No video

The Story Book: Sheria 15 Za Kushangaza Zaidi Duniani 😳🤭🤣❗️

  Рет қаралды 471,039

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

The Story Book: Sheria 15 Za Kushangaza Zaidi Duniani 😳🤭🤣❗️
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 420
@bandumubaraka2731
@bandumubaraka2731 2 жыл бұрын
Mashabiki wa jamal wa like hi comment nakkubali kinoma kutoka Dr Congo 🇨🇩
@renatusraphael759
@renatusraphael759 Жыл бұрын
Upo congo sehemu gani ndugu
@michuganbreezy5864
@michuganbreezy5864 Жыл бұрын
ndugu upo congo sehemu gan
@silvanomusau
@silvanomusau 3 ай бұрын
Nakuja congo mwezi ujao
@revocatuskandua6376
@revocatuskandua6376 3 ай бұрын
gnnvv
@aminangombe8815
@aminangombe8815 Жыл бұрын
Marufuku kunenepa ovyo!😁😁 duuh! Tanzania inchi yangu nitakulinda mpaka kufa🇹🇿🇹🇿
@yunusrama3625
@yunusrama3625 2 жыл бұрын
We kama unaipenda the story book na mshapiki waukweli asa gonga like hapa ntakujua kama unaipenda kweli.
@RamadhaniKanju
@RamadhaniKanju 2 ай бұрын
Toka bhn😂😂hiz like cjui huwa mnakula puuuz tu😮
@princebabu6977
@princebabu6977 2 жыл бұрын
Hakuna kitu najutia kama kukukataa mwanzo ila hichi kisa kimenifunza sana, nisamehe sana Professor hakika wewe ni professor aliyeelimika 🔥🔥
@rukingamaboar802
@rukingamaboar802 2 жыл бұрын
Pole sana unachukiya mtu usiye jua ata kuunda mdoli
@princebabu6977
@princebabu6977 2 жыл бұрын
@GS GS kabisa unajua tulimzoea sana Mtiga ila kila nikimsikiliza Professor namuona mkali kuliko Mtiga. Hongera sana kwake na huchoki kumsikiliza
@hallin9561
@hallin9561 2 жыл бұрын
maoni ya wabongo yan ni kusifia kaz za jamal tu. toa maon kuhusu content
@abelyoel1574
@abelyoel1574 2 жыл бұрын
mtiga alikuwa msomaji tu, mwandaaji alikuwa huyu huyu
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 2 жыл бұрын
Jmaaa ako sawa asilimia 💯 hnaga kitu kibovu hta siku moja kila akija ana kuja na kitu kipya chenye kuelimika na kuelewa kwa asilimia 💯 bgp kwake
@meekman1805
@meekman1805 2 жыл бұрын
Huku kwetu Imekuwa mtihani mpaka Ng'ombe wanazurura Barabarani na hakuna hatua yeyote inayo chukuliwa.
@sadasaid7212
@sadasaid7212 2 жыл бұрын
Hayo maneno ya mwisho yamenigusa mojakwa moja Mimi na familia yangu!! Asante kuntia moyo bro @jamal April Allah akulipe kher
@kimendehemed9664
@kimendehemed9664 2 жыл бұрын
Kabisa ni maneno mazima yenye kufunza
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 2 жыл бұрын
Nimeipenda kwenda chooni kwa jilani wangenikoma ningekula ovyo
@mundhiraly3368
@mundhiraly3368 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@jumahatib23
@jumahatib23 2 жыл бұрын
Allah akbar...mungu akuzidishie bro Jamaal 😙😚😘😗😍
@hxhs5700
@hxhs5700 2 жыл бұрын
Thanks professor for your story from 🇰🇪 watching from 🇸🇦
@zebedayobiswalo1924
@zebedayobiswalo1924 2 жыл бұрын
Its Tanzania not Kenya
@faithe4063
@faithe4063 2 жыл бұрын
Tuko pamoja
@faithe4063
@faithe4063 2 жыл бұрын
@@zebedayobiswalo1924 tunatoka Kenya but kwa sasa tuko Saudi Arabia ,hapo umeelewa
@manziwakisumu7887
@manziwakisumu7887 2 жыл бұрын
Well represented 🇰🇪🇰🇪
@raykidgolds3062
@raykidgolds3062 Жыл бұрын
@@zebedayobiswalo1924 Hey, anamaanisha kuwa anatoka Kenya
@alindingo1382
@alindingo1382 2 жыл бұрын
