Kwa sala tu✨✨💯....this song encourages me to take all my sorrows to the Lord in prayer.....Amen and Amen
@FebroniaMsilanga2 ай бұрын
Nawapenda sn ila muimbe kwa kufulia itamwinua san Mungu kuliko kuimba Kwa ishara unaleta vurugu nyimbo zenu ziwe na uzuri zaidi
@BibiAna-p5q2 ай бұрын
Wimbo umenibariki mno Mungu aendelee kuwatumia kutuhubiria kwa njia ya uimbaji
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
Ubarikiwe
@celestinamsabila8462 ай бұрын
Wimbo mzuri sana Hakika ni maombi tu
@LoyceMuhere2 ай бұрын
Mwende mbali watu wangu wa nguvu.
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
Amina. Asante Loyce
@olpajeremia32102 ай бұрын
Aisee🤜 kula tano kwanza hapoo
@NAVOMSUYA-g8d2 ай бұрын
Mnanibariki na nyombo zenu Mungu azidi kuwainua, mziki makini hauna kelele hakika mnanibariki. Anajishughulisha na mambo yetu🎉🎉
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
Amina. Ubarikiwe
@LucyWatson-q3u25 күн бұрын
Napenda huduma yenu balikiwa sana😍😍🔥🔥🔥
@anointedsingerstz8612 ай бұрын
Maombi, what a nice msg ... Mbarikiwe mno rafiki zetu
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
@@anointedsingerstz861 asante sana marafiki Anointed singers
@jobmusic40272 ай бұрын
Naam, Mbarikiwe watu wa Mungu,Binafsi nimebarikiwa kwa ujumbe mzuri unaokumbusha Maombi, mpangilio wa sauti uliotulia, video nzuri haichoshi kutazama. Kwa kweli Mbarikiwe Sana Sana. Dodoma Tunawapata vyema. Karibuni
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
Ubarikiwe pia. Asante sana
@iamseronga8152 ай бұрын
Mbarikiwe sana the worriors, kweli ni kwa maombi tu.
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
Barikiwa James
@denischarleskalwenje8562 ай бұрын
Nawapenda sanaaa na nabarikiwa na nyimbo zenu,mpangilio wa sauti ,video quality,na nasubiria EP ya pili( second EP)
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
Ubarikiwe Denis. Second EP itakuja soon
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
Asante sana Denis
@denischarleskalwenje8562 ай бұрын
Endeleeeni kutubariki na mbarikiwe zaidi ila ntafurahi ata mkifanya wimbo na Annointed Singers from Morogoro
@thewarriorsvoicesАй бұрын
Tumekusikia. EP ya kufungia mwaka inakuja tarehe 31
@simonmbwambo36602 ай бұрын
Nawapenda sana Bwana aendelee kuwapigania wimbo mzuri cyane 🎉
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
Amina. Asante sana Simon
@magrethkasabuku16322 ай бұрын
Wimbo mzuri❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
Barikiwa Magreth.
@AlphonceRachel2 ай бұрын
Aminaaa sana the warriors mmenibariki sana, Mungu awainue mzidi kutumia zaidi na zaidi Kwa KAZI ya Bwana.
@thewarriorsvoicesАй бұрын
Amina Asante sana
@AlphonceRachelАй бұрын
@thewarriorsvoices Mbarikiwe sana.
@JohnAbel-l5g2 ай бұрын
Mziki uongeeee 👏
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
Amen. John
@MzaziMwidete2 ай бұрын
Aminaaaa ! M barikiwe kwa uinjilisti makini !!
@winnierushe67992 ай бұрын
Mungu awatangulia na kuwalinda
@jmbaka0072 ай бұрын
Amen.
@dicksontech47942 ай бұрын
Nabarikiwa sana na Huu wimbo, Umeanza na kuisha na nguvuu Utukufu kwa Munguu
@CercyChacha2 ай бұрын
Nice song, the vocals sync well with the instrumentals not forgetting the great message, pray 🙏.
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
Amen. Glory to our Lord. Thank you for your support
@LilianMjema2 ай бұрын
Amina barikiweni ujumbe mzuri sana Mungu awe nanyi daima
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
Amina. Barikiwa Lilian
@zephaniahamiri27302 ай бұрын
Familia ❤
@Director_Hermz2 ай бұрын
Safi sana
@doreenkimory46182 ай бұрын
Nimkumbushe tuhojiane ...Mbarikiwe sana🙏🙏
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
Amina. Ubarikiwe pia Doreen
@ericchacha36402 ай бұрын
Kazi nzuri brethren, Wacha mungu abariki kazi ya mikono yenu 🙏
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
Barikiwa Erica
@mosesamram2266Ай бұрын
Nice song. Blessed Sana.
@cathydoty3512 ай бұрын
God bless you The warriors voices❤
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
Thank you. Be blessed
@fabrianjr91632 ай бұрын
Waaao amazing song 😊😊
@ChristinaHamisi-sb3gq2 ай бұрын
Mambo fire🎉
@barakajoseph71752 ай бұрын
Woooow🎉🎉🎉🔥🔥
@AminaWilfred-zz6dj2 ай бұрын
Amen 🙏
@tinamwilongo77392 ай бұрын
Nyimbo zenu video zenu mara zote huwa ni unique sana mbarikiwe🥰🥰🥰
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
Asante sana Tina
@DorikaMwita2 ай бұрын
Ameen...Mbarikiwe sana
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
Amen
@nobertsilayo16212 ай бұрын
❤
@kisonajohn3672 ай бұрын
Amen tuendelee kubarikiwa
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
Asante sana Kisona
@rachellameck6112 ай бұрын
Aminaaa
@MonicaNyakulinga-ts8qo2 ай бұрын
Be blessed 🙏
@thewarriorsvoices2 ай бұрын
Amen. Thank you
@JonasKasinziroАй бұрын
Mubarikiwe sana kumbe mupo !! Mume nijenga sana Niko drc Congo❤