Camera :iPhone16pro Max Editing App:Imovie Camera woman :Rukia Laltia Social media handles :Rukia Laltia Things were bought at a shop based in Majengo Sokoni Mombasa ,Abu Aweis Shop
Пікірлер: 21
@azirajuma55310 күн бұрын
Mashaa Allah rukia🎉mie macho kwenye hinna tu jamani❤umependeza sana kipenzi🎉🎉🎉
@RukiaLaltia10 күн бұрын
Awwww jamaniii shukran Sanaa darling ❤❤❤
@husnafaiz98402 күн бұрын
Sausage ulizibeba vipi sis bila kuharibika yani❤
@siriyangu472412 күн бұрын
Mashallah nasubiri mautamu ya Ramadan inshaallah ❤
@RukiaLaltia11 күн бұрын
Inshallah darling ❤️🤲🏽
@imanbazahi159812 күн бұрын
Mashallah mashallah nice video Hakuna pilipili za achari 😢 zimekosekana
@RukiaLaltia12 күн бұрын
Huwa Natengeze mwenywe Belgium …shukran
@imanbazahi159811 күн бұрын
Mashallah mashallah ❤
@maggiekanyoi12 күн бұрын
Vlog after vlog Loving it here🤍
@RukiaLaltia12 күн бұрын
Hehe trying my best before I resume school … thank u babes 🥰
@maggiekanyoi12 күн бұрын
@ Much Welcome 🤍
@GilboRohba12 күн бұрын
Mnieleze matumizi ya haba soda na faida yke
@chayogasperi978312 күн бұрын
Nenda google au KZbin Kuna video na Makala nyingi tofauti zimeeleza . Kuanzia leo ukitaka kujua chochote nenda google au KZbin andika unachotaka kufahamu basi zitakuja taarifa mbalimbali . Usisubiri mtu aache shughuli zake akuelezee jambo fulani .
@GilboRohba8 күн бұрын
@chayogasperi9783 🤐🤐🤐
@chayogasperi97838 күн бұрын
@GilboRohba samahani kama nimekukwaza , lakini kwa Dunia ya sasa na maendeleo haya ya mitandao ingia mwenyewe Google au KZbin tafuta kuhusu chochote unavyotaka kujua . Usimwulize mtu .
@SummymaddyMaddy11 күн бұрын
Mm hapo Tanzania nikija Mombasa nabeba utasema Tanzania hamna
@RukiaLaltia11 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣yaani sema nilikuwa over limit ilikuwa nichukuwe mpaka matunda
@SummymaddyMaddy11 күн бұрын
@RukiaLaltia hatari 😀
@rahmahassan692811 күн бұрын
😅😅😅😅😅 Nimecheka aiseeee
@Fear_Allah39411 күн бұрын
Nakushaurini msionyeshe tutaanza kusachiwa mabegi tumwagiwe vtu vyetu😔 hzi nchi hawataki baadhi ya vyakula uingize
@RukiaLaltia11 күн бұрын
Asante ….they check me but nothing was wrong with my bag kila kitu changu kiko sawa …. Belgium wanafanya controle as long hauna vyakula visivyoeleweka then uko sawa.