TIMBWILI FINAL

  Рет қаралды 21,130

KITANDU TV

KITANDU TV

9 ай бұрын

Tunawashukuru sana mashabiki zetu kwa kuwa pamoja nasi toka TIMBWILI liaze Mpaka tunalimaliza najua mmetuvumilia kwa mengi ata pale tulipochelewesha mlitumaindi ila bado amkutuacha mkaendelea kua nasi Tunawashukuru sana sana. pia tunawaaidi atutawaangusha tena ususani ni juu ya kazi yetu mpya inayoaza kuruka kuazia kesho saa 12 jioni niwaombe tusaidieni kusheya ili na wengine waone kadri tunapopata viwaz wengi ndo ivyo ivyo tutazidi kuwaletea vitu vizuri zaidi ndo tumefikia mwisho wa TIMBWILI na kesho tunaaza na tamthilia mpya ya MDUNDO Mwambie mwezako na mwezako amwambie mwezie ndo kwanza kumekucha mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Пікірлер: 166
@user-vj5ph8zm7x
@user-vj5ph8zm7x 9 ай бұрын
Mimi kama mimi naona hii movi inaelimisha na kutufundisha kweli asie jifunza kuhusu hii series sijui labda ana matatizo mungu awabariki sana wote mloshiriki kwenye hii series
@allyhassan4334
@allyhassan4334 9 ай бұрын
Madebe hii kwell fainol maana hii maana yake ukitenda mabaya utalipwa maba na mwenyez mungu ukitenda mazull Allah atakulita mema Ahsante kwa ufundisho wako kaka Allah akulipe ndg yangu
@user-zf7ft8eg1x
@user-zf7ft8eg1x 9 ай бұрын
Jamani tusema ukweli t tunzo zende kwa kibena Mr madebe mwisho wa ubaya ni aibu nazani umeiyona dh Asante sana nimefurahi sana kuwa nyie mwanzo Hadi mwisho asie elewa filam aiyanze mwanzo hongera mr madebe by👋
@CHW122-tl8ot
@CHW122-tl8ot 9 ай бұрын
Huyo ndio nabii mswahili madebe ana baya kwenye movie zake
@doctorkinyozi7443
@doctorkinyozi7443 9 ай бұрын
cjawahi kumaliza series y kibongo hii ndio ya kwanza KITANDU TV bigup sana
@allykilly2020
@allykilly2020 8 ай бұрын
Shukran kwa kazi nzuri endelea kutuletea kazi nzuri yenye mafundisho hakika wew Madebe na Timu yako ni darasa tosha
@davidmpepo9298
@davidmpepo9298 9 ай бұрын
Pale unaposema Bado sana kumalizika gafla wanakupa final ya aina yake kila ki2 kimemalizwa kwa usahihi 😢thank KITANDU TV MIEZI MITATU BILA KUCHOKA
@athumanikatana1711
@athumanikatana1711 9 ай бұрын
Asanteni sana KITANDU TV mimi binafsi nimejifunza mengi sana kutokana na series hii ya TIMBWILI.MOLA awajalie fikra nzuri muendelee kutufundisha na kutuelimisha ya duniani na ya kesho kiama.INSHAALLAH.(Athumani from kenya=Mombasa county 001
@user-qs9pr7nn1e
@user-qs9pr7nn1e 9 ай бұрын
Mwisho wa ubaya ni aibu madebe pole umeponza mwanao ndoa mbili zote kazitia doa asante sana lakn
@ocholamwanafalsafa8627
@ocholamwanafalsafa8627 9 ай бұрын
Kazi nzuri sana,waigizaji wote wamefanya kazi zao safi,hongera kwa kila mmoja.
@mkamimtatiro8740
@mkamimtatiro8740 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂madebe unaogelea wewe saiz Mmetoa somo zuri sana
@Gamba81
@Gamba81 9 ай бұрын
Inshaallah tume maliza salama kesho mpya sindiyo
@user-dz4jc5vr9s
@user-dz4jc5vr9s 9 ай бұрын
Asanteni sana washiriki wote halika tibwili limenifunza na kuniburudisha mungu azidi kukubariki wana timbwili wote ila nitawamic jamani, pongezi kwa kibena ameweza kwakweli adi raha yan
@user-px5nt9ei9p
@user-px5nt9ei9p 8 ай бұрын
Kiwukweli nami naopongezeni sana kwahii serie ambao mumetosha kiwukweli imetufunza mengi hata kwasie bijana asanten sana na mungu hawabariki nyote ❤ mulio shiriki
@saidsasea493
@saidsasea493 9 ай бұрын
what a finish 🔥🔥🔥...... congrats Madebe lidai and the all kitandu TV
@elijahwelim6901
@elijahwelim6901 9 ай бұрын
Mwisho mwema mumejibu maswali yote na mmejenga maudhui viema mmetoa mtiririko wote wa matukio. Hongela sana .mumeweza❤
@mariamuathanas
@mariamuathanas 9 ай бұрын
Hongera Sana muandish team mpayu tutakumis
@captainmaucha8708
@captainmaucha8708 9 ай бұрын
Asante kaka madebe tumeimaliza timbwili salama tunasubilia Ngoma nyingine tunaimani itakua nzuli zaidi
@jucuteB
@jucuteB 9 ай бұрын
Big up guys its a good film pliz all the series and upload
@user-zk5tq2ni6b
@user-zk5tq2ni6b 8 ай бұрын
Movie imeisha vzr haswaaa..na mafunzo ndani yake ...pia hatutakiwi kukata tamaa ingawa kibena alipenda kw kuroga Leo MALIKI karudi mikononi mwake....hongereni sn
@sylvesterluhuna3706
@sylvesterluhuna3706 9 ай бұрын
Kazi nzuri sana madebe
@saidiabdalahshabani941
@saidiabdalahshabani941 9 ай бұрын
Ila madebe we🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@liwazaomary106
@liwazaomary106 9 ай бұрын
Kweli hii finally daaa
@katanaajonathan6987
@katanaajonathan6987 9 ай бұрын
mzee wa mipango kawa chizi sio. balance kweli
@rachealkitsao259
@rachealkitsao259 9 ай бұрын
Hongerani kazi nzuri sna❤❤❤
@mkamimtatiro8740
@mkamimtatiro8740 9 ай бұрын
Aiseee ckujua kama final ndo itakuwa ya kusisimua hivo big up kwa washiriki ote mwanang dole gumba😅 aaa Shtuka mwanang nae 😅😅
@user-fq2sg6yy7y
@user-fq2sg6yy7y 9 ай бұрын
Asanten saana 🙏 ,pia hongera kwa washirki wote wa timbwili ,madebe tunaomba mwendelezo wa matusi please
@mwanarusi9818
@mwanarusi9818 5 ай бұрын
Hahahaha yani nimejifunza na nimeirudia kama mara nne nawapenda sna congratulations toka 🇰🇪
@muhundaramadhani5057
@muhundaramadhani5057 8 ай бұрын
All team congratulations
@jonathanokumu7925
@jonathanokumu7925 9 ай бұрын
Big up kitandu tv
@hadijakassim7597
@hadijakassim7597 9 ай бұрын
Good job madebe unaga mwisho mbaya kaka
@user-vo5xq3wl1z
@user-vo5xq3wl1z 9 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza wabongo wamemaliza stori na matawi yte yamemalizika bila ukakasi ila hii mkiamua kuendelea itaendelezeka big up sana team timbwili
@rashidhamid4040
@rashidhamid4040 9 ай бұрын
Timbwili imetufunza mengi hasa maisha ya kuhama hamana kufanya mapenzi na kuzaa ovyo hadi mwisho unazini na mwabao ahsante nadebe group na wote walio shirking ❤
@RhodaNalyakajohn-px5si
@RhodaNalyakajohn-px5si 9 ай бұрын
So nice big up madebe
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 8 ай бұрын
Ingependeza zaidi tungeiona familia ya baba maliki nawao walivyokuwa wanalia
@habibaa9503
@habibaa9503 9 ай бұрын
Madebe mwisho wa ubaya Aibu,ukimtendea ubaya binadam mwenzio ipo siku utakurudia ,yamemkuta madebe dole gumba na majabei😢
@mlangaliromwenda6945
@mlangaliromwenda6945 9 ай бұрын
Asanteni sana, wachezaji wote, mumeigiza vizuri sana. Endeleeni hivyo hivyo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@magnibrondi3152
@magnibrondi3152 9 ай бұрын
Poleni sana Madebe mwisho wa ubaya ni ayibu
@asiabamoses6432
@asiabamoses6432 9 ай бұрын
Thank you very much...kitandu TV. You made me feel home,away from home here in Doha Qatar..Asanteni sana..The best actors award goes to....am yet to deside
@rugendorunene545
@rugendorunene545 9 ай бұрын
Fadhili Nassoro... mwandishi bora ☑☑.
@kashitellogideon3727
@kashitellogideon3727 9 ай бұрын
The best bongo movie ever
@user-qw1gb4dd2l
@user-qw1gb4dd2l 9 ай бұрын
❤❤❤ hii kali mno
@user-xz5qo9os8u
@user-xz5qo9os8u 9 ай бұрын
Kula chakwako hata kama nikidogo ridhika na cho❤❤❤
@nuruheartaman5925
@nuruheartaman5925 9 ай бұрын
Movie nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉
@hamisibugao314
@hamisibugao314 9 ай бұрын
Big up kitandu crew,congratulations to the writer,we are eagerly waiting for the next script in shaa Allah.
@user-pn6ng4qk9j
@user-pn6ng4qk9j 9 ай бұрын
Ongelen mmeigiza vzur❤❤
@ZainabuKiungo-mu9yy
@ZainabuKiungo-mu9yy 9 ай бұрын
dah nataman iendelee. asanteni
@brianabel1867
@brianabel1867 9 ай бұрын
Thank you guys 🎉Enjoyed the whole series right here in gulf Qatar… felt at home every step of the way 😇I found out I had tears in my eyes …the scene of Kibena and Maliki ,that was pure right there ❤ God bless 🙏
@satbusa1321
@satbusa1321 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤😮😅😊😢kuna chakujifunza apa aisee
@user-zt6jo4bq6g
@user-zt6jo4bq6g 9 ай бұрын
Nimeipenda Kazi hii Sana hongereni👏👏
@mwanakitenge
@mwanakitenge 9 ай бұрын
Kiupande wangu sijapenda ilivoisha
@usher_bambi9413
@usher_bambi9413 9 ай бұрын
Mm maliki na kibena wa kuniliza kama hayawan kwel😢😢😢😢
@user-lm7qr5gj2s
@user-lm7qr5gj2s 9 ай бұрын
Uhakika jamani nimengi yukijifinza❤❤
@ramlasuleiman
@ramlasuleiman 8 ай бұрын
Woow mashalah ❤❤mwanzo mzuri mwisho mzuri🎉hongereni..love from kenya
@salumsimai642
@salumsimai642 9 ай бұрын
Saaaf mafunzo kama yote ktk jamiiii zetu
@hamismustafahalfansuleiman5799
@hamismustafahalfansuleiman5799 9 ай бұрын
Tunaisubili kazi nyingine 🙏🇲🇿🇲🇿
@muhundaramadhani5057
@muhundaramadhani5057 8 ай бұрын
Nimekubali🎉🎉🎉
@priscamwatete-lh6pf
@priscamwatete-lh6pf 8 ай бұрын
Timbwili noma until final pamoja sana
@SYTRUCK
@SYTRUCK 8 ай бұрын
Mwanzo wa filamu hii ilkua nzuri saaaana but vile mmeimaliza ilionekana kama ambae muko na pupa flani ya kuimaliza Ili muanze series ingine please kwa niaba ya watazamaji wengine naomba zingatieni hili katika series hii nyingine mlioianza, asante
@user-cz1zj2te6c
@user-cz1zj2te6c 9 ай бұрын
Na mm nimewahi leo❤❤❤
@gagalinodenatrick1652
@gagalinodenatrick1652 9 ай бұрын
THIS FINISHING WE CALLING MAGAZIJUTO❤ pongezi kwenu Kuna mengi yakujifunza humu kikubwa Zaid tujue kuwa WAKATI WAMUNGU NDIO WAKATI SAHIHI TUWE NA SUBRAA HAIJALISHI TUNAKUMBANA NA NINI MBELE YETU kibena na malik ni kusud la Mungu na imekuwa
@user-wn9uf7ml8l
@user-wn9uf7ml8l 9 ай бұрын
Kivumbi Leo yni timbwili limetimbwilikwa kwa Madebe n mwanae masikini madebe
@user-pn6ng4qk9j
@user-pn6ng4qk9j 9 ай бұрын
Hiyo imeenda duh vilio tyuu madebe😂😂😂 😭😭😭🔥
@PaulMalyosi
@PaulMalyosi 9 ай бұрын
Kufaulu na kufeli kwa mwandishi tulipaswa kujua pia hatma ya madebe ilikuwaje baada ya kupata uchizi na maliki na mpenzi wake maisha yao mapya nn kiliendelea, ndasa nae bado mke wa madebe kuna vingepere vilipaswa vihitimishwe vizuri ila filamu nzur San ina mafundisho mazur
@hamismustafahalfansuleiman5799
@hamismustafahalfansuleiman5799 9 ай бұрын
Hongereni washirika wote kazi imeenda vizuri kwa kweli tume enjoy Sana huku Msumbiji 🇲🇿🔥🔥
@abubakarikasamwa5792
@abubakarikasamwa5792 8 ай бұрын
Hapa ndio ninasemaga siku zote MADEBEEE ndiye mlisi halali wa KANUMBAAAAA
@channyntiharirizwa7564
@channyntiharirizwa7564 8 ай бұрын
Niwapeni tu ongera zenu maana iyi movie nimeyipenda kweli tena sana ila nimara ya kwanza madebe kushidwa najambo mpaka anakuwa kichwa Na dasa metisha kumiliki dume2 niseme tu nimeinjoi
@dearmama7865
@dearmama7865 9 ай бұрын
baba na babu unaitwa kwa pamoja hongereni crue nzima dole gumba star akifa picha linakuwa mwisho washkaji wote mloshiriki bila kusahau warembo wa TIMBWILI Mmeua mbaya sasa tupeni kitu ingine tuburudike zaid ya timbwili
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 9 ай бұрын
Big up Sana watu wangu ❤❤😍mmeniliza sio utani 😢🙄
@selechiloloma125
@selechiloloma125 9 ай бұрын
Kibena umepita visual sana bg sana
@muhundaramadhani5057
@muhundaramadhani5057 8 ай бұрын
Good job
@jumahamisi4660
@jumahamisi4660 9 ай бұрын
Da ina uzunisha ina fraisha sema nime uzunika
@pilishazycounterog8200
@pilishazycounterog8200 8 ай бұрын
❤❤❤❤makopa yenu final
@user-mq9hd5lw2u
@user-mq9hd5lw2u 9 ай бұрын
Jaman kumbe n final
@aishadakio7237
@aishadakio7237 9 ай бұрын
Tunasubiri mdundo
@mariamomary7758
@mariamomary7758 9 ай бұрын
Alhamdulillah tumemaliza Salam tuletee nyingine madebe
@leonardadd
@leonardadd 9 ай бұрын
KESHO TUNAANZA MDUNDO,NDO KASEMA
@mariamomary7758
@mariamomary7758 9 ай бұрын
Weuweeee
@user-qw1gb4dd2l
@user-qw1gb4dd2l 9 ай бұрын
Ahsante kitandu tv kwa kutupa ki2 kizur mno ❤❤
@halida3917
@halida3917 9 ай бұрын
Madabe LP MEDIA IMEKUFA AU TUMEWAMISS WAKINA CHANUO
@salimkombora2742
@salimkombora2742 9 ай бұрын
Mambo ni moto
@user-kd9fs3ep8t
@user-kd9fs3ep8t 8 ай бұрын
Good job mzee madebe big up sana mzee wangu
@user-ve1yq5ou2b
@user-ve1yq5ou2b 9 ай бұрын
Mafunzo mazuri ilaepisode ya mwisho imeharakishwa sana manake kuna taharuki nyingi zimejiyokeza;je ndasa maisha yake yalikuaje baada ya madebe kuwa chizi,mke wa Madebe mimba ilikuwa ya Dolegumba ama ya Madebe na mke mwenyewe aliendaje.Maswali n mengi ila kazi nzuri💪💪💯
@blaisekadhafi3559
@blaisekadhafi3559 9 ай бұрын
Madebe hakika wewe ni bingwa kwenye mouvie
@TwahirAlly-ym2fc
@TwahirAlly-ym2fc 9 ай бұрын
Movie bado hii tupe season nyingine nzur balaaa
@salimkombora2742
@salimkombora2742 9 ай бұрын
Ujana usharibu uzeee nakujali madebe
@fatuma46ramadhan18
@fatuma46ramadhan18 9 ай бұрын
Asanten washiriki wote tumeinjoy ndani ya tibwili❤❤❤❤ kitandu tv
@salimkombora2742
@salimkombora2742 9 ай бұрын
Huzuni kibao Leo ...noma
@boneshaissa5138
@boneshaissa5138 8 ай бұрын
Tumeijoi San
@SalimKombo-ws2gu
@SalimKombo-ws2gu 9 ай бұрын
Wa3 lei mimi
@abdulrahmanisaid5831
@abdulrahmanisaid5831 9 ай бұрын
Nice madebe
@Nahdiya-nr3de
@Nahdiya-nr3de 9 ай бұрын
Maua kw madebe lidai asanteni nyote mlio shiriki move tamu sana
@antoinettebilewane7953
@antoinettebilewane7953 9 ай бұрын
Sija Kumbali yani hapo bando
@salimkombora2742
@salimkombora2742 9 ай бұрын
Dole gumba amepatikana leo
@user-sf3ei6ut9s
@user-sf3ei6ut9s 9 ай бұрын
Mambo motomoto leo😊
@fabianmasunga3788
@fabianmasunga3788 9 ай бұрын
Let's finish it🎉
@NuludiniRajabu-cb9oc
@NuludiniRajabu-cb9oc 9 ай бұрын
Ongela madebe move tam tam Ila mwisho mbon atujajuwa mkeo itakuwaje na mimba yake na ulivopata uchez mkeo atafanyaje pamoja na ndasa kitaendelea nn
@user-et4bd4vx2m
@user-et4bd4vx2m 9 ай бұрын
Madebe umelipwa yote maovu Yako kishakuramba kweli kweli
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 8 ай бұрын
Pole madebe
@emmyyussuf9234
@emmyyussuf9234 9 ай бұрын
Ahsanteni xanaaaaa kwa mafunzo makubwa mlotupatia ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@hamismustafahalfansuleiman5799
@hamismustafahalfansuleiman5799 9 ай бұрын
Madebe we ni mwamba Msumbiji tumekuelewa🇲🇿🇲🇿🇲🇿🔥🔥🔥
@user-wr2iv6tl9v
@user-wr2iv6tl9v 9 ай бұрын
Madebe lidai saf San kazi nzuri ❤❤❤❤
BABA MDOGO |1| Mkojani_Kamugisha_Bushura
15:41
MKOJANI GANG
Рет қаралды 41 М.
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 97 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 114 МЛН
Dinner date😋🤓 - Oga Obinna & Dem wa Facebook
32:47
The Weekly Show KE
Рет қаралды 10 М.
KOSA LA MOYO episode 1
19:53
Nong'a Comedy
Рет қаралды 1,7 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode/15/ #love
50:40
BabaJoan
Рет қаралды 242 М.
KESI YA HARMONIZE Vs BABA LEVO | PART ONE - USWEGE MURDERER
7:55
Uswege Murderer
Рет қаралды 237 М.
MDUNDO epsod 01#madebelidai #NABIMSWAHILI #VIOLAMTETEZI
15:11
KITANDU TV
Рет қаралды 82 М.
De orange watermelon #viral #brightlightcomedy #funny #brightli
1:01
brightlight Comedy
Рет қаралды 14 МЛН
E E Ei Meat Team VS Red Larva Team | Battle Part 1
0:27
ApKim Gaming
Рет қаралды 6 МЛН
Сотрудник полиции не ожидал такого 🫣 #кинонавечер
0:55
У Тебя Есть 3 Желания! 😌 @NutshellAnimations
0:46
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 6 МЛН