its gd freestyle baba la bab mwambie babuu wakitaa akarecord bhanaa mbn anawez xanaaaa........ aminia xana FIESTA imoooooooooo
@abbasboniphace54448 жыл бұрын
fuck everything and this is what I call hip hop all the way from Tanzania😂😂😂😂😂
@godsonalex44938 жыл бұрын
Gnako ni hatari sana,huo ndo mziki anaitakiwa atupe ila huwa anapita kona kona kwa kigezo cha haiuzi
@zwwasost8 жыл бұрын
Top 3: 3. Motra The Future; 2. Babuu wa Kitaa; 1. Fid Q
@allyswalee34045 жыл бұрын
Nakubli
@rijeakeray26648 жыл бұрын
i salute you guys
@bigboyben69325 жыл бұрын
2020 and still rocking
@damianvevotz90448 жыл бұрын
nimependa kila kilicho fanyika hapo ningependa kila mwisho wa mwezi iwe michano kama hiyo
@sulezbeatz38538 жыл бұрын
International level safiiii tgo safii clouds n wanene
@oirucknicolas53048 жыл бұрын
G Nako kauwaaaaaaa the A City Monster ila nnachoshukuru Chuga amja2angusha
@johnsonayo8 жыл бұрын
ingewezekana mngefanya cypher kila mkoa
@mukamajumbura28057 жыл бұрын
iko poa sana ,wat we consider n nguzo 5 za hiphop ...and hii cypher imeshow kiundan zaid ,v2 kama graffiti ,mc , deejay na mavi2 kama ayo n kali sana ,ila g wara uko on top ,umewa run wote na fid kiaina kazingua kuflow kemosabe
@mamelodysound7358 жыл бұрын
hamna kiyu hapo, mmepoteza tuu muda
@samsonabed20608 жыл бұрын
good group
@frankmanga37217 жыл бұрын
Bubu wa kitaa unaskika vyema sana bro
@oscarkeneth94764 жыл бұрын
Sichoki kuangalia hii cypher🙌
@asanterabilaizer15608 жыл бұрын
tishaaaaaaa sanaaaa ya dingiliiiiiii babakoooooo
@ramadhankassimurassa9468 жыл бұрын
hiyo black and white sijaipenda
@Negs434 жыл бұрын
30th June 2020, naifeel ile.noma
@saulimwakyusa1498 жыл бұрын
cypher ya mwaka huu hamna kitu ila roma ,fidq salute
@daniellbtzelisha79688 жыл бұрын
anhahaha nimesikitika sanaaa kidogo motra the future ,young lunya babuu wa kitaa na Roma wamefanya kitu ila huu ni udhalilishaji wa hiphop ya Tanzania daaa anhahaha underground hiphop itabaki kua na heshima yake shame on mainstream ni aibu kuona wasanii wakubwa ka fid q wanarudia mistari hiyo hiyo kila siku but IPO siku ukweli utajitenga na uongo
@iamzillahx69015 жыл бұрын
Babu wa kitaa ucmhesabu kama underground ypo kwny game kabla ya chidbenz
@abuuabdulbasitalngahara19995 жыл бұрын
Duh hii ndo mishabiki ya hiphop ,eti underground hiphop akajua maana yake ni wasanii wachanga
@nyemondagalla6085 жыл бұрын
Kutoa mashairi mapya hapo nisawa nakutoa majibu kabla ya mtihani.
@mbakepete21532 жыл бұрын
Hii moto G nako did q Roma stamina weeezy country wameua
@elifareward2725 жыл бұрын
Hayo ni matakataka tu mnaacha emcees wakali mnachukua mawaki wanarudia verse
@festodismas90248 жыл бұрын
jipangeni sanaa ili mfikie cypher ya 2012 hiyo ni mbovu hata wenyew inawaboa kuskiliza
@jumajasjas29258 жыл бұрын
Festo Dismas beat iko juu sana had michano haisikiki kivile...
@valonrama82358 жыл бұрын
Festo Dismas nn bhhnxzaaaazzb
@ramadhanurassa24108 жыл бұрын
inawezekana michano mikali ila haisikiki kabisa
@benjaminsamson11457 жыл бұрын
nmekusoma baba la baba ile ilikuwa ya aina yake babulai.
