Kama huu wimbo unazidi kukubariki 2023 gonga like tukiendelea
@maulidsaid94483 жыл бұрын
Dah kama kwaya hii imekukumbusha mbali kama mimi gonga like ya nguvu hapa 😄
@SimonMwapinga5 күн бұрын
Hatari 2024 nipo nayo mkuu
@Mjukuuu2543 жыл бұрын
nani ako hapa 2021 i miss that life ni kitambo sana ...leteni traffic hapa
@fabianalfredy88892 жыл бұрын
2022 hapa
@nephiousyobe3 күн бұрын
2024
@hebronsdaughter16613 жыл бұрын
Hakikisha jina lako limeandikwa mbinguni amen Hallelujah
@user-fg5he4qc1t11 күн бұрын
Munitumiye,jina,yawaimbaji,Hawa,nawapenda,sana,
@sharonjadeya49682 жыл бұрын
i really love this song,it makes me feel the real salvation, glory to God
@zakariaanyitike95862 ай бұрын
amina
@williamkirway50743 жыл бұрын
Tunakumbushwa wakristo,kuandaa ukamilifu wa imani zetu hapa duniani.tusiwe wakristo wa majina,waimbaji mbarikiwe sana.william Cresent wa Vatican haydom-manyara 03-11-2020.
@malamlaaj98522 жыл бұрын
George Njabili Bonge. Wa Kiwira huyu pale mabuchani ! Marehemu. Aliushusha kweli wimbo huu.Eti jamanii.
@mwananyamalaz442711 ай бұрын
Amakufa line George? 😭
@danielwera56183 жыл бұрын
my all time greatest song. It makes me see the real salvation
@henrymballa52633 жыл бұрын
Enzi hizo nilikuwa najiona kama MUNGU kesho tu anashuka.
@mwananyamalaz44272 жыл бұрын
This song reminder me back 2005 when i was in kigoma I still listening 🎧 woow it is amazing God bless 🙏 from Australia 2021
@mcjonah23333 жыл бұрын
True Gospel of Jesus Christ ! May God Lord help us to leave according to His Holy Word !
@Bennben_2546 ай бұрын
7th Jan 2024 2:18am listening to this Gem God bless you all for administering His work🙏🙏🙏
@macstar36083 жыл бұрын
Inanikumbusha mbali sana
@williamkirway46203 жыл бұрын
Tusiwe wakristo wakubatizwa tukipata majina,kanisani hatuendi wala kumwabudu mungu tena.tumebatizwa nakumkataa shetani tuhakikishe majina yapo mbinguni tupate uzima wa milele,tusiwe wasindikizaji.12/2/2021
@marymosansa3652 жыл бұрын
Glory n honour to God for the wonderful message.
@matematicaparasi72383 жыл бұрын
Thank you for sharing this great song It really touch my heart... Thanks, 😘
@zachariahmichira8288 Жыл бұрын
Be blessed lulu choir for excellent songs God bless you so much
@kenyanyavanistir30642 жыл бұрын
Women of God can dance that good... hakikisha.... lovely song
@meshackntoga15662 жыл бұрын
UHAKIKA NI Kuachana na Maigizo na Injili za Faraja za Unyongeeeee.(KEMEA NA KUONYA DHAMBI)
@user-ss8ol3gy9m13 күн бұрын
Halelluhya mbarikiwe kabsa naupenda huo wimbo with my heart❤
@janethbaraka92313 жыл бұрын
Asnte MUNGU kwa ajl yenu nlkua mdgo xn akt nackia hizi nyimbo bt tunaamini bado kile mlchohubiri knaishi,,,
@oliverhewas3379Ай бұрын
No one is talking about the vocalised and harmonised lead guitar and the marimba voice on the keys wow!😂😂😂 my all time favourite choir of all time.
@ericdavid87622 жыл бұрын
Amen
@boscojamesayoub36103 жыл бұрын
Ni kweli kabisa mbarikiwe sana watumishi wa Mungu, nyimbo hii inanibariki sana.
