Tesa na Pedro: Mimba ya Tima ni ya nani? - Huba | Maisha Magic Bongo

  Рет қаралды 141,068

Maisha Magic Bongo

Maisha Magic Bongo

Күн бұрын

Doris amekwamilia kwake Roy, huku akigombana na Mamake, Bi Sikiti. Kwingine, Tesa na Pedro wanajadiliana kuhusu timba ya Tima! Wanapanaje? Chidi na rafiki yake wameenda kumjulia Kashaulo, lakini Sidi ana vingine!
---
Endelea kutizama DStv chaneli 160
Official Website: maishamagicbon...
Watch more series and movies on Showmax, start your 14 day free trial here: bit.ly/36PFSr0
Instagram: / maishamagicbongo
Twitter: / maishamagictz
Facebook: / maishamagicbongo

Пікірлер: 80
@annastaziamichael6344
@annastaziamichael6344 4 жыл бұрын
Kwa nini na huku KZbin msiwe mnaituma kama mnavyoirusha 160 wengine tunafuatilia kupitia KZbin ni maoni yangu tu
@khayshumally1280
@khayshumally1280 4 жыл бұрын
Tunataka iyo huba tuone KZbin jamani
@ishamuu4307
@ishamuu4307 4 жыл бұрын
Kweli ilikua ukitafuta tu unaipata
@mercynanjala1430
@mercynanjala1430 4 жыл бұрын
Jamani sisi watu wa You Tube kweli tusisahaulike pia
@zainabubakari8489
@zainabubakari8489 4 жыл бұрын
Wanazngua hawa yotube
@mwanakombosuleiman6161
@mwanakombosuleiman6161 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 sidy watu hata hawajatandika vitanda 😂😂😂
@christabellakumu3864
@christabellakumu3864 4 жыл бұрын
Chidi na Carlos wanapendeza kwa hizi vitimbi vyao vya kiingereza😂😂😂wameweza kweli👌
@graciathema656
@graciathema656 3 жыл бұрын
Yfgk
@saidanasiru8321
@saidanasiru8321 4 жыл бұрын
shukran mwendelezo
@beatriceasheri1711
@beatriceasheri1711 4 жыл бұрын
Jmn asant Sana umepotea Sana tupe zote
@nuwayirally4727
@nuwayirally4727 4 жыл бұрын
Jamani nzuri sana lkn msitubanie hivyo tuleteni tuone kila siku
@سعادالشمري-ز9ز
@سعادالشمري-ز9ز 4 жыл бұрын
Eti wagojwa wehu 😂😂😂😂😂Carlos bana
@hubertysangawe9896
@hubertysangawe9896 4 жыл бұрын
Nice 1 good movie
@elizabeth3d565
@elizabeth3d565 4 жыл бұрын
Asanteni
@salomisalomi1828
@salomisalomi1828 4 жыл бұрын
😂😂🙏Nyie karosi unachekesha sn
@angelluanda4221
@angelluanda4221 4 жыл бұрын
😀😀chidi na Carol's mnachekesha sana
@ireneg4419
@ireneg4419 4 жыл бұрын
Naipenda huba sem ,mnatubaniiiia ,mrushe na huku cio tsap jmn ty
@joicemiyayeagness5317
@joicemiyayeagness5317 4 жыл бұрын
Ooooh kumb kun tsap
@neymermponde7810
@neymermponde7810 4 жыл бұрын
Mambo ni moto
@saidiasdd5043
@saidiasdd5043 4 жыл бұрын
Achenibitubyaivo Mimi nikosaudia ntajiungaaje kwawasap naombamrudishe huba youtube mtakuwammetusaidia
@hamidabaliyanga2584
@hamidabaliyanga2584 4 жыл бұрын
Shukran
@asinatikarim5401
@asinatikarim5401 4 жыл бұрын
Leo ndefu asanteni san
@broadcentrix9466
@broadcentrix9466 4 жыл бұрын
Nipo hapa kwaajili ya beni
@rukiamohamed1675
@rukiamohamed1675 4 жыл бұрын
Thanks 😘😘😘
@jamil1547
