THE CLASSIC MASTER J: UGOMVI NA BABA/NLIMTIMUA MIKE T /SUGU ALIZINGUA/MAPRODUCER SASA NI MACHAWA

  Рет қаралды 13,607

KuviFacts

8 ай бұрын

Hii ni sehemu ya kwanza ya The classic na Master J ,kwa hakika yeye ni moja ya mababa wa Bongofleva,kutoka maktaba intverview hii
Ilifanyika mwaka 2021 ,nimekuwekee sehemu hii ndogo,Enjoy

Пікірлер: 18
@BrokiMaform
@BrokiMaform 5 ай бұрын
Master J is a whole vibe maahn 👊🏾💥
@azizijuma3151
@azizijuma3151 7 ай бұрын
Big unazingua sana interview itume kwa ukubwa wake
@donboscolunguya2936
@donboscolunguya2936 7 ай бұрын
Kumbe sugu ni balaa sana big up SUGU
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 7 ай бұрын
😂😂😂master j noma saana
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 7 ай бұрын
That's true hip-hop inachukiwa na mifumo ya duniani kote
@ramadhanyusuph4426
@ramadhanyusuph4426 7 ай бұрын
@JacklineNasiali
@JacklineNasiali 8 ай бұрын
Cku iz mnaboesha na time ndogo bwana ama tuachane nazo tu
@simas.a1003
@simas.a1003 7 ай бұрын
Aisee mbona hivitena kulikoni. Au wanaharaka maana tunataman kusikia mengi. Time time time😭😭😭
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 7 ай бұрын
👊✌️👍.
@tonygee5680
@tonygee5680 7 ай бұрын
Ulikuwa hujui Kiswahili kivp etii na umezaliwa bongo kwa sababu umetoka ulaya
@ntopangonyani6964
@ntopangonyani6964 7 ай бұрын
Kasoma Zimbabwe elimu ya awali na msingi kisha Ulaya.
@azizijuma3151
@azizijuma3151 7 ай бұрын
Ukizingatia huyu ni mtu mkubwa sana kwenye game mpe heshima yake
@stevewanga957
@stevewanga957 8 ай бұрын
Mbona hizi interview nzury mnaweka time ndogo
@nasrikileo7291
@nasrikileo7291 7 ай бұрын
Ipo full icheki kwenye page utaiona
@castormahava1732
@castormahava1732 7 ай бұрын
Sugu
@eagleculturetv4692
@eagleculturetv4692 7 ай бұрын
Ivi master jay na salama ni ndugu au?
@JacklineNasiali
@JacklineNasiali 7 ай бұрын
Ama hampigi hela uku Sisi wa Kenya tunapenda izo story Sanaa maana hatuwajui kiundan na walianzaje sasa ww kuvi na kipara mumeanza uzembe uku KZbin
@nasrikileo7291
@nasrikileo7291 7 ай бұрын
Full interview ipo kwenye page