Рет қаралды 174,876
Hawa ni waimbaji ambao baadhi walikuwa kwenye makambi ya wakimbizi yalio kuwa tanzania wakiwa Raia kutoka BURUNDI
kwaya hii hupatikana kusini mwa Burundi katika Mukowa wa makamba
wilaya ya Nyanza-lac
(Uamsho Kwaya E.U.S.E BU -Rukombe Nyanza-lac Makamba Burundi)
kama una swali kuhusu nyimbo hizi waweza
kutumia
stevenraphael28@gmail.com/ +18325961463/ fb Steven biko Raphael
Mungu abaliki waimbaji hawa na Mungu akubariki wewe mtazamaji