Gwamaka is so spiritual, kwa habari ya tuzo zinaweza kukutoa katika mapenzi ya Mungu.
@saintpetertv49054 жыл бұрын
Gwamaka nakupenda sana, continue to be humble , nakufatilia sana nabarikiwa kwa kweli
@raymsanii2 жыл бұрын
Nakupenda sana Gwamaka! Na hii interview nimeipenda sana! Ila kimoja tu, Guardian please reduce the volume of the background music to bare minimum for the sake of clarity of the interviewee🙏🏽 #KenyanLove
@marianaftali75322 жыл бұрын
Jamani kaka MUNGU akubarik hongera kwa huduma
@marianaftali75322 жыл бұрын
Nmefurahi piah kuwa mama ni mnyaturu na Mimi piah mnyaturu nmefurahi Sana MUNGU akuinuee
@MWAMPOSAONESMO-vh2yw4 ай бұрын
Kaka barikiwa sana
@ElishaDickson-l8v2 ай бұрын
Amen mtumsh
@amenyemwansile6919 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu ubarikiwe sana mungu akuzidishie
@florakabogo62953 жыл бұрын
Nimependa mtazamo wako kaka Gwamaka
@priscahema38033 жыл бұрын
Kaka daaah ubarikiwe rafki angu nmefurahia kuskia kuwa mama ni mnyaturu. Ubarikiwe
@bennchunga0313 жыл бұрын
Mungu awabariki sana sana nimefurahi sana,
@johmeek2683 жыл бұрын
Kaka gwamaka i always learning from you.
@godfreysanziki14612 жыл бұрын
Gwamaka uko vizuri sana
@McheshiOnlineTv4 жыл бұрын
Tunaisubiria
@annedavid9076 Жыл бұрын
This is so inspiring, barikiwa sana mtumishi wa Mungu. May the God you serve keep elevating you and the ministry to great heights.
@jasperjackson88713 жыл бұрын
Nakupa big up Sana. Sir Mbezi
@faithkendi71242 жыл бұрын
wow ,this a nice interview. congrats gwamaka mwakalinga .
@amosnzyimi6823 жыл бұрын
Big love from Kenya
@richisaibulu15383 жыл бұрын
My role model Gwamaka
@aliceblesseddaughter Жыл бұрын
Great worship leader
@fionafavourofficial5093 жыл бұрын
I love the way you worship God together with team essence of worship... Congratulations Sir and continue humbling to your creator.
@vailetheanyambilile97493 жыл бұрын
GOD BLESS YOU BROTHER GWAMAKA
@swahiliwithZita4 жыл бұрын
33:05 Big Amen. No kuiga. May God bless you and team essence of worship to keep blessing us!
@noelmwikeve62554 жыл бұрын
He is best I Appreciate Him.
@laurentizakaria53202 жыл бұрын
Unanibariki sana Mr gwamaka
@zeepicturesbrand89733 жыл бұрын
Good
@kennedysenelwa43633 жыл бұрын
gwamaka umebarikiwa sana na uzidishiwe
@buberwadeus31583 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@godlistendiah35632 жыл бұрын
Hakika unavyoongea unamaanisha kabisa mm ninakukubali Sana Mtumishi wa MUNGU sababu unamaanisha kabisa ubarikiwe na Bwana YESU
@endeshyamat67732 жыл бұрын
hahahaha mtumishi wa Mungu yupo vyema sana na mzee wa interview uko vyema Mungu awa ariki
@danielyhezroni44472 жыл бұрын
Naomba mawasiliano na gwamaka ase
@marianaftali75322 жыл бұрын
Tunaomba namba kaka gwamaka
@anjelaleandry88932 жыл бұрын
Umenifundisha kitu
@yusuphmaginya58593 жыл бұрын
Una ufahamu mkubwa wa mambo ya rohoni! others should learn from you.