TENGENEZA SABUNI NZURI NZITO YA MAJI KWA MALIGHAFI 3 TU| MAKE LIQUID SOAP WITH ONLY 3 INGREDIENTS

  Рет қаралды 32,561

Anna Claire Shija

Anna Claire Shija

Күн бұрын

Пікірлер: 551
@EdwardMyinga
@EdwardMyinga 10 ай бұрын
Mtaji shilingi ngapi dada
@annaclaireshija
@annaclaireshija 10 ай бұрын
Inategemea unataka kutengeneza ya lita ngapi mpendwa.
@dorcasreuben5955
@dorcasreuben5955 7 ай бұрын
Hiv vitu vitapatika maduka gani jamn
@dorcasreuben5955
@dorcasreuben5955 7 ай бұрын
Nimelipenda somo endelea kutufunza zaidi ❤
@ZainabMwinyiakida-ow8uq
@ZainabMwinyiakida-ow8uq 7 ай бұрын
Nakupenda dada ❤
@dorcasreuben5955
@dorcasreuben5955 7 ай бұрын
Iyo preservative unaweka ukishakuwa umechanganya au unaweka mwanzoni naomba nisaidie kujua
@Rich-wo
@Rich-wo 8 күн бұрын
I love uuu dya..nmetengeneza uwiiiii sabuni ni nzuri mnooo yn mnoooo ur the best darling ❤
@annaclaireshija
@annaclaireshija 8 күн бұрын
@@Rich-wo Asante sana dear ❤️
@TherezaLazaro
@TherezaLazaro 9 ай бұрын
Ahsante sana dada nimejifunza kitu kikubwa sana kutoka kwako Mungu akuongezee maarifa zaidi na zaidi pia malengo yako unayoyatamani uyafikia, ngoja nami nifanye practic
@annaclaireshija
@annaclaireshija 9 ай бұрын
Amina dear. Ubarikiwe.
@theclamarealle6052
@theclamarealle6052 Ай бұрын
Ubarikiwe sana naomba hongera sana asante kwako darasa Mungu akubariki sana naomba kujua hizi maligafi za kutengeneza nazipataje kipenzi na marashi unachukua yoyote dukani au zipo kwa ajili ya utengezaji wa sabuni
@annaclaireshija
@annaclaireshija Ай бұрын
@@theclamarealle6052 Karibu tuwasiliane ili upate kitabu utajifunza mengi 0687786576.
@EvodiaThomas
@EvodiaThomas 2 ай бұрын
Asante nimewiwa kujifunza ubarikiwe.
@theclamarealle6052
@theclamarealle6052 9 ай бұрын
Asante sanaa mpendwa Mungu akubariki sanaa anaomba unisaidie hizo maligafi inapatikana wapo mpendwa
@JuliethChambi
@JuliethChambi 6 ай бұрын
Asante sana kwa darasa dada.
@annaclaireshija
@annaclaireshija 6 ай бұрын
Karibu dear.
@UpendoMwakyusa-hp6lg
@UpendoMwakyusa-hp6lg Ай бұрын
Asante Sana dada mi nitakutafuta na je sabuni ya kunawisha mikono inatengenezwaje
@annaclaireshija
@annaclaireshija Ай бұрын
@@UpendoMwakyusa-hp6lg kuna video nilishapost angalia dear.
@EveCharles-f9i
@EveCharles-f9i 9 ай бұрын
Hongeraaa mdada ,,,na Asantee kwa elimu nimejifunza kitu Mungu akutunze
@annaclaireshija
@annaclaireshija 9 ай бұрын
Amina, asante kwa kutazama.
@liliankayuni6997
@liliankayuni6997 8 ай бұрын
Asante sana dada kwa upendo wakujitoa kutufundisha kupitia mtandaoni. Nimependa sana maana maligafi ni chache ambazo haziwezi kumchanganya mwanafunzi. Nataka nianze biashara ya kutengeneza sabuni dumu la lita 5 natakiwa niuze kwa shilingi ngapi?
@annaclaireshija
@annaclaireshija 8 ай бұрын
Asante dear. Lita 5 uza elfu hadi elfu 11 ndio bei zake.
@MariamEzekiel-ks3lc
@MariamEzekiel-ks3lc 6 ай бұрын
Asnte Sana dad's mnzuri hauna hauna choyo nimekuelew nimefanya nikapat matokeo ma nzuri kaisa Mungu akubariki
@annaclaireshija
@annaclaireshija 6 ай бұрын
Amina dear, Mungu akubariki pia.
