TEC WAWA MBOGO ENGUA ENGUA ZINAZOENDELEA NA WANA CCM KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NOV 27.

  Рет қаралды 8,369

Zandaani media tz

Zandaani media tz

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@ALESIACHIJOKA
@ALESIACHIJOKA 15 күн бұрын
Baba Asante kwa muongozo wako nikiwa mimi mkatoriki najivunia hekima zako na busara zako ndiyo maana sisi wakatoriki hatuyumbi katika imani yetu . BARIKIWA SANA BABA KITIMA .
@benimwakasole7386
@benimwakasole7386 9 күн бұрын
Mwenyezi mungu awabariki sana watumishi wa mungu.
@martinnkuba6683
@martinnkuba6683 14 күн бұрын
One in a million 💪💪💪💪💪asante sana askofu
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 15 күн бұрын
VIVA PADRI KITIMA.....VIVA KANISA KATOLIKI....KWA KUWA WAKWELI NA WAZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU KWA KUKEMEA 'USHENZI' UNAOFANYWA NA WATENDAJI WA SERIKALI KWA KUSHIRIKIANA NA CCM.....BAKWATA NA DINI ZINGINE MKO KIMYA?
@AlbertKilinga
@AlbertKilinga 15 күн бұрын
CPCT, CCT, Wasabato , Waisram, mko wapi mbona mko kimya kama hamuoni wala hmsikii yanayoendelea nchini kuhusu uchaguzi
@FrancisThomas-jc8wq
@FrancisThomas-jc8wq 15 күн бұрын
Uko sawa mtumishi wa Mungu
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 14 күн бұрын
Mlinyanyasa waislam sana nyinyi hadi leo mpo!
@majebelemathis9991
@majebelemathis9991 14 күн бұрын
CCM ya muuza bandari ni kirusi kinacho itafuna Tanzania
@japhetsamson773
@japhetsamson773 14 күн бұрын
Tanzania mashekhe na baadhi ya wachungaji wao wanakemea maskini asiibe, maskini asidhini ila mwanasiasa anasifiwa kisa anakitu hata kama anadhulumu
@DiegoAbasi
@DiegoAbasi 15 күн бұрын
waislam toweni neno mbona mpo kimya
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 14 күн бұрын
Waislam wanamishangaa WAGALATIA mkitetea MAJIZI yaliyojificha KWENYE kanisa😢😢😢😢😢😢TATIZO BANDARI
@maxlesijila6598
@maxlesijila6598 14 күн бұрын
Kwani wapo hao ??
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 12 күн бұрын
Viongozi wengi wa dini ni waoga sana Hawana hata sifa ya kuitwa Viongozi wa dini hawa watu hawaaminiki kabisa
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u 14 күн бұрын
Waislam msilete udini hapo
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 14 күн бұрын
MASHOGA HAMNA HÒJA WAME ENGULIWA HAWANA SIFA MBONA WENGINE WAMEPITISĤWA HILI HAMLIONI ?
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 14 күн бұрын
Acheni kutetea dhambi,mtajiingiza kwenye dhambi ya kijamii kama hao waenguaji.
@clauschaula2050
@clauschaula2050 15 күн бұрын
Hata mimi huwa nachukizwa na sana na mbinu hizi chafu kabisa.Halipaswi kufumbiwa macho kwani ni hatari kwa ustawi wa taifa.Haki,haki,haki,haki tutende haki.
@FrankasamisyeMwaiswasu
@FrankasamisyeMwaiswasu 5 күн бұрын
Siku zote ccm ndio waharibivu wa uchaguzi
@issadassa6668
@issadassa6668 14 күн бұрын
Mimi niliamini hili litatokea nilisha Katatamaa maana niujinga kupanga foleni wakati mshindi anajulikana nikasema sitajihusisha na lolote kujiandikisha Wala kupiga Kura sitaki huo upuuzi
@napoleonmlowe3516
@napoleonmlowe3516 12 күн бұрын
mbona sikuoni ukisema lolote juu ya vurugu za vyama vya upinzani?
@evelina9621
@evelina9621 15 күн бұрын
Mchungai.ukosawa Upinzani Mbelekwambelle.maĺaika.watakuwa.mbele.yenu Dua
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 14 күн бұрын
Makanisa ninyi viongozi wa dini hamuoni hakemei hayo yanayotukia ndani ya nchi sababu baadhi yenu wameshapokea rushwa kwa hao wanaofanya hujuma kwenye uchaguzi na 2025 itakuwa hatari zaidi msipokemea maovu yanayoendelea
@MohammedHimba
@MohammedHimba 14 күн бұрын
Wakatoliki wanepagawa mambo yao hayaendi Samia kashinda suala la bandari zama za magufuli wote hawa waliufyata
@PiusAloyce-kr7uk
@PiusAloyce-kr7uk 14 күн бұрын
Waliufyata wap mbona jama alikuepo toka 2019
@mutabebwa-bm6pm
@mutabebwa-bm6pm 14 күн бұрын
Wewe Mohammedi inaelekea una ugonjwa wa udini kwa "comments" zako hizi. Kinachozungumziwa ni ukimya wa viongozi wa dini kunyamazia mambo ambayo kama hayatarekebishwa yanaweza kututumbukiza mahali pabaya kama taifa. Kumbuka kwamba hata wewe na uzao wako hutabaki salama. Jaribu kuangalia mbele bila kuegemea upande wowote. Mimi ni mkereketwa na in kati ya waanzilishi wa CCM lkn yanayolalamikiwa kama ni kweli basi chama changu kinatupeleka pabaya.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 14 күн бұрын
Mama kaziba MIRIJA tec hawalali 😢😢😢😢😢
@MoEd-k8w
@MoEd-k8w 14 күн бұрын
Political literacy imekufa, kauli hii inadhihilishwa na wewe. Kuna jambo gani lisiloenda katoliki tasisi kubwa hiyo. Tunajua ninyi ndo mlioajiriliwa kuzuga watu kwenye mitandao
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 14 күн бұрын
@ KANISA LIKO KWA MASLAHI YAO SIO WEWE MIRIJA IMEFUNGWA KUBALI 🤩🤩🤩🤩🤩
@napoleonmlowe3516
@napoleonmlowe3516 12 күн бұрын
Kitime hauna kazi nyingine ya kufanya umeshiba sadaka ingia katika maombi, mbona hata wewe ni chawa wa baba Mtakatifu
TAMKO LA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
15:26
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 21 МЛН
From Small To Giant 0%🍫 VS 100%🍫 #katebrush #shorts #gummy
00:19
快乐总是短暂的!😂 #搞笑夫妻 #爱美食爱生活 #搞笑达人
00:14
朱大帅and依美姐
Рет қаралды 13 МЛН
Молодой боец приземлил легенду!
01:02
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 2,1 МЛН
Tamko la CCT (Leo Tar 14 Nov 2024) kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tarehe 27 Novemba 2024
18:08
Новости дня | 26 ноября - вечерний выпуск
11:40
Euronews по-русски
Рет қаралды 47 М.
Новости дня | 26 ноября - дневной выпуск
11:50
Euronews по-русски
Рет қаралды 105 М.
Новости дня | 26 ноября - утренний выпуск
11:48
Euronews по-русски
Рет қаралды 61 М.
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 21 МЛН