Unaweza ona utani Ila anafikisha vzr ujumbe Good work Bwege
@twaibumikidadi73774 жыл бұрын
huyu n mbunge pekeee ambaye anamtaja Allah bungen alhamdulillah anasema kama utan lkn ukweli unauma
@latifamkulazi83784 жыл бұрын
Yuko na Omar mgumba
@samwelmasoya33474 жыл бұрын
Wambie hawo
@shaibuselemani21354 жыл бұрын
Halafu wakati huwohuwo anampinga kwakutunga sheria zinazoenda kinyume na allah
@jerrjamary26494 жыл бұрын
Watu wa kilwa au Lindi wanaijua dini
@dicksontemba24693 жыл бұрын
Kanifurahisha saana alipozungumzia masheikh waliofungwa miaka 8
@ladytatu21394 жыл бұрын
Bora umewaongerea masheikh Mungu akujalie miaka mingi
@michaelmakesenny70584 жыл бұрын
Mbunge bwege yupo sahihi
@bizzyjunior_tz4 жыл бұрын
Really appreciate ,👐
@a.8564 жыл бұрын
#Free#Mashekhe#Wetu. Juzi tuu watu 20 wamekufa na askofu kaachiwa free hana makosa kaambiwa🤔 mashekhe hao hawakuuwa hata sisimizi wako ndani miaka 8 saiv,asante mbunge🙏🏻
@salimibrahim24974 жыл бұрын
Kweli kabisa dah aisee inasikitisha sanaa
@yassinnjige74844 жыл бұрын
Kweli ndugu yangu ALLAH awape subra na malipo makubwa wao na family zao
@twaibumikidadi73774 жыл бұрын
Mungu akuulinde sana mbwege unawakumbuka sana ndugu zako magerezan kama utan lkn ukweli kabsaa
@rajfakhaar68844 жыл бұрын
This is fantastic genius ......ukimcheka bwege ww😂😂😂
@majaliwajumafaru94824 жыл бұрын
Huyu kweli bwege lkn ni mkali kwa fact 😂😂😂
@ramadhanvesso17594 жыл бұрын
Namkubali sana mbunge bwege hakoseagi yaan japo comedy sana 😂
@CyimSky4 жыл бұрын
Msukuma awaka Bingen kwa cheche kzbin.info/www/bejne/g5e1f6iJd96Eirs usisahau kusubuscribe.
@meshackndoya13184 жыл бұрын
Balaaaa this guy
@jumannemartine6284 жыл бұрын
Hongela bwege kaongea point ☝
@jumannemartine6284 жыл бұрын
Hongeraaaaaa bwege hatuja shiba sasa
@salumpulumba2114 жыл бұрын
He has been always speaking like a rediculous bt he is a telegenc
@mosamossile91134 жыл бұрын
Wabunge mbumbumbumbu, umeshiba eeeh mnanjaa eeh
@CyimSky4 жыл бұрын
Msukuma awaka Bingen kwa cheche kzbin.info/www/bejne/g5e1f6iJd96Eirs usisahau kusubuscribe.
@huldajoseph5564 жыл бұрын
USIANGALIE NANI KASEMA..ANGALIA KASEMA NINI
@rashidinyegele40774 жыл бұрын
Hulda Joseph da yupo vizuri kiukweli
@CyimSky4 жыл бұрын
Msukuma awaka Bingen kwa cheche kzbin.info/www/bejne/g5e1f6iJd96Eirs usisahau kusubuscribe.
@dobidotz36964 жыл бұрын
Spika anamtoa mheshimiwa kwenye reli, hizi siasa chafu.
@abdilahijumanne14154 жыл бұрын
Umelewa ee Hamjaelewa ee
@lmashua4 жыл бұрын
Hulda Joseph Powerful
@josephmahay14384 жыл бұрын
Team BWEGE let me see you..🙋🙋
@sambs10274 жыл бұрын
Huyu bwege Janja.
@ramadhanrashidmthailand7134 жыл бұрын
Imeisha iyoo 😂😂
@2mbeonlinecomedy9214 жыл бұрын
Mahay
@ramlatomary25364 жыл бұрын
Yeeaah
@gillyamani60904 жыл бұрын
Speaker na vibaraka wengine wa ccm watakapobaki wenyewe mwakani watakosa wa kuonea. Big up Mr Bwege, nakupenda bure.