@UmmuSara-s9p
@UmmuSara-s9p 6 ай бұрын
Asante sana, Tunaomba pia utuandalie darasa la kutengeneza Shampoo kwa malighafi chache kama hizo
@annaclaireshija
@annaclaireshija 6 ай бұрын
Sawa dear. Nitabuni ya design hiyo.
@ilhamhaji1125
@ilhamhaji1125 8 ай бұрын
Asante sana dada.kwa elimu uliotupatia .
@annaclaireshija
@annaclaireshija 8 ай бұрын
Karibu sana mpendwa.
@AZIZAKAPITA-hn4dy
@AZIZAKAPITA-hn4dy 3 ай бұрын
Preservative unaweka wakati gani? Ahsante sana,nimejifunza
@annaclaireshija
@annaclaireshija 3 ай бұрын
@@AZIZAKAPITA-hn4dy Asante kipenzi, unaweka mwishoni kabisa. Karibu pia ujipatie kitabu kina mafunzo mengi zaidi ya bidhaa za usafi na urembo 0687786576.
@YusuphPaulo-md8ys
@YusuphPaulo-md8ys 9 ай бұрын
Dada nashukuru sana kwa elimu nzuri Mungu azidi kukuinua katika ndoto zako na maono yako ya kusaidia vijana
@annaclaireshija
@annaclaireshija 9 ай бұрын
Amina 🙏🏾 tubarikiwe sote.
@LilianMollel-d8i
@LilianMollel-d8i Ай бұрын
❤ Mungu akubariki saana....
@annaclaireshija
@annaclaireshija Ай бұрын
@@LilianMollel-d8i amina dear ❤️ karibu pia ujipate mafunzo ya sabuni hii na bidhaa nyingine nyingi za viwandani kwenye kitabu. Wasiliana nami kwa namba 0687786576.
@praxedachenya4101
@praxedachenya4101 2 ай бұрын
Hongera sana kwa ubunifu nzuri je usipoweka gricelin haitakata mikono na je unnaweza kuoshea vyombo
@annaclaireshija
@annaclaireshija 2 ай бұрын
@@praxedachenya4101 asante, glycerine ni muhimu sana kuweka. Inafaa ndio.
@RosemariaKabula
@RosemariaKabula 3 ай бұрын
Asante kwa somo, samahan malighafi hz znafaa kwa hair shampoo?
@annaclaireshija
@annaclaireshija 3 ай бұрын
@@RosemariaKabula Hapana dear, jifunze zaidi kwenye Kitabu changu kuna mafunzo mengi zaidi ya bidhaa mbalimbali za usafi na urembo. 0687786576.
@irenem-jd4tz
@irenem-jd4tz 8 ай бұрын
Asante kwa somo zurii, naomba kuiliza isipoweka glycerine haiwez kakamaza mikono?? Na kuifanya sabuni isiwe soft??
@annaclaireshija
@annaclaireshija 8 ай бұрын
Ila glycerine inapausha mikono kwahiyo ni muhimu kuongezea.
@anjelaanatoroka5579
@anjelaanatoroka5579 22 күн бұрын
Je hii sabuni naweza kusafisha nayo vyombo vya jikoni? Pili je sabuni za kunawia utengenezaji wake ukoje? Asante kwa daresay mwalimu umetulia vizuri sana.
@toidamagoyo5416
@toidamagoyo5416 8 ай бұрын
Asante sana dada kwahii elimu, naomba kuuliza malighafi hizi zinapatikana ktk maduka gn
@annaclaireshija
@annaclaireshija 8 ай бұрын
Kwenye maduka ya malighafi dear.
@juliethmunhambo4116
@juliethmunhambo4116 5 ай бұрын
Inaitwaje?
@annaclaireshija
@annaclaireshija 5 ай бұрын
@@juliethmunhambo4116 nini inaitwaje?
@happinessmartin8078
@happinessmartin8078 2 ай бұрын
@@annaclaireshijaduka inaitwaje
@AshaNyanga
@AshaNyanga 3 ай бұрын
Nashukur dada Kwa daras zur mungu akupe uwezo na kipato Zaid ila naomba msaada kuusu rebo nazipataje
@annaclaireshija
@annaclaireshija 3 ай бұрын
@@AshaNyanga Amina 🙏🏾 tuwasiliane
@ChristinaMathias-xr3tk
@ChristinaMathias-xr3tk 6 ай бұрын
Asante sanaa imenisadiaa Mungu akubariki sana, na je naweza tumiaa perfume hata zile za nguo au ipo special?
@annaclaireshija
@annaclaireshija 6 ай бұрын
Amina dear. Perfume unaweka maalum za sabuni za maji.
@ChristinaMathias-xr3tk
@ChristinaMathias-xr3tk 6 ай бұрын
@@annaclaireshija anhaa Asante na mtu anaweza akakutafuta what's up binafs?
@annaclaireshija
@annaclaireshija 6 ай бұрын
@@ChristinaMathias-xr3tk Ndio dear 0687786576.
@AvelinaRobert
@AvelinaRobert 4 ай бұрын
Asante dear kwa kufundisha vzr lkn naomba kuuliza presevertiv ambayo umetumia ni ipi ili kuhakikisha sabun haiharibika
@annaclaireshija
@annaclaireshija 4 ай бұрын
Inaitwa DMH dear.
@faustazacharia9470
@faustazacharia9470 10 ай бұрын
Nimependa malighafi ni chache sabuni bora kabisa asante
@sikindemunyama6218
@sikindemunyama6218 6 ай бұрын
❤uko wap dada mzuri
@annaclaireshija
@annaclaireshija 6 ай бұрын
Dar dear.
@mpelwahenry6277
@mpelwahenry6277 2 ай бұрын
Hii njia rahisi sana ila cjackia ukiitaja glycerin na DMH au sio lazima?
@CHESCONYAMBE
@CHESCONYAMBE 7 ай бұрын
Barikiwa umenitoa mahar good bless you
@annaclaireshija
@annaclaireshija 7 ай бұрын
Amen 🙏🏾
@PashamamyLeshay
@PashamamyLeshay 6 ай бұрын
Asante sana dear
@annaclaireshija
@annaclaireshija 6 ай бұрын
Karibu dear.
@annashoo7688
@annashoo7688 7 ай бұрын
Asante sn na ubarikiwe sn ndo naenda kununua hayo malighaf
@annaclaireshija
@annaclaireshija 7 ай бұрын
Amina dear. Kila la heri. Utaongezea glycerine ili sabuni isipaushe mikono.
@dayanahancygao
@dayanahancygao 5 ай бұрын
Nimekuelewa asante sana my dear,je ungekua umetengeza kwavipimo hivoulivo lakini kwabiashara ungeweka maji lita ngapi ?
@annaclaireshija
@annaclaireshija 5 ай бұрын
Nashauri maji hayo yanatosha ili sabuni iwe na ubora, pia usisahau kuweka glycerine ili sabuni isichubue mikono.
@AdveraNyanda
@AdveraNyanda 9 күн бұрын
Preservative mbona hujaweka, na ukimalizà kutengeneza unatumia hapo hapo au inalala kwanza
@annaclaireshija
@annaclaireshija 9 күн бұрын
@@AdveraNyanda niliweka mwishoni pia usiache kuweka glycerine kulainisha sabuni.
@InviolathaMbuya
@InviolathaMbuya 8 ай бұрын
Aksante kwa darasa lenye manufaa. Naomba jina la hiyo preservative
@annaclaireshija
@annaclaireshija 8 ай бұрын
DMH.
@glorisialyimo7007
@glorisialyimo7007 4 ай бұрын
Asante mno mpenz nimekuelewa hasa mwalimu wangu. Ombi langu naomba unielekeze sehemu ama duka la kununulia material plz dear
@annaclaireshija
@annaclaireshija 4 ай бұрын
Zinapatikana kwenye maduka ya malighafi. Nenda ofisi za SIDO Mkoa uliopo.
@yaholakuyi7986
@yaholakuyi7986 2 ай бұрын
Asante dada ila nlkua nauliza hizo marighaf zinapatkan kweny maduka yapi??
@annaclaireshija
@annaclaireshija 2 ай бұрын
@@yaholakuyi7986 kwenye maduka ya malighafi. Kwa mafunzo zaidi karibu ujipatie kitabu 0687786576.
@esthergerald5941
@esthergerald5941 9 ай бұрын
Hongera sn dear, nimejifunza kitu kizuri barikiwa mumy.
@annaclaireshija
@annaclaireshija 9 ай бұрын
Amina dear. Karibu.