The story book ibaki milele..., 📙
@hawaijugantala7787
@hawaijugantala7787 13 сағат бұрын
Mungu akusimamie na akubariki sana niko Tanzania 🇹🇿 Dodoma
@HabibaKassim-ot3jg
@HabibaKassim-ot3jg 2 ай бұрын
Maashaallah stori ya mwisho imenifunza nakupenda tu prof allah akutunze amin
@mwilimtaji
@mwilimtaji 2 жыл бұрын
#Jamal your so awesome like 100 za Jamal.... KAZI KUBWA SANA NASHUKURUNI SANA MY FAM
@omarbaya1821
@omarbaya1821 2 жыл бұрын
Mingu akuajalie zaidi Jamal April..you're the best 👌
@emmanuelwanjala2580
@emmanuelwanjala2580 Жыл бұрын
Kenyans, we love you very much. Your history has a lot of lessons Education is an ocean, meaning it has no end. The lessons we study
@anamsangi2666
@anamsangi2666 3 ай бұрын
Hakika ukipatwa na jambo usihuzunike bali Mshukuru Mwenyezi MUNGU kwa maajaliwa, Aminah
@babalaobabalaobicrendi8761
@babalaobabalaobicrendi8761 2 жыл бұрын
Asante sana ila natamani sana siku moja usimulie kisa cha sheta alipo kuwa mbinguni na ilikuwaje mpaka akawa kuzimu natamani sana hiyo simulizi nashetani chimbuko lake ni lipi nimashwali yangu najiuliza tu
@asianoor490
@asianoor490 2 жыл бұрын
Shetani alikuwa malaika mpendwaa n Allah alikuwa akiitwa abbasijid...Allah alipomuumba adam wakaambiwa malaika wamsujudie,shetani akakataa ndio akafukuzwa peponi
@saidmadizi9152
@saidmadizi9152 Жыл бұрын
Shetani ni jinni sio malaika wewe
@anamsangi2666
@anamsangi2666 3 ай бұрын
JAMAL JAMAL,KATI YA WATU MUHIMU KTK NCHI HII🇹🇿🇹🇿🇹🇿, MUÑGU AMPE MAISHA MAREFU NA AFYA NJEMA,AENDELEE KUTULETEA KUTUELIMISHA INSHAALLLAH MWENYEZI MUNGU IBARIKI 🇹🇿🇹🇿 AMINAH
@kennedyprime3630
@kennedyprime3630 2 жыл бұрын
Your storybook today inspired me so much,it's like you wer talking to me ....Thank you Professor Jamal.. April..like if it has enlightened you , especially the last part
@winicatewainaina4456
@winicatewainaina4456 2 жыл бұрын
Proud Kenya 🇰🇪 we love Jamal.... continue shining 👏🙌
@josephstephen1079
@josephstephen1079 2 жыл бұрын
Hi Winny, habari za Kenya?
@LiegeEdward
@LiegeEdward 2 жыл бұрын
Ama namna gani
@husseinjuma3848
@husseinjuma3848 2 жыл бұрын
kwamimi binafsi hii sheria ya Japan ya marufuku kunenepeana hivyo nimeipenda sana. Maana nikwelikabisa unene uliopitiliza ni chanzo cha maradhi mengi sana
@sihledelihlazo7354
@sihledelihlazo7354 2 жыл бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa mana nilikuwa mtu mwenye kuuzunika kweli daah kutoka moyoni mwangu naomba anisame kweli daah 🤲🤲
@bazengario
@bazengario 2 жыл бұрын
Africa is always the best👌 proudly Kenyan🇰🇪Much love to you Jamal🇹🇿
@lngtanzania1557
@lngtanzania1557 2 жыл бұрын
Yaani nimeiangalia gari yangu inavyofanana muda huu,nikaishia kucheka. Naona leo ningekuwa urusi ningalala lockup 😂😂
@ericdiseteh8111
@ericdiseteh8111 2 жыл бұрын
😂 😂 😂
@khatijakhatija9518
@khatijakhatija9518 Жыл бұрын
Hiyo nikweli kwa inchi ya warabu kwani kuosha varanda enyewe nishida lazima uzuie maji kutofika kwa jirani au kufika barabarani 🥰jamal Allah akuzidishie
@happybrown3719
@happybrown3719 2 жыл бұрын
Proud to be Tanzanian 🇹🇿
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 2 жыл бұрын
Mmmmmmh unashindwa kutamani usafi! Na wavivu kufikiri 34 wanaku like!!!
@thefantasyworld6292
@thefantasyworld6292 Жыл бұрын
Me 2
@elijahhandsometheone1217
@elijahhandsometheone1217 2 жыл бұрын
My favorite... you are very educative
@callamahkbk3177
@callamahkbk3177 2 жыл бұрын
The King of Simulizi. Prof. Jamal Alaf tuandalie story ya Joseph kwenye biblia
@Maulambo
@Maulambo 2 жыл бұрын
oya japhef sisi ndio tunaangalia the story book mjomba🤣🤣🤣
@michaelmwita4191
@michaelmwita4191 2 жыл бұрын
Ss tunamalz mjomba
@Maulambo
@Maulambo 2 жыл бұрын
@@michaelmwita4191 😂😂
@westcijosh
@westcijosh 2 жыл бұрын
Sasa mbona hujatokea
@mamananga2849
@mamananga2849 2 жыл бұрын
Oya lazaro😂😂😂
@mundhirabdallah6450
@mundhirabdallah6450 2 жыл бұрын
😎nikitoa haya mawani mzgo utakua tayr big up broo
@pettmchoima9823
@pettmchoima9823 2 жыл бұрын
Gonga like nyingi kwke
@rinirietransfomaorenge4309
@rinirietransfomaorenge4309 2 жыл бұрын
Marekani Kusini nakupata Jamal am addicted na Story book 🇰🇪
@davidarimbaarimba1058
@davidarimbaarimba1058 2 жыл бұрын
Us Kenyan support to wasafi tunataka story book from kenya 🇰🇪
@salimkibwana5145
@salimkibwana5145 2 жыл бұрын
Hahaha kenya free country bro
@plastidiacasmiry2234
@plastidiacasmiry2234 2 жыл бұрын
Asante kwa historia nzuri na uenye ujumbe wa kidoni,Jina la Muumba lihimodiwe!
@emmahtamara4542
@emmahtamara4542 2 жыл бұрын
Hii sheria number 7 iekwe kenya, maana sivyo wanavyosahau
@danielmkama24
@danielmkama24 2 жыл бұрын
Jamal ckuiz watu wamekuelewa na mm nikiwemo na utanisamehe maana nlikupinga sana ulipokuwa unaanza🤝😃
@aishakwizera4242
@aishakwizera4242 Жыл бұрын
Hizo sheria siziwezi kwakweli apana😮😮
@wazambulitv5735
@wazambulitv5735 2 жыл бұрын
*Sheria 15 za kushangaza zaidi Duniani😃👇* 1. Singapore hairuhusiwi kula BIG G 1:39-3:49 2. Kosa kuendesha Gari chafu ukiwa Urusi na Dubai/ Driving Dirty 3:50-:5:23 3. Ukigongewa, Ni lazima umruhusu mtu kwenda chooni kwako, Scotland (bylaw) 5:24-6:53 4. Marufuku ku flash choo kuanzia saa 4 usiku, Switzerland (kelele) 6:54-7:29 5. Poland,Usivae T-shirt yenye mdoli "Winnie the Pooh" sababu hajavaa chupi😅 hata shuleni marufuku kuweka sticker za Winnie the Pooh 7:30-8:53 6. Bolivia,Marufuku mwanamke alieolewa kunywa wine🍷zaidi ya glass 1😅 8:54-9:28 7. Samoa Oceania, Marufuku mume kusahau birthday ya mkewe😂 9:29-10:28 8. Australia, Marufuku kuweka pingamizi kuwazuia watu kufunga ndoa😂 hata mchungaji akiuliza😂 10:30-11:15 9. Japan,Marufuku kunenepa ovyo😅 Kama wewe sio SUMO WRESTLER (utapia mlo)😂 11:16-12:05 10. MARY LAND STATE, USA Marufuku kupiga ramli😂 K.m tarot cards😅12:06-12:45 11. Korean Kusini na Japan Marufuku kuzima mlio wa camera 📷 upigapo picha (wambea😂) 12:47-13:25 12. Canada, Kosa Kulipa kwa masarafu mengi (currency act 1985😅) 13:26-14:15 13. Italy,Ni lazima kuwatembeza mbwa wako kila siku😅 14:17-15:26 14. Denmark,Marufuku kumpa mtoto jina baya😂 la sivo uombe kibali serikalini😅 15:27-16:15 15. Georgia State, USA Hatutaki kuku wako avuke barabara 😂 16:16-23:40
@jamesobedy3687
@jamesobedy3687 2 жыл бұрын
😇😇😇
@zanzibartv1131
@zanzibartv1131 2 жыл бұрын
🤣 umetishs
@omarysaidy5524
@omarysaidy5524 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@khadijazungu8627
@khadijazungu8627 Жыл бұрын
Hapo kwenye kufasha choo nakumbuka England kwenye mji wa Plymouth tulipata gest House 🏠 ambayo ktk sheria zake moja ni marufuku kukoga kuanzia saa 6 usiku hadi saa 12 asubuhi ndio wanaruhusu kukoga
@khadijazungu8627
@khadijazungu8627 Жыл бұрын
🤣🤣🤣😂😂😂 basi usiku tulitishwa jumba hilo 🤣🤣🤣
@nkwabihamis211
@nkwabihamis211 2 жыл бұрын
Hizi sheria si za ajabu ila kiuhalisia ni nzuri na ustaarabu
@dansonmketi4827
@dansonmketi4827 2 жыл бұрын
Hapo kwa mwanamke haruhusiwi kunywa pombe zaidi ya glass moja,,,ni sawa kabisa kwa sababu atabaki akiwa katika fahamu zake kamili👍
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 жыл бұрын
Marufuku kuku wako kuvuka barabara 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 akivuka utaona chamtema kuni
@masika.zubeda.430
@masika.zubeda.430 2 жыл бұрын
😅😅😂😂
@josephsimba3007
@josephsimba3007 Жыл бұрын
Mungu wangu akubariki jamal
@user-yk6dg4kl3s
@user-yk6dg4kl3s 4 ай бұрын
Kama una mpenda mshkaj gonga like
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 2 жыл бұрын
Professional unajua sana tena Una jua tena una elimisha sana na kufundisha sijutiii kukusikiliza
@wasalimie11
@wasalimie11 2 жыл бұрын
hapo kwa switzerland ni uongo mm naishi switzerland na saa hii ni saa nane na nimetoka chooni nimeflash sijawahi kuskia hiyo sheria ya kutokuflash maji baada ya saa nne sheria ni kwamba kutokea saa nne majumbani wapunguze kelele basi
@josephstephen1079
@josephstephen1079 2 жыл бұрын
hata yeye alimaanisha hivyo sema hapo ameongezea tu swaga ili kunogesha story
@Bumi-Jah_jr
@Bumi-Jah_jr 2 жыл бұрын
Jamal nimeipenda hiyo story ya mkulima kuna kitu nimejifunza Asante sana broo
@rovisonmashaija3198
@rovisonmashaija3198 2 жыл бұрын
Nimezipenda izo sheria
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 2 жыл бұрын
Polanda mmetisha na katuni wenu lakin vp tom and jerry
@PaulOrenge-eo4hb
@PaulOrenge-eo4hb 8 ай бұрын
Mola akubariki Jamal Mohamed Professor tuongezee the story book ikue atleast 1hr am tired of changing after 28 mins due to restrictions at work😊
@joykinya5605
@joykinya5605 2 жыл бұрын
I learn a lot from the story book
@maryamalhajri5886
@maryamalhajri5886 2 жыл бұрын
Hata kwetu Oman marufuku kuendesha gari chafu
@joackimmbonde4125
@joackimmbonde4125 2 жыл бұрын
Exodus6:2-3 2:And God spake unto Moses and said to him, "I am the LORD. 3 And I appeared unto Abraham, unto Isaac, and unto Jacob, as God Almighty, but by my name JEHOVAH was i not known to them
@martharogers6851
@martharogers6851 7 ай бұрын
Kama unapenda kutafuna tafuna, nunua ndizi ule 😂😂😂😂😂
@shijaolomi6800
@shijaolomi6800 2 жыл бұрын
J NNE nimependa sheria ya kuita watoto majina mabaya kwani majina yanaumba mfano ukimwita mtoto shida anakuwa MTU wa shida hivo hivo nimeona sana majina ya kiumba
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 24 күн бұрын
UNAMESALI MZURI SANA APRIL 😂😂😂❤❤❤
@rayyanabdul955
@rayyanabdul955 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Jamani izo Sheria hapana kwa kweli am proud to be a Tanzania 🇹🇿🖤💜🤝🏿
@praxedaandrewkato7472
@praxedaandrewkato7472 2 жыл бұрын
1. Danmark for the kids names I love dk my home. 2. Iwill go to the farmer and 3. Birthday is very important to remember to everyone. Thank Jamal for sharing with us and and God bless you 🙏 ❤ nice job iam always pass this story book but to day I see the one was good and funny in different countries in different ways 🤣🤣
@innocentprosper2338
@innocentprosper2338 2 жыл бұрын
ww9
@innocentprosper2338
@innocentprosper2338 2 жыл бұрын
Qoq
@micmac7035
@micmac7035 2 жыл бұрын
hapo kwenye sheria ya Canada kununuwa na sarafu tumepigwa kwani hata dolla 50 unaweza lipa kwa sarafu. I appreciate btw what u do. Keepm going
@alliyabdalla8083
@alliyabdalla8083 2 жыл бұрын
Sheria haijakataza kutumia sarafu ila kutumia sarafu nyingi ndo imekatazwa
@micmac7035
@micmac7035 2 жыл бұрын
@@alliyabdalla8083 na sasa ukiwa na sarafu tu unafanya aje? Mbona mimi kipindi cha mwanzo wa korona nimekuwa Canada kisha nikajikuta na sarafu nyingi sana alafu sikuwa nimebaki na pesa ya aina yoyote nyengine na nika survive kwakulipa ni hizo hizo sarafu. Sema tu ni ngumu kuhesabu sarafu zikiwa nyingi but sheria haija kataza coz pesa ni pesa. otherwise yanini ku keep producing sarafu nyingi sasa?
@micmac7035
@micmac7035 2 жыл бұрын
@@alliyabdalla8083 Canada nimefanya grocery kwa sarafu mimi.
@francoiskavusa-be5yn
@francoiskavusa-be5yn Жыл бұрын
Proud to be congolaise
@professorimmah
@professorimmah 4 ай бұрын
I wanna the story book which include THE MATRIX
@jamesmunyoki8549
@jamesmunyoki8549 11 ай бұрын
Proud to be a Kenyan 🇰🇪
@plastidiacasmiry2234
@plastidiacasmiry2234 2 жыл бұрын
Nimependq kule walikokataza kupiga lamri,katazajumpa mtoto jina baya na kutowatembeza mbwa
@pauljulius6898
@pauljulius6898 2 жыл бұрын
Hiii ya saba kiboko lazima ukumbuke siku ya kuzaliwa ya mkeo na kumpa zawad na kumfanyia sherehe lazima🔥🔥🔥🔥
@janaakimu6171
@janaakimu6171 2 жыл бұрын
Nakubali Nakubali KAZI zako Kaka MKUBWA Nazidowload hapa taratibuuu 👏👏💯💞
@vagaboy1777
@vagaboy1777 2 жыл бұрын
Gud bro endelea kutuelisha na mungu akuongezee palipo pungua
@iamprincefelix
@iamprincefelix 2 жыл бұрын
This is amazing prof ,najifunza mengi kupitia kipindi hiki🔥🔥
@dennistheuri8660
@dennistheuri8660 Жыл бұрын
More love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@naimabdul1231
@naimabdul1231 10 ай бұрын
Nice jamal mwisho wa hii video umeongea makubwa mno
@jeremiahmiami1277
@jeremiahmiami1277 2 жыл бұрын
Proud to be Kenyan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@divavlog2764
@divavlog2764 2 жыл бұрын
Aw!! I will go for the birthday 🤣🤣April thenx so much!! Your're the best in the west!! Ranking you the top!!!🥰
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Unatupa saida kubwa sana aisee hongera
@efraimrichard6440
@efraimrichard6440 2 жыл бұрын
Kwenye majina ya watoto na kutoweka kipingamizi kwenye ndoa izo sheria zije na huku kwakweli
@lyricssongs7009
@lyricssongs7009 2 жыл бұрын
Muendelezo wazingine Sheria tupatiye brother
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
Asante sana my brother from another mother
@mishymorgani5828
@mishymorgani5828 Жыл бұрын
Hapo kwenye liflash Choo pameniacha hoi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@adudud740
@adudud740 8 ай бұрын
wow thank you so much the last story was amazing
@yannickmustafa323
@yannickmustafa323 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulinde
@hawaijugantala7787
@hawaijugantala7787 13 сағат бұрын
I love the story book 📙
@lovergar3833
@lovergar3833 2 жыл бұрын
Leo nmechelewa san but so mbaya kazi nzur Jamari aprili 👏👏👏
@user-yb9bq3vw3o
@user-yb9bq3vw3o 6 ай бұрын
Nakupenda mpk naumwa😂
@jdeoffspliny2594
@jdeoffspliny2594 24 күн бұрын
Yan sheria ya hacha watu waoane 100/= 😂😂😂😂😂japan ni marufuku kunenepa ovyooo
@luismhasi2139
@luismhasi2139 Жыл бұрын
Professor nataka niendeleze kazi Yako ukichoka Niko inspired na weww🇹🇿🇹🇿🙏
@ismailbakari9291
@ismailbakari9291 2 жыл бұрын
Tema matee chiniiii weweeeeeh ,nimeichukua hii ya (labdaaa)
@shugaagadam6891
@shugaagadam6891 2 жыл бұрын
Iyo kuhusu Canada 🇨🇦 aina hukweli wowote kwa sababu naishi Canada
@genarahaswile2990
@genarahaswile2990 2 жыл бұрын
tuelezee ikojee,na ufatilie huko km ipo ila imepuuzwa au vip
@ashunebebi9518
@ashunebebi9518 2 жыл бұрын
Masha Allah
@worldwidemedia570
@worldwidemedia570 2 жыл бұрын
umeona tu sheria za wenzetu je hizi sheria zetu za kuchora chora namba kwenye ukuta kwamba ndio wanahesabu nyumba haujaziona
@antonyjackdancer9123
@antonyjackdancer9123 2 жыл бұрын
Hatari Moto 🔥🔥🇰🇪🇰🇪
@moebcsm3615
@moebcsm3615 Жыл бұрын
Tunashukuru saana kaka jamal
@zanimohaa017
@zanimohaa017 Жыл бұрын
Prof Jamal hongera sana,unatuelimisha
@rachelmukazayire8293
@rachelmukazayire8293 2 жыл бұрын
Hapo kwa birthday nahamia 🔥🥰💕
@swaibakamikazi-tj7py
@swaibakamikazi-tj7py Жыл бұрын
Iyi y kubig ramli nimeipenda saaan
@mbwayastatehouse695
@mbwayastatehouse695 3 ай бұрын
Ramli n nini
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 2 жыл бұрын
Nikweli kabisa Jamal hku oman ukiendesha garichafu wakamatwa nafainjuu
@wallenpilrapt6679
@wallenpilrapt6679 2 жыл бұрын
Tafuteni kitu ya kufanya 😂🙄Mkurugenzi for life 🇰🇪 🇰🇪 support Abel mutua achana na hii shiet 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@husha6372
@husha6372 2 жыл бұрын
KATIKA Sheria ya uingereza hairuhusiwi kupiga honi kwanzia usiku saa Tano Mpaka saa KUMI na mbili Za Asubuhi fine ya point 3 Za leseni na fine ya pounds hamsini
@happyswai8299
@happyswai8299 2 жыл бұрын
Kwa Tz wamasai ni marufuku mama wa kimasai kula nyama hao ni utumbo tu nyama ni wanaume
@richardvallerian1003
@richardvallerian1003 4 ай бұрын
As a lawyer nimependa sana ulivyo define maana ya by-laws!
@josephmwaluko6126
@josephmwaluko6126 Жыл бұрын
Dah mwanzo nilizani wasafi wamezingua kumtowa jamaa kumbe wametuletea kitu kizuri zaidi ukiachana na elimu ya dalasani naiyona hekima kwako jamal
@yasinihussein7865
@yasinihussein7865 2 жыл бұрын
Unyama sana✌️😎
@abokeasukulusucre3430
@abokeasukulusucre3430 2 жыл бұрын
Hizo sheria hadi hivi bado zikingali ahu zilikuwaga zazamani ebu nijib itapendeza sana
@Feyzabintihussenibihusse-fq1kg
@Feyzabintihussenibihusse-fq1kg 11 ай бұрын
Shukrani
The Story Book: Mambo 20 ya Ajabu Zaidi Ya Viumbe Na Wanyama Pori
37:48
The Story Book: Watu wenye uwezo Usio wa Kibinadamu.
31:02
Wasafi Media
Рет қаралды 655 М.
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 9 МЛН
DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA LUMUMBA NA  KUYEYUSHWA KWENYE PIPA LA TINDIKALI
36:42
SE1 EP4 Asili na Historia ya Mkoa wa Mbeya
8:13
Tanzania travel show
Рет қаралды 3,5 М.
The Story Book: Mike Tyson Aliyebarikiwa na Kulaaniwa
49:27
Wasafi Media
Рет қаралды 873 М.
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН