MBARIKIWE NA HONGERENI KWA UJUMBE MZURI SANA NA KAZI MAKINI MNO
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Asante sana. Ubarikiwe pia
@prAlmodad Жыл бұрын
Vanpro ni producer no 1; huwezi kumpa kazi akakuangusha! Kazi makini sana
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Sifa kwa Mungu wetu
@jullyanne13468 күн бұрын
Ninabarikiwa sana na huu wimbo. Amina Amina
@revivecompany-oe5we Жыл бұрын
God bless you the Worriors voices,huduma yenu iwafikie wengi zaidi
@namsifumaduhumwita2495 Жыл бұрын
Great, great, great work. Mziki na ubunifu mkubwa. Kweli kwa Yesu ni raha sana
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Asante sana Mungu atukuzwe
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Asante sana Dada. Ubarikiwe.
@TabithaMamboleo-eh6pd Жыл бұрын
VanPro ni Zawadi uliyo nayo Ana mengi, tumtakie maisha marefu. Script na kazi zake zina kiwango cha juu sana
@cathydoty351 Жыл бұрын
Ameen
@kissahmakama8538 Жыл бұрын
Mnenikumbusha za bb zetu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 be blessed kaz nzuriii💞💞💞💞💞
@DorahMcharo-d4j4 ай бұрын
Mbarikiwe bwana awaongoze katika uimbaj wenu
@PamelaKajiru9 ай бұрын
Ni mibaraka ya Bwana tuu🙏
@mairamagoma6859 Жыл бұрын
Wimbo mzuri, ujumbe mzuri, Sauti nzuri na video nzuri, mbarikiwe
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Asante sana. Ubarikiwe pia
@barakajoseph7175 Жыл бұрын
Bwana apewe sifa 🔥
@cathydoty351 Жыл бұрын
Ameen🙏
@barakageorge1300 Жыл бұрын
Nimebarikiwa😇
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Amina. Asante Baraka
@ellyngussa201 Жыл бұрын
Ameen
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Ameen. Thank you Elly
@calebzseneda1777 Жыл бұрын
One of my best song ever 👐👐👐
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Thank you Caleb. Glory to God
@calebzseneda1777 Жыл бұрын
Aimen
@joshuamaro9604 Жыл бұрын
Mibaraka ni tele, Mungu atukuzwe
@marcelinahosea1794 Жыл бұрын
Mungu awalinde 🙏🙏
@IbrahimKondo-x5n Жыл бұрын
Bwana awabariki sana tuna barikiwa na nyimbo zenu zina tusogeza kalibu nakristo Mungu awa bariki 🙏
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Amina. Asante sana
@YOMYSTUDIOS Жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa kazi njema sana ,songeni mbele kwa kazi ya Bwana.
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Amina. Asante sana ubarikiwe
@UpendoNguge Жыл бұрын
Hongereni sana ❤❤❤
@enocklawrence Жыл бұрын
Wimbo unabariki😊
@michael-o5i6i Жыл бұрын
Nice melody nice shots nice song ... Glory to God You are amazing 🙌
@isacksimkonda3447 Жыл бұрын
Mbarikiwe kwakweli hii ni mibaraka tele...❤❤❤ #my sister Catherine hongera zako binafsi😅
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Amina. Asante sana
@cathydoty351 Жыл бұрын
Amen amen,,Asante my kid#little bro♥️
@soulhealingmedia Жыл бұрын
Mbarikiwe Kwa kazi nzuri
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Amina. Asante sana
@kisonajohn367 Жыл бұрын
Barikiweni kwa kazi njema nimebarikiwa Sana na wimbo huu
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Amina
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Asante sana Kisona John
@timothyonyando65267 ай бұрын
❤ mziki taratibu.
@erikamniko5761 Жыл бұрын
Hongereni sanaaa this is so wonderfull the voices are amazing the arrangements but the message also ❤️❤️❤️🫂🫂
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Erika. Asante sana ubarikiwe pia
@ellymndima176 Жыл бұрын
Kazi nzur mno. Mungu awabariki
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Asante sana Elly
@miriamdaniel1994 Жыл бұрын
Wimbo mzuri mbarikiwe zaidi watu wa Mungu
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Asante sana Miriam. Ubarikiwe
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Asante sana
@vavayotv1176 Жыл бұрын
Mzidi kuinuliwa
@hembedaudi Жыл бұрын
Be blessed Warriors tz 🎉🎉
@cathydoty351 Жыл бұрын
Ameen Hembe,Barikiwa pia
@winnierushe6799 Жыл бұрын
Mungu atukuzwe sana
@oppaart-e7u Жыл бұрын
Amen I love this song
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Thank you Yirmeh
@luciusmarwa4398 Жыл бұрын
Kazi nzuri, Mungu awabariki sana na director wenu VANPR... songa mbele kwa utukufu wa Mungu
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Amen
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
@@luciusmarwa4398Amina. Jina la Bwana lipewe sifa
@apexdesigntz Жыл бұрын
Director kawawezea kabisa your realy perfect mko unique than other singing groups mmekua kiyoo kwa wengine mmekua wabunifu through this song our Almight God be with you and blessing will be as falling rain from the cloud 🙏🙏🙏🙏
@cathydoty351 Жыл бұрын
Ameen Amen...Barikiwa sana
@hellenapetter Жыл бұрын
Amen mbarikiwe
@BensonJoshua-iw4wg Жыл бұрын
Ameeen
@rakhelemmanuel5877 Жыл бұрын
Kaz nzur msonge mbelee🎉
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Amina. Asante sana. Ubarikiwe
@lisabyampanju995 Жыл бұрын
Adi rahaaa🌹🌹🌹
@edwinchirandi8810 Жыл бұрын
Ubunifu mzuri
@isayambetwa6564 Жыл бұрын
Barikiweni watumishi
@kilindumusic Жыл бұрын
Kazi njema wazee.. Van umetisha
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Asante sana
@nyahirichacha4877 Жыл бұрын
Mbarikiwe 🙏
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Amina. Ubarikiwe pia
@eliemoses138 Жыл бұрын
Dah! Aloo aloo , Creativity+Good harmony+sweet voices= a real #Cake_Music_derivery Mbarikiwe mnoo Mmetendea Haki Kila kitu... Kwa niaba ya Kila kiumbe Cha Mjini Mbeya pokeeni salaam.
@dicksontech4794 Жыл бұрын
Aminaa
@cathydoty351 Жыл бұрын
Ameen amen Bro Elly,Barikiwa na endeleeni kubarikiwa zaidi
@ezranzalla6187 Жыл бұрын
Barikiweni Sana
@kongoweadventistprimarysch9892 Жыл бұрын
Wimbo mtamu kila kitu ni kizuri umu ndan. We have in love na wimbo so sweeet😊. The worriers voices keep on moving.
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Amina Asante sana. Jina la Bwana litukuzwe
@UpendoNguge Жыл бұрын
Wonderful song
@machagejr Жыл бұрын
Amen 🔥
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Amen. Thank you Mr Machage
@mwikwabengareri Жыл бұрын
Mbarikiwe na songeni mbele nawaombea
@cathydoty351 Жыл бұрын
Amina,,,asante sana
@AsafuGaston6 ай бұрын
Haleluyaa
@sultanbonifas2005 Жыл бұрын
mbarikiwe
@cathydoty351 Жыл бұрын
Ameen barikiwa pia
@emmaculate-bj4dx Жыл бұрын
Amen 🙏
@shedracknyoni2599 Жыл бұрын
Kazi nzuri mbalikiwe
@sophienyamhanga3484 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@cathydoty351 Жыл бұрын
Amen,Barikiwa pia
@jacksonkendavis8689 Жыл бұрын
I love the song ❤❤
@thewarriorsvoices Жыл бұрын
Amen
@elijahmarwa4490 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana. Hakika wimbo huu ni mbaraka.
@cathydoty351 Жыл бұрын
Aminaa,,Asante sanaa
@mshed131 Жыл бұрын
❤❤
@yohanamabuba350625 күн бұрын
Mbarikiwe sana sana. Nimependa nyimbo zenu. Natamani nibarikiwe na nyimbo kama hizo. Naomba namba ya mtunzi wenu au Mwl wenu. Namba yangu ni 0767565709