@KisemvuleAbdallah
@KisemvuleAbdallah 5 ай бұрын
Unaweza weka glycerin nkiac gan
@annaclaireshija
@annaclaireshija 5 ай бұрын
Robo lita.
@monicamoshi4870
@monicamoshi4870 9 ай бұрын
Nimedurahi sana nitajitahidi kutengeneza asante sana. Vifaa navipqta wapi my 0⁸
@annaclaireshija
@annaclaireshija 9 ай бұрын
Karibu sana dear. Utapata kwenye maduka ya malighafi na ofisi za SIDO kwenye Mkoa ulipo.
@CosmasMlelwa
@CosmasMlelwa 2 ай бұрын
Nikwann hujatumia chumvi ya mawe?
@bethamwasenga4834
@bethamwasenga4834 2 ай бұрын
ubarikiwe sana dada,, formula yako imenisadia sana. shida yangu ni kwenye rangi.. nikiweka rangi ya blue inabadirika kuwa pink baada ya mda fulani.. ninashindwa wapi?? naomba nisaidie
@annaclaireshija
@annaclaireshija 2 ай бұрын
@@bethamwasenga4834 Asante dear, nashauri sabuni zenye caustic bora usiweke rangi maana inatabia ya kupausha rangi au kuibadili.
@bethamwasenga4834
@bethamwasenga4834 2 ай бұрын
asante sana
@ShufaaAthuman
@ShufaaAthuman 6 ай бұрын
Asante sana dada
@annaclaireshija
@annaclaireshija 6 ай бұрын
Karibu 👍🏾👍🏾👍🏾
@loicymwakyanjala2828
@loicymwakyanjala2828 2 ай бұрын
Hongera. Sana Mungu akubariki sio mchoyo
@annaclaireshija
@annaclaireshija 2 ай бұрын
@@loicymwakyanjala2828 amina dear, asante na Ubarikiwe.
@ShikoPeter-wi7qc
@ShikoPeter-wi7qc 2 ай бұрын
Sante sana dada kwa mafunzo mazuri naomba utuonyeshe kutengeneza soap Base
@annaclaireshija
@annaclaireshija 2 ай бұрын
@@ShikoPeter-wi7qc hello dear, kwa mafunzo mengi zaidi karibu ujipatie kitabu 0687786576.
@merryshemghodo9380
@merryshemghodo9380 7 ай бұрын
Asante sana sister nimejifunza kitu kikubwa sana Mungu akubariki
@annaclaireshija
@annaclaireshija 7 ай бұрын
Amina dear. Asante sana.
@felichinakihaga509
@felichinakihaga509 5 ай бұрын
Samahani dear hii huweki giliseline kwa ajili ya kuleta ulaini au kuzuia mtumiaji mikono kupauka?
@annaclaireshija
@annaclaireshija 5 ай бұрын
Muhimu sana kuweka mpendwa. Hata mimi niliweka ila nilisahau ku record.
@felichinakihaga509
@felichinakihaga509 5 ай бұрын
Shukrani saana
@annaclaireshija
@annaclaireshija 5 ай бұрын
@@felichinakihaga509 karibu sana.
@ShinunaHabibu
@ShinunaHabibu 9 ай бұрын
Dada nakushukuru sana wallah allah akulipe kher lakin naomba unijibu tafadhali je hizo malighafi zinapatkana kwenye maduka ya aina gani
@annaclaireshija
@annaclaireshija 9 ай бұрын
Amina dear, yanaitwa maduka ya malighafi na pia kwenye ofisi za SIDO huwa yanakuwepo.
@zainabumtubwi1055
@zainabumtubwi1055 8 ай бұрын
Kariakoo duka la wajasiliq mali
@FatmaAhmed-rs2hh
@FatmaAhmed-rs2hh Ай бұрын
Asante FD ibarikiwe
@mimimina1487
@mimimina1487 4 ай бұрын
Asante sana dada na hizo malifhafi zinapatikana wapi kwa dar
@gabriellaJuma-kw8qq
@gabriellaJuma-kw8qq 10 күн бұрын
Unatufundsha vizur san
@annaclaireshija
@annaclaireshija 9 күн бұрын
@@gabriellaJuma-kw8qq Asante dear ❤️
@DavisKenyolwa
@DavisKenyolwa Ай бұрын
Asantekwa mafunzo mazuri
@annaclaireshija
@annaclaireshija Ай бұрын
@@DavisKenyolwa karibu sana.
