THE MAGIC (Mazingaombwe ) EP 16 MKOJANI - SAMOFI - MTANGA

  Рет қаралды 65,791

MKOJANI GANG

MKOJANI GANG

Күн бұрын

Пікірлер: 152
@DavidDavidngonyani
@DavidDavidngonyani 3 ай бұрын
Jamani na mimi naomben like zangu maana niko bize lakin lazima niakikishe naifatilia david from tz
@bedobizzy55tv98
@bedobizzy55tv98 3 ай бұрын
Shamila una ua sana,,, nakupa maua yako
@nahimanabella2478
@nahimanabella2478 3 ай бұрын
Maoni yangu mkojani unatakiwa kuwa unaaca mbili mbili uku tuna emjoy show zako😂😂😂😂😂😂😂😂😊
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 3 ай бұрын
Mambo ni chap chap safi sana
@angelkidoti9245
@angelkidoti9245 3 ай бұрын
Naipenda hii kazi jamn chandumu noma aisee😂😂😂🤣🤣🤣
@MaithamOmar
@MaithamOmar 3 ай бұрын
Kijiko wa mundende kachomoa betri😂😂😂😂
@FatmaAbdulkadir-q7l
@FatmaAbdulkadir-q7l 3 ай бұрын
Maskini kijiko wameondoka na makagareee😂😂😂😂so love from Kenya😂
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 3 ай бұрын
Dj afro amiiigossaa😅
@MaithamOmar
@MaithamOmar 3 ай бұрын
Mzee wa mundende kachomoa betri😂😂😂😂
@saumuzimba1160
@saumuzimba1160 3 ай бұрын
nimewahi wakwanza leo naomba like zenu hata 20 kazi nzuri sna ankojani pamoja sana
@JacobJonnh
@JacobJonnh 3 ай бұрын
Kazi nzuri bro
@jumaomary1957
@jumaomary1957 3 ай бұрын
Wakwanza Leo
@echikyabu6154
@echikyabu6154 3 ай бұрын
Cha ndim akijiachia kidogo anamfikia uncle jani😂😂😂
@KidogeDolie
@KidogeDolie 3 ай бұрын
ila mkojani tunahaza subiri sana mbona ilapowatu tunafurahiya kazu 🎉🎉🎉
@MaithamOmar
@MaithamOmar 3 ай бұрын
Nimewai🇴🇲
@MoussaAbdoul-wo3ur
@MoussaAbdoul-wo3ur 3 ай бұрын
Wakupe mauwa yako kwahiyi serie umeicheza vizuri sana . Ninzuri sana
@ZaheerShaibu
@ZaheerShaibu 3 ай бұрын
Nimekisikia kimakonde humo ndani mmetisha sana😂😂
@ZenaIddy-f4m
@ZenaIddy-f4m 3 ай бұрын
Mapema tu
@kakabeka2515
@kakabeka2515 3 ай бұрын
..daah asee bushura kanifurahisha Leo mmuihe mwan wa vene daah🤣🤣🙌🙌
@petersach6092
@petersach6092 3 ай бұрын
Kitu kali
@MuntarJunior-o1n
@MuntarJunior-o1n 3 ай бұрын
haya nambien leo wakwanza nani😂😂
@BenjaminNickson
@BenjaminNickson 3 ай бұрын
Tangu nianze kuangalia video za mkojani sijawahi kupata like hata moja 😢😢😢
@AllyMkola-u7e
@AllyMkola-u7e 3 ай бұрын
Mh we inabidi uoge maji ya bahari
@XhebbyMandevu-u1h
@XhebbyMandevu-u1h 3 ай бұрын
jishikilie wewe
@junkloketo9485
@junkloketo9485 3 ай бұрын
Kafie mbele😅
@mudymgoto1206
@mudymgoto1206 3 ай бұрын
Azikusaidii kitu izo like
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 Ай бұрын
Hizo like unauza ama 😊😅
@AmaniRashidi-i9b
@AmaniRashidi-i9b 3 ай бұрын
Nyi mnalala kwenye KZbin au😅😂 movie ina second msha koment? Aah si tutakua lini wa Kwanzaa tuombe like 😢😢
@MariamNgereza-p9g
@MariamNgereza-p9g 3 ай бұрын
Tuko apaaah mucho love mkojani ❤❤🎉
@EvansLangat-l6h
@EvansLangat-l6h 3 ай бұрын
Kenya ❤❤❤ tunaipenda
