Рет қаралды 321,437
Hii ndio siku ya mwisho kati ya zile siku 10 za maangamizi ambapo wasanii wawili wa hip hop wanakutana kutoa burudani kwa mashabiki zao kupitia michano ya hip hop na hapa wanakutana wakali hawa wawili kuhitimisha burudani hii ya siku 10 mfululizo..