HUYU NDIO BWAKILA KAMA ULIKUWA HUMJUI/ SHARO MILLIONEA.AMEPAKA MASIZI

  Рет қаралды 646,538

TimesFMTZ

TimesFMTZ

Күн бұрын

Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 240
@latefalatefa5594
@latefalatefa5594 4 жыл бұрын
Dah bwakila nakupenda mno mana unanitoa sana strees huku Oman jaman hasa hapo pakutaka kwenda hospitali dah Mungu akulinde bwakila morogoro tunajivunia kua namchekeshaji kama wewe
@edwinkyando2269
@edwinkyando2269 4 жыл бұрын
Gonga like alieona jamaa kafanana na Ney wa mitego sura mpaka ongea yake
@annapeter4994
@annapeter4994 2 жыл бұрын
Wao! Raha gani kumjua Stan Bakora! Hongera sana kwa kazi nzuri sana. Una kipaji kikubwa sana kwakweli
@ahmadrajab2450
@ahmadrajab2450 4 жыл бұрын
Bwakila noma nakuangaliaga nikiwa Kenya huku eldoreti aisee wanakukubali najivunia kua mtanzania nakua na wanangu wachekeshaji
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 23 күн бұрын
Congratulations keep it up good job 👏👍
@kalvinmalisa1204
@kalvinmalisa1204 4 жыл бұрын
Bonge LA mtangazaji nime kukubal unacho kifany kama umeona kipaj ndan yake gong like
@hudhaimaissa8144
@hudhaimaissa8144 4 жыл бұрын
Sure huyu mtangazaji big up kizazi....good job
@kusinimediatz6747
@kusinimediatz6747 5 жыл бұрын
"kama kusuka nimeshawahi kusuka" duuuh ila rest in peace sharo milionea
@sumajuma1531
@sumajuma1531 4 жыл бұрын
kusini media Tz mmb
@sniperboy7098
@sniperboy7098 4 жыл бұрын
Anko stani bwakilaa hahahaha stani umetisha kaka ila sharo Allah amsamehe makosa yake na amlaze mahali pema peponi
@aishadjumaphones8877
@aishadjumaphones8877 4 жыл бұрын
Haha kumbe.niwewe😘😘👌
@shedrackmwaipopo7253
@shedrackmwaipopo7253 4 жыл бұрын
Msiandike tyuu mkipata kidogo mkumbukeni mama sharo
@saidndaro6630
@saidndaro6630 4 жыл бұрын
Presenter NOMAAAA SANA
@karimushwaro3596
@karimushwaro3596 5 жыл бұрын
Msukule wa maneno ya kuambiwa uyo big up
@eduumwanafumakule3240
@eduumwanafumakule3240 5 жыл бұрын
Duh noma hiyoo
@rahmasadick9171
@rahmasadick9171 5 жыл бұрын
😀😀😀😀😀 eti msukule wa maneno ya kuambiwa. 😁😁😁😁😁
@sabrahmashema842
@sabrahmashema842 5 жыл бұрын
Stan sounds like ney wamitego
@hudhaimaissa8144
@hudhaimaissa8144 4 жыл бұрын
U talk so sweet...jr
@maubarak9831
@maubarak9831 5 жыл бұрын
kikweli huyo kaka sharo nilimkumbuka nikasema namoyo huyu mtu watz wamesahau mchango wake
@nabiijeconiafredy9087
@nabiijeconiafredy9087 4 жыл бұрын
Duuh sawa kumbee
@lekokojulius949
@lekokojulius949 5 жыл бұрын
Ney mdogo
@yassinsalum1864
@yassinsalum1864 2 жыл бұрын
Muandishi upo vizuri unajua kuhoji
@suzeemnati8356
@suzeemnati8356 5 жыл бұрын
Sulute you stano..... Maneno ya kuambiwa budo na ku follow all the from Kenya
@nicholaskamau4466
@nicholaskamau4466 5 жыл бұрын
Mnatty rank u big salute u
@nicholaskamau4466
@nicholaskamau4466 5 жыл бұрын
Mnatty suzee I rank u big kumbe upo pia huku ehee #salute ubig
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 жыл бұрын
Hongera ndugu Mtangazaji, Tuletee Bwakila pia nimuone namskia 2.
@jayjay4313
@jayjay4313 4 жыл бұрын
Ndio huyo unayemuona.
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 жыл бұрын
@@jayjay4313 Huyu Si Stan, Mjombake Bwakila.
@jayjay4313
@jayjay4313 4 жыл бұрын
@@mwanahalimamwachili9679 🤣Hao watu ni shida tupu.
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 жыл бұрын
@@jayjay4313 🤣🤣🤣🤣🤣 Vunja Mbavu,
@jayjay4313
@jayjay4313 4 жыл бұрын
@@mwanahalimamwachili9679 Hawafai kabisaaaaa
@zefaniasombe5202
@zefaniasombe5202 4 жыл бұрын
Safiii
@paulmangana4263
@paulmangana4263 5 жыл бұрын
Ungeiweka Distbin chini ya meza.... otherwise, nice journalist vocal
@jayjay4313
@jayjay4313 4 жыл бұрын
Dustbin
@rizlambajuni
@rizlambajuni 4 жыл бұрын
Dustbin
@merryjeremiah7533
@merryjeremiah7533 2 жыл бұрын
Love you 😘😍😍
@nicholasmwakatali3360
@nicholasmwakatali3360 4 жыл бұрын
Bwakila saafi sana mwanangu chapa kazi.
@sniper93999
@sniper93999 3 жыл бұрын
Mtangazaj daaah umeuwaaa sanaaa
@emmanueldionismbena3461
@emmanueldionismbena3461 4 жыл бұрын
😂😂😂😂 huyu @stanbakora chetu chetu jamaa ananuchekesha sana.
@babydayna3523
@babydayna3523 4 жыл бұрын
Duuh mtangazaj saut yako ikoo bombaaa saana
@wahidasaeedaly3858
@wahidasaeedaly3858 4 жыл бұрын
bwakila ndo huyo👋
@sarahmuthoni7456
@sarahmuthoni7456 4 жыл бұрын
Walai bwakila amfanana ibrah from konde gang
@jovinessleonard6518
@jovinessleonard6518 4 жыл бұрын
Saut Kali Mr presenter
@poizonhp798
@poizonhp798 5 жыл бұрын
Toweni Dust Bean hiyo TIMES FM
@albeleenalberto158
@albeleenalberto158 4 жыл бұрын
Hutaki pawe na dustbin? Watupe taka wapi? Watu huwa hamfikiri kabla ya kuandika haki ya nani
@rizlambajuni
@rizlambajuni 4 жыл бұрын
Dustbin ni ya vifutio vya majasho alafu jifunze spellings😂😂😂
@aminaamina4101
@aminaamina4101 3 жыл бұрын
Nakupend bureee
@rauhiyanyange1335
@rauhiyanyange1335 5 жыл бұрын
Yani umefanana na ney wa mitego hatari 😀😀😀😀
@marryoscar745
@marryoscar745 5 жыл бұрын
Sanaaa
@nadhifajuma6485
@nadhifajuma6485 5 жыл бұрын
Rauhiya Nyange 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rahisalovely9622
@rahisalovely9622 5 жыл бұрын
Presenter unasauti na maswali yanaeleweka
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 5 жыл бұрын
Ni kweli stan upo vzr
@annwambui6594
@annwambui6594 3 жыл бұрын
I like your jokes because they relive my stress
@yohanamgerie4615
@yohanamgerie4615 5 жыл бұрын
Safi broo
@cedrickmulu3710
@cedrickmulu3710 5 жыл бұрын
Anko nakupenda saana kijaana. Wewe umependeza kabisa bwana
@chescomwakipese3422
@chescomwakipese3422 5 жыл бұрын
Domo zege
@joshuanoah9580
@joshuanoah9580 5 жыл бұрын
inauma sn boy ila nimipago y mungu
@starboyofficial5762
@starboyofficial5762 5 жыл бұрын
Dah we remember R. I. P Sharo Milionea
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 4 жыл бұрын
Bwakila hodari nampenda sana
@cledeshyukalifa820
@cledeshyukalifa820 5 жыл бұрын
we nae litangazaji opres kabisa,tutaamin vp ndo bwakira hata humpi nafas ya kujarbshia usanii wake
@victoriachengula5630
@victoriachengula5630 5 жыл бұрын
amefanana na ney WA mitego
@sitivinivalence375
@sitivinivalence375 4 жыл бұрын
Kumbe macho yako yanaona Kama mimi
@emmanueldionismbena3461
@emmanueldionismbena3461 4 жыл бұрын
Ndio ongea yake kama Ney tunaita Kudata kuna baadhi ya maneno wanashindwa kutamka
@seifhassan7652
@seifhassan7652 4 жыл бұрын
kweli
@simbamnyama3501
@simbamnyama3501 4 жыл бұрын
Kabisaa 75%
@World_Of_Fashion257
@World_Of_Fashion257 4 жыл бұрын
Sauti nayo
@murishidymudy596
@murishidymudy596 5 жыл бұрын
Big up stan
@buffontv4183
@buffontv4183 5 жыл бұрын
Daaah bora hata ww umesema ukwel kuhus kusaidiw na kitale
@sufiankingazi8021
@sufiankingazi8021 5 жыл бұрын
Yah
@ibrahimmkuki3997
@ibrahimmkuki3997 5 жыл бұрын
Stan anafanana na lavalava
@pachab3907
@pachab3907 4 жыл бұрын
Good
@kevinowaimani
@kevinowaimani 5 жыл бұрын
Kafanana na Nay Wa Mitego
@paulsylvester7877
@paulsylvester7877 5 жыл бұрын
Yap jins anavyoongea
@neemaramadhani4443
@neemaramadhani4443 5 жыл бұрын
Ni ndugu yake
@salehjamal3312
@salehjamal3312 5 жыл бұрын
Konk
@jayratumaulid582
@jayratumaulid582 5 жыл бұрын
Kabisaaaa yaan hadi kuongea
@humairahtomicky2454
@humairahtomicky2454 5 жыл бұрын
aisee anaongea km ney wa mitego
@mnyamwezionlinetv3998
@mnyamwezionlinetv3998 5 жыл бұрын
Assalam alaykum Stanbakora
@fakihassan1369
@fakihassan1369 5 жыл бұрын
big up
@abdallajosephsimbasimba2436
@abdallajosephsimbasimba2436 4 жыл бұрын
poa sana
@abuusalhatv2396
@abuusalhatv2396 5 жыл бұрын
duuh saut ya presenter as ya millrady
@nicholasmwakatali3360
@nicholasmwakatali3360 4 жыл бұрын
Stan Bakora una maanisha hilo ndilo jina lako halisi?
@aishajuma712
@aishajuma712 4 жыл бұрын
Jinalake Stanley
@aloycemasele7236
@aloycemasele7236 4 жыл бұрын
Mwendo wa ngapi leo mwendo wa 3 bila 😀😀
@allymngwaya6219
@allymngwaya6219 5 жыл бұрын
TimesFM hiyo dust bin iondoeni hapo, siyo mahali pake
@jamalinyaoza3565
@jamalinyaoza3565 5 жыл бұрын
Umekariri sio kila ndoo ya hivyo ni dustbin boya wewe
@eliasmtwima6094
@eliasmtwima6094 5 жыл бұрын
Sharo milionea atazidi kukumbukwa xan kwa mambo yake
@settypeter4322
@settypeter4322 4 жыл бұрын
Presenter una saut ka millard ayo
@zeddybass6672
@zeddybass6672 5 жыл бұрын
kama unaamini sauti ya stan kama ya ney wa mitego gonga like
@kubandafarid9990
@kubandafarid9990 5 жыл бұрын
Nawakubal kuwajali wale wanao waonesha njia bigp sana
@evansmuthuri3085
@evansmuthuri3085 5 жыл бұрын
Anko anko nipeni angalau likes tata wadau
@abuumohammed5318
@abuumohammed5318 5 жыл бұрын
Kwani Stan bakora ni bro Wa nay WA mitego ama vipi
@abdallahfabofabio8428
@abdallahfabofabio8428 5 жыл бұрын
Noma sana
@zuhurauyubalaaabdallah5391
@zuhurauyubalaaabdallah5391 4 жыл бұрын
waalis
@albeleenalberto158
@albeleenalberto158 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@faju4real800
@faju4real800 4 жыл бұрын
Mtangazaji km saut ya millard gonga like
@sniper93999
@sniper93999 3 жыл бұрын
Uhakik
@bakarikinyoa2957
@bakarikinyoa2957 4 жыл бұрын
Bwakira iyo kali sana
@barakalukosi2251
@barakalukosi2251 4 жыл бұрын
Sauti kama ya ney wa mitego
@stamilinsogolwa6979
@stamilinsogolwa6979 3 жыл бұрын
Nimefurah kumuona ankoo
@Captainwaza1
@Captainwaza1 4 жыл бұрын
Ako tu poa
@neemaabdi4791
@neemaabdi4791 5 жыл бұрын
Umejifunza Nini kwa kifo c ha mwenzio?
@elewatz804k4
@elewatz804k4 5 жыл бұрын
Stan unajua hadi unakera
@oscarkilemile6120
@oscarkilemile6120 4 жыл бұрын
Yaani Iringa wanajua aina za mbao tuu!!!!!!!. Duuuuuh
@elibarikieliatunawapatavzr7872
@elibarikieliatunawapatavzr7872 4 жыл бұрын
Hivi kitale anavuta sanaaaa bangi??????
@machubaby2328
@machubaby2328 5 жыл бұрын
Ankoo 😂😂
@annwambui6594
@annwambui6594 3 жыл бұрын
Bwakira hapendi kusoma,
@aligmoha9015
@aligmoha9015 5 жыл бұрын
Rip
@djjootz9662
@djjootz9662 5 жыл бұрын
namkubali jamaa
@frankmdota309
@frankmdota309 4 жыл бұрын
Big up Stan bakola
@mohamedali-ou8ye
@mohamedali-ou8ye 5 жыл бұрын
sauti kama true boy nay
@esterdaniel6229
@esterdaniel6229 5 жыл бұрын
Wamefanana hadi sura sauti
@matiasclassic1019
@matiasclassic1019 5 жыл бұрын
gonqa like kama una mkubali Stan bakora
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 5 жыл бұрын
Nilitaka shangaa bakora tena
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 5 жыл бұрын
Nampendaga sana bwakila na marehem sharoo wee acha tu huyu Kuna picha moja alihektigi na kitale wanachekesha naye na hata kitale na sharo walikuwa kama ndugu na hata kwenye kuaga wanafamilia naye alisemaga aliitwa nsye
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 5 жыл бұрын
Guchi inapendwa. Umeona hata hapo wamemtaja kitale naye sasa
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 5 жыл бұрын
Halafu kitale mzurhatar
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 5 жыл бұрын
Du miaka saba Sasa mwaka anaosema
@richardngendakumana2871
@richardngendakumana2871 5 жыл бұрын
Mtangazaji unavokoooo Yani nimekupenda bure kbs
@aloycemasele7236
@aloycemasele7236 5 жыл бұрын
Mtangazaji mzuri wewe
@richardngendakumana2871
@richardngendakumana2871 5 жыл бұрын
Kbs
@aloycemasele7236
@aloycemasele7236 5 жыл бұрын
Umeona ee yaan Hb kiukweli
@hamisimapalala7709
@hamisimapalala7709 5 жыл бұрын
Nyie ni wanaume au mashoo
@aloycemasele7236
@aloycemasele7236 5 жыл бұрын
H. Money! Majina sio kigezo, binafsi mi mwanamke, hilo ni jina la account tu babaangu
@ahmadrajab2450
@ahmadrajab2450 4 жыл бұрын
Nmetokea kunani jirani ya sharo
@msukatvonline1581
@msukatvonline1581 5 жыл бұрын
Katika KZbin je haipatikani moves Stan bakora
@mwanamisisaid8305
@mwanamisisaid8305 5 жыл бұрын
Xafi xana ila leteni movie yote ya maneno ya kuambiwa
@aminajuma1435
@aminajuma1435 5 жыл бұрын
Yahya mwinyi , Inapatikana we andikatu stan bakora kisha ingia kwenye page yake utaiyona
@auntzulfa2723
@auntzulfa2723 5 жыл бұрын
Ipo hyo
@josephakoqhaoga182
@josephakoqhaoga182 4 жыл бұрын
Bwakila sema anko
@fadhili_masoi
@fadhili_masoi 5 жыл бұрын
Kafanana na Nay mpaka uongeaji
@revocatusdeus6758
@revocatusdeus6758 4 жыл бұрын
🥰🤣🤣🤣🤣
@richardtito4718
@richardtito4718 5 жыл бұрын
Mtangazaje naiga saut ya milad ayo
@monicajulius905
@monicajulius905 5 жыл бұрын
richard tito ni saut yke
@raheemamkambha6013
@raheemamkambha6013 5 жыл бұрын
Kweli wewe hujui milard
@johnorinda8195
@johnorinda8195 5 жыл бұрын
Ni kweli anamuiga Milard ayo
@faju4real800
@faju4real800 4 жыл бұрын
Stan like ney wa mitego
@hatibukipande3675
@hatibukipande3675 5 жыл бұрын
Eti mbao
@kaniyahiouise1474
@kaniyahiouise1474 5 жыл бұрын
Stan bakora nakuelewa sana
@jofreyyunde125
@jofreyyunde125 5 жыл бұрын
We na ney ni mapanya ee, aaa mapacha ee
@mohammedameir1268
@mohammedameir1268 4 жыл бұрын
Interview nzuri ila kilichoharibu ni pale dume zima linapokiri kisuka
@simonwaziri756
@simonwaziri756 4 жыл бұрын
Ney wa mitego
@mohamedkaka2021
@mohamedkaka2021 4 жыл бұрын
Anafanana na Richie mavoko
@sofiaahmad1926
@sofiaahmad1926 4 жыл бұрын
Wapenzi naomba kujuwa bwakila ni yupi kati ya wawili hawa?
@dullysanto1672
@dullysanto1672 3 жыл бұрын
alie vaa tishet nyeus ndio yy huyo
@thabitchuwa2395
@thabitchuwa2395 5 жыл бұрын
Hapo kwa baraka kweli kabisa dogo alizoea mademu wake wa mtaa wakionjo kule ifakara
@sijalijumanne5904
@sijalijumanne5904 5 жыл бұрын
unazingua
@rashidmkumben747
@rashidmkumben747 5 жыл бұрын
Kijana unaongea kama ney wa mitego
@gammatheboss7694
@gammatheboss7694 5 жыл бұрын
Stani bakora anaongea kama nay wa mitego
@cestjolie5574
@cestjolie5574 4 жыл бұрын
Why u talkin about how he talks...? una mmock am....?
@jovinessleonard6518
@jovinessleonard6518 4 жыл бұрын
Jamani guys maneno ya kuambiwa ndo nini M so t Yesterday 🤣 please help me
@middleplatnumz3629
@middleplatnumz3629 4 жыл бұрын
Ni series ya kibongo Zama sehem ya search andika MANENO YA KUAMBIWA
@teresiamwende8606
@teresiamwende8606 4 жыл бұрын
N movie 😁
@onesmoayesiga7266
@onesmoayesiga7266 4 жыл бұрын
Km ney wa mitego anavoongea
@emmanuelndendya5669
@emmanuelndendya5669 5 жыл бұрын
duui? Ney sindiyo huyuuuu?
@jeffmauzo5483
@jeffmauzo5483 5 жыл бұрын
Nice
@suleimanally1284
@suleimanally1284 5 жыл бұрын
Walimchukia tu bure SHARO lkn swaga zake za pekee ndizo zilizo fanya ahity sana
@ismaelmabavu5620
@ismaelmabavu5620 5 жыл бұрын
Apo apokwenye maneno yakuambiwa umegonga ndipo.. tena ilesiku ya harusi nilitaman pia mm ningekua niingie chumbani penda sana wewe.
@lyzerlyzer1045
@lyzerlyzer1045 5 жыл бұрын
Kweli
@ismaelmabavu5620
@ismaelmabavu5620 5 жыл бұрын
@@lyzerlyzer1045 Hehehe tena sana kwani iko nene from 254.
Bwakila - Darasani Kichwani Hamna Kitu
30:10
Majhala Animation Studios
Рет қаралды 74 М.
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 9 МЛН
MBUNGE BWEGE ALIVYOZUA BALAA BUNGENI LEO
13:38
Millard Ayo
Рет қаралды 741 М.
Nobody has matched Ronaldinho's magic at Barcelona 👑
18:46
Rptimao Videos
Рет қаралды 7 МЛН
UTACHEKA KINGEREZA CHA MKUDE SIMBA 😂😂😂
6:35
Story Tellers TZ
Рет қаралды 470 М.
😂BWAKILA _#MPYA ANKO NA WEWE UOE UKAOE MZUNGU TUSAMBAZE UKOO😂😂
10:36
EXP MUSIC MSIBA WA SHARO MILIONEA
29:01
khaleed mohd
Рет қаралды 86 М.