No video

The Sory Book : GodoGodo Jambazi Aliyesulubu Wanaijeria (Part 2)

  Рет қаралды 264,110

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 523
@the_chemistry
@the_chemistry Жыл бұрын
Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nasibuahmedy2438
@nasibuahmedy2438 Жыл бұрын
Pamoja sana Jamal najifunza mengi kutoka kwako tangu udharauliwe na mashabiki kuhusu Mtiga Abdalah na ukaoga matusi lkn haukukata tamaa ukaendelea na mpk leo tupo hapa tunakusikiliza. Mwenyezi Mungu akubariki sana
@josephilole8286
@josephilole8286 11 ай бұрын
Walimdharauije
@mallowmduhu4933
@mallowmduhu4933 Жыл бұрын
Story nzuri na tamu mno,huyu Godogodo alikuwa ni Genius wa kiwango cha juu sana
@AntonyMpanduji-ln3hd
@AntonyMpanduji-ln3hd Жыл бұрын
Kaka nakubali mi ndo wakwanza kucoment nimependa hii
@fasteelastee9976
@fasteelastee9976 4 ай бұрын
Siku zote wanawake ndio wanatuangushaaga. This genius would be still alive ,ogopeni wanawake!!
@user-yc7vf4ln5q
@user-yc7vf4ln5q Жыл бұрын
Wangap wanamuombea maisha maref jamal april tujuane kwa like mpaka afurahie
@jubilee-mv7yt
@jubilee-mv7yt 8 ай бұрын
GOD BLESS YOU MAREF JAMAL APRIL
@NyangiPascal
@NyangiPascal 6 ай бұрын
​@@jubilee-mv7yt😅
@user-hm3jq5iz2f
@user-hm3jq5iz2f 5 ай бұрын
​@@NyangiPascal¹¹¹1
@donrodgerske
@donrodgerske Жыл бұрын
Prof Jamal doing his best to keep us entertained and learned ❤
@ambwenealex
@ambwenealex Жыл бұрын
youtube.com/@ambwenealex
@matemamrina4929
@matemamrina4929 Жыл бұрын
Q0qqqq
@jorammdogo6081
@jorammdogo6081 Жыл бұрын
Watching from kenya and I really appreciate the work of my Good Friend Jamal🎉🎉
@user-ur5uv6rk1r
@user-ur5uv6rk1r Жыл бұрын
Vip uyo jamaa ajaachiwaa tyu cz ni nomaa sanaaa
@wybzokizzy4416
@wybzokizzy4416 Жыл бұрын
🔥🔥❤❤Professor Jamal asante kwa hii documentary
@RashidAbubakar-qw6pl
@RashidAbubakar-qw6pl Жыл бұрын
90000000000000000000000000
@ANGAMEENA-nl8pd
@ANGAMEENA-nl8pd Ай бұрын
Story ni nzuri Sana, zinaelimisha. Keep it up Proffessor
@andrewraphael3098
@andrewraphael3098 Жыл бұрын
The story book 📖 kila ijumaa 💥✌️😎
@ambwenealex
@ambwenealex Жыл бұрын
youtube.com/@ambwenealex
@dangote1651
@dangote1651 Жыл бұрын
Sema nimekubali hii story leo nimempenda uyo jamaa godogodo😅😅❤🙌
@kenrop7047
@kenrop7047 Жыл бұрын
First Kenyan kalenjin to watch this part✨✨✨ wapi likes✌️
@martinotima
@martinotima Жыл бұрын
Napenda kazi yako
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 Жыл бұрын
Following from Kenya 🇰🇪, much Love professor ❤❤
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Жыл бұрын
Asante sana professa wangu kwa elimu yako, Ila godo godo ni binadamu moja Safi sana tena mtu mwenye hekima yake ime tulia sana yeye alikuwa ana uwa endapo tu pale unapo taka ww kuwa mjuaji sana, pia yeye ali uwa police wengi kutokana kile walicho mfanyia
@salharashed
@salharashed Жыл бұрын
Nilikua naisubiri kwa hamu part two 😂😂😂 kama unaikubali hii story gonga like bs
@tomasomwasenga9215
@tomasomwasenga9215 Жыл бұрын
Vp godo godo yupo jela paka sasa
@stellah3844
@stellah3844 Жыл бұрын
​@@tomasomwasenga9215 Umeambiwa alishakufa Agst 2013
@denniswafula9741
@denniswafula9741 Жыл бұрын
Asante sana professor mwenyezi MUNGU ukubariki uendelee na hii kazi nzuri Unafanya ❤❤❤❤❤ n Dennis nikiwa jijini Nairobi
@ambwenealex
@ambwenealex Жыл бұрын
youtube.com/@ambwenealex
@sadikmalik5424
@sadikmalik5424 Жыл бұрын
Shukran kaka jamal.watching from capetown south africa.
@nellito9
@nellito9 Жыл бұрын
Godogodo the great limar 😊😊😊
@ommy551
@ommy551 Жыл бұрын
Dah Team Majambazi Godogodi is the best😢
@top10bestofnyarugusucam
@top10bestofnyarugusucam Жыл бұрын
Daaah istoria nzuri inafundisha saana tu
@casmirymusic
@casmirymusic Жыл бұрын
Uyo ndo godo godo🫡🫡🫡🫡🫡
@flavianpaskal5499
@flavianpaskal5499 Жыл бұрын
najifunza mengi sana kupitia story zakoo. mwenyezi munguu akupe afya siku zote za maisha yako profesa 🙏
@DealersMan
@DealersMan 10 ай бұрын
😂usije kuwa kama godogodo
@bonifaceontiri1186
@bonifaceontiri1186 6 ай бұрын
That Godogodo guy was smart in this business.
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp Жыл бұрын
Yes Mwamba amerudiii tena ❤❤❤jamal uyu mwamba kwa wasafii ndio kinara wangu❤💯🔥🔥🤝🤝
@BONGOKUMENOGATV
@BONGOKUMENOGATV Жыл бұрын
😅
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp Жыл бұрын
@@BONGOKUMENOGATV Uhakika
@abdulnuruhassan8611
@abdulnuruhassan8611 Жыл бұрын
Hasante brother story zuri sana Allah akulide uzidi kutupa story zuri kama hizi Ili tuzidi kujivuza. Hasante
@josephsimba3007
@josephsimba3007 Жыл бұрын
Uyu jama alikuwa shujaa sana jee halisha fariki au la tupe jibu
@bakarhamadbakar-ue1rh
@bakarhamadbakar-ue1rh Жыл бұрын
Miungoni mwa kujivunia utanzania wangu ni kuepo kwa watu wenye vipaji km ww kaka JAMAL
@user-tt7iv5hr9p
@user-tt7iv5hr9p Жыл бұрын
I WAS REALLY WAITING FOR THIS FOLLOW UP. THANKS FOR THE UPLOAD.
@Michael12372
@Michael12372 Жыл бұрын
Moja kati ya story Bora kutoka the story book
@franksembwana6031
@franksembwana6031 Жыл бұрын
Imeniuma sana kukamatwa Mwamba bora wangemuua tu
@zizoughost9454
@zizoughost9454 Жыл бұрын
Hahahha
@henrylugendo280
@henrylugendo280 Жыл бұрын
Safi sana jamal good story
@user-qo2jn5nb9y
@user-qo2jn5nb9y Жыл бұрын
2malizie na maisha yake ya gerzan na mpk Leo yupo gerezn au ashfarik na familiy yake vp haitengwi na jamii Malizia na maisha yk yagerez. Man km kaingia gerezn na anaonekn km mfalme uko grzn maish yke ya gerzan ulikuw vp
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 Жыл бұрын
Safi sana, nilikuwa nimeisubiriya kwa hamu kubwa, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸.
@zuwenanyerere83
@zuwenanyerere83 Жыл бұрын
🥰🥰
@josephmaina-vm1lc
@josephmaina-vm1lc Жыл бұрын
Toa form bro Jo atakama Ni job ya kufagia snow uko majuu
@akimjuma2026
@akimjuma2026 Жыл бұрын
Nakubaliiiiiiii Jamal 🙌🙌🙌
@ambwenealex
@ambwenealex Жыл бұрын
youtube.com/@ambwenealex
@GIFTfurniture-uk6vc
@GIFTfurniture-uk6vc Жыл бұрын
nilikuwa naisubir hii storyy ❤❤
@michelinebosibori4027
@michelinebosibori4027 Жыл бұрын
Thank you so much Jamal professor for Godogodo part2, very interesting story 👌👍🥰
@richiefortune3363
@richiefortune3363 Жыл бұрын
I'm Godogodo😂
@JamesDismas
@JamesDismas Жыл бұрын
Kwasasagodogodo yupo wap??
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Жыл бұрын
NAKUAMINI Mr.JAMAL KWA STORY MZULI 🙏🇹🇿🇬🇷
@aisha_mohammed5825
@aisha_mohammed5825 Жыл бұрын
Best storyteller wapi like 10000
@samuelmuriuki5849
@samuelmuriuki5849 Жыл бұрын
Am in tears with the story began this happened to me today..
@joonkimrijin
@joonkimrijin Жыл бұрын
Hell yeah🎉🎉🎉
@titojomba4085
@titojomba4085 Жыл бұрын
I waited for long time thank you. Prof jamal to make part 2😊😊
@leah_km
@leah_km Жыл бұрын
Mapema sana kusikiliza the stor book 😊❤
@user-ff5yt3cd6n
@user-ff5yt3cd6n 6 ай бұрын
Jmn me NAMPENDA San San San San na nakuombea Aishi sana mana najifunz kupitia stor zake❤❤❤❤
@thabitaaplinary1966
@thabitaaplinary1966 Жыл бұрын
Yani nilisubili sana hii ya godogoda part2 safi sanaa
@user-wp1vn7mj2e
@user-wp1vn7mj2e Жыл бұрын
Mashwala ya like mim sitaki nataka story zamana kama izi🇹🇿🇹🇿🇿🇦🇿🇦
@paulkilonzo8588
@paulkilonzo8588 Жыл бұрын
I love Ur Stories.... You are very educative 💯💯
@mwananyamalaz4427
@mwananyamalaz4427 Жыл бұрын
Very good story thank U so much professor Jamal
@MaitriseNdabirinde-nf9oz
@MaitriseNdabirinde-nf9oz Жыл бұрын
Godogodo is a professor 👑👑
@fatumamagessa4743
@fatumamagessa4743 Жыл бұрын
Sio siri unajua🙌🙌
@Jabu415
@Jabu415 Жыл бұрын
Mi sijapenda godogodo kukamatwa why whhhhy whhhy😢😢😢 ila unajua treatment za watu Ndio zinamfanya awe jinsi alivyo? So tujitahidi kuishi na watu wazuri ili tusitengeneze watu wabaya hata godogodo alikua mtu mzuri utotoni according to history lakini watu watu walimbadilisha (police na mzee wake specifically) so funzo la hii story jingine ni haijalishi una mamlaka Gani just treat people fairly coz treatment Yako Ina uwezo mkubwa mno waku determine jinsi mtu atakavyo kua....... We love you jamal keep it up bro
@KareemkF
@KareemkF 7 ай бұрын
Mungu awenawe blaza🙏
@jamesblackjaguar2084
@jamesblackjaguar2084 Жыл бұрын
Congratulations bro Akika Unaweza
@Lingisa47
@Lingisa47 Жыл бұрын
Prof. Jamal you have done a very good narration ,this was an amazing documentary .big up.
@Mr.Queentz
@Mr.Queentz Жыл бұрын
Dah kukamatwa kwake roho imeniuma sana😢😢😢
@abdullatifarazak8179
@abdullatifarazak8179 Жыл бұрын
Honestly nataman asingekamatwa
@Mr.Queentz
@Mr.Queentz Жыл бұрын
@@abdullatifarazak8179 hata mm p 😂😂
@sevarinijrchitandachitanda138
@sevarinijrchitandachitanda138 Жыл бұрын
Nakubali🔥🔥🔥🔥
@madolake037
@madolake037 Жыл бұрын
Kenya iko ndani🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪likes zenu wadau,, love this man's stories❤❤
@rehemafredrick7794
@rehemafredrick7794 Жыл бұрын
Asante Jamal ❤kwa story nzuri
@wilsonntawumenyiryayo2447
@wilsonntawumenyiryayo2447 5 ай бұрын
Big up to you professor!! Nimeanza kufuatilia kipindi chako hiki hivi karibuni ila i swear you're the best. Love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮. Be blessed
@AISHASADIQ-pw5wg
@AISHASADIQ-pw5wg Жыл бұрын
God bless u Ann inshallah
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw Жыл бұрын
Yeah safi sana The Story book kwa hewa 🔥🤜
@JemsiBahandw
@JemsiBahandw 24 күн бұрын
wangapi tunapenda the story book
@jameskinuthia4480
@jameskinuthia4480 Жыл бұрын
Mkali wao professor 💯💯💯💯
@casaranii254
@casaranii254 Жыл бұрын
Ata Mimi much love from Kenya ❤ professor
@brunoh_bx
@brunoh_bx Жыл бұрын
Story tamu sana hii👏👏👏
@_Shinebeat
@_Shinebeat Жыл бұрын
Jangili mkumbwa sana💪
@GoodboyValdervide
@GoodboyValdervide Жыл бұрын
Prof Jamal on fire 🔥🔥🔥
@qweeniepoul7842
@qweeniepoul7842 Жыл бұрын
Wow mesubir sana story hii
@erickoroche5859
@erickoroche5859 Жыл бұрын
Jamal kutoka hapo maisha ya godogodo ilikuwaje kule gerezani
@charlesbwirejohnbwire8907
@charlesbwirejohnbwire8907 Жыл бұрын
Igependeza sana kama ungetoa story book kuhusu rais wa urusi Putin nataman Sana nisiki maisha
@ahmedmiraji877
@ahmedmiraji877 Жыл бұрын
Wa nane leo 😂 top 10
@philipolugoma3796
@philipolugoma3796 Жыл бұрын
Kwa Tz wewe ndio boss wa simulizi na visa na mikasa ya kweli zaidi 🙏🙏🙏
@ntiliyothomas225
@ntiliyothomas225 Жыл бұрын
Jamar wewe ni noma sana nimejifunza mazur kutoka kwako
@fistonboy9870
@fistonboy9870 Жыл бұрын
Ku anzia Leo nimejiita godogodo 😂😂😂😂
@teemcdavid4413
@teemcdavid4413 Жыл бұрын
Kama mmtu😂😂
@irenekitomary7271
@irenekitomary7271 Жыл бұрын
Napenda story za Jamal ❤❤
@user-no6lg2sr2h
@user-no6lg2sr2h Жыл бұрын
Story nzuri xaaan mno! kuna part3? au ndoo mwisho! Godogodo mtu hatal kwel! From Burundi
@amirikoshuma6022
@amirikoshuma6022 Жыл бұрын
Professor jamali naomba uandae kisa cha kutekwa ndege ya air tanzania iyowahi kutekwa mwaka 1980
@zipporahnyambura3912
@zipporahnyambura3912 Жыл бұрын
Alot of love from❤❤❤nilikua nimesubiri hii part 2 kwa hamu na gamu❤❤❤
@user-xe5hs2sb7f
@user-xe5hs2sb7f Жыл бұрын
Unatufunza mengi Jamali asante wasaf media
@mohamedmohamed1395
@mohamedmohamed1395 Жыл бұрын
Jamaaaaaaaaal April one nd only .......unastahili kupewa zaidi ya mama 🎉 kaka hongera sana
@Steve.3175
@Steve.3175 Жыл бұрын
Nime kuwa wa mwisho kuona nipe like zangu😂😂😂
@Maconcepty
@Maconcepty Жыл бұрын
Unamambo we kijana😃
@jovinmashauri7883
@jovinmashauri7883 4 ай бұрын
he was like a millitary commander❤✊
@cityeldermedia23
@cityeldermedia23 Жыл бұрын
Always Professor give the best
@bysergabriel1934
@bysergabriel1934 Жыл бұрын
godo godo bora umkukumbuke MWENYEZI MUNGU ukiwa bar kuliko ukiwa kanisani
@BrightonWambua
@BrightonWambua 27 күн бұрын
I like Story book
@user-cs6hc1ft6k
@user-cs6hc1ft6k Жыл бұрын
Your the best in historical events
@nikrahayubu-sz3pw
@nikrahayubu-sz3pw Жыл бұрын
Mungu aninusuru jmn kusema ukweli napenda sana story za majambazi Alf nakuwa upande wamajambi 😂😂jamali nakukubali sana endlea kutufunulia tusio yajua 😊😊😊
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 Жыл бұрын
Hahahahahaha
@stophicaothieno1965
@stophicaothieno1965 Жыл бұрын
Same here😂😂😂😂
@igayo_tv
@igayo_tv Жыл бұрын
Aisee kama mimi
@teemcdavid4413
@teemcdavid4413 Жыл бұрын
🤣🤣mm leo ndio npo upande wa godogodo haswa
@loreenmsuya9768
@loreenmsuya9768 Жыл бұрын
Hahaa mimi huyo hapa niko side ya godogodo😅
@emmanuelmasele4990
@emmanuelmasele4990 Жыл бұрын
I'm good godo child
@zizoughost9454
@zizoughost9454 Жыл бұрын
Ahhahhaha
@maximomoraty7866
@maximomoraty7866 Жыл бұрын
Love
@lwitikomwitenda353
@lwitikomwitenda353 Жыл бұрын
Jamal April ni 🔥🔥🔥🔥♥️
@abdulymajaliwa455
@abdulymajaliwa455 Жыл бұрын
Nomaa
@jeffnails
@jeffnails Жыл бұрын
From kenya we love you Bro
@saidbilali2547
@saidbilali2547 Жыл бұрын
Merci Professeur Jamal bienvenue a` Arusha.
@mohamedoman9344
@mohamedoman9344 11 ай бұрын
Mm naitwa Mohamed natokea nchi Oman nimependa simulizi nzuri sana kweli ❤❤❤
@eveoflife1866
@eveoflife1866 Жыл бұрын
Glad part two is here
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
Story Kama hizi za Africa nzuri sana mbona huwa zinafichwa tunasimuliwa za wenzetu
@geraldmollel30
@geraldmollel30 Жыл бұрын
Nakubali Prof Jamal keep it up....
@hamisimashaka4899
@hamisimashaka4899 Жыл бұрын
huyu Godogodo ni hatari😢
The Story Book: Wapenzi waliotikisa dunia kwa Kuua na Ujambazi
26:52
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 10 МЛН
DAH! AMA KWELI BONGO NYOSO!
3:20
Sportvia Media
Рет қаралды 43
The Sory Book : Jasusi Waliyemuua Chooni na Kumfunga Ndani ya Begi
45:15
OUT WOULD 2
22:14
MPAYU FILM
Рет қаралды 62 М.
The Sory Book : GodoGodo Jambazi Aliyestarehe Kuua Polisi (Part 1)
33:19
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 10 МЛН