@zamdamasondole82724 жыл бұрын
Mashalllah! Bwege ALLAH AKUJALIE maisha MAREFU kwa kukumbusha kuhusu mashekhe walio. Jela!! Takbriii
@kesslymm34124 жыл бұрын
Amin
@rehemahamisi99714 жыл бұрын
allah akbar
@robinrobert59934 жыл бұрын
Zamda Masondole hahahaaa na bado una endleeza kumuita bwegee
@yassinnjige74844 жыл бұрын
Zamda lkn hawa Bata c juwi bakwata wapo kimya na kishk kaomba ardhi ana shindwa kuzumnguzia wenziye wapo jela bila kosa ushahiidi akuna
@hidayamsebwa1814 жыл бұрын
Zamda Masondole Allah Akbar
@rehemaalex434 жыл бұрын
Hadi nimesisimka aise.bwege big up.
@makongoronyerere25953 жыл бұрын
Pole jaman, hyu mbunge had leo namtizama
@komboomar82754 жыл бұрын
*Ahsante baba kwa kuwakumbuka masheikh wetu na kuwataja Allah atakulipa kwa hilo tunaumia cc kuwaona waalimu wetu wanadhalilishwa magerezani bila kuhukumiwa ila Allah yupo na halali ataidhalilisha ccm na viongozi wake wotee malipo ni hapa hapa duniani akhera ni mahesabu. Haki haizami*
@salumsaid65724 жыл бұрын
Ameen
@nicholausmsuya23444 жыл бұрын
Jaman siobwege huyummbunge Ila utashiwake nimdogo japo amesimamia kwelii nakwel itatuweka hurukweli kwelii mbarikiwe
@rithadonatus81104 жыл бұрын
So proud kwa mmbunge wetu wa kilwaaaa nguvu moja💪💪
@noordinmwadau26564 жыл бұрын
Kweli
@yohanamlella25353 жыл бұрын
Kwa nn hamjampitisha huyu
@nuhuazizi61904 жыл бұрын
Kufurahishwa ndio njia pekee ya kufikisha ujumbe,,ushirikiano ndio suruhisho la matatizo yote.👌
@user-fs4el1tt7d4 ай бұрын
Naendelea kuangalia hii ni 2024 never get old😂
@samsonnzisabira7684 жыл бұрын
Some people are talented to express what they feel and think.Big up Mister Bungara
@wilbertcharles91294 жыл бұрын
HAWA NDIO WABUNGE WANAOTAKIWA KWENYE BUNGE LETU SIO WAKINA ALLY KESSY WAMEJAA MAHABA YA CCM NA SHOMBO TU
@ramadhanmtipa46184 жыл бұрын
Da, uyu jamaa kiboko, Ila angekuwa ccm asenge kuwa anatoa nondo Kam hizo. Mungu ambariki.
@jumasaganka84793 жыл бұрын
Mashaallah vitu anavyoviongea huyu mbunge ni vya point Allah Akujalie uwezekuwa imara
@japharynduko61394 жыл бұрын
Kwa wale wote wenye uwezo mudogo wa kuelewa yani IQ ni vigumu sana kumuelewa uyu mtu ila wenye akili wote wameelewa sanaaa timu bwege like pls mikono juuu kwa wote wenye IQ tu
@jumannemartine6284 жыл бұрын
Xure bro
@shenuromussa48134 жыл бұрын
Waambie vizuri muheshimiwa wakuelewe Maana hao wamekalia viti tu kila kitu ndio
@nicksonthevet4 жыл бұрын
This man has a brain. It's pity and shame that as far as I know they ended up loughing
@brightlastborn44404 жыл бұрын
Huyu mbunge naomba wanalindi mmuludishe tena Bunge jamani make nampenda sana japo siwezmpigia kura kwani halipo sipo, Dah💪
@isayamwanjisi29944 жыл бұрын
Yani sichoki kumsikiliza bwege
@paulebby15524 жыл бұрын
Bwege anavurugavuruga 😂😂😂😂😂
@irenekitomary72714 жыл бұрын
I just love him
@CyimSky4 жыл бұрын
Msukuma awaka Bingen kwa cheche kzbin.info/www/bejne/g5e1f6iJd96Eirs usisahau kusubuscribe.
