Nashindwa kujua Mungu ana makusudi gan na mm maana nimekuwa na mzigo sana juu ya waimbaji,nimekuwa nikiugua sana kwa ajili ya huduma zao ....kaka Gwamaka kupitia ushuhuda Mungu wa mbinguni akuinue viwango visivyovyakawaida KATIKA JINA LA YESU!!! 🙏🙏🙏
@upendodavid30812 жыл бұрын
Shangiliaaaa piga keleleee oohooooo kwa bwanaaaaaa mungu anapaswa kushangiliwaaaaaa kabisaaaaa
@harunjustin5521 Жыл бұрын
Namukubali sanaaaa uyoo mwamba Mr mfinanga mwakalingaa ahaaaaaa fire
@upendodavid30812 жыл бұрын
Gwamaka ulikuja mwanza ukafanya uduma ya uimbaji kanisan wakati uo nilikuwa naomba nakusifu saaaana ndani yangu nilikuwa najikuta naomba maombi ya shukran Yan na bubujika kwa shukran tu ulisogelea unaniambia unaona kitu ndani yangu na pía ukasema mungu anakitu kikubwa kwangu wakat unaniambia vitu hivyo nilikuwa nimetoka kwenye ujane wa miez mitatu nyuma lakin bado nilikuwa ninamshukuru mungu sana sana hivyo hapa nilipo napaswa kusema niña aman na nime stawi kama gustan yenye rutuba kabisa mungu apewe sifa
@davidmsemo88922 жыл бұрын
Hii ilikuwa vita ktk ulimwengu wa roho, na ni pepo hilo na hii nikutokana na huduma yako Gwamaka, but still God is good na Mungu anakupeleka kwenye kiwango kingine
@levinanaftal69452 жыл бұрын
Me mwenyewe nililia Ila ashukuriwe Mungu wa mbinguni ametenda🙏
@ErickSimeonkahiga2 жыл бұрын
Nimekuombea Sana, Napenda Huduma yako Gwamaka Mwakalinga , Nashukuru Kwa matendo ya mungu kwa maisha yako, Na uko deep man Receive Love from Kenya🇰🇪
@jasinthakalemera95052 жыл бұрын
Mungu ni mwema jamaniiii azidi kumtetea mtumishi wa Bwana aendelee kuishi kwa ajili yetu
@ruthachieng17402 жыл бұрын
Gwamaka Mungu wako unayemtumikia akurejeshe kwenye zamu yako
@candylinahlinus60182 жыл бұрын
Mungu akutunze jamani...shetani ameshindwa..
@farajalukosi84622 жыл бұрын
Amepita katika Moto na kutoka Kama dhahabu, Mungu yupo , maombi Yana nguvu, Barikiwa Gwamaka uinuliwe zaidi
@victorymediatz2 жыл бұрын
Amen
@marygregory75662 жыл бұрын
Roho wa Mungu ananijia kwa nguvu ninaposikiliza ushuhuda huu... Mungu akaniambia HIYO NI NJIA YA MUNGU KUKUTAMBULISHA KWA WATU.
@eliakimmtawa9866 Жыл бұрын
Shalom Mfinanga may God teach u his truth and ways
@tinahmtei91832 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Mfinanga nakumbuka wakati unafundisha somo la kukinywea kikombe kijitonyama. Nilikuwa napitia mahali paajabu sana na baada ya kuvuka nikakushuhudia. Namshukuru Mungu kwaajili ya huu ushuhuda wa mtumishi Gwamaka maana MUNGU amenithibitishia kwa mara nyingine kwamba yupo na anafanya mambo yaajabu sana. Vitu vingi ameongea Gwamaka nami nilivipitia , kumsikia MUNGU kwa wazi na wakati mwingine kujikataa na Mungu kuachilia vitu vingi sana hizi nyakati ngumu. Naelewa na ni watu wachache sana wenye hii Neema! Namfurahia huyu Mungu sana. Moyo wangu unafurahia sana alichofanya kwa Gwamaka 😭😭😭
@victorymediatz2 жыл бұрын
Umebarikiwa sana, Utukufu apewe Bwana wetu Yesu Kristo.
@missenika86232 жыл бұрын
Hili somo lipo hapa KZbin? Kama lipo naomba nisaidie link
@euzebianicholaus60672 жыл бұрын
MUNGU azidi kujitwalia UTUKUFU kupitia kila unachofanya
@brother_majesty2 жыл бұрын
Nuru Imerejea..Mungu ni Mwema Sana. Glory to His Holy Name
@atuganilemalango14892 жыл бұрын
There is no premature death in Jesus name. Be healed brother. Your ministry is a blessing to many of us.