@jamil1547 4 жыл бұрын
Tunakosa kuona vipindi vyote sisi tunaoshi ulaya tunafuatilia michezo yenu tafadhali muwe mnatuwekea kwenye KZbin
@evodia4449
@evodia4449 4 жыл бұрын
Asante huba ni 🔥🔥🔥🔥
@rachelmarwa7011
@rachelmarwa7011 4 жыл бұрын
Kweli kabisa mambo ni 👊👊👊
@jamilahiddy9659
@jamilahiddy9659 4 жыл бұрын
Nice
@mariammwendakazungu5783
@mariammwendakazungu5783 4 жыл бұрын
Chid n calos jamani🤣🤣🤣🤣
@kadijahal4930
@kadijahal4930 4 жыл бұрын
Wapili Mimi Leo mumewak kbs
@llgg1042
@llgg1042 4 жыл бұрын
Mmhhhhhh kumenoga huku jamani huu chibu unanini??? Ebu achana na nandy Tesa hicho kibe 10 kitakufirisi utakuj kujuta
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
Acha amfirisi,amezidi
@ommyTv194
@ommyTv194 4 жыл бұрын
Atamimi na furahaa
@gres1182
@gres1182 4 жыл бұрын
Asante
@munnababygal8460
@munnababygal8460 4 жыл бұрын
Wow nandy na chibu
@atusolomon5933
@atusolomon5933 4 жыл бұрын
Mbn amturushii huba sasa hv
@2nukhamis447
@2nukhamis447 4 жыл бұрын
Bi sikitu kapoa leo uyo😂😂
@jemimahkroos1840
@jemimahkroos1840 4 жыл бұрын
Wauuuu
@mishisalimu7825
@mishisalimu7825 4 жыл бұрын
Usitarabu adabu eeeh sidi
@tonymufasa3324
@tonymufasa3324 4 жыл бұрын
Sasa sisi tulioko nnje ya Tanzania tufanyeje? Acheni hizo tutumiyeni na sisi KZbin.
@tontourassa5110
@tontourassa5110 4 жыл бұрын
Kabisa
@osanaelfuraha8122
@osanaelfuraha8122 4 жыл бұрын
Chibu umetoka wap tena 😂😂😂😂
@rebeccalyanga3694
@rebeccalyanga3694 4 жыл бұрын
Ila we Dorice siumuheshimu Ata mama. Ako
@zayanaduduna1405
@zayanaduduna1405 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣Sidi na jama yake
@halimanasihu1200
@halimanasihu1200 4 жыл бұрын
Love doris
@ramadhanhussein5218
@ramadhanhussein5218 4 жыл бұрын
Wabongo hamjui kuigiza sa mimba mara hii t ishakua kubwa
@alexiajoseph1394
@alexiajoseph1394 4 жыл бұрын
Jaman mbona sasa iv siiipt huba
@neemapaul2162
@neemapaul2162 4 жыл бұрын
Wa kwanza leo 🙌🏼😋😅😅
@aminambaji3842
@aminambaji3842 4 жыл бұрын
Jmn mbn hampost zingine
@zubydazad7646
@zubydazad7646 4 жыл бұрын
Jaman tutumien izo namba tulipie
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 жыл бұрын
Jaman mbon baddest haturushii huba😪
@llgg1042
@llgg1042 4 жыл бұрын
Hilo swali ndo na mm najiuliz kwan imekuwaaj hata jaykesi na yy alikwend ivo mpak sas duhhh jaman nihatar
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 4 жыл бұрын
Baddest anauza huba huko wazup ametoka no yake kwa anaetaka huba analipia, Mimi nimeshindwa kulipia
@gloryjulius1108
@gloryjulius1108 4 жыл бұрын
Mliendaga wapi?
@matondokija1950
@matondokija1950 4 жыл бұрын
Mmmmmh wewe Tesa nauna tesa kwel
@agnessmwambapa5914
@agnessmwambapa5914 4 жыл бұрын
Tunaomba muwe mnatulishia yote jamani
@najmakhamis9092
@najmakhamis9092 4 жыл бұрын
Hhhhhhhh nacheka sidi chdy na varlos
