BODI YA LIGI YAIONYA YANGA NA JEMEDARI SAID NA KWA KUKIUKA KANUNI

  Рет қаралды 13,390

Tbr24 Media

Tbr24 Media

Күн бұрын

Пікірлер: 20
@Ramadhanilawoga
@Ramadhanilawoga 3 күн бұрын
Bodi ya ligi inatetea uozo hawajui wanaoendesha mpira ngazi ya vilabu wanagharimia mambo mengi Sana lakini tunachoona waamuzi ni mungu watu ktk ligi hii wanavurunda bodi wanatetea mpira wa Tanzania unakwenda wapiiii
@CharlesAlly-jp1ms
@CharlesAlly-jp1ms 2 күн бұрын
Msomali na mzungu hawataelewana kwenye bench la ufundi sasa hivi kitanuka
@hockingsshangali1747
@hockingsshangali1747 5 күн бұрын
hivi hiyo bodi yapenda sana fine pasi kuangali matatizo na mipangilio ya marefa maalum kwa baadhi ya timu maalum. waache utoto
@Ramadhanilawoga
@Ramadhanilawoga 3 күн бұрын
Wachezaji wa Tanzania hawlindwi viongozi wa mpira Wana mambo yao na waamuzi tuonavyo wengine tunapenda kuwa wa viwango vyao juu ktk CAF na FIFA hujui tukiona mpira wa miamala na MAREFA dhaifu wanaoendesha ligi hii aibu kubwa Sana utasikia mpira haupelekwi mahakamani loooo
@hamisikapute598
@hamisikapute598 5 күн бұрын
Timu inaweza kuwa na Makocha wasaidizi zaidi ya mmoja Kwa hiyo Wachambuzi muwe wapole
@EssauRudibuka-t6q
@EssauRudibuka-t6q 4 күн бұрын
kanuni zifatwe sio kujiamulia muwe mnasikia vzr
@hawamasanje9589
@hawamasanje9589 5 күн бұрын
Wanayanga tuwe wapole Simba inapendelewa kila sehemu ipo siku Mungu atatoa rungu tu
@EssauRudibuka-t6q
@EssauRudibuka-t6q 4 күн бұрын
wewe mavi kweli
@YunusuKantangayo
@YunusuKantangayo 5 күн бұрын
MIMI NINAWASHAULI WACHEZAJI KUCHEZA WAKIWA NA HASIRA INAYOPITILIZA MARA WANAWATISHIA MAREFA NA KUWASUKUMA NA KUWAPIGA NA KUDIRIKI KUWAKABA KUSEMA KWELI NI AIBU KTK TAIFA LETU MCHEZAJI AHUKUMIWE KWA KUPEWA ADHABU AKIFANYA KOSA
@gsplundi1327
@gsplundi1327 5 күн бұрын
Pumbafu nyie mnawatuma mareferees kufaver team yenu wakati haina uwezo wakushinda, mara vi penalt vya mchongo, na hamsemi chochote li team lenu likisha pata point 3, arf eti hooo! Raisi aendele wakati ana faver team
@taseleli9181
@taseleli9181 5 күн бұрын
Akili za mautopoloooo utazijua tu kwani nyie Utopolooo mmepata fever ngapi za waamuzi msimu huu na kagera ilikuwa draw lakini goli halali la kagera likakataliwa na Ken gold pia ilikuwa draw pia Ken wakakataliwa mechi na Dodoma jiji penati ya Mchongo na goli la Dube la offside mbona hamsemi hivi mnajikuta nyie nani? Mngekuwa wa maana mngeburuza mkia kwenye Kundi kapoint 1 mechi 3 aibu tupu😂😂😂😂😂😂 Na kule hakuna rushwa ndo maana mnajikanyaga kanyaga tu endeleeni na vijiba vyenu vya roho lakini sie bado tuko kileleni
@atupelemsyani7411
@atupelemsyani7411 5 күн бұрын
Ndo ulipofikia kwa ujinga wako utopolo.
@AishshibnShibani
@AishshibnShibani 5 күн бұрын
Mbona nyiye mnafunga magoli ya mkono
@sifajohn1320
@sifajohn1320 5 күн бұрын
FANYA KUJISHIKILIA KIAKILI, SIMBA SIO TIMU YA NAMNA HIYO INASHINDA KIHALILI BILA SINDANO, NA SHISHA UPOOO?
@davisbwatwa115
@davisbwatwa115 5 күн бұрын
mbona pambajiji na simba siioni imekuwaje,tff mtu anakuwepo mara3 alafu hakuna adhabu
@HarunakiongoziMohamed
@HarunakiongoziMohamed 5 күн бұрын
Simba ndy kitoto cha mwisho cha TFF
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 5 күн бұрын
Nyie subilieni tuuu ipo siku watu watajutia hao wapuuzi fulani fulani dawa yao tunaipika huku morogoro wanao fanyia zuruma ovyo ovyo wanao chukuwa rushwa dawa yao inachemka hao viongozi wanapaswa kuwaonya na marefarii wanao pokea rushwa na kuchezesha mechi ovyo ovyo tena wanavyo jisikia wao kwa mapenzi ya kutettea timu yao
@hamisikapute598
@hamisikapute598 5 күн бұрын
Timu inaweza kuwa na Makocha wasaidizi zaidi ya mmoja Kwa hiyo Wachambuzi muwe wapole
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.