TGUN TOZZY - KWENYE NDOTO LISTERNING PART NDANI YA BSS (BONGO STARSEARCH ALL STARS)

  Рет қаралды 482,161

TGUN TOZZY

TGUN TOZZY

Күн бұрын

Пікірлер: 653
@graciouskazuri2327
@graciouskazuri2327 2 жыл бұрын
Ni wangapi wamerudilia hii nyimbo mara 100 tukutane kwa likes...song 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯💯💯🔥
@aboudjuma523
@aboudjuma523 2 жыл бұрын
Mie nadhan mpaka Sasa ni more than 100😁
@sadikiibrahim3517
@sadikiibrahim3517 Жыл бұрын
Mm mara yote lakini kwenye ndoto😂,likes muhim Cana🔥
@stellajoseph9334
@stellajoseph9334 Жыл бұрын
Mie mmoja wapo
@hamisaadam7358
@hamisaadam7358 Жыл бұрын
Uongoooo ni uongoooo
@fatmajuma2400
@fatmajuma2400 Жыл бұрын
Yaan me nmeirudia ad basi, anajua Kwa kweli
@adrophinaansila2804
@adrophinaansila2804 Жыл бұрын
Naona raha tuu mfipa mwezako nipo hapa nakusaport
@rachaeltz.music.health
@rachaeltz.music.health 2 жыл бұрын
Bongo stasachiiiiii huyuuuu mshindiiiiii wetuuuuuuuuuu uwiiiiiiiiiiiii Kama unasema huyu Ndo mshindi gonga like hapa
@djkiin2544
@djkiin2544 2 жыл бұрын
Nomaaaaa saaaana,,,,,,, nimekubali huyu mwana,,,,, achia like kama umependa
@zilfazizou6107
@zilfazizou6107 Жыл бұрын
Namfagilia kbs mciz wangu ngoma kal sana
@Aleckieofficial254
@Aleckieofficial254 Жыл бұрын
Kaka ona sana huyo mrembo umevaa dress nyekundu ashakudata sana kaka🤗
@mahuvesebastian1916
@mahuvesebastian1916 2 жыл бұрын
Nimesikiliza zaidi ya mara 3 nice song.....kwenye ndoto hiyo song nimekuandikia mimi
@ibrahimwaswa3995
@ibrahimwaswa3995 2 жыл бұрын
Nimerudia mara elfu Moja na bado sitosheki kusikia hii wimbo,,,,TGUN nakukubali sana.. watch you from Kenya
@directorwizard7310
@directorwizard7310 2 жыл бұрын
Nina zawadi yako ukija home Swax nafurahi sana kuona Swax tumepata mwakilishi ambae ana represent vyema Swax God Bless you brother
@TGUNTOZZY
@TGUNTOZZY Жыл бұрын
Seen brother😂😁
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 Жыл бұрын
Pumzi nimeitoa na kurudisha🎉🎉🎉🎉 unajuwa kweli hii inatoka moyoni mwangu🎉🎉🎉🎉🎉
@masterbosco8781
@masterbosco8781 2 жыл бұрын
Mdogo wangu TGun umeua sana mwamba sema kiukweli wewe ndio Icon ya sumbawanga.
@robertndumis2278
@robertndumis2278 Жыл бұрын
More love from 🇰🇪 Mwana FA uko wapi ndo huyu dogo hapa amekuwakilisha
@seangraceswt8037
@seangraceswt8037 Жыл бұрын
Nakubali sana
@ibrahimabdullah9904
@ibrahimabdullah9904 Жыл бұрын
Ujawah niangusha Tgun tozzy Hakuna pingamiz ww ndo mshind wa bss
@Iam_amrani
@Iam_amrani 2 жыл бұрын
Since day one nakusikiliza kwenye UNI TOUR kipindi unawakilisha chama letu maandishi matatu NIT nlijua we ni fundi🔥🔥 naamin katika kipaji chako Big up tozzy
@Jilanilucas
@Jilanilucas Жыл бұрын
Kwenye ndoto huu wimbo nimeuandika mm...hii ngoma ni Kali Tgun big up saana broo💯💯💥💥
@hadijashafii9716
@hadijashafii9716 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@jasminejamali7858
@jasminejamali7858 Жыл бұрын
Wow
@EmmyKilleo-ri1pu
@EmmyKilleo-ri1pu Жыл бұрын
Wachawi mshaanza kuja hamkawiii why usingeimba😂😂😂wewe
@ibrahimdaniel3953
@ibrahimdaniel3953 Жыл бұрын
Aloooo 4 really this song my friend ume uwaaa tena sio kwa bahati mbaya ume uwa kikatili sanaaaa
@valeriamgani4524
@valeriamgani4524 Жыл бұрын
Umeimba viźur umechangamka sana usikate tamaa endelea mazao utayakuta mbele
@stellabianca3328
@stellabianca3328 Жыл бұрын
Nomaa sana🔥🔥🔥 umesema kwenye ndoto we ndo sponser nakubali tka 🇰🇪🇰🇪
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 Жыл бұрын
Sio sili anaimba nimeludia mala kaza daah mwaaaaaaaaaa❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@josephmyak4557
@josephmyak4557 Жыл бұрын
Wangapi tumekuja hapa from tiktok😜😜💥💥💥💥
@claraedwardmalingumu3565
@claraedwardmalingumu3565 3 ай бұрын
Mfipa wangu oyoooooooo mmwenyezi mungu amekujalia azidi kukuinua ktk kipaji chako❤
@njeringugi7939
@njeringugi7939 2 жыл бұрын
Kwenye gari Ngoma inapiga kinoma Buda 🔥🔥🔥🔥🥰3hrs nasikiza hii nyimbo @Tgun tozzy 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥
@TGUNTOZZY
@TGUNTOZZY Жыл бұрын
Ayeee
@صفوابنتسعيدباوافد
@صفوابنتسعيدباوافد Ай бұрын
Amejitahidi kwenda na bit🎉🎉🎉🎉big up
@ayrunyjtayruny279
@ayrunyjtayruny279 2 жыл бұрын
Nimesubiria sana hii Ngoma irekodiwe since unitalent🇲🇿
@eliudelison6303
@eliudelison6303 2 жыл бұрын
You killed it Beother, one love Tgun tozzy
@zemootv01
@zemootv01 2 жыл бұрын
Umeua brother nouma sanaaaaaaa💪👌
@dishonmwaighonda3427
@dishonmwaighonda3427 Жыл бұрын
Kali baba .... Tengeza korasi mdosi weka suprano ,, nakubali mstari t gun papapaaa
@maombijustin5169
@maombijustin5169 Жыл бұрын
Dogo umechana bonge la wimbo mzuri pia bss utachukuwa ushindi kbs
@dommykatey3037
@dommykatey3037 Жыл бұрын
From 254 kijana ametisha kila siku na watch hii rap countlessly since last week
@cliffordbaraka1917
@cliffordbaraka1917 Жыл бұрын
duuùuuh we mwamba mkali syo kdg aisee biguuuuup brooo
@HappyNkya-n8j
@HappyNkya-n8j 4 күн бұрын
Huyu jamaa noma sana atafika mbal
@mussaally7057
@mussaally7057 Жыл бұрын
Mwamba hatariiii sana ila daahhh tatizo ❤❤❤❤❤
@samwelipaul1462
@samwelipaul1462 2 жыл бұрын
Jamaa namkubali Sana 🔥🔥🔥🔥
@JacklinMakanta
@JacklinMakanta Жыл бұрын
Jamani jamani congratulations 👏👏💐 nimeipenda Kaka angu umeimba vizuri sana Yani hii nyimbo nimeiskia Leo lakin nikama naijua mungu akuongoze kwenye mafanikio yako🙏
@lenakay9724
@lenakay9724 2 жыл бұрын
This guy deserves to be the winner 💪 this season,,,big up bro💥💥 Have watched it countless times
@swedymohamedy5937
@swedymohamedy5937 2 жыл бұрын
Umeua 💯💯💯
@kredihamisi6316
@kredihamisi6316 Жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@alfredmnema7466
@alfredmnema7466 Жыл бұрын
Jamaaunaweza😇
@fredyjohn7499
@fredyjohn7499 Жыл бұрын
Huyu jamaa mkali sanaaaaa sema bongo hongo na uchawi mpaka dhabahu zinageuka masizi
@rahmambugi1950
@rahmambugi1950 Жыл бұрын
Unaimba kama mwana FA hongera sana unajiamini kichiz, ni zaid ya msanii
@WinnerclassicSasha
@WinnerclassicSasha Жыл бұрын
Nakubali san. Mtu wangu goma Kali sana mpaka nimeludi kusikiliza Tena. You am good
@isaacmwangi1537
@isaacmwangi1537 Жыл бұрын
Kali bro unaenda far nairudia kila time
@niyonzimaalexia340
@niyonzimaalexia340 Жыл бұрын
T gun talent kutoka TZ mwaka huyu Big up sana BSS
@athanasndomba4546
@athanasndomba4546 2 жыл бұрын
Bonge la kitu.. Likes kwa walioikubal hii ngoma🔥
@malonyrashidi1915
@malonyrashidi1915 Жыл бұрын
Mwamba umetisha nakukubali ili goma nakusupport toka 🇶🇦all the way from 254🇰🇪
@christopheronjiri781
@christopheronjiri781 2 жыл бұрын
Much love from kenya tgun,, ur a star bro
@Thiago-h9r1p
@Thiago-h9r1p Жыл бұрын
Vizur sana, sijawah kukometi hata siku moja ila hapa very very muc
@kingsheky2344
@kingsheky2344 Жыл бұрын
T gun we mwambaa ata usposhinda we mkalii nakuona mbalii sanaa
@mashauridavid
@mashauridavid Жыл бұрын
Mungu akufungulie njia mwamba unajua bana
@josephmmasi9573
@josephmmasi9573 Жыл бұрын
💯💯💯💯💯💯💯💯❤️🤜 tguuun mwambaaaa ajaeeeee
@WemaElisabeth
@WemaElisabeth Жыл бұрын
Da!!anaimba vizuri sana n'a anakipaji
@sharomapesataiga246
@sharomapesataiga246 Жыл бұрын
Hahahaha hahahaha mwamba unaweza kwenye ndoto uko powa sana sana sana sana sana sana duwa njema sauti ya Sharo mapesa comedy mwamba
@billionairemedia5379
@billionairemedia5379 Жыл бұрын
Oyaaaah daah nimekukubali ww ni bonge la star unaweza
@JenniferMisango
@JenniferMisango Жыл бұрын
Waooo waooo yuko vzur san
@vivianokalinda8697
@vivianokalinda8697 Жыл бұрын
Awe ukuomba ningosile, tuwakilishange kuko
@stellalupondo8472
@stellalupondo8472 Жыл бұрын
Mungu pamojaaa na wew kakahata nakuombeaaaa ufikeee malengo yako na ufikeeee mbali zaidi ya zaidi juuu sanaa aminaaaa
@ummuswabra9535
@ummuswabra9535 Жыл бұрын
Mm naipenda sana nyimbo ya tgun hana mulipomtoa kwenye top 4 nilisikitika kabisa huyo ndio likua afaa awe mshindi this year ya oll star
@wegesachacha6052
@wegesachacha6052 2 жыл бұрын
Mwamba huyu apa buana unajua had unajua tena 😘
@emmakangalawe1946
@emmakangalawe1946 Жыл бұрын
huyu jamaa anaweza nimesikiliza mara nyingi
@isaacuguzi7762
@isaacuguzi7762 Жыл бұрын
😂😂😂😂Daaa!! Huyu mwamba ni hatare sana
@Fenebare
@Fenebare Ай бұрын
Noma boy ndoto naitaka iyo fanya kuniconect
@shabanjabiri2087
@shabanjabiri2087 Жыл бұрын
Dah uyu jamaa ni noma sana umetisha mzeeeeya💥💥💥
@Christiannyangi-u8v
@Christiannyangi-u8v Ай бұрын
Kaka noma Sana 🔥🔥 ipo siku yake mwenyz mungu mfungulie njia baba🙏
@lamecksmernest9651
@lamecksmernest9651 Жыл бұрын
Daaaah hyuuuu mwamba ni hataree
@EmmyKilleo-ri1pu
@EmmyKilleo-ri1pu Жыл бұрын
Dogo balaaa sumbawanga kaaga mamaeee wallah nalirudia goma mpk sasa bado tuuu ❤❤❤😊😊😊unajua nini kuna wasanii na msanii tozzy dogo big up my brooo🎉❤🎉keep it up baba nenga atakuja kuwa mshenga one day trust me🥰🥰🥰🥰
@ZiadaKilave
@ZiadaKilave Жыл бұрын
Hongera sana kaka umetisha
@vdhhhgduue3577
@vdhhhgduue3577 Жыл бұрын
Yani naupenda huu wimbo mashaallah mzur
@goldenb--tz
@goldenb--tz 2 жыл бұрын
Sumbawangaaaaaa🙏✈️✈️✈️✈️✈️to the trending uyu ndo mwambaaaaaa🔥🔥🔥🔥
@ceciliabahati3078
@ceciliabahati3078 Жыл бұрын
Nakupenda bureee Sumbawanga hoyeeee
@idareyoutodream6030
@idareyoutodream6030 2 жыл бұрын
This guy is super creative Am sure this year his a game changer
@shawal5360
@shawal5360 Жыл бұрын
Uyu jamaa respect huyu ndo mshindi wetu mwaka huu kwenye ndo madam Rita alinitaka miiii
@bupemwaisumo5168
@bupemwaisumo5168 Жыл бұрын
Huyu jamaaa anaweza Sana sijaona Yani kabisa
@kay170
@kay170 Жыл бұрын
Daàh,huyu jamaa hatari🔥🔥🔥
@weveeernest9911
@weveeernest9911 Жыл бұрын
Aisse hii ndo naiona leo kali kinoma
@bboymelvo5494
@bboymelvo5494 2 жыл бұрын
TGun wewe ndio utakua mshindi Bss mwaka huu kakangu n bboy Melvo hapa kutoka kenya 🇰🇪 kama yusufu wewe kabisa
@marysaituni4584
@marysaituni4584 Жыл бұрын
One love from Mombasa Kenya 🇰🇪🇰🇪❤️
@marthalangia
@marthalangia Жыл бұрын
Hii sio nyimbo ni bonge la Jimbo yaan huwa narudia rudia tuuuu kupata utamu dogo ulitisha sana
@sheysarahnjeno5207
@sheysarahnjeno5207 Жыл бұрын
Nyimbooooooo kaliiiiii. Umetshaaaaaaaa.Nimeilidiaaaa zaidi ya mla moja
@abdoulshakurbinmakka4610
@abdoulshakurbinmakka4610 Жыл бұрын
Daaah ! dogo ni mkali sanaaaaa bila ubishi,siyo tena kweny ndoto TGUN🌋
@theodoramertus4700
@theodoramertus4700 Жыл бұрын
Umetishaaa my dear
@lightnessgirangai8007
@lightnessgirangai8007 Жыл бұрын
We ndy mshindi wa bss walikufanyia fitna tu
@HamisiKisime-or9jz
@HamisiKisime-or9jz Жыл бұрын
Dah, e bwana eeeeh!
@verobecamfipa8655
@verobecamfipa8655 Жыл бұрын
Ohooooooo congratulations my brother kwetu pamoja sumbawanga napenda job zako xana
@zayanmenard-rb4iv
@zayanmenard-rb4iv Жыл бұрын
Daaaah bro anajua mpaka anajua tena.....much love ♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@sophiarajab6467
@sophiarajab6467 Жыл бұрын
Bonge la nyimbo Hilo bro, I'm your number 1 fan, congrats from kenya 🇰🇪
@eliudnandi4133
@eliudnandi4133 2 жыл бұрын
Daaaaaaaa homeboy umetisha saaaana mwamba
@lucymalema6008
@lucymalema6008 Жыл бұрын
Hongera sana home boy hmm majaji hii niwazi kuwa huyu ndio mshindi anaweza
@bahatiunami3526
@bahatiunami3526 Жыл бұрын
Jamaa anajua jamani
@mwanaidian2994
@mwanaidian2994 2 жыл бұрын
Mpeni tu ubingwa jaman hana mpinzani mpaka sasa
@christianngao5608
@christianngao5608 Жыл бұрын
Tisha sana dogo namkubali huyuuu
@husseinsony9964
@husseinsony9964 2 жыл бұрын
Naagalia hii hki kipindi Kwa ajiliyako dongo nkukubali San from Kenya 254
@aziziyussuf6828
@aziziyussuf6828 Жыл бұрын
Wewe moto brooo....Simba hakuingiii
@labanirungu
@labanirungu 2 жыл бұрын
Uyu chalii n kwere.anaua mbaya
@directorwizard7310
@directorwizard7310 2 жыл бұрын
Good brother for this you killed it 💯% i give you
@HemedAthumanmgongo
@HemedAthumanmgongo Ай бұрын
Jamaa yako vizuli sana ana tisha
@marcelobony9925
@marcelobony9925 Жыл бұрын
Gun kwa kweli...bunduki
@kassuqutbi2199
@kassuqutbi2199 Жыл бұрын
Ngoma haijawahi kutokea… unyamaaaaa mwingi sanaaaaaa tgun simbawanga top 1
@REGINAMANGI-i5t
@REGINAMANGI-i5t Ай бұрын
uhakika kauw San boy thenk you God bless tozzy
@godrinshine3604
@godrinshine3604 Жыл бұрын
Mwamba hili dude kali kinoma mpk linaunguza big Up san bro kaz nzur nmeickiliza hii ngoma mar kibao mpk nadata
@veronicanywage8717
@veronicanywage8717 Жыл бұрын
Ur so smart wish u more prosperity
@eunicesemanuel7895
@eunicesemanuel7895 Жыл бұрын
Kaza mwanangu umeshatoboa teali
@paje5851
@paje5851 Жыл бұрын
Kwenye ndoto wote mmekuja zenji
@Rymaas1TV
@Rymaas1TV 2 жыл бұрын
From Egypt nakupali San iyi song, Yani wewe ni wakwanza kwenye Bss
TGUN TOZZY NA ASAGWILE WAANGUSHA DUET YA KIBABE
5:16
BongoStarSearch
Рет қаралды 318 М.
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН
KIMEWAKA NDANI YA VINA MEZANI NI MICHANO JUU YA BEAT
25:38
Crown Media
Рет қаралды 149 М.
MAJAJI WAPAGAWA NA SAUTI YAKE || APITA BILA PINGAMIZA
2:38
MBAGALA online TV
Рет қаралды 156 М.
Tgun Tozzy - Kwenye Ndoto (Official Music video )
2:45
TGUN TOZZY
Рет қаралды 72 М.
MADAM ATAKA KUVUA NGUO KISA SURPRISE BAND
5:12
BongoStarSearch
Рет қаралды 469 М.
TGUN TOZZY NDOTONI JUKWAANI
5:06
BongoStarSearch
Рет қаралды 268 М.
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН