TiGo Cypher 2019 with Fid Q, G Nako, Jay Mo & Supa Nyotaz

  Рет қаралды 249,159

Fid Q

Fid Q

Күн бұрын

#FidQ #TigoCypher #GNako #JayMo #SupaNyotaz #SlideDigital
FID Q Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Written & Performed by Fid Q
Follow Fid Q on:
/ therealfidq
/ fidq
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Пікірлер: 438
@obagoabhiathan3565
@obagoabhiathan3565 5 жыл бұрын
Jamani wale wapenzi wa hip pop ngumu ... Tujuane kwa like hapa kwanzia hapa mpaka mtaani
@gladymakule3806
@gladymakule3806 5 жыл бұрын
Pa1
@worldwidevibes3769
@worldwidevibes3769 5 жыл бұрын
Comment kazi uliyoiona hapo! Likes za nini sasa???
@kalimazegeli9339
@kalimazegeli9339 5 жыл бұрын
Hamna mwenye group la hiphop?
@obagoabhiathan3565
@obagoabhiathan3565 5 жыл бұрын
Mi sina
@elishaondigo3385
@elishaondigo3385 5 жыл бұрын
A love the flow yoh
@taifastephano3394
@taifastephano3394 5 жыл бұрын
Wangapi wamrudia rudia verse ya King of HipHop Tz #Faridikubanda tujuane hapa kwa Likes.....!!!
@lucashalla3271
@lucashalla3271 Жыл бұрын
Since 2019 Hadi Leo nailudia 2023
@lucashalla3271
@lucashalla3271 Жыл бұрын
Since 2019 Hadi Leo nailudia 2023
@simonmwamuye6588
@simonmwamuye6588 8 ай бұрын
​@@lucashalla3271rt7yrŕrrfjhftr5r4euutyt764gufyfkj6ddffgffifyuuytrfffyuihffujogggɗgfdhyfgyyrtyytrgjfgfrrrrrrrrrŕfuhfýtyytfffhhvvvvvjhhhhggffffjhhhhĥgggggggvvvvvhĵjghd
@BAshiruBASHIRU-t1d
@BAshiruBASHIRU-t1d 3 ай бұрын
Naijua ulaya tangu 1900's ngetaka ngezamia handsome Kwa white's black hakunizimia
@tzMpya
@tzMpya 5 жыл бұрын
Unyamaaaa yani hii ndo hiphop wotee mmeua kinomaa
@nickonyango6520
@nickonyango6520 5 жыл бұрын
You know you's a G when KZbin recommends this to you
@gonzabarthose3806
@gonzabarthose3806 3 жыл бұрын
For real man🤙🏿
@billymuthomi6946
@billymuthomi6946 5 жыл бұрын
TZ hiphop🔥🔥🔥 tumetii from Kenya
@12322879
@12322879 Жыл бұрын
Fid Q sio mtu mzuri
@pablo-xb7ci
@pablo-xb7ci 4 жыл бұрын
Nilipokua nasoma comment moja moja nmegundua most people si wafwatiliaji wa rap bali bali ni ma name trenders(majina makubwa yanawachanganganya) msikilize jamaa alieimba verse ya pili utajua namaanisha nini!hawa vijana mnaowaita ma undergound wanafanya mziki pow sana ila kutwa mnakaaa kuwapa sifa watu wasio stahili(SIMAANISHI MA LEGENG HAWAKUIMBA CHA MAANA)Nina full respect kwa Jay Moe na Fid wmefanya makubwa ila natoa angalizo kama unajua ww ni fan wa kubana pua angalia video af jikatae mmbo ya kua mnasifia vitu msivyo vielewa ni UFAlA
@mastakey4372
@mastakey4372 Жыл бұрын
Unajua hiphop kaka. Unachosema Ni exactly right
@kelvinthomas4047
@kelvinthomas4047 5 жыл бұрын
Mannnnn!!!! Yani kila anae ingia anamfunika alie pita .... I miss those days when music like these were all over radio
@gerwaldandomba5539
@gerwaldandomba5539 5 жыл бұрын
Na babilon ni nae mu-accept Ni baysa, namtambua Kama bi hommie na ukimcheki Ni taita...😎😎😎 Kama umemwelewa FID show love....
@gwijitv
@gwijitv 5 жыл бұрын
KAMA kura ZAKO ni kwa Ngosha the swagger Don tujuane hapa. Amekalisha mbaya
@andrewathanas4077
@andrewathanas4077 5 жыл бұрын
Huyo Dogo wa pili katisha Sana fid q umetisha mzazi bado uko🔥
@arthurhintontv9861
@arthurhintontv9861 5 жыл бұрын
Respect TZ For this hiphop thing eeeh ke tumeshidwa ku unite Love for 🇰🇪🇰🇪 Love fo tz keep up
@badmanno.1650
@badmanno.1650 5 жыл бұрын
Mungeweka majina yao tukawajua....ingewasaidia since wanataka kutoka
@twahangamba8570
@twahangamba8570 5 жыл бұрын
Ukiwa unamsikiliza Fid Q wakati unajifunza kuandika na kuflow kihiphop utaacha Mziki utajiona hujui chochote
@KuppeBurrows
@KuppeBurrows 4 жыл бұрын
hamna kila kitu anakitu chake
@iraisolomon5990
@iraisolomon5990 5 жыл бұрын
+254 nasemaje KUBANDA ndio king WA rap Africa 🌍 jamaa anajua ulaya tangu 90s na akakausha kuzamia 😂👑
@dicksonejustine9797
@dicksonejustine9797 5 жыл бұрын
Ni. Hit , super beat and super Raper wow tz grow on music proudly for this best star and like kama zotwle
@georgeisrael5467
@georgeisrael5467 5 жыл бұрын
Mi Hawa vijana wawili wa mwanzo Ni 🔥
@barakJonijo
@barakJonijo 5 жыл бұрын
Babylon naye muaccept ni byser
@azeezbm2374
@azeezbm2374 3 жыл бұрын
2021 nachek tena kwa mara nyngne tna woooooh 😎😎😎
@evanschapailale8410
@evanschapailale8410 2 жыл бұрын
Fire in the house kali sana hiphop tamu tangu kale
@beckarluhanga8421
@beckarluhanga8421 2 жыл бұрын
fid Q ni high level wote umetoa mistari imeenda shule ipo poa kabisa
@simonsanga2129
@simonsanga2129 5 жыл бұрын
Mi sio wa zamani kama nilivyokuwa,ha ha haaaaa dis is fid Q
@nassorkheir7459
@nassorkheir7459 5 жыл бұрын
Aisee kwa anaejua Hip Hop lazima japo kimoyomoyo atakuwa amejisemea "Hawa Supa Nyotaz ni rappers bora kuliko baadhi ya masuper star". Aisee hawa jamaa nilikuwa siwafatilii ila from this freestyle na hizo bars za humu wamenifanya niwatafute niwaskilize. Hip Hop is still alive!!🔥🔥🔥
@nelsonmasolwa8343
@nelsonmasolwa8343 Жыл бұрын
j mo mkali sana hapa
@RamadhanJuma-k7h
@RamadhanJuma-k7h 6 ай бұрын
Nakubali fid q
@ErickMoiro
@ErickMoiro 5 жыл бұрын
Fid Q Word Play❤ Lyricism❤ Cadence❤ Flow❤ Love from 254
@rhc7945
@rhc7945 5 жыл бұрын
Jay mo ❤
@yusuphmligiliche8353
@yusuphmligiliche8353 Жыл бұрын
Bongo hip hop mpaka mwisho.....