@amospiusngeleja9776 Жыл бұрын
Kweli kaka! Amina
@ema49682 жыл бұрын
Hongereni sana watumishi Mungu ajuaye kutenda kwa ukamilifu awatendee mapenzi yake milele amina
@mathewalfred87763 жыл бұрын
Nice
@adecals44315 ай бұрын
Hallelujah God bless you so much,,powerfully song
@yonakilabuka20353 жыл бұрын
Amina hakikisha jinalako limeandikwa mbingunii. Ili siku ukifa usiwe ktk wenye kujuta
@benjaminjackson8567Ай бұрын
Ujimbe mzuri sana na huu wimbo kama ni WA muda kidogo 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
The songs that were real and very educative Zama zile
@arsenekaliman78073 жыл бұрын
Hakikisha jina lako Nimeandikwa mbinguni
@directorkaswale80472 жыл бұрын
Among of amazing song.
@jema12323 жыл бұрын
Barikiwa
@user-uv2ku9oi8h7 ай бұрын
Mungu ibariki hii kwaya
@victorobinga59612 жыл бұрын
Hallelujah 🙏🙏
@silviahnyakeri2891 Жыл бұрын
2023 here I come...are you with me here?
@user-ch9ei7hp4c5 ай бұрын
Mungu ni Mungu sifa na utukufu ni zako milele🙏
@khairatbraa40774 жыл бұрын
Hakikisha jina lako limeandikwa mbinguni
@barasaoduor2537 ай бұрын
2023 listening to this gem music
@JohnboscoNyanzira17 күн бұрын
Namungu awabaliki saana mumeanda nyimbo mzuli yakudukubusha wakristu
@roymosirigwa45143 жыл бұрын
The Year 2021 tuko wapu
@titohaule4758 Жыл бұрын
Huu wimbo ni faraja yangu katika maisha ya kumjua mungu
@CyprianMatata-yu1zz8 ай бұрын
Hakika Bwana anaweza na kupitia wimbo huu unanifanya nisimame katika Imani bila kukata tamaa
@user-wh5ln6qh5d10 ай бұрын
Baraka hii
@user-uq2mh5rw5b11 ай бұрын
I love this song
@janethjkavishe589 Жыл бұрын
I love this song the most
@thomasmasenga-uk3tg7 ай бұрын
Amina
@ShabaniAlly-oz9te Жыл бұрын
2023🥰🥰🥰
@dicksonakyoo822211 ай бұрын
Nakumbuka nilikuwa darasa la pili mwaka 2002 Kwa mara ya kwanza naisikia hii nyimbo,kweny sherehe za kipaimara meru Arusha huko,sahv ni zaidi ya miaka 20 bado naisikiliza
When gospel was real nowadays it’s all about money n nothing else.
@williamkibet88205 ай бұрын
Nyimbo za roho
@user-nx4rb2gr4f7 ай бұрын
Imenitoa machozi
@JacksonKasimba13 күн бұрын
Long time sana
@jacksonjulius10768 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@estrajackson32602 жыл бұрын
Kwnya ya vijana kibigili
@nkwazigatsha9 ай бұрын
RIP Bonge
@malamlaaj98522 жыл бұрын
Hi
@henryguto82442 жыл бұрын
Waoh
@danstanpanga84902 жыл бұрын
Hakika safari ni nauli mabegi ni mbwembwe tu. Ukristo ndo huu wa kuyaishi matendo yake siyo jina.
@jeddymzungu9393 Жыл бұрын
Rest in Peace, peaceful George, man of God. I always remember your beautiful if not nice song. Hakikisha Jina limeandikwa kwenye kitabu cha uzima mbinguni
@mwananyamalaz442711 ай бұрын
@@jeddymzungu9393 Amakufa line George ?he was so amazing R.l.P 😭😭
@freddie464011 ай бұрын
true gospel
@user-bz8ym2dq5s6 ай бұрын
Hakika huu wimbo unanikumbusha nikiwa Sunday school 2002 uko n ujumbe mzito xn kwa wale waliowatakatifu
@user-bz8ym2dq5s6 ай бұрын
Nikisikiliza nackia kutokwa n machizi really salivation