@stanleychambo5905Ай бұрын
Nakubali sana wanangu
@olaphburkard94768 жыл бұрын
big up aseeeeeh though its very common
@gabbiebayor62088 жыл бұрын
mo traaaaaa babaakooooo,na g nakooooooo mmeuuuuaaaa
@asserymmary26968 жыл бұрын
Salute
@inocentlema55743 жыл бұрын
This staff is hard ma people
@badmanno.16503 жыл бұрын
Babuu wa kitaa 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@ramadhanurassa24108 жыл бұрын
ila kwanini wanawapotezea tamaduni music
@magdalenamlay6604 жыл бұрын
Ramadhan Urassa yaaan
@boeihongoa14364 жыл бұрын
Sijui ni nini aisee
@mahmoudhussein593 Жыл бұрын
Haijawahi tokea tena kama hii 🤟
@MalechaMeda16 күн бұрын
Haya madude yapenda kinoma
@abbasboniphace54448 жыл бұрын
huku ndo wanapatikana wabishi na wachafu😂😂😂😂😂
@jeanreagan81508 жыл бұрын
hawa ma rappers watishaa kiwu kweli, ila nawakubali fid q na Roma
@jimsonndituzya12095 жыл бұрын
Babu wa kitaa katshaaa sanaa!
@bigboyben69325 жыл бұрын
Country 🔥,Stamina🔥,Young Lunya🔥,Motra the future 🙌🏿🔥,Gnako🔥,Fid q🙌🏿🔥🔥🔥🔥🔥 Salute mjengoni🙏
@saeedmassoud2566 жыл бұрын
Where are tamaduni music acheni kubana nyie mawacky kaz yenu kurudia mistari t
@dancanalfredmwandagha7036 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@mosesabwao26732 жыл бұрын
ayeeeeea
@soliumchaula75318 жыл бұрын
kweri mlipania ipo day i wlb zeaa to change the future...alwayapa,.
@josephselemani89717 жыл бұрын
nimependa stamina alivyodandia beat
@frankmanga37218 жыл бұрын
babu wa kitaa tisha bloo motra fid mchomvu
@jamesjw.kizanga26028 жыл бұрын
Young Lunya kaua
@laajorymes5398 жыл бұрын
Adam mchomvu katisha na mtu mzimA ngosha
@ghosttalkvibe5 жыл бұрын
2012 Mikono juu
@dickensndadema54037 жыл бұрын
stamina aliye kuroga alishafariki huwezi badilika eti verse yako moja album sita za #timbulo
@nchakalih17 күн бұрын
🎉
@inocentlema55743 жыл бұрын
Napenda sn verse ya babuu
@amanidaud93755 жыл бұрын
young lunya ovaaaah
@RamadhanJuma-k7h5 ай бұрын
Nakubali fid q
@pellefrank91788 жыл бұрын
kiukwel kabisa cypher ya 2016 sio kali wala nn
@sulezbeatz38538 жыл бұрын
pelle frank imefanya international sanaaa mzee kalii tuuu mmezoea za kizamani wabongo safiii tigoo moja ya level ya kimataifa hiiii
@pellefrank91788 жыл бұрын
+Sulez Beatz hah hah hah kiinternational zaid au sio.... humo kuna watu waliokua wanadeserve kuwepo wamekosa humo
@everydayevents32308 жыл бұрын
wamezngua mwanangu atleast stamina...
@pellefrank91788 жыл бұрын
dazzle carter G nako kasimama pia
@safisana40966 жыл бұрын
Tigo festar
@geraldville7 жыл бұрын
G Nako!
@samsonabed20608 жыл бұрын
stamina you have big knoldge
@Buelli34 жыл бұрын
Full moon 6/10/20
@joshntunduye29627 жыл бұрын
fid q umeua brah...
@nassorohamza50066 жыл бұрын
Nouma sanaaa
@dangacha1468 жыл бұрын
g nako hilo povu vepee
@blogtz46548 жыл бұрын
motra stamina Roma tisha sana
@johnsonayo8 жыл бұрын
mwaka huu ni cheche ma ninja siyo kali wala nini,ilifaa kuleta real freetellers hata kama hawapo kwenye show za fiesta wengi hapo wengi wanarudia mngoma zao
@middletz29267 жыл бұрын
roma na kak adm mmmm🙌🙌🙌🙌🙌🙌😁😁😁
@ramadhanimagomba73956 жыл бұрын
Noumaaa
@calvokagushte19725 жыл бұрын
kaboom💣
@TheAddyjembe8 жыл бұрын
mbovu sana
@stvnnj2 жыл бұрын
G ni moto
@hafidhbushit20326 жыл бұрын
👌👏💣🔥
@badmanno.16503 жыл бұрын
Wa Arusha hawajui hiphop ...fujo tupu na bangi nyingi