@sabinandunguru1422
@sabinandunguru1422 26 күн бұрын
Chumvi umesema nusu, mfuko mzima Ina ujazo gani?
@nurumvungi2210
@nurumvungi2210 7 ай бұрын
Je formula hii naweza kuitumia kutengeneza hand soap?
@annaclaireshija
@annaclaireshija 7 ай бұрын
Hapana. Video ya hand soap ipo nilishapost.
@agnesskihamba6807
@agnesskihamba6807 9 ай бұрын
leo nimejifunza njia mpya ya gharama nafuu sana asante sana mwl wangu
@annaclaireshija
@annaclaireshija 9 ай бұрын
Ni nzuri mno. Tumia chumvi ya mawe.
@SashaRamadhani-uu1wv
@SashaRamadhani-uu1wv 5 ай бұрын
Dada hii naweza kutengeneza ya kuuza?
@neemamkama4163
@neemamkama4163 4 ай бұрын
Pia hivi vitu vinapatikana maduka gani?
@liliancharles476
@liliancharles476 5 ай бұрын
Swali lipo kwenye preservative kwenye lita Kumi ni kiasi gani ? Please.
@lulumkinga
@lulumkinga 6 ай бұрын
Ili nitoe lita 30 costic soda inatakiwaa iwe kias gan dada??
@MarryJoseph-gz8ir
@MarryJoseph-gz8ir 7 ай бұрын
Barikiwaaa Sana Dadangu ,Je naweza kutumia sabuni hiyo pasipo tumia sabuni ya mche katika kufua nguo chafu ? Mimi natengeneza sabuni ya mche hivyo naweka caustic kg 3na gm 400 .maji lita 10 . sasa je, naweza tumia hiyo caustic sonl yangu ktk kutengeneza sabuni ya maji uliyoielekeza?
@annaclaireshija
@annaclaireshija 6 ай бұрын
Hii unatumia bila kuhitaji sabuni ya kipande.
@ShabaniMkwasa
@ShabaniMkwasa 2 ай бұрын
Naomba unielekeze
@irenelyumili5615
@irenelyumili5615 4 ай бұрын
Dada ivi sabuni ya kuoshea vyombo unaweka perfume
@rainethamandus7700
@rainethamandus7700 6 ай бұрын
Habari sis naomba kufahamu, hayo mahitaji itayapata wapi kwa mahitaji yote
@annaclaireshija
@annaclaireshija 6 ай бұрын
Unayapata kwenye maduka ya malighafi kwenye Mkoa ulipo.
@charlotteminani7046
@charlotteminani7046 3 ай бұрын
Asante sana nauliza iyo mamba inatumika kwenyi whatsapp? Juu nataka tuongeye kwakirefu ? Nisaidiye sana unijibu
@annaclaireshija
@annaclaireshija 3 ай бұрын
@@charlotteminani7046 Ndio, karibu.
@AmidaYahaya-r5o
@AmidaYahaya-r5o 8 ай бұрын
Samahani dada nimeona wengi unawashauri chumvi Chumvi ya mawe naichanganyaje?
@annaclaireshija
@annaclaireshija 8 ай бұрын
Unaweka hivyo hivyo Kama nilivyoonyesha hapa. Unavyoendelea kuchanganya itayeyuka.
@LovenessMgala
@LovenessMgala 2 ай бұрын
Dada samahn unaweza ukaniandikia izo bizaa ulizo tumia apo
@annaclaireshija
@annaclaireshija 2 ай бұрын
@@LovenessMgala hizo utazipata kwenye kitabu dear 0687786576.
@user-SULEIMAN_FF
@user-SULEIMAN_FF 10 ай бұрын
Salaam Dada ahsante sana na mie mdg wk nataka kutegeneza niuze naomba msaada wako hvy vitu nitavipata wapi ... naomba nisaidie.
@annaclaireshija
@annaclaireshija 10 ай бұрын
Kwenye maduka ya malighafi dear.
@christinasanga2993
@christinasanga2993 4 ай бұрын
Asante sana dada nakupenda sana
@annaclaireshija
@annaclaireshija 4 ай бұрын
Asante dear ❤️
@snowfrost9473
@snowfrost9473 9 ай бұрын
Dada asante kwa formular nzuri. Sabuni ni nzuri na nimefuata steps zote kama wewe....ila in less than 24hrs sabuni ilibadilika from Apple green to brown.....texture iko nzuri povu lipo vizuri preservative nimeweka nusu kopo kama ulivosema ila imebadilika rangi sasa...should i be worried? Au ndo nimepata hasara ivo😢😢
@annaclaireshija
@annaclaireshija 9 ай бұрын
Karibu dear. Caustic inatabia ya kupausha rangi hata ikitumika kwenye sabuni za vipande, sasa inategemeana na rangi na rangi nyingine hazipauki. Nashauri ongeza rangi na ukiona usumbufu kuhusu rangi, utakapotengeneza tena usiweke rangi.
@UrsulaAurelian
@UrsulaAurelian 2 ай бұрын
Nzuri sana dada na nimejaribu imekuwa nzitooo ila haishiki rangi cjui kwann ipo rangi ya gold
@annaclaireshija
@annaclaireshija 2 ай бұрын
@@UrsulaAurelian Hongera kwa kujaribi dear, karibu ujifunze zaidi kwenye kitabu cha jinsi ya kutengeneza bidhaa za viwandani za usafi na urembo 0687786576.
@livyachami
@livyachami 6 ай бұрын
Asante sana. Binafsi naomba kitabu kama kipo tayari
@annaclaireshija
@annaclaireshija 6 ай бұрын
Bado. Tutatangaza.
@benadetamasanja3966
@benadetamasanja3966 10 ай бұрын
Kazi nzr, inshallah nami niandae mtaji Ili nianze kijibiashara.
@annaclaireshija
@annaclaireshija 10 ай бұрын
Karibu dear na endelea kufuatilia channel hii kwa mafunzo mengi zaidi. Ubarikiwe.
@euphrasiaignas9450
@euphrasiaignas9450 2 ай бұрын
Kuna rangi maalum au hata hizo za unga kama niliyoona ya kufungia barafu?
@annaclaireshija
@annaclaireshija 2 ай бұрын
@@euphrasiaignas9450 rangi maalum za kutengenezea sabuni.
@euphrasiaignas9450
@euphrasiaignas9450 2 ай бұрын
@@annaclaireshija Asante
@Clements8814
@Clements8814 Ай бұрын
wow!👏👏👏
@annaclaireshija
@annaclaireshija Ай бұрын
@@Clements8814 ❤️
@praxedachenya4101
@praxedachenya4101 Ай бұрын
Asante je nikitengeneza lt 20 naweza kutumia coastic soder kg 1 na je nahitajikankuweka glyceline ilikizui kuchubua ngozi
@annaclaireshija
@annaclaireshija Ай бұрын
@@praxedachenya4101 karibu ujipate mafunzo ya sabuni hii na bidhaa nyingine nyingi za viwandani kwenye kitabu. Wasiliana nami kwa namba 0687786576.
@RomanaLala-h7l
@RomanaLala-h7l 6 ай бұрын
Nashukuru sana sister lakini nilikuwa naomba nisaidie upatikanaji na hivo ingredients
@annaclaireshija
@annaclaireshija 6 ай бұрын
Unapata kwenye maduka ya malighafi.
@RichardMapamba
@RichardMapamba 7 ай бұрын
Asant mama nimeiyona iyo sop niligaili kutengeneza sabuni kwa sasa naludi kwa kasi
@annaclaireshija
@annaclaireshija 7 ай бұрын
Safi sana 👏🏾👏🏾
@neemamkama4163
@neemamkama4163 4 ай бұрын
Dawa ya kuzuia sabuni isiharibike, unaweka mwisho baada ya kumaliza kuchanganya sabuni?
@annaclaireshija
@annaclaireshija 4 ай бұрын
Ndio dear, karibu pia ujipatie kitabu utajifunza bidhaa nyingi zaidi na vipimo vyote utavipata humo, 0687786576.
@adelinakyombo1702
@adelinakyombo1702 5 ай бұрын
Naomba kuuliza bizaa za kutengenezea zina patikana maduka gani?
@annaclaireshija
@annaclaireshija 5 ай бұрын
Maduka ya malighafi dear au nenda ofisi za SIDO mkoani kwako
@doreengabriel3005
@doreengabriel3005 6 ай бұрын
Mamy hy ya kuzuia kuharibika tunaiweka muda gani wakati wa utengenezaji
@annaclaireshija
@annaclaireshija 6 ай бұрын
Mwishoni kabisa baada ya kuweka kila kitu.
@mkamirachel9006
@mkamirachel9006 Ай бұрын
Au ndio ile multipurpose?
