No video

TGUN TOZZY ANAISHI NDOTONI

  Рет қаралды 206,044

BongoStarSearch

BongoStarSearch

Күн бұрын

Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 13 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz

Пікірлер: 519
@kadegashibani5934
@kadegashibani5934 Жыл бұрын
Kama umeirudia hii nyimbo mara kumi gonga like 💥💥💥💥💥
@erickmbilinyi2056
@erickmbilinyi2056 Жыл бұрын
Hii ni hit kabisaaa
@dianamboya893
@dianamboya893 Жыл бұрын
😂😂
@leahbukombe9296
@leahbukombe9296 Жыл бұрын
Nipo hapa zaidi ya mara 20😂😂
@daudibuffalo3646
@daudibuffalo3646 Жыл бұрын
Daaaah nakbl saaaana Tgun Tozzy
@mkalishop5833
@mkalishop5833 Жыл бұрын
Unyama sanaaaaa
@pendocharles1787
@pendocharles1787 Жыл бұрын
Gonga like hapa kama umeiludia hii mwamba katsha aisee
@hajrafarid8942
@hajrafarid8942 Жыл бұрын
Nimerudia mara tano aiseee,,, kali sana
@pendocharles1787
@pendocharles1787 Жыл бұрын
@@hajrafarid8942 hatari san cjui niende naww ndoton
@RichMotherr
@RichMotherr Жыл бұрын
Balaa ❤
@Kizanda_84
@Kizanda_84 Жыл бұрын
Twendeni na huku kzbin.info/www/bejne/jX3EamqklrJsgK8
@mashushajunior4962
@mashushajunior4962 Жыл бұрын
Pendo Charles ntagonga like, kwenye ndoto
@user-ju3nm8oc1c
@user-ju3nm8oc1c Жыл бұрын
Amazing performance, dogo anajua, kweli atafika mbali.
@farajalongo4528
@farajalongo4528 Жыл бұрын
Kijana anafanya uone kwamba raap game ipo kwenye kesho salama. Ni kutengeneza Historia na Pesa. TGUN anajua sana. Naenda STARTIMES ON 🙌💪
@johnkamira2236
@johnkamira2236 Жыл бұрын
I can’t stop watching this heat.KWENYE NDOTO.u on fire brooh.🔥🔥
@alhajshabani5595
@alhajshabani5595 Жыл бұрын
Apewe tu huo ubingwa🙌🏽🙌🏽
@djsummercapuccino7573
@djsummercapuccino7573 Жыл бұрын
bonge la ngoma la ku bang club ......linachezeka....shot out kwa t gun today
@TheSportsNurse
@TheSportsNurse Жыл бұрын
This has been my ringtone since I heard of this song....... Jamaa unajua sana aisee,yaani Ushindi yafaa uwe wa kwako brother,nakukubali sana,una kipaji sana,very calm, humbled but kwa stage unaua,of all the songs yako inatisha sana, Big up TGUN
@thomasnyachoti6865
@thomasnyachoti6865 Жыл бұрын
From 254 hii ni zaidi ya moto🔥🔥this guy deserve a medal
@kennedjohn5785
@kennedjohn5785 Жыл бұрын
Hii ngoma ni hit tayari Adam mchomvu aipeleke redio tu.
@Maya_arsenal
@Maya_arsenal Жыл бұрын
Umeua tgun tozzy 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥I love so much Kenya tunakupa hongera💪🔥♥️
@williammwendwa8414
@williammwendwa8414 Жыл бұрын
Kwenye ndoto mimi ni raisi wa Kenya 🔥🔥🔥🔥🔥
@azizahmustafa8330
@azizahmustafa8330 Жыл бұрын
😂😂😂😂🤣🤣mbona ukachagua kua rais wa kenya
@rahuumkiwendu9582
@rahuumkiwendu9582 Жыл бұрын
😁😁😁
@williammwendwa8414
@williammwendwa8414 Жыл бұрын
@@azizahmustafa8330 inawezekana bana...
@azizahmustafa8330
@azizahmustafa8330 Жыл бұрын
🙌🤣🤣🤣kwenye ndoto
@theopisterjovent3483
@theopisterjovent3483 Жыл бұрын
Umetisha😂😂😂
@DIANAPHENNY-Kenya
@DIANAPHENNY-Kenya Жыл бұрын
Mistari mikali bwana wee.. Apo kwa sponser ni wewe bwana weee... Napenda BSS from Kenya😍😍😍
@friendslikefamilychannel
@friendslikefamilychannel Жыл бұрын
This is my favorite song kwa hizo nyimbo zote. This guy is so talented
@dagie7754
@dagie7754 Жыл бұрын
Bye bye Nigeria, bye bye amapiano, we are back to east Africa 🇰🇪 love
@djpatruick
@djpatruick Жыл бұрын
Huyu ni Star tayari kbx kama hiyi Nyimbo haikuwa hit niitwe imbwa love from Burundi 🇧🇮
@kulwakiganjah3469
@kulwakiganjah3469 Жыл бұрын
We kaka njoo twende studio 😂😂hiyo nyimbo kali 😮
@husnakamana6987
@husnakamana6987 Жыл бұрын
Absolutely great performance brother TGUN TOZZY You're number one for me 👏👌👍
@belindaelias8605
@belindaelias8605 Жыл бұрын
N hataree nmeipenda sana
@rahabyjoseph3373
@rahabyjoseph3373 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥hakuna rapa bongo kama dogo kama mnabisha niiteni mbwa 😅😅😅
@ringotechnology9759
@ringotechnology9759 Жыл бұрын
Kwenye ndoto😂😂😂😂
@esterfundi7014
@esterfundi7014 Жыл бұрын
Umekaa wap
@rahabyjoseph3373
@rahabyjoseph3373 Жыл бұрын
@@ringotechnology9759 😂😂😂
@rahabyjoseph3373
@rahabyjoseph3373 Жыл бұрын
@@esterfundi7014 nimekaa pale njia panda ya kawe
@husseinkadukadu919
@husseinkadukadu919 Жыл бұрын
Wallah 💯🙆‍♂️semaaa nini tatzo ni nyota tu my G🤷‍♂️🇹🇿
@conceptawinfred8965
@conceptawinfred8965 Жыл бұрын
Nyie this is a heat song..........
@bboymelvo5494
@bboymelvo5494 Жыл бұрын
Kakangu T gun wewe ni zaida ya wasani Africa 🌍 👏 n bboy Melvo kutoka kenya 🇰🇪 raaaaa #Kwenye ndoto
@mahmoudbblaise
@mahmoudbblaise Жыл бұрын
Tgun tozzy you're the best, I'm from Congo 🇨🇩 Dr qu'Allah te Bénisse en réalité je suis derrière toi et je suis sûre que tu vas gagner ce que tu cherches insha'Allah..... Et pour ton chemin met Dieu devant tout tu verras toute chose passe comme il se doit....... Toutes les bonnes choses pour toi mon frère Allah bless you my brother tgun tozzy I love you so much 💕❤️💕💓, I will win 🏆🏆 Cette année tu vas gagner mon cher ami Mwenyezi mungu ato kuacha kamwe mwakahuu wewe mshindi insha'Allah
@zulfahamad6485
@zulfahamad6485 Жыл бұрын
Umeweza had umeweza tena🔥🔥🔥
@veronicahsteveofficial8994
@veronicahsteveofficial8994 Жыл бұрын
wow
@willykimz9176
@willykimz9176 Жыл бұрын
toka kenya shabiki wa bongostar search nishasema hii ni hit noma hii imeriggy kabisa...kwenye ndoto
@mohdsaad2736
@mohdsaad2736 Жыл бұрын
HUYU MWAMBA NI MOTO 🥰🥰🥰🥰❤️💥💥💥
@blackking6295
@blackking6295 Жыл бұрын
this man is another level guyz👏👏👏👏👏
@moviekaa
@moviekaa Жыл бұрын
Mr.LG na TGUN wameua sana 👏👏
@husseinkadukadu919
@husseinkadukadu919 Жыл бұрын
Huyu chaliii bhn ANAJUA sana sema nini nyota tu *****😢😢
@lenakay9724
@lenakay9724 Жыл бұрын
Wow!!!,,,this guy is on another level 💥💥💥💥💥much love from 254,,,,🇰🇪🇰🇪
@bravoomedia6962
@bravoomedia6962 Жыл бұрын
nimeirudia sana hii ngoma huyu mwamba anajua
@alverztv6272
@alverztv6272 Жыл бұрын
TGUN ndio Mnyamaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@eriqtv99
@eriqtv99 Жыл бұрын
Oyaa like zenu km mnamkubalii mwamba
@alichanzi8095
@alichanzi8095 Жыл бұрын
Huyu jamaa Ni Mshindi 🔥🏆.
@sneiperstz4800
@sneiperstz4800 Жыл бұрын
Jmn nailudialudia
@michaelmassae3970
@michaelmassae3970 Жыл бұрын
Bigup
@emmybonny7219
@emmybonny7219 Жыл бұрын
Kwenye ndoto Tgun ni ............
@modomidundo
@modomidundo Жыл бұрын
Ushindi sio kusemwa umeshinda we mshind ndo maana uko hapo tygun 📌💥💥💥
@irmgardsamia1827
@irmgardsamia1827 Жыл бұрын
One of the best songs bongo Star search
@kadorivas3769
@kadorivas3769 Жыл бұрын
We nomaa nimekuerewaaa sanaa mwanaaa ukipataa management nzur utakuwa mawingun hakiyamunguu tenaa
@mwajumayahaya7046
@mwajumayahaya7046 Жыл бұрын
Kusema kweli hii ni good performers ❤️❤️❤️
@godfreyjulius7377
@godfreyjulius7377 Жыл бұрын
Uyu jamaaa ndio mshindi wangu wa mwaka 22/ 23
@cynthiaomondi6125
@cynthiaomondi6125 Жыл бұрын
This young man is super talented! Much love from Kenya Tgun, you have gained a fan from Kenya! May you win this competition!
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤💯💯💯
@skulfees5453
@skulfees5453 Жыл бұрын
❤❤❤mazee ako juu tu sana
@hamisiramadhan7722
@hamisiramadhan7722 Жыл бұрын
Great work brother
@neema7774
@neema7774 Жыл бұрын
Woooooo woooooo woooooooow🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mashushajunior4962
@mashushajunior4962 Жыл бұрын
mkitaka kwenda ndotoni mgonge like hapaaaa
@herberthmakonter5965
@herberthmakonter5965 Жыл бұрын
What a creativity,,🔥🔥🔥 since Unitalent mpaka Bss uko very creative bro one Love,, don't give up,, 🙏 my second favorite song,, from My List🔥💪
@kevinoundu3376
@kevinoundu3376 Жыл бұрын
you need penetrate east africa.....Tgun is a brand name already. All the love from kenya
@dottocharles9645
@dottocharles9645 Жыл бұрын
hili likaka linajua hadi linakera🥰🥰🥰🥰
@fellybonny5618
@fellybonny5618 Жыл бұрын
Tozzy mungu akupiganie ushinde
@SamirBSam
@SamirBSam Жыл бұрын
dogo anitafute anajua saaaaana hii ngoma ni hit song tayari.
@dadychaps7527
@dadychaps7527 Жыл бұрын
TGun mwotoooo 🔥🔥🔥, unaandika kijana📖✍️💪🙏🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Respect 🙏
@aboudjuma523
@aboudjuma523 Жыл бұрын
Hii ngoma usipocheza we mchawi.. Umekua kaka
@melaniajoel684
@melaniajoel684 Жыл бұрын
Ni noma sana nimesikiliza mala kumi
@theoneartist6327
@theoneartist6327 Жыл бұрын
Namkubali mwamba huyuuu😂😂😂
@maheshboy9764
@maheshboy9764 Жыл бұрын
Tgun weee mkalii love tokea kenya
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Жыл бұрын
Ngoma Kali Sana hongera Sana nimerudia zaidi na zaidi
@rufusnjuguna7101
@rufusnjuguna7101 Жыл бұрын
Ndoto yangu mshindi ni Tgun tozzy
@rajabhamis3494
@rajabhamis3494 Жыл бұрын
Vipaji ndio hivi sasa hongera sana
@edenalwora823
@edenalwora823 Жыл бұрын
Huyu ndiye msanii namba moja tz big up
@felixwambua8589
@felixwambua8589 Жыл бұрын
From Kenya 🇰🇪 fire 🔥 hit song
@weezydar2701
@weezydar2701 Жыл бұрын
Hii Ingeenda Kwa touch ngoma ingekuwa kali zaidi
@husseinkadukadu919
@husseinkadukadu919 Жыл бұрын
Wallah 💯
@ibrahimnjohole1684
@ibrahimnjohole1684 Жыл бұрын
Ahahaha....jamaa sijawahigi kumuelewaga ila hii bonge la pumbu.Bonge la hit mamae.Ufike mbali zaidi mwanetu.
@claudeamisilemieux6087
@claudeamisilemieux6087 Жыл бұрын
TGUN wewe ni mkali kuliko, niko tayari shabiki wako kutokeya DRC🇨🇩
@cosein
@cosein Жыл бұрын
Duh hii mara ya Saba naangalia wimbo huu
@ilakozeathuman1598
@ilakozeathuman1598 Жыл бұрын
Get your respect 💪👊💪 bro 👊💯
@zackpeter713
@zackpeter713 Жыл бұрын
Chalii anaweza sana
@abdallakhatib3898
@abdallakhatib3898 Жыл бұрын
Asiposhinda itakua kaibiwa Tgan salut kwako
@straightkonect1613
@straightkonect1613 Жыл бұрын
Mi Kama Judge TGUN wewe ndio unabeba BSS kwa sasa big up bro u a de best
@pascaldjuma7698
@pascaldjuma7698 Жыл бұрын
Congratulations 🎊 my brother
@cellestinelucas165
@cellestinelucas165 Жыл бұрын
we mbona unajicheleweshea maisha afu unajua muziki towa ngoma wewe
@sauboy4705
@sauboy4705 Жыл бұрын
Huyu dogo n nomaa
@aminaballong231
@aminaballong231 Жыл бұрын
Dah ngoma tamu mpaka inakera walah♥️
@magesamagusu4386
@magesamagusu4386 Жыл бұрын
Cjawai kucoment ila kwa uyu jamaa khaaaaa ana kipaji kinoma
@isihaqkerdehaqker1403
@isihaqkerdehaqker1403 Жыл бұрын
Jamaa kawanyanyua wote basi huyu ndy mshindi natabiri hili jaman mtarudi kuangalia hii comment km ushahid
@issahblack
@issahblack Жыл бұрын
Nikiwa mkubwa nataka mwanamke ambaye atanitazama kama huyo mwanamke mwenye gauni jekundu anavyomtazama mwamba.😊😊Anyways ngoma ni tamu naipenda ❤❤❤
@samwelipaul1462
@samwelipaul1462 Жыл бұрын
Jamaa mkali Sana
@elizabethjustine9915
@elizabethjustine9915 Жыл бұрын
We jmaa htr dadeq mwamba kutokea maandishii matatu cjawah kukupnga.
@itsyourboydsciple
@itsyourboydsciple Жыл бұрын
Kwenye ndoto nyimbo hii nineandika Mimi🔥🔥
@deusyebayeba6430
@deusyebayeba6430 Жыл бұрын
Kenya ndoto
@Conshamusic
@Conshamusic Жыл бұрын
Bonge Moja la Goma
@ajizakdeclassic2826
@ajizakdeclassic2826 Жыл бұрын
tgunTozzy mwambaaa unabalaah
@antonymligo4623
@antonymligo4623 Жыл бұрын
Bonge moja la ngoma
@stephanokipara346
@stephanokipara346 Жыл бұрын
Umetishaaaaaaa mwambaaa ni heat ni fire 🔥 boom
@albertmichael4014
@albertmichael4014 Жыл бұрын
I like creativity
@mohammedmamo6177
@mohammedmamo6177 Жыл бұрын
Eiish creativity kwa hii ngoma , kali sana….
@abbaskishangu1876
@abbaskishangu1876 Жыл бұрын
Unajua homie since day one
@abubakarishakabahati4287
@abubakarishakabahati4287 Жыл бұрын
Bonge la ht song 🎵 ♥ 👌
@deecraig
@deecraig Жыл бұрын
Dude u kill it 🔥🔥
@kamigwasfamily1178
@kamigwasfamily1178 Жыл бұрын
Unatishaa sanaa tgun tozzy
@sneiperstz4800
@sneiperstz4800 Жыл бұрын
Mr lg katishaaa kinoum
@janethtimba8420
@janethtimba8420 Жыл бұрын
Uyu ni bonge la star
@mtotoaudax
@mtotoaudax Жыл бұрын
Kwenye ndoto nimekutana na madam litta😀😀😀😀 kwenye dotto nimekuwa mshindi wa BBS 2023
@kristophermichael8494
@kristophermichael8494 Жыл бұрын
Anajua sana ajengewe Sanam posta
@kawanga0073
@kawanga0073 Жыл бұрын
Wee jamaa Acha tu aisee unajua mpk unakera aisee upo serious ile kinomaaa Tgun 💫💫💫, top 3 ww upo na wengine wajitahid kuchukua hizo zingine Bro , keep it up na husije lewa sifa ata sku moja na Hongera kwa TID na majaji wenzie kuibua hiki kipaji aisee 👏👏👏🙌🙌🙌
@bettymalisa7919
@bettymalisa7919 Жыл бұрын
A winner 🏆
@VBD20
@VBD20 Жыл бұрын
Nimrudia Mara nyingi zaidi kazi iliyobobea love from Kenya 🇰🇪huyu dogo anayo kipaji
@erickmbilinyi2056
@erickmbilinyi2056 Жыл бұрын
💥💥💥🪃🪃🪃 nilishaijua kuwa ni HIT Song toka ile studio session
@rachaeltz.music.health
@rachaeltz.music.health Жыл бұрын
Yaniii Huu wimbo nakufananishaaaa na akina joh makiniiii yaniiiii hakuna idea kubwa Kama hiiii nimewahiiii Ona this is the hit song tunangoja video
@wilfredshoghosho0017
@wilfredshoghosho0017 Жыл бұрын
You kill it bro🔥🔥
@erickmbilinyi2056
@erickmbilinyi2056 Жыл бұрын
Already hit
@realmanmanb2380
@realmanmanb2380 Жыл бұрын
Kauwai bana from USA Minnesota nkubali
@jamaljeff5643
@jamaljeff5643 Жыл бұрын
Kama tungekua na golden buzzer amini tgun angeipata @tguntozzy
@kedricktcharles8741
@kedricktcharles8741 Жыл бұрын
What a song daaa kwenye ndoto alisahau kumuota X wake 😂😂
@kamigwasfamily1178
@kamigwasfamily1178 Жыл бұрын
Oyaaaa naombeni likes zenu tgun sijamchokaa bado tangu janaaaaa
TGUN TOZZY NDOTONI JUKWAANI
5:06
BongoStarSearch
Рет қаралды 233 М.
LEONARD SUNDAY EASY
6:29
BongoStarSearch
Рет қаралды 89 М.
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 6 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 4,8 МЛН
UNAYAJUA MAHABAT WEWE! ONA HAPA SASA.
10:00
Hello Mr Right Tanzania
Рет қаралды 420 М.
Dakika 10 Za Maangamizi  -  T-Gun Tozzy
14:01
EastAfricaRadio
Рет қаралды 117 М.
INTERVIEW SHOW  BABA LEVO  at COCONUT fm ..ZMOTION
7:05
Zanzibar lifestyle
Рет қаралды 86 М.
UNITALENTSHOW|PERFOMANCE|SEASON 02|TGUN TOZZY-MAPENZI
7:04
UnitalentShow
Рет қаралды 215 М.
PETRO JAILOSS AWAFIKIA SINGLE MOTHERS
6:49
BongoStarSearch
Рет қаралды 55 М.
BONGO STAR SEARCH SEASON 11 EP 1 Part 2 | ARUSHA AUDITIONS
17:25
BongoStarSearch
Рет қаралды 904 М.
TGUN TOZZY NA ASAGWILE WAANGUSHA DUET YA KIBABE
5:16
BongoStarSearch
Рет қаралды 273 М.
DIAMOND ALIVYOM SUPRISE CHID BENZ NGOMA YAO / ATAKA KUMWAGA MACHOZI
6:02
MADAM ATAKA KUVUA NGUO KISA SURPRISE BAND
5:12
BongoStarSearch
Рет қаралды 314 М.