@barshermedenterprises71142 жыл бұрын
AM in kenya and been praying for Gwamaka, he is a blessing to the kingdom
@nurukipato5471 Жыл бұрын
Glory to God...hakika uhai wetu umefichwa ndani ya Yesu.
@joshuamwasandube5279 Жыл бұрын
May God heal you Gwamaka, am much blessed listen your given anointed songs
@lowassaloitore47742 жыл бұрын
Mungu atakuponya Mtumishi, Kama ulivyosema kwamba kuna ujumbe ambao Mungu anataka upate na kupitia hapo wengi wataponywa na Mungu Wetu Mkuu, Na Mwenye Nguvu... Mungu aendelee kukuandaa kwa ajili ya kusudi lake hapa duniani.
@addalazaro55792 жыл бұрын
Mungu amekuwa mwema mno kwa gwamaka he's a living testimony to us
@brownhenry19162 жыл бұрын
Hata Mimi nilipata hii shida ya Kizunguzungu, Cha kuanguka, Nilienda hospital kadhaa na sikuonekana mgonjwa Siku niliamua kuomba nilipona permanent
@happyngungur88682 жыл бұрын
Glory to God
@victorymediatz2 жыл бұрын
Utukufu kwa Yesu Kristo.
@daktarikiganjani40312 жыл бұрын
Kaka Yangu nashukuru sana kwa kutiwa moyo ili uje ushuhudie.... Kwa neema hyo hyo sisi Daktari kiganjani tunatoa elimu kwa namna rahisi. Tunamshukuru Mungu kwakua sisi tunatoa elimu, Mungu anaponya.. Na wewe ubarikiwe kwa kushare.
@marym80172 жыл бұрын
Testimony yako Gwamaka imenipa nguvu kama Mkristo... Mungu akuhifadhi na huduma aliokupa Amen. Wewe ni mshindi
@eunicedan2 жыл бұрын
Uponyaji.🙌🙌.uponyaji Kwa ndugu Gwamaka Mungu ni mwaminifu ashafanya sikujua haki🤔 vile naimba nyimbo zenu Uminiliwa zaidi ya milima' my favorite. You're blessed 🙌 and family
@shalomchaula44202 жыл бұрын
Mungu ana mambo yake ya sirini ndo maana ukifika hatua za juu Sanaa unasema neno Moja tu "mwache Mungu aitwe Mungu".....bro nakumbuka ulivyokuja dodoma ukaja ICC be healed and anointed for the Kingdom glory of God.
@japhetjoram78002 жыл бұрын
MUNGU wa mbingu na nchi akuponye Gwamaka.Bado una kusudi la MUNGU ndani yako na MUNGU hana tabia ya kuitelekeza kazi yake iishie njiani!always MUNGU akianzisha lazima akamilishe!You are blessed in JESUS NAME!
@priscampolenkile63812 жыл бұрын
Ameeen ameen Mungu hajawahi muacha mtu wake
@angelaswila66322 жыл бұрын
Mtumishi Mungu Ni mwaminifu mno Kuna Jambo kubwa la Kimungu mbele yako utavuka. Isaya 7:7
@vailetheanyambilile97492 жыл бұрын
Nime furahi kumwona kapona huyu Kaka Mungu ni mwema sana
@elizabethngala53662 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifi, it's just a season and you will be more stronger than ever,kazi hujamaliza .
@devothajoseph53862 жыл бұрын
wow... Glory to GOD, Utaishi sana GWAMAKA Ukitusimilia na kuwasimulia vizazi vijavyo ukuu wa` MUNGU
@victorymediatz2 жыл бұрын
Amen
@priscashoo45132 жыл бұрын
Namshukuru MUNGU kwaajil yako Kaka Gwamaka unapendwa Sana na Mungu na sisi tunakupenda pia ❤️ azid kukutunza
@andulilemwakalinga76352 жыл бұрын
Ameen
@polinenamirembe80592 жыл бұрын
Gwamaka you are my mentor..may the lord do you good
@annahillary3492 жыл бұрын
Powerful interview 🔥🔥🔥🔥🔥Gwamaka Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu
@sia84182 жыл бұрын
Kaka G , thank you for the interview... ila niombi tuu kuwa kusiwepo wa interruptions kwa muongeaji ..inasaidia kwa sisi tunaowasikiliza kuweza kufocus
@benjooh_official89442 жыл бұрын
This is true kaka mfinanga don't jump to much to conclusions or too fast aisee muache mtu ajielezee vizurii kwa wakati mpana hata kama unajuwa history ya mtu unaye mhoji just give him a space ili sisi tunaongalia tuweze kujifunza n.k aisee ,also pangilia maswali vizurii punguza speed .All in all ubarikiwe saana kaka mfinanga na Gwamaka mnafanya kazii nzurii Mungu awabariki .🙏
@barakakamugisha81822 жыл бұрын
Saana ina interrupt mno... Hope ametuelewa... We love and appreciate what you're doing
@victorymediatz2 жыл бұрын
Amen
@victorymediatz2 жыл бұрын
Amen
@victorymediatz2 жыл бұрын
Amen
@ndembwamponda76742 жыл бұрын
Yeah! Ni wakati wa kuinua madhabahu halisi ya Mungu Aliye Hai ktk Tanzania bara na Visiwani. Asante sana Mtumishi wa Bwana Yesu Kristo kwa ushuhuda nimejifunza na kunifanya niendelee kumuangalia Mungu Aliye Hai.
@addalazaro55792 жыл бұрын
Shetani mshenzi sana aliingia kwene anga lako bila kujua wewe ni mpakwa mafuta mkubwa wa Bwana
@dieudonnealuta33732 жыл бұрын
OMG!!!!!!!! Suffering from Diabetes is one of the worst challenge. To see how strong GWAMAKA was in 2020 and the current video, all i can say, MAY GOD BE PRAISED FOR YOUR HEALING. May His protection be on you always. May this challenge strengthens your faith in the Lord.
@bahatizuberi92652 жыл бұрын
Glory to God. Uhai wako ufichwe ndani ya damu ya Yesu. Mungu aendelee kukuimarisha kwa utukufu wake. Amina.
@victorymediatz2 жыл бұрын
Amen
@veronicalameck69822 жыл бұрын
MUNGU ni mwema, Yesu akutunze na uzidi kuinuliwa zaidi ktk huduma yako
@hosearenatus49172 жыл бұрын
Mungu yupo nawe brother Atakuponya
@uwezoseleman55302 жыл бұрын
Stay strong man of God that's the sign that yr service is accepted to God! Tunapenda huduma yako u will live to the fullest and all these challenges shall turn into testimony Amen Amen Ame
@jessymoses25452 жыл бұрын
Alaa..I didn't know you were unwell till nmeona hii video.......all glory to God for your recovery
@jenifamoses42762 жыл бұрын
Mungu na azidi kukuponya na kukubariki kwa habari ya afya yako Gwamaka
@elizabethngala53662 жыл бұрын
Wewe niwa maana Sana kwa ufalme wa Mungu, healing is your potion in Jesus name
@victorymediatz2 жыл бұрын
Amen
@florabernard20562 жыл бұрын
No premature death in Jesus name. Yote Bwana aliyokusikiliza it's a great prove that God still has plan ahead of you bro.Mtu wakufa hasikii mambo yajayo anachoona ni mwisho wake lakini wewe mwisho unakusogelea but still Bwana anakutazamazisha mbali namna hiyo.Bado Bwana anakushirikisha mambo ya wengine ?Bro umebeba matumaini ya wengi hutakufa utaishi ili Bwana ajitukuze zaidi.
@esthersima84232 жыл бұрын
Mtumishi kaka g waombaj wa dodoma tunakusubir kwa ham kwenye across of the year inayoandaliwa na mwalim Emanuel shemdoe 1.6 next week na pia miez mitatu nyuma kwenye madhabahu ya kkkt cathedral dodoma tulikataa magonjwa na vifo kabla ya wakat na mtumish mfinanga naiona asgment ambayo Mungu amekupa mtumish hongera kwa kaz nzur mtumish ss ni washind kaz ya Mungu iendelee tunakupenda mtumish Mungu akupiganie
@victorymediatz2 жыл бұрын
Amen
@buberwakahatano87662 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Bro. Gadiel Mfinanga Kwa hii interview ya Gwamaka Mwakalinga, imetugusa na kunikumbusha namna ya kuliishi kusudi la Mungu
Kwakupigwa kwa Yesu tumepona. Kaka, you are such a blessing to God's kingdom. hee upone kwa jina la Yesu Kristo. we are praying and we love you Minister of the gospel.
@Dr.ostine2 жыл бұрын
Background music too noisy
@rachellyeme30972 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana
@trophywilson72112 жыл бұрын
Mungu akusimamie
@priscampolenkile63812 жыл бұрын
Yes Mungu mwema sana sana! Jina lake libarikiwe sana kwa kukuvusha katika yote
@ministerHappyAllan2 жыл бұрын
God of Glory Tunamtukuza Mungu pamoja na wewe Nyimbo zako zina upako na zinaendelea kuminister ndani yangu..be Blessed man of God..wewe ni mshindi na ww ni afya
@MissG_the_artist2 жыл бұрын
You are healed Gwamaka in Jesus Name
@restmwangosi25152 жыл бұрын
Mungu n mwema sanaa
@godfreysanziki14612 жыл бұрын
Upo humble sana bro, Mungu akuinue sana
@fridadenis2 жыл бұрын
Mungu azidi kukuhimarisha kaka @gwamaka ...kaka @mfinanga Mungu akubariki sana kazi yako ni njema
@victorymediatz2 жыл бұрын
Amen,amen..
@mikalijesmart35462 жыл бұрын
Mungu akupiganie Gwamaka na Familyy
@henrynkya54462 жыл бұрын
Ila mfinanga unaongea sana keep distence.ili tumsikie kaka vzri
@gmmassawegilbert2 жыл бұрын
Glory to Jesus.Aisee Kuna darasa kubwa sana kupitia wewe.Nimefurahi namna ulivyo focused despite all that happened.Mungu aendele kukutumia.
@Dr_Drip7772 жыл бұрын
Imenibariki sana.
@immamwangasi29342 жыл бұрын
MUNGU ni mwema sana
@trophywilson72112 жыл бұрын
Pole saana
@monicabaltarzali75852 жыл бұрын
Amen Amen🙏🙏🙏
@endlessloveofchristlovewor99912 жыл бұрын
BWANA AKUPONYE KWA JINA LA YESU KWA DAMU YA YESU.
@theopistamwayeya17642 жыл бұрын
Nawapenda sana,damu ya Yesu iwatunze.
@salomembiku42562 жыл бұрын
Yesu ni Mwema sana........
@victorymediatz2 жыл бұрын
Amen
@davidngailo79662 жыл бұрын
🙌🙌Mungu aendelee kukulinda mtumishi .
@marypanga92912 жыл бұрын
Amen
@atufigwegeaward11852 жыл бұрын
vessel ! ✨🙌🏾
@miriamblessing1012 жыл бұрын
Glory to God ushuhuda huu umenijenga 🙏🙏
@pascalwaryoba89212 жыл бұрын
MUNGU akutunze
@deborahlusenga35742 жыл бұрын
I like that you are strong despite the challenges you came accross, May God continue to heal you for his glory.
@stellawekesa272 жыл бұрын
Praying for you bro. You're a blessing to me. Singing your sing Umeinuliwa and Wastahili. Aluta continua. From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@victorymediatz2 жыл бұрын
Amen,
@cadolinahmwantake30762 жыл бұрын
Amen 🙌
@kemmymugele3502 жыл бұрын
We speak healing in the might name of Jesus, Zaburi ya 91
@calebmbugua7452 жыл бұрын
May God heal you bro Gwamaka! You are a great encouragement to the body of Christ
@Nsumbakeston2 жыл бұрын
🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@josevumilia7262 жыл бұрын
Amen Amen Dieu soit loué Drc kinshasa
@vanessasalema60872 жыл бұрын
😄😄😄😄 Samson n mtot wa ngapi
@vanessasalema60872 жыл бұрын
Kwa YAKOBO !!!! Ivvv ka mfinanga hyo Bible yako n ya wap😄😄😄😂
@sheephiloz2 жыл бұрын
to God be the glory..which year was he sick?
@emmanueltitus64382 жыл бұрын
Amen Groly be to God
@salomemutete20902 жыл бұрын
Our God is a powerful healer
@gertrudekopiyo2 жыл бұрын
What a great testimony! I pray that your courage continues to draw many to God. God bless you. I have been blessed
@victorymediatz2 жыл бұрын
Amen.
@vanessasalema60872 жыл бұрын
Amen!!! God is great....
@vanessasalema60872 жыл бұрын
Be blessing...
@Agatee012 жыл бұрын
Jifunze kuskliza kaka, yan unainterrupt had hatureceive😅
@victorymediatz2 жыл бұрын
Poleeeee sanaaa
@Agatee012 жыл бұрын
@@victorymediatz its okay Sir.
@MaggieG2762 жыл бұрын
The background music is so loud
@Agatee012 жыл бұрын
@@MaggieG276 eeh mbona hapanaa, uko sawa tuh
@sebastiandeus7632 жыл бұрын
Interview nzuri lakini Ushauri wangu kwako kaka G, punguza miguno wakati mtu anaongea inazingua balaa lakini pia mpe mtu gep lakuongea ukimuuliza swali mpe mda ajielezee hadi amalize ndioo umuulize sio zile naelewaa mnhh zinazingua igeni kwa Millard basi