@KidumeRashid
@KidumeRashid 3 ай бұрын
Ankojani unawachanga watu kwani mwisho wa siku utagombanisha ukoo wa mtu kwa ujinga wako
@memoterry
@memoterry 3 ай бұрын
Magangari boom😂😂😂😂😂😂😂😂
@jorgecesilio8862
@jorgecesilio8862 3 ай бұрын
Bushura we ni KONDE GIRL kabisa🎉🎉🎉❤😂
@holyfunny7536
@holyfunny7536 3 ай бұрын
Kaupiga mwingi
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 ай бұрын
❤❤❤
@RIZOSela
@RIZOSela 3 ай бұрын
Wakwanza mm gonga like apoo
@amissemkanapate8249
@amissemkanapate8249 3 ай бұрын
Hatimae WAMAKONDE umetufikia umeupiga mwing
@EsthetiqueMajaliwa
@EsthetiqueMajaliwa 3 ай бұрын
Himekuja tena mkojani 😂😂🎉
@BobJoshua-er1fg
@BobJoshua-er1fg 3 ай бұрын
From Stellenbosch capetown south Africa, na burudika na series za mkojani 😂😂you're number one my brother, big up ✊
@abdillahissa3536
@abdillahissa3536 3 ай бұрын
Leo nimekuwa wa kwanza ila sioni umuhimu wa like wala siombi
@Piskole
@Piskole 2 ай бұрын
Tulia😮
@JamesMsuya-xp5gm
@JamesMsuya-xp5gm 3 ай бұрын
Bushura unamuamsh mtu kwa kumpg makalio
@angelkidoti9245
@angelkidoti9245 3 ай бұрын
Aya na mim Leo naomba like nione nitapewa😂
@عمرانالحجري
@عمرانالحجري 3 ай бұрын
Mnatufanya tupoteze mawazo ya magum ya warabu. Mkojan fans apa toka OMAN.
@mohdkhalifa8828
@mohdkhalifa8828 3 ай бұрын
Ulilazmishwa
@عمرانالحجري
@عمرانالحجري 3 ай бұрын
🙏🏻🙏🏻🤲
@Amadesalimosaide57
@Amadesalimosaide57 3 ай бұрын
Mapema tu from Mozambique 🇲🇿🇲🇿
@malengaWetuTv2699
@malengaWetuTv2699 3 ай бұрын
Mkoa gani Pemba, nacala, Beira au musimbwa
@eshamohd7268
@eshamohd7268 3 ай бұрын
😂😂😂chandimu kimemkuta
@jaymapepefatma5936
@jaymapepefatma5936 3 ай бұрын
This is first love From Mozambique 🇲🇿❤
@Yahya-we5sc
@Yahya-we5sc 3 ай бұрын
Jaman mumechelewa sana
@InnocentArmadillo-do9vm
@InnocentArmadillo-do9vm 3 ай бұрын
Team strong mkojani gang. Hatari sana. Kazi nzuri sana
@innocentmathias8668
@innocentmathias8668 3 ай бұрын
Kijiko et "Utaniletea begi😂
@tabiahamis302
@tabiahamis302 Ай бұрын
Wamakonde tumefikwaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@shadya-gi8br
@shadya-gi8br 3 ай бұрын
😂😂😂Mkojan shubatee
@ShaibuAlly-z3u
@ShaibuAlly-z3u 3 ай бұрын
Uhavi aneo unizidi mmuyeile mwana wa vene chondechonde kuyowa
@malengaWetuTv2699
@malengaWetuTv2699 3 ай бұрын
Mtwara mabegani ❤❤❤
@kamalmreh8473
@kamalmreh8473 3 ай бұрын
Mkojani numba moja
@GinetteNishimwe
@GinetteNishimwe 3 ай бұрын
😂😂😂😂 kwaiyo kijiko kajua mfupa wanguruwe nikinga
@djmmedia1718
@djmmedia1718 3 ай бұрын
Am the first one nipen like zangu
@muzihirisekavumo7829
@muzihirisekavumo7829 3 ай бұрын
Wameondokaa namakangali 😅😅😅😅😅😅
@TaiwanHassan
@TaiwanHassan 3 ай бұрын
Chandimu umefunika
@essaufesto8089
@essaufesto8089 2 ай бұрын
Wap wa zee wa mijumbaa
@kinophobea
@kinophobea 3 ай бұрын
Kipande kizuri ila kifupi alafu kwenye hivo vipande vimachangamka akitokea anko jani na samofi, wekeni hadi dk30
@shakirarashid1249
@shakirarashid1249 3 ай бұрын
Hahahahahahahaa ameondoka na mpododo wako😅😅😅😅
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ah nimecheka kama mazuri yalo mfika kijiko🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉mauwa yako mkojani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂llaaaaaa umetisha sana broo
@JamalSleiman-yc1er
@JamalSleiman-yc1er 3 ай бұрын
Nimeeshindwa kuvumilia inabidi niseme huyu Bushura ni mrembo sanna
@mchambikisupi9204
@mchambikisupi9204 3 ай бұрын
Wao kumbe bushura nimmakonde❤❤
@muddytv1513
@muddytv1513 3 ай бұрын
Kijiko wameondoka na makagali 😂😂😂😂😂😂maneno manenoooooo
@aminielsaidi8015
@aminielsaidi8015 3 ай бұрын
Hii move nzuri sana yan mmeijulia sio poa
@Gift-y1b
@Gift-y1b 3 ай бұрын
😂😂😂😂 yaani kwenye hii episode kijiko na chandimu wamejua kunichekeshaa
@winniesidi4608
@winniesidi4608 3 ай бұрын
Chandimu kijana muzuri,... Ila unajiharibu na hilo limwili , limekatika katika huko nyumaa mgongoni , minyama minyama,....punguza kula, enda jimu.......yaaani imekua kama mkojani
@MohdNassor-w8j
@MohdNassor-w8j 3 ай бұрын
Good ❤
@HafsaAhmady
@HafsaAhmady 3 ай бұрын
😅😅😅chandimu anajua kunivunja mbavu😅
@GabrielEmmanuely
@GabrielEmmanuely 2 ай бұрын
dàaaah bushula nakupeñdà sana ukiona híi coment like nitaflai sana nakupenda sana bushula❤❤❤❤❤❤❤
@AnwarHupa
@AnwarHupa 3 ай бұрын
Mpododo shwaaaa makagali yayuu😅😅😅😊😊
@AlifaHamis
@AlifaHamis 3 ай бұрын
Chandimu wewe fala sana eti wame ondoka na makangali😂
@DavidKomba-k3x
@DavidKomba-k3x 3 ай бұрын
✌️
@malengaWetuTv2699
@malengaWetuTv2699 3 ай бұрын
Nimekisikia kimakonde hapo ❤
@ramadhanihassani8518
@ramadhanihassani8518 3 ай бұрын
Ilaaa mkojani msenge kwelii dadake zake anaiendeshaje hiii familia 😂😂😂
@ahmadumutharika4391
@ahmadumutharika4391 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@KobaBoy-t5u
@KobaBoy-t5u 3 ай бұрын
Mkojani hii series ni nzur mmno
@Awoshy
@Awoshy 3 ай бұрын
😂😂😂😂Mkojani jamani 😂
@DerrickLaizer-do5hf
@DerrickLaizer-do5hf 3 ай бұрын
Big up broo nice work # 🇰🇪
@eshamohd7268
@eshamohd7268 3 ай бұрын
😂😂😂kijiko kapatikana nae
@kugotwa004
@kugotwa004 3 ай бұрын
CHANDIMU 😅😅😅😅 DJ AFRO SANTA SANA WASHALALA
@MahmoudNannumeone
@MahmoudNannumeone 3 ай бұрын
Kumbe bushura ni mmakonde
@GeofridBeda
@GeofridBeda 3 ай бұрын
Kimakondeee oyeeee😂😂😂
@JoaquimSantosJosefo
@JoaquimSantosJosefo 3 ай бұрын
Kazi zuri sana
@MoussaAbdoul-wo3ur
@MoussaAbdoul-wo3ur 3 ай бұрын
Big up mkojani
@G29mussa
@G29mussa 3 ай бұрын
Kuyoa madamu😂
@SharafiHamisi
@SharafiHamisi 3 ай бұрын
nimepend San kiluga chetu dad
@ABDIKENYATV
@ABDIKENYATV 3 ай бұрын
Ati makagaree imepoteaa Washalalala😂😂😂 chandimu the dj afro version ameua kweli. Natazama kipindi hiki kutoka kenya 254 wapi likes zangu jamani.
