This man married me while you were in SA and he is my Current Husband and the owner of this House

  Рет қаралды 32,738

Easterntv

Easterntv

Күн бұрын

Join this channel to get access to perks:
/ @easterntvsamaritan
Welcome to Eastern Tv Please Subscribe Like comment and share.
Subscribe here bit.ly/3rMG1bM
For bussines/ to share your story contact us +254 728988278 or tveastern@gmail.com
𝐃𝐈𝐒𝐂𝐋𝐀𝐈𝐌𝐄𝐑𝐓𝐡𝐞 𝐨𝐩𝐢𝐧𝐢𝐨𝐧𝐬 𝐞𝐱𝐩𝐫𝐞𝐬𝐬𝐞𝐝 𝐢𝐧 𝐭𝐡𝐢𝐬 𝐢𝐧𝐭𝐞𝐫𝐯𝐢𝐞𝐰 𝐚𝐫𝐞 𝐭𝐡𝐨𝐬𝐞 𝐨𝐟 𝐭𝐡𝐞 𝐢𝐧𝐭𝐞𝐫𝐯𝐢𝐞𝐰𝐞𝐞. 𝐓𝐡𝐞𝐲 𝐝𝐨 𝐧𝐨𝐭 𝐩𝐮𝐫𝐩𝐨𝐫𝐭 𝐭𝐨 𝐫𝐞𝐟𝐥𝐞𝐜𝐭 𝐭𝐡𝐞 𝐨𝐩𝐢𝐧𝐢𝐨𝐧𝐬 𝐨𝐫 𝐯𝐢𝐞𝐰𝐬 𝐨𝐟 𝐭𝐡𝐞 𝐡𝐨𝐬𝐭 𝐚𝐧𝐝 𝐨𝐫 𝐄𝐀𝐒𝐓𝐄𝐑𝐍 𝐓𝐕 𝐚𝐧𝐝 𝐨𝐫 𝐢𝐭'𝐬 𝐦𝐞𝐦𝐛𝐞𝐫𝐬.

Пікірлер: 517
@User-c6h9x
@User-c6h9x Ай бұрын
I CAN NEVER POINT FINGERS ON THIS WOMAN. ULIFANYA POA MAMA.. KUDOS🤗
@wambuimwangi5123
@wambuimwangi5123 Ай бұрын
Umbaya yake ni kuambia bwana wa pili anunue plot ya bwana ya kwanza
@GeogeAdina
@GeogeAdina Ай бұрын
Mbona alukubali mjamaa wa SA akaishi kwa nyumba 3weeks na alishaolewa na mwingine na ndyo mwenye boma?
@sammylikono6783
@sammylikono6783 Ай бұрын
Kabisaa ,mamaa keep your husband,the one who took care of children,wachanga naye , keep your family,huyu arudi kwa mamake , useless man
@User-c6h9x
@User-c6h9x Ай бұрын
@@GeogeAdina do not point fingers yet
@pamelamudogo5551
@pamelamudogo5551 Ай бұрын
@@User-c6h9x marrying 2 men
@DorcusKimani-ii6jg
@DorcusKimani-ii6jg Ай бұрын
Baba mlezi I salute you Achana na hii ngamia ya Southafrica
@gladyskemunto6152
@gladyskemunto6152 Ай бұрын
😂😂😂
@agnesmutindi3094
@agnesmutindi3094 Ай бұрын
Naki ghamia, hakika
@rosegichohi1657
@rosegichohi1657 Ай бұрын
Siku moja huyu baba mlezi atapoteza hawa watoto kwa sababu watatafuta baba yao.
@timothyturunya7085
@timothyturunya7085 Ай бұрын
Miaka kumi bila communication? Siwezilaumu huyo mama!
@treasureforashes3497
@treasureforashes3497 Ай бұрын
Na anajigamba yeye ni mwanaume
@veronicatirwomwe6565
@veronicatirwomwe6565 Ай бұрын
If this man stayed in south Africa without sending money the woman would not have welcomed him at all. Even kneeling for him as the story began. There no woman who can welcome back after ten years of working out of the country and you are sending no money at all. She is a not telling the truth
@rosegichohi1657
@rosegichohi1657 Ай бұрын
I think this woman is lying. Why did she welcome him when he came from SA. She even stayed with him for three weeks without the knowledge of baba mlezi.
@barygarcia3128
@barygarcia3128 Ай бұрын
Wewe unakaa mwanamke wa skirt
@timothyturunya7085
@timothyturunya7085 Ай бұрын
@@barygarcia3128 Mimi hata one year pekee siwezivumilia
@lilianochiel2515
@lilianochiel2515 Ай бұрын
Huyo wa SA asituletee kuzaa si kazi, kazi ni kulea aaai!
@MsooMercie
@MsooMercie Ай бұрын
Husikii alikuwa atuma peza
@LydiaKaroki
@LydiaKaroki Ай бұрын
Eee aede nauko pesa aedee kwa mama yke bwaking yyy
@BowensVince
@BowensVince Ай бұрын
Wewe ukienda kuwataftia mbali sio kulea
@micahkariuki1322
@micahkariuki1322 Ай бұрын
Huyu jamaa mwenye kulea mtoi ndiye babake mtoto sio kuzalisha tuu😊
@werelawrence4686
@werelawrence4686 Ай бұрын
upside down thinking
@merabshibuyanga2729
@merabshibuyanga2729 Ай бұрын
Congratulations to this woman. Shika husband number two na mikono miwili.
@marilynsamuel5178
@marilynsamuel5178 Ай бұрын
Happy birthday to me! Samaritan! I love how you take small steps in your investigations! You’re so smart
@merabshibuyanga2729
@merabshibuyanga2729 Ай бұрын
I support this lady 💯 percent. Stick to the second man, period.
@AnnitaShazz-l5h
@AnnitaShazz-l5h Ай бұрын
Yes mama uyu first husband nim toxic
@anastaciawairimu7763
@anastaciawairimu7763 Ай бұрын
The only problem is building a house 🏘️ on somebody's plot.
@pamelamudogo5551
@pamelamudogo5551 Ай бұрын
Bring mother inlaw tumalize hii saga yote at once
@wamzy1110
@wamzy1110 Ай бұрын
Sasa hapo kwa huyu mother in law yani mama ya baba chiku wa SA, kuna maneno ya kutufikia mwaka mpya. Pesa za SA alikuwa na tumia mama chiku? Hii plot ikiuzwa na kujengwa alikuwa wapi?
@rahabmaina3240
@rahabmaina3240 Ай бұрын
Pia Kuna mwenye aliuza plot akuje pia tuskie
@pamelamudogo5551
@pamelamudogo5551 Ай бұрын
@@wamzy1110 that's what we want 😂
@pamelamudogo5551
@pamelamudogo5551 Ай бұрын
@@rahabmaina3240 we want problem s alwayd
@rhodamatalanga4556
@rhodamatalanga4556 Ай бұрын
Very true
@pammymoraamoraa6702
@pammymoraamoraa6702 Ай бұрын
Mama ciku I salute you be strong support your husband 2, kamambaya mbaya , a man can’t wait for his wife for any given years he will marry and move on, likewise to this woman the situation got her to a better place. Watoto wako ni wako hatuna shida hapo , baba mlezi ndio baba kwa sasa
@PurityMusyoka-h5z
@PurityMusyoka-h5z Ай бұрын
Kabiza sijui watu wanamwita mkora aje ju mtu anaeza kaa ten yrs aje bila communication bila conjugal rights ata awez taka kujua kuhusu watoto wako na unasema ati ulikuwa unaogea na mamako si uende uoe mamako nkt