@frankbundi7713
@frankbundi7713 6 ай бұрын
Kenya 🇰🇪🇰🇪 💯
@richarddazan813
@richarddazan813 5 жыл бұрын
Ila Jay Mo ni 🔥 cjui why kama anapotea nmemiss hits zake
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 5 жыл бұрын
Hapa kakosekana chidi, incredible,nick mbish,rip king zila..angetisha sana
@skyq1768
@skyq1768 5 жыл бұрын
Gadzilla angetishasana but napo mwona G nakumbuka tim zizi na G wakifanya ngomayao studio pamoja it was something amazing and a moment to remember / wote wametisha wakiongozwa na big deal Fid Q
@nassorkheir7459
@nassorkheir7459 5 жыл бұрын
Kama unamjua Mex Cortez lazima ungemtaja aisee!! Wakazi ndo angebeba mfuniko
@idrissaabubakar8467
@idrissaabubakar8467 5 жыл бұрын
Siwez kumruhusu shetan a burn my soul na siyo kwamba sitak kuhave fun m trying to grow
@pepchallanga3626
@pepchallanga3626 5 жыл бұрын
A buy ma soul
@kiokomutua3209
@kiokomutua3209 5 жыл бұрын
fid Q love how you provide a good platform for upcoming artists to exploit their talents..God bless you..love from Nairobi kenya
@newmankabeya2008
@newmankabeya2008 2 жыл бұрын
Man Q huu uchawi ni mukali kbs bro, hufanye hip-hop ile hip-hop ni ww, jamaa wengine nao niwa Kali mnooo! Nipo Drc
@twahakhamis6520
@twahakhamis6520 5 жыл бұрын
Aisee ni mim peke ndo nime koshwa na michano ya warawara baba mweny nyumba
@anthonyodeba4137
@anthonyodeba4137 5 жыл бұрын
It was good from great.....Ngosha has always been great. Jay Mo was also a beast back then.....Love from Kenya
@chatajr3496
@chatajr3496 2 жыл бұрын
Jaco Jeezy uko wp broo
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 5 жыл бұрын
Mjomba fid. Na mjomba j. Mo
@sangatv
@sangatv 2 жыл бұрын
Fid Q Namkubar sana # Ngosha
@eliudeliakayela9598
@eliudeliakayela9598 5 жыл бұрын
Hip Hop Ipo juu na itabaki kua juuuuu
@stephenetro1431
@stephenetro1431 5 жыл бұрын
Q....is..different....of..dem.. Respect..bro...
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 4 жыл бұрын
Ikipita hard...inaingia kwenye makoo walawala
@albertpike6208
@albertpike6208 5 жыл бұрын
Naona wote ni noma kwanza hilo verse la jmo umetisha bro
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 4 жыл бұрын
jay moo amemuangalia sana jacojeez
@castlefx3873
@castlefx3873 3 жыл бұрын
Bro wetu muwakilishi wetu we proud of u
@4bbless516
@4bbless516 5 жыл бұрын
My bloodbruh Gosha ❤️❤️ Nilisikiya Byser babelone Mr Blue 🙏
@jumadepinbwoy5275
@jumadepinbwoy5275 3 жыл бұрын
Each time I see that name "FID Q" najua the G.O.A.T yuko area...254 🇰🇪🇰🇪iko macho
@kwabenantrakwa1511
@kwabenantrakwa1511 5 жыл бұрын
I don’t understand anything but I’m loving everything Flow on point
@omarykishoke5933
@omarykishoke5933 5 жыл бұрын
Nakubali sana mzki wa hip hop......Ulaya wasanii wa hip hop ndo wanaongoza kwa mtonyo.....Bongo tofauti .....tunakwama wap sjuii
@yassirihernandez8611
@yassirihernandez8611 5 жыл бұрын
Dogo nmber mbili mnyama Sana 👏🏿👏🏿
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 5 жыл бұрын
anaitwa jaco jeezy mnyama
@mrzonaboyofficial3615
@mrzonaboyofficial3615 5 жыл бұрын
Nakubali....
@godwinemanuel4546
@godwinemanuel4546 4 жыл бұрын
Na Babylon naye muaccept ni bysar..............
@crazymindquanta2157
@crazymindquanta2157 4 жыл бұрын
Noma sana wahuni💪
@billsone6419
@billsone6419 3 жыл бұрын
wangap tupo humu 2021
@emmanuelmahumbi3596
@emmanuelmahumbi3596 5 жыл бұрын
#Ngosha tisha sana
@boeihongoa1436
@boeihongoa1436 4 жыл бұрын
Oya Tamaduni ihamie hapa
@baga4670
@baga4670 5 жыл бұрын
Makini sana
@cheobaking6544
@cheobaking6544 4 жыл бұрын
Big up fid q unaeza imba Leo vichwa panzi wakakuelewa kesho😄😄😄😄😄
@omarhashim1314
@omarhashim1314 5 жыл бұрын
Uyo wapili
@mutchietv3456
@mutchietv3456 5 жыл бұрын
Hiiii bni hatariiiiiiiiiiiiiiiiiii
@noelnyoni3724
@noelnyoni3724 5 жыл бұрын
Jay Mo....real OG huyu jamaa...hatari sana.
@abigailkighombe1960
@abigailkighombe1960 5 жыл бұрын
Jes!!! Mzingetie nlivyo sio vile nlivyokua..I looooove you Fareed keep up budaa..hey Teq uko imortal Jay..lov u
@charlesjonas4412
@charlesjonas4412 5 жыл бұрын
Hasira kali zimetumika sana humu, nomaa sana
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 4 жыл бұрын
I see tigo inatakiwa wawe wanandaa cypher kma hz kila mwaka watu wakohoe wawezvyo naona mmewafundsha kuandk watoto mawazoyao ylikuwa mafupi Sana hawatanui wigo
@freddyibrahim2488
@freddyibrahim2488 5 жыл бұрын
Warawaraaaaa noma sana g
@eventelias3566
@eventelias3566 5 жыл бұрын
Me sio wa zamani mnayemjua mzimgatie nlivyo sasa muachane na nlivyokuwa
@Ruksipapatoto
@Ruksipapatoto 5 жыл бұрын
Nani anakubali hii punchline 5:09 Byser babilon
@ramanolmwilax2520
@ramanolmwilax2520 5 жыл бұрын
Fid q we n mtu tishio saana "TT empire"
@samwelsamwel2692
@samwelsamwel2692 4 жыл бұрын
G nako kavunja wazee
@mugadimon3563
@mugadimon3563 5 жыл бұрын
jaymoe wamoto sana
@dicksonluca2493
@dicksonluca2493 5 жыл бұрын
Naijua ulaya tangu 90's.....ngosha
@mohamedwaziri6517
@mohamedwaziri6517 5 жыл бұрын
waoooh This is hot. Fid Q and Jaymo you guys you Nailed it
@Everything-series.
@Everything-series. 5 жыл бұрын
wote hatareee
@jacksonmollel9727
@jacksonmollel9727 5 жыл бұрын
💥💥Kama umemsikia G wara washa taa💭🔥🔥
@nassorkheir7459
@nassorkheir7459 5 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@magdalenamlay660
@magdalenamlay660 4 жыл бұрын
🙌
@ezratibore6512
@ezratibore6512 4 жыл бұрын
😂
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 3 ай бұрын
Mnako mtu mbaya sana
@eliudoginia7720
@eliudoginia7720 3 ай бұрын
Nta2mia mate yko kwasabia Hela zangu
@shabanyramadhany8378
@shabanyramadhany8378 5 жыл бұрын
noma sana
@constantinemanyanda6667
@constantinemanyanda6667 5 жыл бұрын
Mwanangu honest Mungu akutangulie sana utatoboa QB Shoutout hom bway
@homeboy2449
@homeboy2449 4 жыл бұрын
Mad respect from Kenya 🇰🇪
@samsonmathew4205
@samsonmathew4205 5 жыл бұрын
Finest ya a. ara wara wara mimekupa gwara👊👊
@davido-scooper9471
@davido-scooper9471 3 жыл бұрын
Fid q atabaki kua juu tu
@jalenbrenden2393
@jalenbrenden2393 5 жыл бұрын
that boy from mbagala...fire
@imaqb
@imaqb 5 жыл бұрын
Jalen Brenden bless bruh 💯
@kelvinbakary6937
@kelvinbakary6937 4 жыл бұрын
Fd utabk kuwa juu cku zote
@taifastephano3394
@taifastephano3394 5 жыл бұрын
Faridi kubanda....!! Faridi kubanda...!!Faridi kubanda....!!! Nimekuita mara tatu bro..... hii game ya hiphop tz ni mali yako brooo..........!!!!
@pepchallanga3626
@pepchallanga3626 5 жыл бұрын
Haswaaa
@mtafitthedon9885
@mtafitthedon9885 5 жыл бұрын
upo sawaaa
@frankakuno.9511
@frankakuno.9511 5 жыл бұрын
Huyu mwenye hiphop yake
@sindesinde5301
@sindesinde5301 5 жыл бұрын
Kingnation_Tz sure man
@DjRHINOInternational1
@DjRHINOInternational1 5 жыл бұрын
Chosha brathe. Mi ni mkenya na Fid Q na G-nako ndio wamerap
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 3 жыл бұрын
Haichosh kuiskiliza
@geofreychacha313
@geofreychacha313 Жыл бұрын
Huyu no. 3 guy👊👊
@ZapataKisesa-gj6hl
@ZapataKisesa-gj6hl Жыл бұрын
Fareed kubandaaaa 🙏🙏
@Buelli3
@Buelli3 4 жыл бұрын
At 2020 all no where to be seen
@alexmdumba2167
@alexmdumba2167 5 жыл бұрын
mmetsha sana #fidQ #Gnako #Mo pamoja na wana .. mafundi
@jumersramos2234
@jumersramos2234 3 жыл бұрын
1:40 ni nan huyo
@anthonymwandu2615
@anthonymwandu2615 5 жыл бұрын
Gosha the doooon najivunia wewe mkuu yani unaunguluma mpaka maik inaomba msamaha nakukubali mwz mwz
@Robertrogge-w7
@Robertrogge-w7 5 жыл бұрын
ya 2019 imeweza nakubali bongo hiphop iko true
@mausant2000
@mausant2000 5 жыл бұрын
ANNO KILLED🔥 & OWNED THE CIPHER
@amosimwiko6440
@amosimwiko6440 5 жыл бұрын
Big up kwa wote mmetisha nawapa grade B mkaze mfike A
@kakagranto135
@kakagranto135 5 жыл бұрын
Tisha sana wakuu, love from KE 🇰🇪
@worldwidevibes3769
@worldwidevibes3769 5 жыл бұрын
Kwa upande wa Supa Nyota ,wa kwanza na wa pili wametisha sana ,yule wa tatu katisha lakin kazidiwa! Ila ningependa kufahamu majina yao tafadhali
@abelisanga9792
@abelisanga9792 2 жыл бұрын
NGOSHA🙌🙌🙌🙌
@stepheneotieno5570
@stepheneotieno5570 5 жыл бұрын
Bars after Bars God Bless Ngosha and Co Forever 🔥🔥🔥🔥
@jumahamisi5383
@jumahamisi5383 5 жыл бұрын
Ngosha hujawahi niangusha even a single big up big bro nipo naww since dot com
@imanbrettyjohn379
@imanbrettyjohn379 5 жыл бұрын
Super Nyotaz Wako Pouwa Kinouma 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@vestomtawa4395
@vestomtawa4395 5 жыл бұрын
Yes this is cypher miaka 1000 hip hop culture
@japhetbarton8268
@japhetbarton8268 5 жыл бұрын
Super nyotaz kwel ni manyota Bahati mbaya mmekuja wkt wa siasa kali za kimzik
@movahussein1532
@movahussein1532 5 жыл бұрын
yeeeah wa kwanza nimemuelewa
Tigo Fiesta Cypher 2016
13:30
Yas Tanzania
Рет қаралды 94 М.
Best Of FID Q Compilation
53:17
Fid Q
Рет қаралды 46 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
NGWAIR ALINIFUTISHA MISTARI YANGU | NILIKUA 2 PAC | SIMUWEZI JAMAA
4:13
BREEDER LW - "TK CYPHER" featuring KENYAN ALL STARS
13:52
BREEDER LW
Рет қаралды 175 М.
FIDQ: NIMETOKEA MTAANI/BONGO HAKUNA MSANII ANAYENIZIDI ELIMU
9:17
HENNESSY CYPHER AFRICA
6:07
Hennessy Nigeria
Рет қаралды 2,2 МЛН
WEUSI - Interlude Nyeusi
4:05
WEUSI
Рет қаралды 485 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН