Рет қаралды 29,517
Amezungumzia kuhusu maamuzi mbalimbali ambayo Serikali imekua ikipuuza kutoka kwa Mahakama ambayo yamekuwa yakiathiri moja kwa moja maisha ya watu.
wakili Nshala Amesema ku na haja ya kuwa na Sheria ambazo zitailazimisha Serikali kuwatafuta waliyopotea kulingana na mikataba ya kimataifa kama ambavyo Taifa limkubaliana na mikataba hiyo.