@AnnitaShazz-l5h
@AnnitaShazz-l5h Ай бұрын
I cnt blame this lady
@hulidahwanjiku3321
@hulidahwanjiku3321 Ай бұрын
Hongera mama chiku shikilia baba chiku 2 na uendelee na maisha yako na your sweet young man bravo
@SamuelKabuku-fd1qs
@SamuelKabuku-fd1qs Ай бұрын
​@@hulidahwanjiku3321lakini ata yeye kitamramba huyu mlezi vyenye nimeona hakuna matunda ya hii ndoa
@mylightiscomemaranatha.8483
@mylightiscomemaranatha.8483 Ай бұрын
I stand with mama ciku. The only problem she has done ni kuleta huyo baba ciku wa south Afrika hapo. They would have met somewhere else
@johnkamunyu9972
@johnkamunyu9972 Ай бұрын
These land is for baba shiko of SA
@williammutende4128
@williammutende4128 Ай бұрын
Na kujenga kwa plot ya huyu jama wa south africa na pia kuiuza
@gladyskemunto6152
@gladyskemunto6152 Ай бұрын
Never talked to his wife for 10 yrs but magically expected to come back to Kenya and find a wife and kids.. ng’ombe ni ng’ombe tu
@emmykorir5187
@emmykorir5187 Ай бұрын
I cannot blame you Mama Shiko , the South African Guy anafaa akanyage kubwa kubwa
@jetitahkarimi
@jetitahkarimi Ай бұрын
Baba mlezi nimekuvulia kofia ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@osmanmnurali1834
@osmanmnurali1834 Ай бұрын
Mama shiku we support u
@anastaciamurungi8150
@anastaciamurungi8150 Ай бұрын
The SA guy deserves whatever happened to him.. kuzaa si kazi kulea ndio kazi
@werelawrence4686
@werelawrence4686 Ай бұрын
why did she receive the south African guy knowing very well ako na husband. Na kama hangeshikwa na Samaritan what was her motive????
@johnkamunyu9972
@johnkamunyu9972 Ай бұрын
Ask yourself why mama shiko welcomed him....we want to know that
@cecysang-j7w
@cecysang-j7w Ай бұрын
Mamake alimess mwanae akitaka pesa,,,
@alexauta-gv2hf
@alexauta-gv2hf Ай бұрын
Ongea mamy ikutoke MZee wa pili good work bro
@joycewairimu2448
@joycewairimu2448 Ай бұрын
Mnachanganisha huyu mama... Huyu mama ako sawa ameshtukankuona mtu after 10years... Mkulima ndio mwenye huku. Wacheni kuingilia mkulima alaaar. This woman did what was right for her and her children.
@lizpitah3500
@lizpitah3500 Ай бұрын
Mama stick to your second man.....case closed Huyu arudi South Africa akangethye uko
@gladysnice2828
@gladysnice2828 Ай бұрын
Wewe rudi south Africa please
@SUSANGACHUMI
@SUSANGACHUMI Ай бұрын
Mama shiku congratulations,simama na baba shiku2.hii nugu ya SA ithii ikamie fooder
@anngithinji7109
@anngithinji7109 Ай бұрын
I salute you mama Ciku support husband 2
@elizabethkosgei4731
@elizabethkosgei4731 Ай бұрын
Kudo's mama, sitakulaumu ata kidogo, i feel your pain, i know am a woman like you,
@nambaziirakeziahzziwa9027
@nambaziirakeziahzziwa9027 Ай бұрын
Be straight, maama Chiko. What were you planning? To go to SA? You are detonating 2 men! No no.....😊😮😮😮😮
@kevinkimoi3221
@kevinkimoi3221 Ай бұрын
Respect to father's caring ,infact I salute him. Hii SA guy's hana point,,,,, anaongea shit bure kabza.
@simonmwangi9126
@simonmwangi9126 Ай бұрын
Kwenda Mzee usaidiwe na mama Yako..
