hellow!!!wellcome to my official youtube channel HEMEDY CHANNEL....HERE YOU WILL SEE ALL MY MOVIES,BONGO MOVIE TANZANIAN MOVIES....THANK YOU
Пікірлер: 782
@hemedychande7956Ай бұрын
ahsanteni mashabiki zangu🙏🙏🙏🙏nawapenda sana msisahau kusubcribe hii channel ili munipe nguvu ya kuwaletea kazi nyingi zaidi😒sapport zenu ni muhimu
@CollisBill-mu3zpАй бұрын
Tupo pamoja kaka... Sema kaka actor wako ni wakaliii yaanii ni cute sana .. hongera
@NasmaHussein-qk2ywАй бұрын
Wawooo mashaallah nakusaport❤❤❤❤
@DinaKitandalaАй бұрын
🎉🎉🎉🎉
@LovenessMichael-j9sАй бұрын
Nakupenda ila umezingua kubangua wakristo
@hildanyomolelo6524Ай бұрын
Tunakupenda pia tena sana kazi zako nzuri sana kaka
@DeboraConstantine-op1ntАй бұрын
Kazi nzur chande wanaompenda chande tujuane kwa like😂😂❤❤🎉🎉
@MariamMusa-jz6usАй бұрын
Jmn apunguze kukis 😢wadada kaaaa
@DamarisDammieАй бұрын
Any Kenyans 🇰🇪🇰🇪 in the house 🏡 lets congratulate our bro here for good job 👍 tunaikubali sana broo endelea hivyo hivyo ♥️♥️
@luluhoney4622Ай бұрын
Congrats
@MarthaMartha-tz6rlАй бұрын
Nko APA mkenya mwenzio yaani hizi filamu utadhani n really life kumbe kuingiza tu
@user-br8dl5vw9fАй бұрын
Niko ndani ya nyumba kama kawaida naipenda sana
@alhajiFashions7563Ай бұрын
Here I am byb❤❤❤ am from mombasa
@PiliMunduАй бұрын
Good job I say 👏 🎉🎉🎉 mimi binafsi naenjoy
@PierejrАй бұрын
Tunaomkubali chande like apa
@emilyKay8Ай бұрын
Eehh Hey amkeni jamaniiii watu wangu like hata kumi na maua ya DJ ❤❤❤❤🌹 🥀 🌹 🌹 🌹 🌹 🎉🎉🎉❤❤titre inaonyesha utamu wa mafunzo hapa 🎉🎉❤❤my brother thank youuuuuuuuuuu so much hujawai kuniangusha nakubali acha niketi kwa utulivu🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@ExcitedGoBoard-zm3iyАй бұрын
Nakubal sanaaa
@SnappyChristineАй бұрын
Wa kwanza toka KENYA GEN Z mombasa nakukubali sana mr hemed chandi hauna tofauti na hemed suleiman phd big up sana mazeee
@allymwashambwa5920Ай бұрын
No , this man is so much creative as compared to Mr PHD
@paskalinapa6177Ай бұрын
Huyu chande nampenda sana❤❤ yaani kazi zake ni safi, nakuombea mungu akulinde hemedy chande🙏🙏
@user-pi6mm7jg7qАй бұрын
Wale wanaoangalia leo Gonga like apa❤
@official_kingnabiryOgАй бұрын
Dah kusema ukwel Nime miss wadau wako wa pazia ❤
@user-pd1yo8om7dАй бұрын
Napenda kuwa muigizaj wako siku moja hemedy ❤❤
@PeacePumaАй бұрын
Watakupiga madenda
@EllywanguАй бұрын
@@PeacePuma😂😂😂😂mwambie huyu huko kuna madenda
@zuberhamza7852Ай бұрын
@@PeacePuma😅😅😅😅😅
@KentianmanirakizaАй бұрын
Ila chande bwana movie 🎥 zako huwag zinaisha kabla ya hamu kuisha kuitazam it’s me once again a girl from burundian🇧🇮🇧🇮🇧🇮🔥😘😘
Wa 4 leo kutoka Mozambique Msumbiji ❤❤, kazi nzuri 🤩
@MarcoAmoni-sq5do15 күн бұрын
wenzako wanateseka na vita ww unaangalia movie
@thommasemanuell4320Ай бұрын
Mepia natokea kenya nimfwatiliaji mzuri sana familiahii❤❤ nawapenda wote
@user-ou7jp8ug7zАй бұрын
Daah mwana umezingua ugeendeeleaaa ata
@manhussein6233Ай бұрын
Munipe like zangu na mm
@ZephaniahSekwa-fl2goАй бұрын
Fungua KZbin channel 😅
@user-er2if3dl9dАй бұрын
Me naomba like yako hemedy chande mwenyewe,,
@MwanakombomohammedKimbonjaАй бұрын
Kuna wanaume wanafanikiwa kupitia wanawake wanao ishi nao jmni eeeehhhh ❤❤
@DanielOlodupoАй бұрын
Nimefuatilia movie zako nyingi na nimependa sana endelea kuachia bro hemedy
@mwinyimwandugu32582 күн бұрын
Nkweli hemedy ndoa nyingi zina pitia hali kama hii kabisa big up
@GiftEmedi25 күн бұрын
Kazi ihendelee Hamedy nazipenda movie zako zote I'm from 🇰🇪🇰🇪
@haleemahhamisi2534Ай бұрын
Congratulations Team chande👏👏❤❤🎉🎉Asha wangu Nakupendaga 😊
@havyarimanaemery858Ай бұрын
Kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮 Niko nyuma yako hemedy
@anjelinamukabane346Ай бұрын
From Kenya I enjoyed it was worth watching ❤❤❤
@bugramsafi98739 күн бұрын
Chande wewe nijuu sana Toka kampala Uganda tuna ku feel Unakuja 🔥 zaidi kama kanumba
@IssaAbdillahАй бұрын
Hk hii movie hta sichoki kuiangalia kweli haya hutokea Kwa wengi wetu 🎉🎉🎉,,,
@VitaMouanАй бұрын
Tulio mwonah ten asha❤ tujuane 😂😂🎉
@LauhiyaSalumu9 күн бұрын
Good job bro chande.. ❤❤❤
@LovelyStandardboy7 сағат бұрын
Nakukubali sana brother kwa kaz nzuri
@EusouCapaz-s4iАй бұрын
Napenda sana unavyopiga kazi hongera sana my brother.
@mwinyimwandugu32582 күн бұрын
nakubali bwana hemedy picha nzuri
@neemasumary7783Ай бұрын
big up sana my brother I love your movie
@dominickalama6795Ай бұрын
So amazing from kenya🇰🇪🇰🇪
@SUNNY-ij9toАй бұрын
Kati ya love story zote hiii imetixh aiseee🙌🙌🙌🙌🙌
@nasraramadhani4515Ай бұрын
Wakwanza like zangu
@godsonmbwambo98973 күн бұрын
Imetoa mafunzo mengi hii big up... Tulio jifunza tu like apa👍
@thumalove1886Ай бұрын
Hapa pakuuliza eti nimkiristo mumezingua mm nimuisilam bt sibagui kwakweli pili unauliza nimkiristo wakati alivyo vaa dadako hata haifai kiisilam kwahapo mumezingua kama shabiki yenu nasema😂😂😂
@Laizer-u5x6 күн бұрын
Daa tajir Huna baya nacheka😂😂 huku nalia😢😢 han Kam Kun kitu kimekuhudhi lazim utafrai kdgo
@SafariKatana-dp8tq29 күн бұрын
iliked your videos bongo
@alegalenny96413 сағат бұрын
Watching from Kenya
@JullianaEmmanuel-tm5xgАй бұрын
Hemedy movie zako nzr sanaaaah Alf zinafundsha sana, bas tu
@asiasalehe18324 күн бұрын
Yale makiss mwishon sasa 😂🙈🙈😍
@user-ic8mc3bd8lАй бұрын
Much love from Kenya ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤kazi nzuri saana guys 💪 keep it up 👏👏👏😮😮😮😅😅😢😢
@MayengDuluАй бұрын
Kali sana hii kazi poa tumeipenda sana❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Laizer-u5x6 күн бұрын
Chandeeeee kamaliza mchezo na mtoto mkaaaal daaa😢😢😂😂
@RayBMusicАй бұрын
Ivi watu mkoje mbon mim sjawahi kubahatika kua no 1
@SpinacahSpinacahАй бұрын
Hahahaha 😂😂watu wnakesha KZbin kama ww unapitiwa n usingizi utakuaje no 1
@rukiahnasrah-lt9lbАй бұрын
😂😂😂
@mariamrajjy5515Ай бұрын
Niliona trela TikTok n I thought Anna used to date chande 😂 eneweiz it's a gud movie u did well bro.. All the love from Mombasa ❤
Story nzur sana pia kila muhusika amefany vuzur sana gudjob
@SULE.VАй бұрын
Mwanangu sana hemedy chande nakukubali brother.
@Allistar-2024Ай бұрын
Wao amazing xn
@TimotcharagweАй бұрын
Dah! Now days hauvungi kwenye kuyakamua mate
@user-ho2vl6ci9pАй бұрын
From Kenya here....ni Kali bro ...keep going
@volonteprotvАй бұрын
Kiongozi umeuwa sana we ni noma nakukubali from congo drc
@EdsonNiyimwungereАй бұрын
Chande big up we love u
@zulfayusra8747Ай бұрын
Wow Leo nmekua wa kwanza ajab💗💗💗💗
@Fathma-fg3vqАй бұрын
Tena nizaidi ya Kali..ila hemedi..uyo ana kufaa mana ata rangi mumefanana👌
@eddykizz1Ай бұрын
Mr chande🤍 tunataka 🇧🇮filamu 🎬 hizo hizo za mapenzi ❤❤
@user-hm6hy6rr1hАй бұрын
Mashaallah saf san ❤❤❤❤❤ 🎉🎉🎉🎉🎉 maua yak ayo
@SusanWamalwa-wq2cmАй бұрын
Kazi nzuri kaka movie imezewa ❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪
@SaheerMohd-rl9ojАй бұрын
Kazi nzur wee jamaa unajua san keep it bro👏
@user-eo1qy1zh7rАй бұрын
Nakubali sana chande unatoa movie nzuri sana brother ❤❤❤😂😂🎉🎉😢😢😮😮😅😅😊😊
@user-gj2su4py7hАй бұрын
Hy Abby here watching from kenya❤❤
@corneliusrobi2382Ай бұрын
Gud things bro, rcve muh support from +254
@AishybebАй бұрын
Chande hauna show mbovu big up ❤🎉
@user-db9qi3io8zАй бұрын
WA kwanza😅
@JamillahSalimu3 күн бұрын
🎉❤unawezah
@DeboraSaidiyАй бұрын
Naweza kupata nafasi ya kuigiza. Natamani
@user-kf4ql9kf3f15 күн бұрын
Brother tatizo unajua mpka unajua tena hongera sana
@zainabkutwaa3327Ай бұрын
Kazi nzuri yaani nimeipeda yaniraa kweda mbele kaka zagu❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@ZalhatyMarialeАй бұрын
Congrats guys make us feel guuud
@theofanskombenge5573Ай бұрын
Bonge la movie
@alhajiFashions7563Ай бұрын
Oeeeeee Chande Pokea maua yako Brother!! Much more love from mombasa 🇰🇪!! Gotea sana watu wangu wa Tanga hapo Donge ndio Home🎉🎉
@user-re4pl9nd9vАй бұрын
Nmeiona boys overflower kweny Tv... but movie tamu sanaa uko vzur hemed
@ndayansetv2672Ай бұрын
Kiukweli wasanii chipkiz wanafanya vizur kulik akina wema haha ,nic sana now wasanii tunaowafaham hana kit wanatafta kiki tu
@AminaElia-z8mАй бұрын
Daah ninge kua na pesa ninge kununua we mkaka❤❤❤❤
@ChausikuMnyembe25 күн бұрын
Tuna kupenda pia una move nzuri sana
@NeemaTito-hj6euАй бұрын
Hongera sana kaka ang from Tanzania geita niko na ww
@GiftEnzo-u4dАй бұрын
Congratulations my brother was very nice ❤
@user-ti1ol3ti9jАй бұрын
Wa 🇧🇮 tujuwane kwajiri ya Hemedi chande tunakufatiriya sana kaka ❤❤❤
@AtfaMasoudАй бұрын
Kma kwaida❤Huna kz mbovu 😊
@MashaMbwanaАй бұрын
Chande naomba unijibu ile filam ya TAHARUKI mbona imeishia part. 1 tu😮
@carolina-c3jАй бұрын
Tony as ussual😂😂
@Marianamaelela15 күн бұрын
👌👌👌👌👌👌napenda sana
@HamisiMwalimu-h8x24 күн бұрын
Kaka nakukubal sana ❤❤
@skytonetz637319 күн бұрын
Kazi nzuri kaka movie inayofata scene
@KokuLibent2 күн бұрын
Daaahh endlea kupmbn bro
@user-rg3gg1vb7mАй бұрын
Pole ak baby haw wadem noma san wan jua jez san kabis❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Jr23802Ай бұрын
Daah bonge moja la movie yaaan unaangalia kama vile movie ya nje ya nchi kumbe ni bongo hongera Sana kwa. Kazi nzur🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@samsonkahindi189Ай бұрын
Hey bro I'm your fast that I love your job am from Kenya bro i love you bro ulinitoa Kwa hemed fwad Niko kwako bro ❤❤🎉🎉🎉🎉
@user-he7wg2ng1b23 күн бұрын
Oya mwanangu unajua sana unajua
@Emilykid7Ай бұрын
My GOAT🐐🐐🐐 in bongo movie sema directors wanakuangusha
@Elizakilisipinilikolika1996Ай бұрын
Asante sana kwa movie nzuli sana na yenye mafunzo mazuli sana ubalikiwe sana kaka naomba mungu akulinde zaidi ili tuzidi kujifunza mengi kutoka kwako l love you baby boy ❤❤❤❤❤❤❤❤
@pili47584 күн бұрын
Kabisa movie tamu sana
@user-pz3py2qu4wАй бұрын
Kaz nzur 🎉🎉
@BekaBoss-jl9my28 күн бұрын
Mi Mapenzi ❤❤
@ChristinemaukiАй бұрын
Movie nzuri sana lkn anna alikuwa ni shy girl sana😂😊