Hongera sana wapiga kura kwakujitambua tuweke safu ya wanasheria kuanzia ngazi ya taifa mwkt Hadi huko ngazi ya chini ili kuondoa ubabaishaji pia hongera John pambalu
@najimsuleiman369013 күн бұрын
Na Kura za Mbowe na Lissu zitakuwa hivi hivi!!! Big up Makamanda🔥🔥🔥
@BlandinaLukole13 күн бұрын
Hii ndo Chadema ya kweli 👍👍👍
@barryrioba393412 күн бұрын
LISSU ☑️ HECHE ☑️ MBOWE ❌ WENJE ❌
@BonifaceBonala-w9j13 күн бұрын
Mbowe kua muungwana jitoee undelete kuheshimika uitwe mstaa fu
@giftkalenge41812 күн бұрын
safi Santa unapo itaja Tanganyika unanikosha sana
@TM-zs3rm13 күн бұрын
Hongera sana ndugu kwa kushinda.
@YohanaloomboyLukumay13 күн бұрын
Safi sana mtangasaji, kila mtu ameridhika, Nani hiyo ndio democrasia,
Kwa mahinyili hapo tumeshinda guys. Jamaa ni mtu kweli
@agustinoombay957713 күн бұрын
Ahsanteni wajumbe
@rockcitynative998513 күн бұрын
Lisssuuu
@davidkawesa359413 күн бұрын
Mbona wanashangilia lissu
@Mr.Tingatinga13 күн бұрын
Licha kua Mimi ni CCM nikiiwakilisha familia yangu .. na ukoo wangu natangaza kumuunga mkono TUNDU ANTIPAS LISU.
@davidnyambuche35213 күн бұрын
Ubarikiwe
@yustodonald977213 күн бұрын
Mbowe kayakanyaga hata vijana wanamtaka lissu
@DiwaniMwafongo13 күн бұрын
Hivi si ni aibu kwa Mbowe????? Wanavyomtaja Lissu..lisssu......what does it mean??
@yustodonald977213 күн бұрын
Even us we don't know but think the game is over to mbowe
@FimbombayaKimbwi13 күн бұрын
Mbowe kaka yangu acha kujipa upofu wa fikra linda heshima yako kwa kutangaza kujitoa la sivyo yajayo Ni makubwa zaidi
@ogossygassayachacha698812 күн бұрын
Mhe,mbowe sikiliza nguvu ya umma utunze heshima yako na kizazi chako,, umefanya mengi mazuri katika Taifa letu
@yustodonald977213 күн бұрын
Hii hatarii kwa mbowe😂
@ElihurumaThomas-kz8nq13 күн бұрын
Watanzania wanaielewa Chadema shida ni mwenyekiti kashauza chama
@benedictmrisho180013 күн бұрын
Uchaguzi huru na halali huwa ni burudani.kuliko michezo yote. Wanaochafua chaguzi wajue hunyima watu wa Mungu burudani.
@BichongolaInvestment13 күн бұрын
GOOD GOOD
@barryrioba393412 күн бұрын
MBOWE pumzika MBOWE pumzika MBOWE pumzika
@Ramadhanilawoga13 күн бұрын
Subirini awaschie chama muishie gere,,,
@emanuelinaman824013 күн бұрын
Mbowe jitoe kwa heshima yako umehudumu muda mrefu
@DaviesChitumbula13 күн бұрын
Ttume mufundisha mbowe
@ngalamawecheslous997613 күн бұрын
😂
@jeunajuatv81713 күн бұрын
Nilijua jamaa wa mpwapwa atashinda 😅
@NicholausVedasto13 күн бұрын
Mbona hamfanyi mambo yenu beyond ,mnaiga mambo yaleyale tu km ccm,kwaiyo hata mkichaguliwa kuongoza serikali hakutakuwa na mabadiliko yoyote.kwa upended wangu naiona CCM ikitawala miaka yote kumbe ndio kioo cha vyama vote nchini.
@FilbertMsongela-xt9tq13 күн бұрын
Endelea na moyo huohuo ndugu yetu sisi ndo tunapepea hivo hahahaha