@zaharajuma5019
@zaharajuma5019 4 жыл бұрын
Mnachelewa jamani
@dfinafriga9863
@dfinafriga9863 4 жыл бұрын
sidy🤣🤣
@johnmwadime4590
@johnmwadime4590 4 жыл бұрын
Chigu...😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@bathromewpeter1549
@bathromewpeter1549 4 жыл бұрын
Mbona fupi jamani😭😭😭😭
@enestinajosephat1269
@enestinajosephat1269 4 жыл бұрын
Jmn mmeamua kurusha leo
@issakizito5396
@issakizito5396 4 жыл бұрын
Kweli wengine hatuna luniga
@mariamsuleiman5497
@mariamsuleiman5497 4 жыл бұрын
Twashukuru ila mbna sikuhizi hamutuekei
@anitanahimana2115
@anitanahimana2115 4 жыл бұрын
Huba rime noga jamani tupe vitu vitamu
@felistagesare3207
@felistagesare3207 4 жыл бұрын
Chidi na carols nawapenda tu bure
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
makubwa chibu teeeenaa
@dinahmwakatobe2232
@dinahmwakatobe2232 4 жыл бұрын
Jaman tumen yote
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 4 жыл бұрын
Carlos jamani mhh' Eti wagonjwa wehu
@rizikicharo7741
@rizikicharo7741 4 жыл бұрын
Jmn wadau wenzangu huba nitaipata wapi?kw sababu baddest aliingia mitini
@lailamohammed320
@lailamohammed320 4 жыл бұрын
Tasha tv
@itikabukuku104
@itikabukuku104 4 жыл бұрын
Arushi mbona tasha
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 4 жыл бұрын
Baddest analipisha huko wazup Nimeshindwa Sina pesa ya kununua huba
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 4 жыл бұрын
@@lailamohammed320 tasha Hatumi Tena sai
@rizikicharo7741
@rizikicharo7741 4 жыл бұрын
Laila moha. .Tasha tv pia yy alingia mitini
@babsalumsaid5182
@babsalumsaid5182 4 жыл бұрын
Tutumuenì kidgo
@bathromewpeter1549
@bathromewpeter1549 4 жыл бұрын
Pedro pambana
@sarasospeter8280
@sarasospeter8280 4 жыл бұрын
Shidatu
@aminanyimbonzurisanaidrisa6118
@aminanyimbonzurisanaidrisa6118 4 жыл бұрын
Tunaomba mtuwekee yote jamani
Chidi na Happy, Ruki na Jude, Tima na Devi - Huba | Maisha Magic Bongo
4:52
Maisha Magic Bongo
Рет қаралды 165 М.
HUBA LEO IJUMAA FULL VIDEO | HUBA NOVEMBER 5 FULL VIDEO
23:36
Karidad Nation
Рет қаралды 54 М.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
HUBA Nelly Tesa Devi wa mpelekea taraka KIbibi agoma kuisaini
10:43
Kabirigi Empire
Рет қаралды 78 М.
FATUMA KITASA AVUNJA UKIMYA KAFUKUA MAZITO YA MUMEWE
2:47
JUMA TV
Рет қаралды 16 М.
Saliga nabiga qofkilasima
9:22
Afrika One
Рет қаралды 63 М.
Kibibi apata mtoto wake - Huba | Maisha Magic Bongo
4:17
Maisha Magic Bongo
Рет қаралды 139 М.
BONGO MOVIE 2022: FILAMU KALI YA “KIPOFU”
1:09:03
JASONS TV
Рет қаралды 583 М.
Karembo amerudi kwa ikulu- Pete | Maisha Magic East
4:20
Maisha Magic East
Рет қаралды 90 М.
Sumu ya Rani imekuwa mauti yake! - Huba | Maisha Magic Bongo
4:10
Maisha Magic Bongo
Рет қаралды 174 М.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН