MSANII MKUBWA WA COVER ZA WCB PRECIUOS MERRY KAGOMA KUTONGOZWA.
Пікірлер: 83
@barodalkaagahooyo92803 жыл бұрын
I am from somalia I had listened the song of African beauty actually I liked wherthe music or your voice
@raphaelkopwe44645 жыл бұрын
Nimempenda sana Huyu dada
@albertinemacimu12475 жыл бұрын
Kiukweli 2siwe wa choyo wewe huwaga ni mzuri dada hongera
@shawnkaswada89725 жыл бұрын
i love ur music
@shawnkaswada89724 жыл бұрын
you look gorgeous precious ...u r beautiful and i love your songs
@mussakanungila11135 жыл бұрын
Yanai awawaandishi wapuuzi sana mb zetuzinaenda blue shenz
@nasrimohamed75565 жыл бұрын
Kazi kuponda 2 dem mzry na anajielewa sn 2
@malaikaeliud69615 жыл бұрын
ongea kiswahil tu naww mbn unangaika angaika hee
@augustinewiraka22945 жыл бұрын
Nimependezwa na majibu ya huyu dada huyu ni kama wanawake wetu was 254
@nordinebaraca47885 жыл бұрын
nós chamamos de marandzas esse tipo de mulher🙃🙃🙃🙃
@siamuchunguzi5 жыл бұрын
Huyu mwandishi ni hovyooooo, maswali ya kipuuuzi, sijui ana elimu gani! Duh!
@radjmanofficiel10625 жыл бұрын
Mzuri sana kabissa mshijana
@justinwakudat67925 жыл бұрын
Kweli dada mzuri ila mwuliza maswali shenzi kabisa
@djgmp81405 жыл бұрын
Oy mshkaji eeeh acha izo uyo mtoto me namtaka niunganishe nae
@samorakigosi3365 жыл бұрын
Nakupenda sana ww dem
@MarthaBwalya-jy7nmАй бұрын
Wow
@chabbyspygrenademsomali29145 жыл бұрын
bongo hayo maswali yakifala
@cheerfulboy34815 жыл бұрын
Nyny waandishi hebu ulizeni ya maana achana na personal life
@mpendaellyjoelly77805 жыл бұрын
Muulizwaji na muulizaji wamekutana akili sawa
@edmark15075 жыл бұрын
Mpendaelly Joelly77 hhhh🤣🤣🤣
@delsonandrea52235 жыл бұрын
huyu mwanamke anaonekana muongo sana,,, ndo wale matapeli wa mjin siwez hata kuoa...
@iminzaiminza58135 жыл бұрын
Pwahaha
@fubanjenjele5215 жыл бұрын
Mwandishi umezimika kwa huyo manzee Kanajibu vzr Ila maswali ni bongo lala
@victormwansasu87645 жыл бұрын
Waandishi Wa bongo Niwaongo kinoma yani COz Kichwa habali na Maudhui yalio bebwa ndani nirofauti kabisa Ndio Wote wanatafuta ugali Lakin Wanashindwa kutambua kuwa Ninavo Elewa mm tofaut na Anavo Elewa Mwingne .Jamani Waandishi Kumakinika kunataka Umakini take it
@abdillahawadh60065 жыл бұрын
Lazma uwazoe hayo ndio maradhi na ugonjwa mkubwa walionao. Yaani wajinga hawana ubunifu kabisaa.
@husnahassan45045 жыл бұрын
bora nimesoma comment yk mapema kabla cjamaliza kuangalia nikamuongezea views
@rockystare6635 жыл бұрын
She so cute
@norahrajab81645 жыл бұрын
meng anaongop 2
@maryclarechaprukha96605 жыл бұрын
kwani ninatakana au.VIP?kwasababu mnajiuliza mnasimail2 kwa cheki huyo dem kwani muulizaji ukounauliza nn .kwani mmeingizana box au vi
@kingbabumusictzkingbabumus62855 жыл бұрын
Inabidi tujue Kati ya kutoa na kuhonga alaf ndo tuulizane maswali
@bakarisechala49515 жыл бұрын
maswali yakipuzi
@sammisifa5 жыл бұрын
Naona mtangazaji anamuiga Jonijooo😂
@mayusay12255 жыл бұрын
yani wa tz bwana kujifanya mnajuwa English uyudemu achebangi kila neno English wengine awa elewi
@neyzabraham8875 жыл бұрын
Nenda shule kijana
@piterndanamba62875 жыл бұрын
We muuliza maswali ww umempenda uyo mtoto nn kwamaan ckwamaswali hayo
@asseidymbawala20905 жыл бұрын
Sio mtoto uyo kashazeeka
@gogohehe86645 жыл бұрын
Oyo mutangazaji unabowa
@samorakigosi3365 жыл бұрын
Duh mtt
@samorakigosi3365 жыл бұрын
Dem mtam huyu duhhh
@monalisasalum83265 жыл бұрын
mh
@edmark15075 жыл бұрын
Mtamu kweli ila anaonekana muongo flani hivi
@naomidaniel54255 жыл бұрын
Nilikua namkubal sana huyu marry lkn skuiz hpn seemz ana nyodo,dharau,misifaa,muongo,anajickia kha! Your too much lol
@kimarokashi25845 жыл бұрын
Tomboy namjua huyo dem..😂😂
@jumachihipu88985 жыл бұрын
mwenye namba za huyu duu anitumie
@mulingendambuki13965 жыл бұрын
Njoo Nairobi they don't understand English
@monicajulius9055 жыл бұрын
Huyo mtangazaji angetakiwa anipate mimi kwasababu🤣🤣sijui(maji kwenye glasss???🤦🏿♀️🤦🏿♀️🤔🤔
@theminutestv5 жыл бұрын
Karibu utakangaze 😂😂😂😂😂😂😂
@hawaafrica8035 жыл бұрын
Maswali gani hayo
@everema36735 жыл бұрын
hata haelewek
@almassilvano58725 жыл бұрын
Huyo demu hamna kitu kabisaa,yani anamuongelea mwanaume kama anaongelea jinsia yake vile.anahisi kulima ndio ukakamavu
@maryangela1075 жыл бұрын
yani tumeendana vitu vingi kuhonga huko kwema labda sijui
@theminutestv5 жыл бұрын
Hahaaaaaa karibu sanaaa nawewe tukufanyie😂😂😂😂😂😂😂😂
@colepapichulo44225 жыл бұрын
Haya mauchafu mengine tcra fungieni yanatuibia bando letu tu
@mcjayz86865 жыл бұрын
Alikupa zawadi juweni kiswahili harafu na theminutes mbona hao tu nasisi interview ila umalize mb za watu
@naomimmary38855 жыл бұрын
We unae uliza maswal rud shule, cz sikuelewi
@Respicius5 жыл бұрын
Kapo vizuri
@aishayahya76875 жыл бұрын
Watangazaji wengine wanamaswali ya kipuuzi Yan stupd