@isacksumun4463
@isacksumun4463 6 ай бұрын
Ahsante natamni xan kufany hii biaxhar
@annaclaireshija
@annaclaireshija 6 ай бұрын
Karibu sana.
@CorneliaKuboja
@CorneliaKuboja 5 ай бұрын
Caustic soda ni kilo ngali mbona ujasema?
@annaclaireshija
@annaclaireshija 5 ай бұрын
Umeangalia video mwanzo hadi mwisho?
@AbdallahJambia-fo1tn
@AbdallahJambia-fo1tn 6 ай бұрын
Nimependa sana maana Sio. Mara ya kwanza kuanagalia Ila nimechukua namba yako madam nitakupigia kwa Maswali msaada na maelezo zaidi asante
@elinasima106
@elinasima106 9 ай бұрын
Kipenzi, vip unahifadhije ile caustic soda ya maji uliyoibakisha baada ya kutoa kipimo ulichokuwa unakitaka?
@annaclaireshija
@annaclaireshija 9 ай бұрын
Unaihifadhi ikiwa imefunikwa katika sehemu ya kivuli isiyo na joto sana inakaa mpaka miezi miwili bila kuharibika.
@Qadue-hw3vr
@Qadue-hw3vr 2 ай бұрын
Inadumu kwa muda gani?
@merryaugustin8814
@merryaugustin8814 7 ай бұрын
My dear hayo maji uliyotumia kuyeyusha costic soda niya moto au baridi???
@annaclaireshija
@annaclaireshija 7 ай бұрын
Ya baridi.
@irenem-jd4tz
@irenem-jd4tz 8 ай бұрын
Pia dada naomba kujua kama umefundisha sabuni ya kunawia mikono na ile ya vyombo tu. Nimejarbu kuangalia video zako sijaona. Mungu akubarik sana kwa elimu hii nzuri
@annaclaireshija
@annaclaireshija 8 ай бұрын
Hiyo sijafundisha bado dear. Nitaleta video.
@SakinaSeif-tt6hf
@SakinaSeif-tt6hf 6 ай бұрын
Ahsante sana
@annaclaireshija
@annaclaireshija 6 ай бұрын
Karibu.
@AshaNyanga
@AshaNyanga 3 ай бұрын
Dada Nina shida wew nakupataje au naitaj mawasiliano no ya sm
@annaclaireshija
@annaclaireshija 3 ай бұрын
@@AshaNyanga Karibu 0687786576.
@annaclaireshija
@annaclaireshija 3 ай бұрын
@@AshaNyanga Karibu 0687786576.
@sekelamwasipaja-ue3zl
@sekelamwasipaja-ue3zl 2 ай бұрын
​@@annaclaireshija samahan hiyo costik soda ndo tunayotengenezea na batik,?
@annaclaireshija
@annaclaireshija 2 ай бұрын
@@sekelamwasipaja-ue3zl sifahamu kuhusu batiki dear.
@anjelaanatoroka5579
@anjelaanatoroka5579 22 күн бұрын
Safi sana dada.
@NuratNgeeni
@NuratNgeeni 3 ай бұрын
Ahsante sana dada mungu azdi kukupa afya njema
@annaclaireshija
@annaclaireshija 3 ай бұрын
@@NuratNgeeni Amina dear 🙏🏾🙏🏾
@khadijahhyder1449
@khadijahhyder1449 3 ай бұрын
​@@annaclaireshijanaomb contact zako plz
@annaclaireshija
@annaclaireshija 3 ай бұрын
@@khadijahhyder1449 0687786576.
@GENOVEVARAFAELNDAMCHO
@GENOVEVARAFAELNDAMCHO 4 ай бұрын
Yaani dada ubarikiwe unafundisha vizur sana nimekuelewa sana
@annaclaireshija
@annaclaireshija 4 ай бұрын
Amina dear, nashukuru kwa kutazama.
@OnestaZablon
@OnestaZablon 2 ай бұрын
Hongeraa sana dada mungu akubariki sana
@annaclaireshija
@annaclaireshija 2 ай бұрын
@@OnestaZablon Amina dear 🙏🏾
@latwintz
@latwintz 26 күн бұрын
Naomba no yako my dear
@annaclaireshija
@annaclaireshija 25 күн бұрын
@@latwintz 0687786576. Karibu.
@FarajaMichael-s5m
@FarajaMichael-s5m 3 ай бұрын
Asant dada nimejifunza kitu japo kwa kuchelewa
@AmidaMohammed-rh7bv
@AmidaMohammed-rh7bv 4 ай бұрын
Ahsant dad ang nmeelewa kidg make umeniacha apo kwnye maji imekuaje litre kumi akat mwnzo tumeona ulivoeka caustic ilkua ni litre3
@annaclaireshija
@annaclaireshija 4 ай бұрын
Hujaelewa sikiliza video yote utaelewa dear.
@MathewMathulino
@MathewMathulino 4 ай бұрын
Mm ningeenda kujua maduka ya aina gan vinapatikana vifaaa hivi vya kutengeneza sabuni za maji
@annaclaireshija
@annaclaireshija 4 ай бұрын
Karibu ujipatie kitabu, utajifunza vitu vingi sana.
@elinasima106
@elinasima106 9 ай бұрын
Ukishamaliza kuchanganya sabuni yako waiacha muda gani ili iweze kutumika?
@annaclaireshija
@annaclaireshija 9 ай бұрын
kesho yake unaanza kutumia.
@judithkimaro8798
@judithkimaro8798 8 ай бұрын
Naomba kuiliza hii fomula haiitaji glycerine?!
@annaclaireshija
@annaclaireshija 8 ай бұрын
Inafaa kuweka dear.
@rebeccacharles9429
@rebeccacharles9429 6 ай бұрын
Vitu hivo vinapatikana wp?.... Yaan malighafi hiyo?
@annaclaireshija
@annaclaireshija 6 ай бұрын
Kwenye maduka ya malighafi.
@rebeccacharles9429
@rebeccacharles9429 6 ай бұрын
@@annaclaireshija Owk vizuriii....gharama yake inaweza kugharimu kiasi gani?
@SophiaShelukanya
@SophiaShelukanya 2 ай бұрын
Hata Mimi nimeipenda sana na ni nzur sana
@annaclaireshija
@annaclaireshija 2 ай бұрын
@@SophiaShelukanya asante sana dear.
@LilyNehemia
@LilyNehemia 7 ай бұрын
Caustic soda bila kuiacha massa 12 am 24 haiwez leta shid ? Naomb kfahm
@annaclaireshija
@annaclaireshija 7 ай бұрын
Nimeelekeza kuwa caustic inatakiwa kukorogwa kwenye maji kwa dk 20 na kuachwa kwa siku mbili ndio unaitumia. Baada ya hapo ulichanganya kwenye sabuni haina shida. Pia muhimu uweke na glycerine ili sabuni isipaushe mikono.
@LilyNehemia
@LilyNehemia 7 ай бұрын
Aaah Mimi nilikorag Jan saa 10 jion na nimeitmia Leo saa moj ASUBUHI haiwez leta shid maan imeshaa kaa massa 12 dear msaada
@annaclaireshija
@annaclaireshija 7 ай бұрын
@@LilyNehemia kama unachoungumzia ni caustic umekosea inapaswa kutumika baada ya siku 2 ya 3 ndio unatumia. Hiyo sabuni lazima itawasha mikononi.
@LilyNehemia
@LilyNehemia 7 ай бұрын
@@annaclaireshija vip Kam haitawash maan niltumia robo nikaiweka Kweny maji Lita tatu na majii niliyotumia ni Lita kumi-11
@SabinaDudiveek
@SabinaDudiveek Ай бұрын
Malighafi 3 bei ngani dadaang natamani pia
@annaclaireshija
@annaclaireshija Ай бұрын
@@SabinaDudiveek tafadhali wasiliana nami kwa namba 0687786576.
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 19 МЛН
How To Make Powdered Detergent At Home ( Asia Mixing Formula)
16:16
Sunshine Resources Srtv
Рет қаралды 477 М.
#JINSI YA #KUTENGENEZA #SABUNI YA #MAJI #NZITO
7:33
JIAJIRI TZ
Рет қаралды 165 М.
Jinsi Ya Kutengeneza Icecream Lita 20 Rahisi Sana
7:22
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 698 М.
KWA WAJASIRIAMALI: JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO KWAAJILI YA BIASHARA
17:04
Anna Claire Shija
Рет қаралды 4,2 М.
JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO YA KUOSHEA NYWELE
12:17
SUNRISE TZ
Рет қаралды 25 М.
TENGENEZA FAIDA MARA 2 KWENYE SABUNI YA MAJI KWA KUTUMIA NJIA HII #sabuni
12:34