Pole sana kijana Lakini ulijisahau napesa zote za huyo binti ulishindwa atakuficha kiasi cha pesa leo ungekuta una mtaji wa kuanza biashara
@MonicaAgapitiBrunoАй бұрын
Iyo inaitwa ningejua🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@obbywilly526Ай бұрын
Kwarobart na mageti ni vituo tofauti. Mageti unapita kituo cha muhimbili ndo kwarobat
@MonicaAgapitiBrunoАй бұрын
😂😂😂😂Ni mbezi kama unaelekea goba 🤣🤣🤣
@biziro12Ай бұрын
Simlizi taam unajitaidi sana
@Shabani20162 ай бұрын
Huyu kijana anajuwa kutafsiri Move
@LucyBenjamin-w6d2 ай бұрын
Pole sana kipenz
@AzizaShaik-v8o8 күн бұрын
😢😢😢
@samjabri26112 ай бұрын
Polekaka
@JoyceRichard-k8vАй бұрын
Sasa mbona unamtaka jina
@MosesSaganga2 ай бұрын
Huu ni uongo😂😂😂 wewe unaenda kuonyeshwa nyumba halafu wakati mnaongea na Jack akaona ni surprise tena hapo hapo anasema nilitaka mkaangalie nyumba sasa surprised ilitoka wapi halafu acha kusema kulia lia kila mtu akikuona analia hvi unatuona mazuzu😂😂😂😂😂 mtangazaji ndio namuhurumia