuuzi hivi 😅😅
@Peter-fy3gfАй бұрын
Jiji kama Mwanza Ki Airport cha Ajabu
@waluohopaulo2116Ай бұрын
Hili jengo limesuasua sana
@AmbagayeАй бұрын
Nilipita hapo airport mwaka 2022 jengo likiwa linajengwa; leo hii mwaka 2024 injinia anasema ujenzi ndiyo umeanza
@magorymara5515Ай бұрын
Akili za watu waliopewa kusimamia bado zipo chini uamimifu ziro uzalendo ziro
@ahmedkyama4734Ай бұрын
Mkandarasi wa kwanza alinyanganywa mradi kapewa mwingine mpya, ndomana huyu anasema ndo anaanza
@prosperidinya5864Ай бұрын
Mwanza ni jiji kubwa ukanda wa ziwa. Pia na barabara ya kuingia na kutoka airport ni ndogo, angalau ingekuwa double lane. Kama vile hatuna planners. Miaka si mingi mtatuambia mnataka kuanza kujenga jengo jingine
@daudm4892Ай бұрын
Ivi Bukoba na Musoma ni mikoa au.?🤔
@rajahkhan2309Ай бұрын
😂😂
@allykhalfankingwana5272Ай бұрын
Watanzania sisi wajuaji kinoma. Watu wanakosoa mwanzo mwisho, kisingi jengwa kwelele kimejengwa kelele😂😂😂
@MubarakaCloudАй бұрын
Hao ndo watanzania kama unakumbuka ujenzi wa terminal 3 ya Dar waliiponda sana mara Banda la kuku angalia sasa hvi kila mtu akija anasifia yaani watanzania Sisi sijui tulirogwa na nani kila kitu ni kuponda
@section8ight174Ай бұрын
@@MubarakaCloudThere’s nothing wrong with wanting bigger & better but also unique!
@Kabwela77622 күн бұрын
@@MubarakaCloudusifananishe terminal 3 na upuuzi huo akili ya Mavi ya kibongo imeshaharibu toka kwenye ramani angepewa hata mchina amelizie ili alekebishe ila hao makandarasi wazawa wanataborongo
@lucasmhagama8166Ай бұрын
Jengo ni dogo sana aisee hatuangalii future ni kama ambavyo barabara nyingi za majiji mnavyojenga ile Dar mmekazamia barabara za njia nne wakati hazitoshi looh
@LuckymusyokiMueniАй бұрын
Gorofa moja ndio gani hapo sioni ni nyumba ya chini tu
@LuckymusyokiMueniАй бұрын
Ni uwanja ndogo mbona huwa hamjengi majengo kubwa badala ya kuja kujenga tena badae maana watu wataemdelea kuwa wengi
@lakasid3860Ай бұрын
Huo ni uwanja wa ndege au stend ya mabus? Hampo serious nyie 🤔
@mathiaschoma9527Ай бұрын
Hizo 28bn kwa jengo tu au vipi, naona vyuma na vioo
@lulanjamd3886Ай бұрын
Magufuli kuondoka mambo yanasuasua miladi imepungua speed yake
@lovsplyАй бұрын
ASILIMIA 20 MIAKA 6?😂 KUNA WIZI HAPA
@benmuberwa2092Ай бұрын
Mbona mwendesha wekeza Tanzania anakatisha maongezi ya wanaohojiwa???
@tanzanite9944Ай бұрын
mwaanza inakuwa kwa Kasi, kwanini uwanja wa ndege mdogo hivi?
@worldtechlabАй бұрын
Hiko kiwanja Kibaya kama pagale
@richardbegga6679Ай бұрын
Hii Nzuri ingawa mumejenga jengo Dogo tena
@sambulugu9988Ай бұрын
Ujinga tu! Hapo ndo nini sasa? Yaani Mwanza ndo mnajenga jengo la abiria 600 wakati saizi tu flight za Mwanza ni nyingi na inazidi idadi hiyo! Dodoma wanajenga uwanja mkubwa wakati abiria si wengi kama Mwanza! Nchi hii haina vipao mbele Mwanza si ya kujengewa jengo dogo kama hilo ya abiria 600! Hivi sisi huwa tunawaza kweli mbele au tunaishi zama za ujima maana naamini wenzetu wanajenga vitu vya kukaa miaka mingi! Abiria 350,000 kwa mwaka kwa maana ya abiria 1000 kwa siku na hapo bado Flight za kimataifa! Hatuna maono hatujui tunachofanya na tunafanya mambo kisiasa lakini matumizi ya maarifa kwetu ni kidogo sana!
@YourshabanАй бұрын
Kaka mpango ulikua jengo la mda,serikali iko mbioni kuanza ujenzi wa jengo kubwa.Je ni sahihi serikali ianze ujenz wa jengo lingine wakat hili halijakamilika?.. Hilo jengo linachukua watu 600 kwa mara moja wastan wa 200,000 kwa mwaka. Ni kweli mwanza inahitaji mambo makubwa lakini sio kwa kutelekeza hili na kuanza ujenzi wa jengo lingine, huku demand ikionesha hatuna uhitaji huo
@ahmedkyama4734Ай бұрын
Uwanja wandege wa dar na ukubwa wake wote kwa siku inapokea abiria 700+
@richdsr3517Ай бұрын
Sisi hatuna watu wanaofikirisha AKILI na uwekezaji. Abiria 600 maana yake 400 local na 200 international. Ni UJINGA na Uzembe wa fikra. Wakajiulize KAGAME anafanya nini ukanda wa maziwa makuu. Abiria 600 ni sawa na ndege tatu tu za Dreamliner, sasa hapo ukimataifa uko wapi?? Kachukueni abiria DRC na Congo Brazavile muwakusanye Mwanza muwapeleke FRANCE na Belgium nyie hesabu zenu ni abiria 600 wajumbe wa CCM na familia zao, badala ya kulenga soko la KIMATAIFA ili humo ndani watu wauze Dhahabu, Vito na vyakula kwa USD wakati wanasubiri connection flights. Jengeni jengo la abiria 1500 kwa siku acheni Uzembe wa Fikra, mbona stendi za mabasi mnajenga kubw
@Kabwela77622 күн бұрын
Kuna watu wapuuzi sana huko serikalini manina zao ona hata hicho kijengo hata hakieleweki yaani
@patrickchiwinga8158Ай бұрын
🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
@Kabwela77622 күн бұрын
Hamna hata planning nzuri ya hilo jengo akili maboga ya kibongo imevurunda kazi toka kwenye ramani , halina mpangilio mzuri na jiji kama Mwanza utajengaje terminal ya kuchukua watu 600 , terminal zote standard maduka yote yako ndani ya terminal ona Wachina walivyojenga Arusha AirPort ingawa ni ndogo ila jengo liko standard , kumalizia hilo jengo ilitakiwa apewe mchina ila sio akili maboga ya kibongo hao wakandarasi wa kibonge !