@nestorynwele-cl4um
@nestorynwele-cl4um 3 ай бұрын
Wameondoka na makagari😂😂😂
@ElishaMgina-f6d
@ElishaMgina-f6d 3 ай бұрын
Hapo alipopigwa shamira na madam wakati anaamshwa palivolia mmh, nshatengua udhuu😜🙌
@kitosinglemz1690
@kitosinglemz1690 3 ай бұрын
Konde family kuyoa jamani
@kareemshabani7409
@kareemshabani7409 3 ай бұрын
Mbona ze magic jamani baba 😢😢
@mabrouckmtandika9908
@mabrouckmtandika9908 3 ай бұрын
Nmefurah kumbe hyu dem ni konde girl
@MUTEKETV
@MUTEKETV 3 ай бұрын
Mko slow kuachia episodes buana whats not happening mkojani
@daxpcomandomz3450
@daxpcomandomz3450 3 ай бұрын
Makonde from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Mozambique
@hassanseleman2301
@hassanseleman2301 3 ай бұрын
Ila chandim😂😂😂
@PrettyVivian-bu2wo
@PrettyVivian-bu2wo 3 ай бұрын
@NtunzwenimanaFaustin-t1w
@NtunzwenimanaFaustin-t1w 3 ай бұрын
Chandimu mujinga sana ati ameondoka na makangari😅😅😅😅
@MikajoseNankola
@MikajoseNankola 3 ай бұрын
Bushula kumbe konde boy
@djnyosoofficial305
@djnyosoofficial305 3 ай бұрын
Hiii move mbaya
@HamisiGereza-s6y
@HamisiGereza-s6y 3 ай бұрын
Chandimu umetisha😂😂😂😂
@SusanJulius-cu8xp4vx4m
@SusanJulius-cu8xp4vx4m 3 ай бұрын
Hivi chandi unajua maana ya makagari😂😂😂😂😂
@AbelMukwala
@AbelMukwala 3 ай бұрын
😂😂😂😂kijiko
@agakhanSecurity
@agakhanSecurity 3 ай бұрын
Amenifurahisha huyu dada anavoongea kimakonde 😅😅😅😅
@stacyiak2023
@stacyiak2023 3 ай бұрын
Chandimu😂😂😂😂😂😂😂😂
@masumbukomoussa977
@masumbukomoussa977 3 ай бұрын
Chandimu fanya mazowezi mdogo angu ilo tumbo na miaka yako duuh
@IdirisaYussuph
@IdirisaYussuph 3 ай бұрын
Atal sana
@Twilumba
@Twilumba 3 ай бұрын
Kumbe kingoni
THE MAGIC (Mazingaombwe ) EP 17 MKOJANI - SAMOFI - MTANGA
19:47
MKOJANI GANG
Рет қаралды 67 М.
MKOJANI : NATAKA MZIGO WANGU #1
24:44
Johking76 tv
Рет қаралды 138 М.
Jaidarman TOP / Жоғары лига-2023 / Жекпе-жек 1-ТУР / 1-топ
1:30:54
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН
Война Семей - ВСЕ СЕРИИ, 1 сезон (серии 1-20)
7:40:31
Семейные Сериалы
Рет қаралды 1,6 МЛН
MPANGAJI  |27| #Kakoso
21:10
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 34 М.
MY DAUGHTER  I ep 13 I
20:51
CLAM VEVO
Рет қаралды 272 М.
THE MAGIC (Mazingaombwe ) EP 15 MKOJANI - SAMOFI - MTANGA
26:14
MKOJANI GANG
Рет қаралды 74 М.
MISSION IMPOSSIBLE [32] SEASON 2
24:02
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 304 М.
"KISASI CHA NUNDA" SEHEM YA KWANZA....
14:35
WHITE FILMS
Рет қаралды 108 М.
‘Ala Eh Con Bisoy, Hale Hale Hoy’ FULL MOVIE | Redford White, Leo Martinez
1:28:06
THE MAGIC (Mazingaombwe ) EP 31 FINAL MKOJANI - SAMOFI - TIN WHITE
13:26
DUNIA (Ep 38)
19:34
ASMA FILMS
Рет қаралды 311 М.
Jaidarman TOP / Жоғары лига-2023 / Жекпе-жек 1-ТУР / 1-топ
1:30:54