THE MAFIK COVER3 I wamepiga LIVE Ngoma3 kwenye The Playlist, ni nomaaa

  Рет қаралды 98,617

LilOmmyTV

LilOmmyTV

Күн бұрын

Пікірлер: 127
@cynthiandayishimiye8282
@cynthiandayishimiye8282 5 жыл бұрын
Nitapiga magoti kumuomba Mungu mwenye huluma ubaumbiwe wale wote Walotenda unyama na kukatisha ndoto za huu kijana naamini Mungu wangu alie tuliza VITA ya Burundi kwetu atatenda yaho Emwenyezi Mungu nisaidie
@avithavith4606
@avithavith4606 4 жыл бұрын
Dakikazamaagamiz
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 5 жыл бұрын
Daaahhhh! Bonge la loss. Poleni Mafik. Mbalamwezi will be forever missed. I love the 'Passenger' song.
@lizymollel9320
@lizymollel9320 5 жыл бұрын
Dah vijana wanandoto zao hawa jmn..shetan. Alokatisha ndoto ya mbalamwez mungu amnyime aman milel
@joshuakimbe1251
@joshuakimbe1251 7 жыл бұрын
nakukubari sana brother omary tambwe kiukweli wewe ni kati ya mapresenter bora kwngu kila lakheri na mafanikio mema katika kazi yakoo asanteh!!!
@Jonathan_Leodgards
@Jonathan_Leodgards 5 жыл бұрын
Poleni Sana Mafik Kama Kundi, Urithi wenu pekee Ni Upendo
@mwanamkedera7944
@mwanamkedera7944 5 жыл бұрын
Why mmekatisha ndoto za mtu huy duuuh. Inaumaaaa jaman kijan alikua na ndoto duuh mungu ailaze roho yake mahara pema amiiin
@adelinadeogratias1841
@adelinadeogratias1841 5 жыл бұрын
Dah!yan mtu unakuwa kama vile upo ndoton ila kumbe kwel jamaa hatupo nae tena,Mwenyezi Mungu ampuzishe kwa amani pia damu yake iwe juu ya wale walomsababishia mauti.
@theresiabenedictor7258
@theresiabenedictor7258 5 жыл бұрын
Mungu akupe kauli thabit akupunguzie na adhabu za kabuli ndugu yetu mm inaniuma sana mpk Leo Kwann walifanya haya mpk now kmy kwann awajachukua hatua yoyote
@HeriMagwaza-cd4wg
@HeriMagwaza-cd4wg Жыл бұрын
Pumzika Kwa Amani mbalamwezi kaka mwee nilikuwa nakukubari sana
@ashulamusin9811
@ashulamusin9811 5 жыл бұрын
Poleni sn najua mnamaumiv makali sn mlikua mnaendana mungu amsamehe makosa yk mbalamwez
@salmangereza5587
@salmangereza5587 5 жыл бұрын
Mbalamwezi punzika salama na baba huko uliko😭😭😭
@shadiluck9015
@shadiluck9015 6 жыл бұрын
yaaan hawa ndo sauti sol Wa bongo ,,,,hatr sana
@charlesmalecela6825
@charlesmalecela6825 6 жыл бұрын
Mi nawakubali sana ninyi watu yani mnanikosha balaa kwasababu mziki mnaweza kutembea na melody na mnaweza kuteka hisia
@ibraheemmasasi9753
@ibraheemmasasi9753 7 жыл бұрын
the mafik much loveeee
@hajiharuna786
@hajiharuna786 5 жыл бұрын
Daaah jamaa uyu marehem ndo mkali lazma waumie cjui km hawajamuua maskini
@mwisegemwandemele8552
@mwisegemwandemele8552 5 жыл бұрын
Kabisa yaan ht sauti yake inamaanisha! Rip
@khadijaelvin8025
@khadijaelvin8025 5 жыл бұрын
R.l.p. alikuwa vzr huyu kaka jamani mweeeee wamekatisha ndoto za mwenzao alikuwa anaimba vzr sana
@patrickKitambo
@patrickKitambo 5 жыл бұрын
its amazing always to do something you're passionate about
@yamungufoster5818
@yamungufoster5818 5 жыл бұрын
Nilitamani kuwaona mkija kigoma mmekamilika ila mipango ya mungu haina makosa
@atikombogolo2356
@atikombogolo2356 6 жыл бұрын
Hilo ngoma la David Craign wameua aisee🔥🔥🔥
@safiamani7005
@safiamani7005 5 жыл бұрын
Tangu nisikie miziki yaki Tanzania sijawahi sikia sauti kama hizi. For the first time I've seen people who can arrange their songs.
