NAWASIKILIZA SANA WATAZAMAJI WANGU LEO DAKIKA 50 TUENDELEE KUFURAHI PAMOJA, MSISAHAU KUTUSAMEHE MAPUNGUFU YETU,PIA SUBSCRIBE CHANNEL HII YA BABA JOAN, MBARIKIWE SANA MSIKOSE BANDO.
@IsmaelOkongo136 ай бұрын
Big up 🎉🎉🎉🎉🎉
@mwanaakidaomar46636 ай бұрын
Tuko radh tukope tufungwe kwa maden lkn baba joan utupe burdan
@jacklinesesile51366 ай бұрын
Ur the best ❤
@Marim-sj7oi6 ай бұрын
Kazi nzuri baba joan ❤🎉❤🎉❤🎉
@nouratraashid48686 ай бұрын
poa ujengewe sanamu lako pale posta kaka ❤❤❤❤❤❤❤❤
@MsafiryChitema6 ай бұрын
Hiiii movie 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nzuri sana pia inafundisha na kuelimisha vitu vingi sana barikiwa kaka
@ChristabelShumira6 ай бұрын
Hongera sanaa baba kalobo,,movie nzuri sanaa 🎊 🎉
@RoseKasangezi6 ай бұрын
Movie nzur hongela sana baba karibo🎉🎉🎉🎉nawapenda wote mko good
@maalimali55136 ай бұрын
Hongera sana Baba Joan, binafsi nimefurahia muda leo, niseme tu katika filamu zako hii ndio bora zaidi❤❤❤
@jacksonchingwaba16266 ай бұрын
Hongera sana Tusuvile, Baba Joan mwenzangu , Kazi zako nazikubali sana mkuu big up, your professional
@KimanziKomu6 ай бұрын
Hii kitu inanigucha sana imekaa ya kwangu kabisa,
@kambalejean-pierre90136 ай бұрын
Bos mchawi 6:41
@kambalejean-pierre90136 ай бұрын
Bos mchawi 28episod
@wamboiwamboh6 ай бұрын
waswahili na matusi nawavulia kofia😂😂😂😂😂matusi daaah nmekoma mimi apa😅😅😅😅😅team baba karobo we love you guys from kenya❤❤
@tabihaauko91466 ай бұрын
Baba karobo ndiye atajaza pengo lenye kanumba ameachwa huko Tanzania congratulations 🎉🎉and continue good job ❤
@leahmwangala53126 ай бұрын
Mm niliona baba karobo kaona kumbe ilikua mawazo doo aoeni alafu ajifanye haoni amuone vile fake makarobo true colour zake
@loreenmwambinguloreen73736 ай бұрын
🎉🎉🎉ushasema
@AliomarAli-wu6br5 ай бұрын
Kweli kabisa❤❤
@KassianWilliam6 ай бұрын
Dah mmecheza sana pongezi kwa wote, hasa zaidi kwa Baba mwakarobo na mwakarobo kiukweli mmenibamba sana.
@joycebageni90406 ай бұрын
From DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 courage mon frère baba Joan,tu fais de bonne chose vraiment ❤
@wamboiwamboh6 ай бұрын
this channel is surpssed to be watched all over❤❤❤❤skills after skills,,,bravooh to the team baba joan❤❤
@babutalemituno6 ай бұрын
Baba joan msichelewe san kutoa vpande maan sometimes tunakaa sku nyngi kabla hamjatoa vipande vingne,,,,tunawapenda sana kaz nzur Mungu awabariki san
@FoxDrama-o5i6 ай бұрын
Mtujulishe fanale niepisod yangapi?
@FoxDrama-o5i6 ай бұрын
Mtujulishe fanale niepisod yangapi?
@FoxDrama-o5i6 ай бұрын
Mtujulishe fanale niepisod yangapi?
@ksaskaka6 ай бұрын
Leo nimependa sana mwana sheria kazi njuri mungu akutangulie baba joan❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@aishaomar22876 ай бұрын
Good work team baba joan 👏 huyo mdada mwanasaikolojia napenda anavyoongea ni kama kiswahili amefanya kujifunza😊
@zephbaraka6 ай бұрын
Awesome❤ thanks once more..... following from KENYA🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AyubuKamendu-w4o6 ай бұрын
Mwana saikolojia yuko vizuri ni moto ❤❤❤
@SarahNasimiyu-j4g6 ай бұрын
Napenda sana hiki kipindi❤am watching from Dubai
@EmanuelKabola6 ай бұрын
Unaweza Sana kila siku naisubilia Sana itoke big up baba joan
@IldaRafaelElias6 ай бұрын
From Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿,nawapenda Bure safi sana.
@ABIGAIL67-tria6 ай бұрын
Grandpa wa @kalobo nakupenda sana Sasa hivi naelekea kukutana na wewe @busati tv❤❤❤❤❤
@loreenmwambinguloreen73736 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@johnwaafyaannex6 ай бұрын
Baba Joan munafanya kazi nzuri kutuelimisha hapa Kenya tunafurahia kazi yenyu nzuri
@fahmyhussein81476 ай бұрын
Baba Joan Kazi IPO nzuri nimeikubali Uwe waitowa dakika 50
@JoanWalumoli6 ай бұрын
Asente sana baba Joan Kwa movie zako zuri na furahia
@ArsenSilayo-r4o6 ай бұрын
Wowow dakika 50 aise nyie ni wa2 Bora sana nafwatilia tamhiliya nyingi San lakini xjawah pata yenye dakika nyingi hivi na ikatoka kwa wakati bila kuchelewesha dah mpo seriously sana mungu awazidishie vipaji ili mzidi kutufurahisha
@RoseOdilo6 ай бұрын
Kiukweli nampenda baba karobo ila mama karobo wa kufikia apewe maua yake anaweza hadi anaweza tena yn kiukwl anachangamsha movie yetu❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
@SafiaHamadi-vi4xv6 ай бұрын
Kwel maua yke
@RoseOdilo5 ай бұрын
@@SafiaHamadi-vi4xv yn ana kipaji kikubwa
@TEONESTKACHIRA6 ай бұрын
From kibondo kigoma nafuatilia movie hii ya baba angu kipofu nimeipenda sanaa mungu akubliki sanaa baba Joan na team yako kwa ujumla mungu awajalie afya njema ili muendelee kutuburudisha ILOVE YOU 💕🇹🇿
@AyubDaniel-u6k6 ай бұрын
Inaumiza sana lakini ni story nzuri baba kalobo Mungu akupe maisha marefu na akuepushe na na baya❤❤🔥
@loreenmwambinguloreen73736 ай бұрын
Aminaa
@SaumuhamisiHamisi-w9r6 ай бұрын
yaani hapa patamu nyie baba Joan kazi zako hazina mbambamba ximenyooka na utamu juu yake barikiwa kakaangu uzidi kuendelea vizuri❤❤❤🎉🎉
@NancySibiaOnguti-gb9yq6 ай бұрын
Nampenda sana huyu mpererezi naoni mission itakamilika asilimia mia. Mama karobo na mjipuko wake wamekonda juu ya ushirikina na maovu wanaofanya😢😢😢
@kimgraphics94886 ай бұрын
movie nzuri sana baba karombo big love from kenya
@Mercy-pw6yw6 ай бұрын
Watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪 i like it
@J742516 ай бұрын
Tamu sanaaa kaka umecheza kama wewe❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
@السنتكينيه6 ай бұрын
A very interesting movie, I love it more and more ❤❤❤❤❤
@loreenmwambinguloreen73736 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 kumbe ni baba joani sio baba karobo
@dieudonnekimengele6 ай бұрын
JI KAZR UTU TOSHEYE 16 mbiyo mbiyo sana kabisa tuna choka na iyi maisha
@Harriet-g7c5 ай бұрын
Wow ba kai kwa house girl nampenda San n ba mzuri❤❤❤❤
@LucyMayaya-y2y6 ай бұрын
Yaaan Baba Joan big up Sana bro wewe unajua na unajua tena unatuwekea dakika za kutosha ❤❤❤
@shilaanyango6 ай бұрын
I'm really enjoying the movie
@DominguezdaFátimaNacir6 ай бұрын
Parabéns pelo seu trabalho historial,te rendo muito pelo lindo trabalho que tem feito. Estou assistindo a partir de Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 asante sana baba joan kwa kazi nzuri aise umetisha sana.hongera
@Mumfortune6 ай бұрын
Baba Joan nakupenda bure❤❤ movie zako zko na mafundisho poa sana😘😘😘be blessed 🙏🙏
@glorymanga36506 ай бұрын
Kwa stail aloshikiliaa hyo simu mama kalobo hata hajashtuka woiiii mm ningeisi tu😆😆😆hapaaa kunaa namnaa
@SafiaHamadi-vi4xv6 ай бұрын
Mama karobo mshamba mshamba thus why
@merymahu450024 күн бұрын
Hawezi kushtuka maana anatamaa ya vitu alafu hajui matumixi ya simu kubwa 😂😂😂😂
@protusisiaho82416 ай бұрын
Watching from Daadab, movie iko freshy kinoma.
@stewartmgallah6 ай бұрын
Nice movie inaletwa on time🔥🔥🔥big up from kinshasa
@horakibondo66676 ай бұрын
I don't know Swahili but I followed EP1 to this current ep I believe that with the time I will understand Swahili Kipofu: blindness I love this team even their content
@Muhifadhimussa6 ай бұрын
baba Joan umetisha sana ilA NAMPENDA SANA zujati
@liliy-u3n5 ай бұрын
Zujati mzuri ❤ kwanza shepu lake
@TemboPettro6 ай бұрын
Kaka kweli umekaa nimeipenda sana kazi yako mungu akuzidishie upeo uzidi kufanya kazi nzuri zenye mafundisho yakuelimisha jamii hongera
@Yusufzahal2546 ай бұрын
Nawakubali wanangu ...tutaendelea kuwashabiki ..hatutaki watu wenye mchezo kwa kazi kama wale wa WRONG HOUSE...i pray for you guys 🎉 from kenya🇰🇪
@MerchyPaula6 ай бұрын
Wallh mmn kalobo feki mukali xn🎉🎉
@Salina.son_1236 ай бұрын
Ongera sana bro unaleta movie mapema guys nipeni likes zangu by show love to baba Joan ❤❤❤❤
@Odhiambofamily386 ай бұрын
Pay back please
@Elizabeth-ds7yk6 ай бұрын
🎉
@Elizabeth-ds7yk6 ай бұрын
🎉
@Soska-h7w6 ай бұрын
Wonderful ❤❤❤❤like zangu kutoka Kenya jamani
@Soska-h7w6 ай бұрын
Asanteni sana kunipea likes marafiki zangu
@loreenmwambinguloreen73736 ай бұрын
🎉🎉🎉niko apa
@jmmwauramusic65886 ай бұрын
Hapo sawa dugu yetu,umeiongeza ladha kumweka mamakarobo original
@VeronicaOtieno-u3f6 ай бұрын
Naipenda sana ivi mama karobo ashajikaranga😂😂
@Catherine-lx3jr6 ай бұрын
Baba joan kazi nzuri sana nakupongeza👏🎉
@BahatiTimilai-v2x6 ай бұрын
Nipeni like zangu hakika hii simama naipenda sana
@swediPacificswedi6 ай бұрын
wakwanza kutoka Burundi Congo 🇨🇩🇧🇮
@MargaretMtende6 ай бұрын
Nawapenda sanaaaaa 💓🫶 Kwa kazi yenu nzuri sana
@hemstoneindiazi56786 ай бұрын
KAZI mazuri Sana hempstone from Kenya
@njutujedeofficial29986 ай бұрын
❤from Burundi🇧🇮 shukrani kwa team nzima nafasi zenu mnazitendea haki
@Jacky-u5h6 ай бұрын
wakwanza ni wafadhili wenyewe jamani😂😂😂napenda baba kalobo
@SHEHANIRASHIDIIddi6 ай бұрын
Mda mama kalabo kapigiwa simu na rafiki yake angesahau chakula alafu bbklabo ukajilaza ukapalamia ule mkate ikawa kama mungu kakusaidia ingependeza sana
@BrianbBashir6 ай бұрын
Baba Joan kazi nzuri napenda show zako
@TBrownMusic-uw2ut3 ай бұрын
Hahaha unapenda show kwa mwanaume mwenzio Acha u p didy ww
@JamilaNduta6 ай бұрын
Movie ni kali good job ❤❤❤
@MasnamussaPp6 ай бұрын
Jamani mnajua mimi nampenda sana mama karobo ❤kwa ukauzu wake tu
@mwachilungotsimba1416 ай бұрын
Kazi nzuri bro🎉🎉🎉mungu akuzidishie
@AmbroseMamole6 ай бұрын
Bravo!We love you're work from Kenya.
@FailaOg-c2q6 ай бұрын
Jameni saa saba AM hivi nilisubili iyo movie like team kalobo
@sophiamwambire6 ай бұрын
hongera baba karobo-Mtwapa kenya- mafunzo mazuri...
@AssanitoSufo6 ай бұрын
Kazi mzur kaka
@EliasSifuna-q7i6 ай бұрын
Ilove this I'm watching from Kenya 🇰🇪 😍 kiambu kikuyu town thogoto division
@IsmaelOkongo136 ай бұрын
Kazi nzuri kaka 🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏
@Smart7-b5e6 ай бұрын
Hongera sana kwa kazi nzuri baba karobo❤❤❤❤ nilikua nimeisubiri kwa hamu sana
@AminaMohammed-u7j6 ай бұрын
Inaumiza sana hii story ya baba. Karobo mungu akuepushe amin
@YoeliNamtema6 ай бұрын
Nimeipenda saan mkuu huo kazi, mwenyezi Mungu akuzidishie upeo endelevu wa utendajikaz mzuri zaidi❤❤❤❤
@DamasiBihayimana6 ай бұрын
Yani nyienikiboko sana mamakarobo kuaninini anarohombaa. ❤mamakalobowenimwanamuke Soo mwanaume kuahiyowejitambuwe
@Sharon-c9b6 ай бұрын
Kama kuna movies tamu hakuna ifikiao za Baba joan.big up bro I love you so much.your big love frm🇰🇪.
@NellyKandolo6 ай бұрын
Nipeni like zangu wa kwanza leo Congo
@ChristineNjeri-q9p6 ай бұрын
From kenya kazi zuri nawapenda sana wote
@adielndayishimiye21226 ай бұрын
Nawapenda sana wachezaji wote move zuli 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@madjynakatembo98976 ай бұрын
Ninakufuata kutoka Msumbiji, napenda sana kazi yako 🇲🇿
@PeterKimanzi-l6y6 ай бұрын
Asante sana baba karobo kwa kuogeza dakika nimejienjoy kinoma na hii movie
@JoshuaGodifrey6 ай бұрын
@BabaJoan tunakuelewa sana kazi nzuri sana
@marthawanjiru66756 ай бұрын
Baba joani kazi safi episode 16 isikawie ❤❤🇰🇪
@RehemaSaid-r4h6 ай бұрын
Watazamaji wa baba Joan gonga like apa 🎉🎉🎉
@GdhhdXbxhdyd6 ай бұрын
Kazi Zuri nawapenda sana ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@kyngozi6 ай бұрын
Wa Kwanza kutoka 🇧🇮🇧🇮 nipeni like
@Odhiambofamily386 ай бұрын
Pay back please
@aminakenyaa93376 ай бұрын
Jamani naipenda sana hii series nzuri sana na inafundisha pia .....na ubaya una mwisho next party ❤❤❤❤
@ValentinahKwavai6 ай бұрын
Watching from Kenya wapi like zangu Kwa kuwa wa kwanza kulike
@Odhiambofamily386 ай бұрын
Let's grow together
@KKK-v6j6 ай бұрын
Watching from Kenya 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@AminaRai-u4t6 ай бұрын
Watching live From Kenya
@Tobiasmaina576 ай бұрын
Baba karobo mm natoka nairobi BT nataka hii Ngoma yako sana
@FettyMeshaki5 ай бұрын
Mama karobo umepata shogs unajmalza maisha ya sassiv amnaga shoga wa kwer ukmpata shukuru mungu ila mama karobo
@Khatib-xp6fp6 ай бұрын
Tupo sambamba dkk teje from 🇲🇫 ila tunapnda lini inatoka maaana ss wengine tunaibukia tu
@Ezraloyibobo106 ай бұрын
Kazi nzuri kabisa ❤❤🇧🇮🇧🇮
@Agnes5506 ай бұрын
Team kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪tulike hapaa
@martinkioko64376 ай бұрын
Pamoja likes kibao😅
@loreenmwambinguloreen73736 ай бұрын
🎉🎉🎉we are hear
@petersonmutugi30996 ай бұрын
❤❤❤❤ nairobi
@SaidNyange-s9z6 ай бұрын
Kaka hongera Kwa elimu ya kuelimisha mitaani kwetu. Hongerani Kwa ujumla wenu . Kwa kweli mnatisha safi sana.
@Luckness-u1n6 ай бұрын
Na mimi nimechekewa lakini watapokuja nyuma naomba like ❤❤❤❤❤❤❤❤
@millicentluvai16526 ай бұрын
hello ingekua vizuri saana,,,,tukiipata kila baada ya cku moja,,,,,fan wako frm kenya twakupenda saana
@AbasiMponji-e3t6 ай бұрын
Number one from India give me my like
@jacklinesesile51366 ай бұрын
Number one ☝️ please if you love this movie give me some likes ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊
@mapopo236 ай бұрын
Hello My friend Me am Number one to Join and to Love this is Movie 🇰🇪 100% 🎉🙏💪
@PaulOjiambo-p1f6 ай бұрын
❤❤❤
@Tobiasmaina576 ай бұрын
Napenda kabisa hii movie
@jacklinesesile51366 ай бұрын
@@mapopo23❤❤❤❤❤
@AliMunga-c8n6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 piga uwa mama karobo
@GladysKarembo6 ай бұрын
Munaendelea vizuri sana, MUNGU aendelee kuwatia nguvu, Nawapenda, watching from Kenya
@RUIYAMOHAMED6 ай бұрын
Leo nimewai,wa Kwanza kutoka🇰🇪naomba like na mm
@Felichinalharimal6 ай бұрын
Tuko pammoja na wewe mimi ni mukenya
@KaligiKisamu6 ай бұрын
Daaaah umetisha
@chatohti25966 ай бұрын
Upo wapi@@Felichinalharimal
@chatohti25966 ай бұрын
Hi
@DariaMaurus-mo1ug6 ай бұрын
Nyie munao omba like acheni toeni maoni❤🎉
@KHALIPHARCE-ud8hx6 ай бұрын
KHALIPHARCE bukoba kagera kazi nzuri sanaa🎉
@AminaMohammed-u7j6 ай бұрын
Jaman kumbe ilikuwa ni ndoto thu mm nataman sana apone