Channel Administered by Slide Digital Instagram: slidedigitaltz
Пікірлер: 275
@LeonsiaIssack3 ай бұрын
Waoooh mmy nice birian nimeipenda Mungu akuzidishie upendavyo kwenye mambo yako love you
@user-vc8es3yu5t3 ай бұрын
Jaman naombeni mnisaidie hivi mchele unaotumika kuandaa biriyani unaitwaje au ndo huu huu wa kawaida?
@JaphetOtogo-ip6eg Жыл бұрын
Nimependa sana upishi wako wa biriyani namna ya upishi wako ni raisi sana kuelewa. Yani nimekuelewa sana. Nimejifunza ❤️
@MaryamMnyenga17 күн бұрын
Mashallah❤,birian zuri
@itsjuliam2 жыл бұрын
Yaani dada una ujuzi wa kufunza. Mungu akuzidishie.
@WahidaMuslihi-m1m11 күн бұрын
Asante kwa pishi lako
@aminambonde76872 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa kutufundisha mapishi ya biriani ya nyama ya ng'ombe kwani nilikuwa sijui jinsi inavyopikwa.
@zainabukiula913324 күн бұрын
Nimejifunza, na nimekuelewa asante
@maryammdoe58012 жыл бұрын
MashaAllah chakula kzr but hamjaweka mtindi na viazi kwenye sauce lkn is not bad
@celinamgundoi84202 жыл бұрын
Jamn asanteeee sana maan nilikua cjui jinsi ya kulipika ila kwa dalasa pendwa Aah tayari nmeshakua masta barikiwa mpenz wangu
@MwalimuHamadi-dx7yt4 ай бұрын
Hongera
@martizakaria2322 Жыл бұрын
Excellent, God bless you 🙏
@aminasalamalekumamina62172 жыл бұрын
Salam alekum mashaallah hujaweka viazi
@abdusalamirashidmwalim Жыл бұрын
Thanks so much i get profit for this ussually you are good cooker👍👍
@ZubedaFadhil3 ай бұрын
Masha Allah my sister na mm ntaka kujuwa kupka birian
@joanonn27793 жыл бұрын
Asante dadangu kwa upishi wako wa uwaminivu Mungu akubariki Sana uendelee na biashara yako
@fammykadabla13162 жыл бұрын
Thank you so much jamn kupitia video yakoo nimeweza kupika birian
@mwanakombomohamed68622 жыл бұрын
Mapishi yamnpndezea.thnks kwa mafunz
@huseinkilatungwa27102 жыл бұрын
Nimelielew sana hilo somo jmn
@ashaali71542 жыл бұрын
Mchele unakorogwa huo daah. Huo ni mchuzi sio rojo la biriani mmh kazi iko.
@anithasimbeye3256Ай бұрын
Asante sana nimeienda saaana
@angelinajohn1620 Жыл бұрын
Napenda sana kujua kupika birian
@aminaseif64792 жыл бұрын
Safi Sana tunajifunza na inApendeza
@user-qc1dx9jg1r9 ай бұрын
Mashaallh umewez dad
@safiaothman10982 жыл бұрын
Maa Shaa Allah
@nicholausnelson52844 ай бұрын
Nmependa sana biriyan yako very simple
@mirriamnaiye78602 жыл бұрын
Tumia safron badala ya fake colour. Good cooking. I like onions. Lot's of onions is something i have learnt from this upload.
@lisahenry53172 жыл бұрын
Hii safron inatumika mbadala wa rangi nyingine??
@firdausalayna70642 жыл бұрын
Hakika nimejifunza asante sana
@dianayongo2 жыл бұрын
Woow 👍 very simple method thanks tu sana mpishi now I can try it😃
@leticiabunyecha46013 ай бұрын
Hongera nitajaribu kupika leo
@derrikdesertman45643 жыл бұрын
Daaa leo tarehe 18/07/2021.. Nimejifunza kupika wali kupitia mekoni... Daaaa pamoja na kwamba mimi ni Domozege aisee hichi kipindi kinanisaidia sana
@esteralan52412 жыл бұрын
Apo iyo rang ni rang ya nn sijaelewa
@derrikdesertman45642 жыл бұрын
@@esteralan5241 hiyo rangi ndiyo inayobadilisha wali kuwa rangi uipendayo ya Biriani yako
@aisharashid80352 жыл бұрын
@@derrikdesertman4564 jmn kuuliza co ujinga kwan kuna rangi za vyakula
@derrikdesertman45642 жыл бұрын
@@aisharashid8035 swali gumu. Ila ninavyoelewa kuna rangi za aina tofauti. Hivgo ukiwa na rangi ya njano wali wako utakuwa wa njano. Ukiwa na rangi ya blue biriani yako itakuwa ya blue
@aisharashid80352 жыл бұрын
@@derrikdesertman4564 kheeee kumbe ina maana ukitaka rangi useme rangi ya chakula
@evelynkigosi7913 Жыл бұрын
Thanks i will try🎉
@lauzisaro14107 ай бұрын
Ongezeeni huyo jamaa chakula,😂n kitamu but kumemuekea kidogo 😂
@user-hs7kj1rl4j5 ай бұрын
Nimezipenda sana
@patrickmsack30933 жыл бұрын
Dada upon vizur sana
@mwanaidikhamis82233 жыл бұрын
Mashallap
@diashi45222 жыл бұрын
I like your simple cooking Dada. I don't have to go to the store to get maziwa na kadhalika. God bless you abundantly. You are going far. Keep up!
@abduladatia85902 жыл бұрын
Meta
@joyceisangya93388 ай бұрын
Nimeipenda hiyo
@patricialebbayo87345 ай бұрын
Asante kwa darasa zuri. Naomba kuuliza izo njegere zimechemshwa kwanza??
@ZubedaBakari-cf1zj2 ай бұрын
Jman nimependa ni raisi sana ubalikiwe
@lydia10762 жыл бұрын
Ipo pwr sana
@kadulathumani75172 жыл бұрын
Rangi ziko za chakula na Kuna zaafarani hii ni natural rangi.
@fatushhajj97722 жыл бұрын
MashaAllah dada umeweza mungu akuzidishie
@hanifahmuhammad41583 жыл бұрын
😍😍
@Alic6652 жыл бұрын
Shadya ❤
@asiahassan5410 Жыл бұрын
Mashallah dadangu lakini umesahau plain yoghurt stew ingetosha biriani otherwise uko ajab ubarikiwe.
@salamakaliasi93583 жыл бұрын
Umejitahd kiasi lakin halijawa kamil
@user-nk2dx6ht5o6 ай бұрын
Hakika nilikuwa saijui kabisa
@rashidsuleiman8045 Жыл бұрын
sisi wazanzibar biriani hutupiki ivyo kabisaa kwanza haijatimi vifaa
@munawwarathamad93092 жыл бұрын
Nimependa
@irenekerubo97912 жыл бұрын
Good job
@nailaomar48102 жыл бұрын
Mm nakusaidia kidogo tu biriani inatiwa mtindi mbatata lakini umejaribu
@counsellingpsychology72422 жыл бұрын
Hujaeka Maziwa Lala na huwa Naona ukiwekwa ama si lazima
@esterShabani-on9ri2 ай бұрын
Dada mm mwenzio nataman nifanye kaz na ww ili nijue vingi