@joakimgioche63524 жыл бұрын
I like this guy... watching from KE
@yoramswagala33984 жыл бұрын
Kama unamkubari bwege gonga like hapa
@jacksonimwaipopo3474 жыл бұрын
Konk
@abubakkarmtabe62494 жыл бұрын
Wala c bwege huyo ndie mbunge barabbara
@jovintosssi32874 жыл бұрын
Bwege ni nomaa
@msomangaorijinal39214 жыл бұрын
Kaka pambana kwa ajili yako na KILWA KWA ujumla bila kusahau Lindi
@mwatumathmani5864 жыл бұрын
Big up sana bwege
@omaredhasaidal.obthani47754 жыл бұрын
Yaani mpk spika awaombea taarifa wabunge simchezooo .... Kidumu bunge la chama ya mapinduzi 😂😂😂
Hapo kwa mashekhe miaka minane duhh ccm hili kwenu shida
@jassonnelly34454 жыл бұрын
This guy bana😂😂😂 Ndio maana kavaa suti tofauti
@CyimSky4 жыл бұрын
Msukuma awaka Bungeni kwa cheche kzbin.info/www/bejne/g5e1f6iJd96Eirs usisahau kusubuscribe.
@belak9994 жыл бұрын
@@CyimSky tv gani hata kuandika neno bungeni hauwezi kuandika? SI NDIO UCHWARA
@CyimSky4 жыл бұрын
@@belak999 oky usilaumu sana kwani anayeandika ni mtu pia
@belak9994 жыл бұрын
@@CyimSky mnavyojingaza matangazo kila mahali mnatakiwa muwe makini sana,
@regneralex8194 жыл бұрын
jasson nelly 😂😂😂😂
@bensalome46763 жыл бұрын
Mheshimiwa Bwege, ulikuwa mtetezi kwa njia nzuri kabisa. Ulizua tabasamu na vicheko hata kwenye hija zako. Naomba urudi kwenye uongozi baada ya miaka hii kadhaa
@hellenabernard67474 жыл бұрын
Leo jama kakiwasha kweli na sio utani niukweli 200% Ni point kubwa sana
@aminamalinda65224 жыл бұрын
Mungu akuongoze mzee wangu bwege umeongea vitu vikubwa mnoo!! Sema wajinga wachache ndio hawakuelewi sema ukweli utadhihiri na batil itajitenga inshaAllah.
@hudaynahamad85064 жыл бұрын
Dah masha allah mbunge mbwege yupo vzur na point inaingia akili ktk bunge ndo maana spika na vibaraka vyake wanamkatisha maongez yanawachoma ktka moyo mar sut ulovaa mara muda mara hoja ila insha allah jimbo lako lkuchagua tna 2025 il wabung wakumbushe kdg
@muniraahmed6244 жыл бұрын
yaarab nimempenda huyu mbunge naana nia na dini yake ALHAMDULLILAH
@mohamedyusuphmbaki49734 жыл бұрын
Mhe Spika anautani na Mhe Mbunge Bwege..Ila Mhe Mbunge bwege anajua kutoa hoja hata kama anatumia kipaji chake cha uchekeshaji ila hoja dhabiti
@ayubumoha63134 жыл бұрын
Ukweli unauma sana pia ametumia njia nzuri ya kufikisha ujumbe
@mnomahboybright47434 жыл бұрын
Bungala yupo vzur sana ila azingatiwi kwa7bu ya ukafu2
@julietraymond48744 жыл бұрын
Natamani bwege angekuwa waziri mkuu cjui ingekuwaaje
@casianclement31474 жыл бұрын
😃😃😃😃 ana ongea vyema
@rithadonatus81104 жыл бұрын
😂😂😂😂🤣🤣 eti mmeshiba ekheee mnanjaaa ekheee hatariiii
@chizochivihi49154 жыл бұрын
Dah had spika kaona aibu kaingilia
@sadockalfred67504 жыл бұрын
Mheshimiwa Bwege noma
@paulinasemindu12924 жыл бұрын
kweli mbumbumbu umeshiba ndio una njaa ndio😂😂😂
@braymwajombe10744 жыл бұрын
mzee yupo vizuli
@samanyaswai62724 жыл бұрын
Spika alitaka kumtoa mzee bwege kwenye Njia Tuu
@naamohamed99644 жыл бұрын
Kwelii kbs
@nemecymsanya31914 жыл бұрын
Kwel kbsa mkuu umeona iyooo haha
@marcowawaghufa81974 жыл бұрын
Cio alitaka kumtoa ameshamtoa tayari
@naamohamed99644 жыл бұрын
@@marcowawaghufa8197 ndio ujanja wao wakiona mtu anaongea ukwelii wanazuga
@aliebrahim94234 жыл бұрын
Kweli kabisa
@abdulmohamedi49474 жыл бұрын
Licha ya mimi kua ccm damu, bwege namkubali sana 100%,
@sophiamwakila33004 жыл бұрын
Hee. Kumbe Bwege ndio jina lake nilijua bwege kwa akili
@mahmoudpanga92424 жыл бұрын
Sophia Mwakila
@jicholafursa70584 жыл бұрын
.
@salumramadhani55664 жыл бұрын
N jina la utan, uwa analitumia siku zote
@nawihadj66744 жыл бұрын
A.k.a jina lke suleyman bungara
@jamesmihambo15504 жыл бұрын
Nawi Hadj z
@angelngoye49104 жыл бұрын
😂😂😂 ameongea point sanaa
@bunnasib19614 жыл бұрын
Kuna Muda huwa Kuna maneno huwa yanasemwa yakweli paka Spika yanamuingia lakini sijui huwa wana nini CCM
@CyimSky4 жыл бұрын
Msukuma awaka Bingen kwa cheche kzbin.info/www/bejne/g5e1f6iJd96Eirs usisahau kusubuscribe.
@othmanhamad79414 жыл бұрын
Uko peke yako BWEGE WEWE.huna waku kuunga mkono ila wewe sio bwege tuu bali niBWEGEGE
@bunnasib19614 жыл бұрын
@@othmanhamad7941 Kuwa mbunge Basi na Wewe ili hata spika akusikie ..maana mwenzio afadhali anafahamika na spika na wabunge wengine.. Wewe mwenzetu Nani anakujua
@fortunataangelo55754 жыл бұрын
Si kama pilato,,,
@djgmp81404 жыл бұрын
Bun Nasib PESA unauliza majibu uwoga na pesa
@mozaummy3274 жыл бұрын
Alhamdullah umekumbuka mashekhe wetu allah atakulipa kwa heri yako
@kiabosaid83664 жыл бұрын
Allah atamlipa kwakweli
@jumamiraji30814 жыл бұрын
Nakikubali sana hichi chuma kinaitwa bwege
@afterfull-time13484 жыл бұрын
Ukweli unaumaa ila haya majamaa hayasikii yalishakuwa chronic!!
@fadhilingogota35814 жыл бұрын
Dah huyu kweli bwege 😂😂
@naimamunishi12414 жыл бұрын
Zangu mbavu wallah😂😂kama nakuona shk nyundo
@ismailmjesh35114 жыл бұрын
uwo umbea naima.....
@naimamunishi12414 жыл бұрын
Ismail Mjesh kwel anaongea kama nyundo😅😅
@abdulsama84284 жыл бұрын
aya
@ismailmjesh35114 жыл бұрын
@@naimamunishi1241 poa mzmaa lkn
@ashwramashallah72424 жыл бұрын
😃😃😂😂
@mrsnam68974 жыл бұрын
Mm vitu vya ukweli kama hivi ndio navipenda hadi machozi
@djdon97064 жыл бұрын
Ana akili sana huyu jamaa na ni mwana fasihi mzuri
@fabianycharles39544 жыл бұрын
Nimekwelewa Sana.
@djdon97064 жыл бұрын
Pamoja
@faustinekulwa25963 жыл бұрын
Huyu mbunge namuombea sana arudi bungeni 2021 MUNGU amjaalie kabisa
@alphaleahibrahim89044 жыл бұрын
i love this man
@saidijuma93864 жыл бұрын
Respect kwko mzee uko vzr unaongea ukwel mtupu ingawa wanakuona comedian lkn uko vzr
@michaeltuingilegewaubaridi85704 жыл бұрын
Uyu kichwaaaa kina madin san
@teddymutani8564 жыл бұрын
Ahahaaaaaa duh
@zubedaramadhan25174 жыл бұрын
Mnaangalia Nan kasema na c nn kasema 💪💪
@merypeter74674 жыл бұрын
Bg up sana ww mzee noma
@sinacksaigodi58762 жыл бұрын
He's very bright. He knows how to present critical issues.
@maniamba.tz_4 жыл бұрын
😃😃😃 Yuko vizuri sana
@juianakarani83414 жыл бұрын
Mr Bwege hujawahi niangusha,wabunge kama nyie ndio mnaotakiwa,wa kwetu Mwanza ndo hata hasikiki kabisa duuu,nakuombea kwa mola urudi tena Bungeni.Amina.
@pdwanakaza2411 Жыл бұрын
Daaah nchii hii inawatu muhimu sana sema ccm sio watu wazuri
AYO TV nimependa mlivyo-split hadhira...wakati wa taarifa na majibizano.
@TamuzaKale4 жыл бұрын
TBC ndo wamefanya!
@sarahnillah51694 жыл бұрын
Nicholaus Makundi ww mtu
@jicholafursa70584 жыл бұрын
.ee
@ramlabaraka10454 жыл бұрын
😂😂😂huyu mbunge anachekesha ila anaongea Point za maana
@viorasaimon89344 жыл бұрын
Bwegeee,umenikosha sanaaana,ukovizuri sana baba
@wiza23094 жыл бұрын
Spika kumbe ndiyo msababishi wa vurugu, anatamani watu wawe wanavuruga uchangiaji, mtu anaongea point yeye anatamani taarifa
@Aidansimwanza4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@luckynyale67764 жыл бұрын
Hapo jamani mumepata mbunge 💪
@shabanimpulu51723 жыл бұрын
Mmh
@adamdullah47554 жыл бұрын
Ukimkubali bwege na ww unakua bwege🤣🤣 Sema nini nakubali sana bwege ila mimi sio bwege 😂😂
@brianwekolu78263 жыл бұрын
Mmbunge mchapa kazi uyu mwenye roho ya uruma
@ahmadsayyeed79104 жыл бұрын
Hahhahahahaha😀😂🤣😅namkubali sana huyu mbunge
@mudoempire4 жыл бұрын
Sijawahi kucomment lakini kiukweli Bwege ulivyoviongea vyote ni ukweli bunge linasimamia jamuhuri na sio chama. Ni vizur kukumbushana ili kila mtu ajue majukumu yake
@kiabosaid83664 жыл бұрын
Yani kaongea ukweli mtupu bwege
@ejtjr26474 жыл бұрын
This man speaks sense all the time.
@esperancenathali4 жыл бұрын
Kawachana live kweli kweli big up daddy
@Rogasiandesmond64 жыл бұрын
Eti unasema ah, Nyoooo. Safi sana mbunge
@madlipztanzania19314 жыл бұрын
Huyo ndio bwege! Hahah
@fidelisgeorgesinsangoh72444 жыл бұрын
I like this MP! Kilwa should feel proud of him.
@emanueljosephat16054 жыл бұрын
Walahi huyu m2 angastahili kuwa. Jimbo Langu. 😅😅nalima kwake bure mwezi mzima💪
@Susharealestatecompany4 жыл бұрын
Dah sisikilizagi bunge lakin huyu baba big up
@khalifasultan26774 жыл бұрын
Mheshimiwa Bwege Kaongea Point Nyingi Ingawa Ukisikiliza Kwa Haraka Na Jina Lake Utaona Kama Hamna Kitu,Atakuwa Yupo High😀
@jaclinejoel89354 жыл бұрын
Duuuuu uyu jamaaa naanza kumfatilia
@khalifasultan26774 жыл бұрын
@@jaclinejoel8935 Ahaha sawa
@mshangapeter65664 жыл бұрын
Style ya Bwege huwaga nzur sana
@BLESSblessing12 ай бұрын
Miaka hiyo ilikua nzuri sana siku hizi bunge limekuwa turivu sana
@jovingeorge30514 жыл бұрын
Mh. bwege ukovizuri mungu akubariki
@swaumumohammed57104 жыл бұрын
Kilwa tukimpoteza bungara tutajilaumu
@nemecymsanya31914 жыл бұрын
Kweli ingawa cyo kwetu uko Ila uyu jamaa na mpenda sana
@jicholafursa70584 жыл бұрын
.
@jicholafursa70584 жыл бұрын
.
@esirbilliwizz23284 жыл бұрын
Kweli kabsa dada yangu, mm napatamani Sana, uko kilwa, Kuna watu wenyeofu na mungu, na wenyekujali watu wao, na wenyehakili.
@saidijuma93864 жыл бұрын
Mola amlinde hyu mzee ntmn angekuwa mbunge wa Mbagala
@zamizozamy55284 жыл бұрын
Ukimcheka bwege na wewe ni bwegee 😂
@Mbugokilonda4 жыл бұрын
Nipo Kenya huku, kiswahili kidogo kinanisumbua mr bwege katisha sana.