@kadetenyar6597
@kadetenyar6597 Ай бұрын
Huyu akonatama,,kama alijua amepata bwana mbona ulikubali baba ciko akuje kwako hata mtembee nayeye ama ulipanga ,,kuenda kumuuwa ,hamnge kutana n Samaritan nikama alipanga kumaliza baba ciko
@CathybNyamoo
@CathybNyamoo Ай бұрын
Kweli huyu mumama ni shetani
@kadetenyar6597
@kadetenyar6597 Ай бұрын
Kabisa ,lakini mpango ilikwa kumuua baba shiko​@@CathybNyamoo
@calvinkemosi3962
@calvinkemosi3962 Ай бұрын
Mama be strong
@mariarimanto906
@mariarimanto906 Ай бұрын
Aki I love you mama your the best 🎉
@VeronicaMathenge-by5ec
@VeronicaMathenge-by5ec Ай бұрын
Wewe ka uli trust mama yako na pesa yako heri utafutiwe wife na mamako..I support mama shiko na sec husband ako sawa
@amalsilim6894
@amalsilim6894 Ай бұрын
Ten years no communication na una expect to solve issues saizi, it's too late.
@Sharin-e5f
@Sharin-e5f Ай бұрын
Mama Shiko ,"fimbo ya mbali aiui nyoka".
@annkithinji6755
@annkithinji6755 Ай бұрын
Boy wa mama 😂😂😂 reaping the bounty of what he sowed
@awuondaliech7702
@awuondaliech7702 Ай бұрын
This sa man ni mjinga, I've never seen a man like this.
@marywanjiru2565
@marywanjiru2565 22 күн бұрын
Mwanamme mjinga
@NeliousJoyce
@NeliousJoyce Ай бұрын
Kumbe huyu mama ana makosa
@uwemattiss880
@uwemattiss880 Ай бұрын
Women from murima have broken records this year. 🙆‍♂️🤣🤣
@MillicentAseyo
@MillicentAseyo Ай бұрын
😂😂😂😂
@faithmutua2694
@faithmutua2694 Ай бұрын
First award goes to Jacinta 😅😅😅
@MillicentAseyo
@MillicentAseyo Ай бұрын
@faithmutua2694 😂😂😂 huyo ni mnoma master plan
@JB00254
@JB00254 Ай бұрын
It is because Sama's job mainly is in kikuyu majority areas. I wish he goes to Western or Nyanza..@@MillicentAseyo
@elizabethkosgei4731
@elizabethkosgei4731 Ай бұрын
Record of the year,😂😂😂,bat ako right, ten years Na Mzee atumi doo, anatumia mamake, how , I will not charge
@sarahwanjiru191
@sarahwanjiru191 Ай бұрын
Huyo mtu Wa SA ni takataka... Mama Ciku kaa ngumu na baba Ciku
@estherkinyua914
@estherkinyua914 Ай бұрын
Takataka ya nini na alikuwa anatumiwa pesa
@micahkariuki1322
@micahkariuki1322 Ай бұрын
Mama kaa na huyo jamaa amekulelea watoi! Baba mlezi ndiye mwenye watoto😊
@sarahwanjiru191
@sarahwanjiru191 Ай бұрын
@@estherkinyua914 ulikua unatumiwa wewe? Mama Ciku hakuna pesa alitumiwa
@florencediangarost3571
@florencediangarost3571 Ай бұрын
Mama mkwe is a controller, she doesn’t care of anybody else
@janewangui2257
@janewangui2257 Ай бұрын
Huyu wa SA inaonekana Ali amini wazazi sana. Mama chiku alikula shida mingi cz ya huyu mother in law. Soo aende akaulizeama yake pesa ma nyumba yake. Mama chiku you did the right thing I can't blame you as a woman
@maggienjoroge836
@maggienjoroge836 Ай бұрын
Huyo mwanamme aliokota huyu bibi abarikiwe eti haongei na bibi 10 yrs... Mama shiko kudos
@amoscheruiyot4673
@amoscheruiyot4673 Ай бұрын
Really love this lady, I normally hate but this one, she deserves respect
@maggienjoroge836
@maggienjoroge836 Ай бұрын
Alitupwa nje akapata Mungu amemngoja.... Aki Mungu wa huyu mama allocate wamama wenye wanatesekea kwa mummies boys
@beatriceobilo5065
@beatriceobilo5065 Ай бұрын
I learnt that when opportunity comes just take it Husband number two is has done alot to her honestly
@denniskorir-vs8dc
@denniskorir-vs8dc Ай бұрын
The problem here is mama ciko angeamua kumwapia ukweli mzee
@PolycapMungai
@PolycapMungai Ай бұрын
Long distance relationship zinasumbua banaa!!!!
@isaacmbugua2132
@isaacmbugua2132 Ай бұрын
I support mama ciku 100%
@divinahnyabuto1482
@divinahnyabuto1482 Ай бұрын
Can't blame this mama.
@happinessirene9394
@happinessirene9394 Ай бұрын
Huyu wa south Africa aondee ujinga arundishe huko ...kudoz to baba shiku mlezi he is a gentleman
@athulumargaret8372
@athulumargaret8372 Ай бұрын
ulikuwa confident unakuja kupata familia...bure kabisa!
@DanielWainaina-z7d
@DanielWainaina-z7d 13 күн бұрын
Yani huyu mzee wa sa anakaa 10yrs mbila kuja kenya kuangalia familia yake ata dec hakuwai pata siku kindogo za kulundi akuje aangalie watu wake . Tena mama shiku n binadamu ako n hisia za kibinadamu. Mama shiku alifanya kitu mzuri .
@cellinakangaijulius5015
@cellinakangaijulius5015 Ай бұрын
Huyu mama ako sawa coz mzee wa South Africa nimnafick kabsaa. Mama shiku is okay kabsa. .
@RuthKimtai-u7g
@RuthKimtai-u7g 13 күн бұрын
This woman is perfectly right achana na huyu baba watoto aende na uko nkt...
@rolinekathure3021
@rolinekathure3021 Ай бұрын
Mama chunga sana kinaweza kuramba but huwezi jua utajua badaye 😅
@sabinamuthike
@sabinamuthike Ай бұрын
Wamama oyeeee tufuate nyayo za mama shiku,,she is a strong woman ,,utaonyeshwa madharau na uzidi kuvumilia,,unatumia mamako pesa za bibi ya ko kwanini? Siugemtumia bibi pesa zake na pia mamako umtumie zake
@djyondergigi1027
@djyondergigi1027 Ай бұрын
Your wife is right I respect her decision
@lucyngaine8752
@lucyngaine8752 19 күн бұрын
Congratulations well done mama...this guy is toxic return sender to south Africa 😅..
@tinahkinyili3116
@tinahkinyili3116 27 күн бұрын
Mwanaume mjinga sana si ange oa mamake
@LydiaKaroki
@LydiaKaroki Ай бұрын
Weee usilinganishe ma ciku n sisi wajane😭😭
@MillicentAseyo
@MillicentAseyo Ай бұрын
Huyu mama anajijanisha ona vile amenona sio rahisi upate mjane mnono hivo
@gladyskemunto6152
@gladyskemunto6152 Ай бұрын
What’s the difference between you and her? Yah are both struggling to cater to your kids alone
@njerinyambura2691
@njerinyambura2691 Ай бұрын
Huyu wa SA ako na ujinga Sana ..mama shiku did what she any human being could do
@wamzy1110
@wamzy1110 Ай бұрын
Sama I hope you are going to see Mum in law with Mama Chiku being present
@kadetenyar6597
@kadetenyar6597 Ай бұрын
Juu hakuna vile unaweza kubali baba ciko akije hapo ,,in hali unajua hiyo nyumba niya mwanaume mwi gine,,,huyu alipanga kuuwa baba ciko if am not wrong
@BridgitAyuma-q8v
@BridgitAyuma-q8v Ай бұрын
Ukweli kabisa
@megaumojakitchen1599
@megaumojakitchen1599 Ай бұрын
​@@BridgitAyuma-q8vright
@MthaMwalimu
@MthaMwalimu Ай бұрын
Nilitaka kusema hivyo lakini nikamezea juu sina wakili.......alikua apate pesa zile alikuja nazo alafu amalizane nae kabla mwenzake hajakuja...
@micahchebii7648
@micahchebii7648 Ай бұрын
Hata samaa sio mtu mzuri ....mbona anamnyanganya huyo Mzee kifunguu ya gari si Yao huyu Mzee wa SA ana makosa
@Mercy-f9r
@Mercy-f9r Ай бұрын
Kuzaa sio kazi nikulea ,,kudos mama shiku
@kenyamedia-t2e
@kenyamedia-t2e Ай бұрын
huyu mtu ulitumiwa na mamake mzazi 😂😂😂
@LettyKathure
@LettyKathure Ай бұрын
😅ni kama umejua
@lucyngarry9404
@lucyngarry9404 Ай бұрын
Wee kwenda kabisaa mamako amesema pesa ziko kwa tumbo juu yake😂😂😂
@lenniefei6710
@lenniefei6710 Ай бұрын
Na kama ni yeye Omuhusband mbona ukaribishe wa SA alale hapo for 3 weeks ukimwambia ni kwake ?????!!!.....Mama Shiko uko na ukora ya upuzi sana
@annegitiha4138
@annegitiha4138 Ай бұрын
kazi ni kulea, rudi south africa ukaendelee na maisha yako. 10 years is a whole decade.
@mercywambui2400
@mercywambui2400 6 күн бұрын
For ten years where was he akwende na huko..aliamua to trust his mother ole wake 😂😂😂😂😂the second husband is amazing anatafute second wife ........ 😂😂😂😂😂
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 Ай бұрын
Huyu mama ana haki yakuolewa, miaka kumi bila kumtumia kitu Wala kumpigia simu kwani ulifikiria nini? Uko na mke south africa
@blackylampard640
@blackylampard640 Ай бұрын
Why didn't mama chiko and the other man get their own child
@HottensiahWaweru
@HottensiahWaweru Ай бұрын
Mama don't feel guilty for doing what you did to this man kudos mama
@KalekyeElizabeth
@KalekyeElizabeth Ай бұрын
Likini ata kama 10years bila kuongea na bibi
@justofavour9109
@justofavour9109 Ай бұрын
Hakuna haja hao wanaume wapigane let them agree wajue ni nani alitumiwa vibaya na uyu tapeli ya mwanamke,coz the fact here is,the side chick alipata uyu mwanamke akiwa anaishi kwa plot yake yenye hajui nani aliinunua so this woman anafaa afukuzwe na akose kila kitu
@AnnitaShazz-l5h
@AnnitaShazz-l5h Ай бұрын
Mi i cant judge this lady
@ndettothejuice3094
@ndettothejuice3094 Ай бұрын
Uuuuiiiiiii eti ten yrs hakuwa anaongelesha mama kwa simu .mama move on.huna makosa.kosa ni uchukue huyu mzee tena.
@evangelinemunene
@evangelinemunene Ай бұрын
Sama pilau yangu imeungua nikiwatch itabidi ubuyie mchele ingine
@ernestaassenga9646
@ernestaassenga9646 Ай бұрын
Mama shiko usiwachane na na huyo baba mlezi nimme wako mpende sana huyu mzee aliekusaidia
@marthababere2444
@marthababere2444 Ай бұрын
I support the woman...
@christinekagendo3804
@christinekagendo3804 Ай бұрын
Kudos baba mlezi
@janetchirchir5764
@janetchirchir5764 Ай бұрын
Haupigii mama simu halafu unamlaumu acha zako bana communication is the key....we unakimya SA ulikua na slay queen
@liliannyaoma935
@liliannyaoma935 Ай бұрын
Well done❤❤
@floramumbua3393
@floramumbua3393 Ай бұрын
We want mother in law on set
@rosemwangi8292
@rosemwangi8292 Ай бұрын
Wa south Africa,,is true narcissistic,,kabisa,, I ,,,Baba shiku 2 ,,love mama siku more,,plz
@AnnaAnna-f7q
@AnnaAnna-f7q 2 күн бұрын
Kudos mama
@charleskabuthi9101
@charleskabuthi9101 Ай бұрын
10 yrs without communication,hell noooooo
@cecysang-j7w
@cecysang-j7w Ай бұрын
Yaani uweke mwanamke pending 10yrs akikugoja
@irynejames5161
@irynejames5161 Ай бұрын
Alafu pesa anatumia mamake. Whi does that?
@gladyschelangat6661
@gladyschelangat6661 Ай бұрын
Wewe mzee wa America enda mahali umetoka tafathali
@rackelturner6727
@rackelturner6727 Ай бұрын
This woman had a right to move on cause this man did not value her.
@rahabmaina3240
@rahabmaina3240 Ай бұрын
Sasa leteni title deed iamue kesi
@wamzy1110
@wamzy1110 Ай бұрын
Na pia ule aliuza hiyo plot. Mimi nashuku Mama wa baba chiku wa SA
@rahabmaina3240
@rahabmaina3240 Ай бұрын
​@@wamzy1110Mama Shiku may be alikula pesa akandanganya huyu Mzee ameuziwa plot may she hired some to pretend diye anzauza plot ama ikue alikua na titleedee Akai transfer to her name
@MillicentAseyo
@MillicentAseyo Ай бұрын
Exactly ​@@rahabmaina3240
@KyaloSusan
@KyaloSusan Ай бұрын
Wapi mama mavyaa akuje aseme pesa alipeleka wapi n hyu jamaa akanyage kubwa kubwa juu aliachia bibi nani n mbn alikua anatumia mama pesa
@NancyswambuiNdegwa
@NancyswambuiNdegwa Ай бұрын
Wazazi wako basi kaishi huko kwao kaishi kwao😊
@johnodegindege6056
@johnodegindege6056 Ай бұрын
This story is so much complicated in deed
@petermwantole9433
@petermwantole9433 Ай бұрын
Both sides kuna shida, haiwezekani over ten yrs usiongee na mke wako,pia mama Ciko angefunguka mapema kuwa ameshaanza maisha mengine for good,ni kweli alipitia magumu, sorry for this
@MargaretKululu
@MargaretKululu Ай бұрын
Mama Achana na huyo mtu wa South africa
@beatricebrownie
@beatricebrownie Ай бұрын
Story ya huyu mama imenitouch sana. I can relate
@winniemurimi8299
@winniemurimi8299 Ай бұрын
❤❤❤ you mama
@Sally_543
@Sally_543 Ай бұрын
Let him ask the mother for money
@merabshibuyanga2729
@merabshibuyanga2729 Ай бұрын
Well done mama Chicu
@ThaddesusNyaenya
@ThaddesusNyaenya Ай бұрын
Mwanaume ngombe sana. Mke usirudi pliz. Let him go to his mother
@CarolineAdongo-nt3iq
@CarolineAdongo-nt3iq Ай бұрын
Kudos mama ciku ten years ni mingi sana
@josephinewambua8808
@josephinewambua8808 Ай бұрын
Mama sh heko kwako
@NancyswambuiNdegwa
@NancyswambuiNdegwa Ай бұрын
Wacha niongee initoke 😅😅😅😅
@susanmutilekiilu2840
@susanmutilekiilu2840 Ай бұрын
Basi enda oue......
@janewaithes5183
@janewaithes5183 Ай бұрын
Cant blame this woman amepitia mengi
SHOCKING PROPHECY ON HOW ICHUNG'WA WILL LOOSE HIS SEAT//REV MAINA WA OTC
1:31:39