@babylaty3
@babylaty3 6 жыл бұрын
wako vizuri mungu awajalie wafike wanapohitaji
@dianastanley8673
@dianastanley8673 6 жыл бұрын
Mwenye red upo vizuri
@zebakimuzic
@zebakimuzic 2 жыл бұрын
Balaa sana Hawa jamaa
@tanzaniangirl1980
@tanzaniangirl1980 5 жыл бұрын
siamin kama kweli yani jaman naangalia kila mda naona kama yupo
@sadasaid4408
@sadasaid4408 5 жыл бұрын
Kweli kama yupo maskini Allah amrehemu
@yusufally6853
@yusufally6853 5 жыл бұрын
More than talents mashallah
@tobbeydegreat5039
@tobbeydegreat5039 5 жыл бұрын
Rext in heaven mbalamwezi
@annabellahakizimana2985
@annabellahakizimana2985 6 жыл бұрын
Nic kbsa sautii bitam sana sana
@saadakiyungi6437
@saadakiyungi6437 5 жыл бұрын
omary unajua kuokoa muda love presenter
@daudsimon5417
@daudsimon5417 4 жыл бұрын
Mbalamwez mungu ukuweke panapo style
@naomidaniel3161
@naomidaniel3161 5 жыл бұрын
😪😪😭😭yan pumzika kwa Aman na mungu akupunguzie azabu ya kaburi
@mammydmammyd6861
@mammydmammyd6861 5 жыл бұрын
Tears just freely fall down my chicks aki so hrtful
@jaykaris
@jaykaris 6 жыл бұрын
The mafiki big up nawakibali mia kwa mia outer 254
@winheleni9263
@winheleni9263 5 жыл бұрын
Jamani bac it more than pain
@johnsaid9143
@johnsaid9143 5 жыл бұрын
Daaaah Mbalamwezi 😭😭😭😭😭
@mudynationtz3412
@mudynationtz3412 6 жыл бұрын
the mafik nakubar xnaa kaz zenu wanng mwawez mpak BA's!!!
@petermwantole616
@petermwantole616 6 жыл бұрын
hawa jamaa noma , wakitulia watatoboa soon tu,
@christinapade3065
@christinapade3065 5 жыл бұрын
an camini HD leo Ka huyu jamaa kafarikii et😢😢😢😢
@OmanOman-hr6cb
@OmanOman-hr6cb 5 жыл бұрын
The mafik 👍rip mbalamwezi
@yusufally6853
@yusufally6853 5 жыл бұрын
Mashallah
@saadakiyungi6437
@saadakiyungi6437 5 жыл бұрын
daaah
@emanuelsitta8015
@emanuelsitta8015 5 жыл бұрын
Mmh uyo mweusi mwenye miwani anajua kuimba
@DULLAHMASTER
@DULLAHMASTER 5 жыл бұрын
Mwenye gitaaa
@noelikalani6545
@noelikalani6545 5 жыл бұрын
Namsikia papa wemba hapa
@neltone
@neltone 3 жыл бұрын
Mbalamwezii nondoo
@hansonie1553
@hansonie1553 4 жыл бұрын
𝒑𝒆𝒏𝒈𝒐 𝒍𝒂 𝒎𝒃𝒂𝒍𝒂𝒎𝒘𝒆𝒛𝒊 𝒔𝒊 𝒓𝒂𝒉𝒊𝒔𝒊 𝒌𝒖𝒛𝒊𝒃𝒊𝒌𝒂 𝒅𝒂𝒂𝒂𝒉 𝒊𝒏𝒂𝒖𝒎𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂......
@annabalenga4420
@annabalenga4420 5 жыл бұрын
Da !!!😴😴pole sn familia na marafiki wote .pumzika kwa Amani kaka
@tumainirichard5678
@tumainirichard5678 5 жыл бұрын
Roho inauma sana natamani niwe mpelelezi ningehakikisha nampata muuaji mapema binafsi naamini siyo ajali wala vibaka . Ningekomaa na watu wote wa karibu hadi nimpate shetani alofanya ufilauni huo
@sylvanosilver3898
@sylvanosilver3898 5 жыл бұрын
jaman mbalamweziiiii pumzika kwa amani
@elizabetharon6334
@elizabetharon6334 6 жыл бұрын
duh mpp vzr jamani hongereni sana
@ftjoftjo2232
@ftjoftjo2232 6 жыл бұрын
Saluti wanajua sana
@hassanibashiru2802
@hassanibashiru2802 7 жыл бұрын
Perfect music group i like that
@aminasadiq5338
@aminasadiq5338 5 жыл бұрын
Kaka amka kaka angu plz dah ata siamin yani niko mbali lkini lala nakupnda mno pumzika kwa amani kaka
@ayoubbusanya8290
@ayoubbusanya8290 7 жыл бұрын
Huyo jamaa mwenye rasi ana mdomo kama wa Ben paul
@misszouh476
@misszouh476 6 жыл бұрын
Ayoub Busanya 😂😂😂 kweli
@jasmineshemweta1683
@jasmineshemweta1683 5 жыл бұрын
Oooh Mbalamwezi pumzika bro kumbe kazi nzuri
@faridamasoud1652
@faridamasoud1652 6 жыл бұрын
Nawakubali siku zote
@halimaathumani853
@halimaathumani853 7 жыл бұрын
I like the mafik espesially hamadai he real knws hw to use R and L kitu ambacho wasanii wengi wa bongo flavour kinawashinda.
@joseecontroversial8720
@joseecontroversial8720 5 жыл бұрын
Uko concerned na vitu vidogo vidogo sana asee...focus on the talent
@omydirector1494
@omydirector1494 6 жыл бұрын
King Rinho nakubali👌
@ernestyhalicyprime4175
@ernestyhalicyprime4175 7 жыл бұрын
Wametisha They have more power
@frolencemichael8840
@frolencemichael8840 6 жыл бұрын
nimependa sana
@suleimanpaulmaunde4392
@suleimanpaulmaunde4392 6 жыл бұрын
Nouma sanaaaa
@fausterkanyonga4366
@fausterkanyonga4366 5 жыл бұрын
mmmmmh Sina cha kuandka zaid ya pumzika kwa aman
@j...876
@j...876 6 жыл бұрын
Muko vizuri
@barakajohn9767
@barakajohn9767 7 жыл бұрын
ni ivi 🔥
@vans_classicofficial1705
@vans_classicofficial1705 5 жыл бұрын
Oy we ni fleva brow from lago
@raylovemichael3088
@raylovemichael3088 5 жыл бұрын
Muitikiaji sasaaa
@nuraahgoodkunaliffahilovek3269
@nuraahgoodkunaliffahilovek3269 6 жыл бұрын
ivi nyie ni watu wa wp
@agaaah6697
@agaaah6697 6 жыл бұрын
DY anajua sana
@nuraahgoodkunaliffahilovek3269
@nuraahgoodkunaliffahilovek3269 6 жыл бұрын
Pw sanaaa
@dianastanley8673
@dianastanley8673 6 жыл бұрын
Na mwenye shati Kanye madoti
@Eddie25502
@Eddie25502 7 жыл бұрын
Replacement ya yamoto band yapatikana!!!Buju aliniambia Huyu dogo ni mzuri #Babarhino mkiwa na nidhamu mafanikio yapo,mkileta tamaa na ujuaji itawakost!!!!!..... #2018 iwe na kher kwenu #theMafik
@wasafitvniyetusotetumewash6923
@wasafitvniyetusotetumewash6923 7 жыл бұрын
Eddie 255 uwezi kuwafananisha hawa jamaa na yamoto ata sku moja!!
@nancyruoruo1025
@nancyruoruo1025 5 жыл бұрын
Sasa tuseme ujuaji umewakosti.....Rip mbalamwezi
@riphatmuhene9615
@riphatmuhene9615 7 жыл бұрын
Baba Rhino nakuona mzee
@michaelbwoma2760
@michaelbwoma2760 7 жыл бұрын
jamaa nakuaminia sana Mkwe wangu unajuaga jinsi ya kufanya interview za kibabe
@shamilamuhogo7542
@shamilamuhogo7542 5 жыл бұрын
R.I.P Mbalamwezi 😢
@frankchamba8894
@frankchamba8894 6 жыл бұрын
jamaa wanaweza
@lovenesskasikizi5809
@lovenesskasikizi5809 6 жыл бұрын
hamadai nakukubali
@leokamil6284
@leokamil6284 5 жыл бұрын
R.I.P😭😭😭
@mariamangel1264
@mariamangel1264 7 жыл бұрын
Nceee boice😚😚
@mariamangel1264
@mariamangel1264 7 жыл бұрын
Nce voice
@wianotzmessowianotz4298
@wianotzmessowianotz4298 5 жыл бұрын
We Laino Boya To Upo Kama Jambazi tena we ndo wamekukamata wakuhoji kuusu kifo cha Broo Mbalamwez kuimba aujui kwanza
@chugagirl4094
@chugagirl4094 4 жыл бұрын
Dhuuh mbalamwezi ani siamini kabisa
@sejetv6856
@sejetv6856 5 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@christopherngakongwa73
@christopherngakongwa73 6 жыл бұрын
they are profession ones
@eyezonmichu
@eyezonmichu Жыл бұрын
RIP MBALAMWEZI🤍🕊️
@emmazbouuuy8809
@emmazbouuuy8809 6 жыл бұрын
Nyimbo mbili na baunsa 😂😂😂😂😂😂 TZ atuwezi kuwa seriaz
@salumali7031
@salumali7031 7 жыл бұрын
Ebwan jamaa wako saw na km mtatumia melody hizi kwel ni hatareee San tz
@salumali7031
@salumali7031 7 жыл бұрын
Ila beat Y passenger hamkubahatisha na iko sw kinoma so my advice jaribun kutembea ktk beat km izo wana mtatisha ndan na nje Y nchi
@MBS59
@MBS59 Жыл бұрын
Noouma xana
@rukiaselemani9363
@rukiaselemani9363 5 жыл бұрын
Duuuuh dullah kaka pumzika kwa aman uko uliko😭😭😭😭
@khadijaelvin8025
@khadijaelvin8025 5 жыл бұрын
nimeumia sana daaa ulikuwa vzr sana kaka jamaniiii daaaa pumzk kwa amani na yule aliekatisha ndoto zangu mungu amuazibu azabu kubwaa sana
@jacksonmaningu541
@jacksonmaningu541 7 жыл бұрын
wako 🔥
@cricwambali1352
@cricwambali1352 Жыл бұрын
Mungu anachukuaga mafundi tu kwa nini
@immahfred2127
@immahfred2127 5 жыл бұрын
Hawa jamaa wanajua mziki
@issamakamba5569
@issamakamba5569 7 жыл бұрын
Kaka mkubwa huyo rasta anamchecheto na kamera kuliko kazi akazeeee
@mkurungwaog5698
@mkurungwaog5698 5 жыл бұрын
Ni marehemu by now
@alexmlwale9990
@alexmlwale9990 5 жыл бұрын
mko poa
@princessringo1535
@princessringo1535 5 жыл бұрын
Mm ciamini mpk sasa kama cntomuona tena jamani
@justine_tz4337
@justine_tz4337 6 жыл бұрын
kubali
@hamiskulamba7828
@hamiskulamba7828 6 жыл бұрын
kwakweli kali
@samdavid7540
@samdavid7540 7 жыл бұрын
Hatar
@jimmilykawia976
@jimmilykawia976 7 жыл бұрын
jamaa wanajua
@abdulihussen6658
@abdulihussen6658 5 жыл бұрын
R.I.P mbalamwezi
@anastaziadakho1161
@anastaziadakho1161 5 жыл бұрын
Abduli Hussen Alafu mpole jmn 😭😭😭
@fuadkassim6496
@fuadkassim6496 7 жыл бұрын
Hatimaye viatu vya yamoto band vyapata mvaaji
@frankchamba8894
@frankchamba8894 6 жыл бұрын
I think so
@yusufally6853
@yusufally6853 5 жыл бұрын
Rip
@abdulkareemmakwai4241
@abdulkareemmakwai4241 7 жыл бұрын
Kibabe maninja
@mourinerichard9297
@mourinerichard9297 7 жыл бұрын
nc boy
@aggraypeter.5008
@aggraypeter.5008 7 жыл бұрын
Is them from Congo
@ayoubaadil6385
@ayoubaadil6385 7 жыл бұрын
They are from Tanzania
@calvinpaul9141
@calvinpaul9141 6 жыл бұрын
Aggray Peter. What knd of englsh is zat!!!!!!!
@aboudfuad9627
@aboudfuad9627 6 жыл бұрын
Calvin Paul hahahahah
@surveyoraloyce7408
@surveyoraloyce7408 6 жыл бұрын
Sikiliza utaratibu wa kupitia ili uweze kupata hati ya kiwanja chako Click link hapo chini kzbin.info/www/bejne/iqCTcqCbe5WlnsU
@thenextmvp8568
@thenextmvp8568 5 жыл бұрын
Rip mbalamwezi
Mbalamwezi and the Mafik Leuven 2019
7:20
FASDO Tanzania
Рет қаралды 5 М.
UTAPENDA THE MAFIK WALIVYOPIGA 'LIVE' TUNAANZA NA MUNGU
6:06
Wasafi Media
Рет қаралды 7 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН