Nikwel uyu jomba n mkali lkan i wish angetoka weus coz uko afany pw.
@worldhappiness1181Күн бұрын
Hakuna kama Mfalme Afande Sele, no way he is the living legend, atakufa na taji lake la Mfalme wa Rhymes. And he deserved
@warakawayohana289622 сағат бұрын
Lord Eyes hapo kwenye piano sikubaliani naye huo muziki umeletwa kuvunja joint ya African music hizo sound zimeletwa kwa makusudi kuharibu tamaduni zetu Africa isiwe na vibe moja. We ujiulizi muziki unachezwa kama mazombi?
@godsson5954Күн бұрын
When talent(g nako)meet genius(Nikki wa pili)meet joh makini(good business)meet the street credibility (lord eyes)= Hip Hop success
@frankkajoba8372Күн бұрын
lord eyez anaharibiwa na hao wapuuzi uliowataja.
@LolandmwantonaКүн бұрын
Amjamuliza swali Moja , je wanachukuliaje swala la Fido vato kumchalazia joh makin!?
@frankkajoba8372Күн бұрын
Lord Eyez ni msanii mzuri wa hip hop lakini kina Gnako na Joe Makini wamemharibu sana anaimba ujinga sana siku hizi.😢
@khalidiberoКүн бұрын
Kuna elimu inahitajika kujua tofauti ya Hip Hop na Rap.
@BabuuWakitaa-pb6grКүн бұрын
Briefly....HIP HOP ni vile unavyoishi na RAP ni kile unachofanya
@manenolugome934Күн бұрын
Mnafanya ndio catalogue wakati biff hazijengi😂😂😂 kingmsindi akili nyingi mno endeleeni na bifu zenu tu.
@LutenganoCharles-d7t2 күн бұрын
Afande alishawai kusema hawafanyi hiphop mzk wao hauelewi ndio maana huyo kamtoa afande sele.
@kassimmtepele598614 сағат бұрын
G-Nako, one of the overrated artists ndani ya Tanzania