No video

POLEPOLE ATOA TAMKO HILI KUHUSU CYPRIAN MUSIBA/ NI FEKI

  Рет қаралды 214,495

TimesFMTZ

TimesFMTZ

Күн бұрын

MAHOJIANO YA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI NDG HUMPHREY POLEPOLE - TIMES FM
1."Chama cha Mapinduzi ndicho Chama ndio chenye ilani inayotekelezwa na ni wajibu wetu kufuatilia na kukagua utekelezaji wa ilani Hiyo nafasi hawana chama chochote isipokuwa Chama cha Mapinduzi" -Ndg. Polepole
2. "Zamani tukishashinda uchaguzi tunapotea hatufuatilii, Mara hii ilani imesema ni lazima tufuatilie utekelezaji wa Ilani wa CCM kuhakikisha yale yaliyoahidiwa yanatekelezwa"-Ndg.Polepole
3."Tutawapeleka Chuo cha uongozi wa Mwl Nyerere ,Viongozi wote ndani ya Serikali na Chama wafahamu nini maana ya utumishi wa umma , nini maana ya utu, nini maana ya haki, nini maana ya utii na unyenyekevu". -Ndg.Polepole
4."Niombe rai kwa viongozi wa Chama na Serikali, wasitoe kauli zinazoashiria uvunjifu wa sheria na Amani" -Ndg.Polepole
5."Kuomba msamaha si suala la maelekezo, ni suala la utashi , kama kuna mtu amehisi kukosea, ni hiari yake kuomba msamaha au kutokuomba msamaha"- Ndg Polepole
6."Chama chetu kinaongozwa na katiba, kanuni na taratibu zilizowekwa , sio dhambi kiongozi yoyote kufanya ziara ila utaratibu wa ndani ya Chama ufuatwe-Ndg Polepole
7. Cyprian Musiba hatumwi na Chama cha Mapinduzi, Kauli za CCM, zinatolewa na mimi katibu wa itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi. Ila Musiba kama mtu yeyote ana uhuru wa kuweka hadharani maoni yake bila kuvunja sheria za Nchi - Ndg. Polepole
8. "Asilimia 70 ya wapiga kura ni CCM, ni vigumu kupata mtu ambaye hana unasaba na CCM kusimamia uchaguzi, umewekwa utaratibu wa kula kiapo wakati wa kusimamia uchaguzi kuachana na unasaba wa kisiasa"- Ndg. Polepole
9. "Chama cha Mapinduzi Tunakiri kusema kazi tumeipiga na tunaenda kueleza kwa wananchi kazi nzuri tumeifanya na hatuna hofu hata kidogo tutaibuka na ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2019" - Ndg. Polepole
10. "Kuna watu walibeza tulipokamata mchanga wa dhahabu, naomba rai wajitokeze hadharani kumuomba radhi kwa Rais magufuli kwani sasa rasmi kampuni ya ACACIA imekufa duniani na Barrick Gold wamekubali kufanya kazi kwa sheria na kanuni za Tanzania" - Ndg #Polepole
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 310
@lexisavage1770
@lexisavage1770 5 жыл бұрын
nimefurahi sana katibu wetu wa CCM kutupa ujumbe mzuri kuwa majizi acacia wamefukuzwa asante Mungu asante rais wetu mpendwa Magufuli unafanya kazi nzuri na asante katibu wetu Polepole
@asteriambwei95
@asteriambwei95 5 жыл бұрын
Hamna kitu
@alikomwasaga5399
@alikomwasaga5399 5 жыл бұрын
Acacia wamefukuzwa lini wapi mnadanganywa
@dachjunior4766
@dachjunior4766 4 жыл бұрын
@@alikomwasaga5399 -BADO WAENDELEA KUBISHA AMA USHAUNGA HOJA
@josephmsanga6751
@josephmsanga6751 5 жыл бұрын
Helo Honorable Polepole H! You are so Bright!!: I like You.
@Mike-yg7pb
@Mike-yg7pb 5 жыл бұрын
Honourable pole pole you are so strong and creativity, your statements is clearer and comprehensible, they are just trying to trap you
@shadrackmarwa9025
@shadrackmarwa9025 Жыл бұрын
8s
@glodykobelo470
@glodykobelo470 5 жыл бұрын
Asante sana mwanachama mwenzangu Ndg. Polepole. Tanzania ni CCM na CCM ni Tanzania
@kingwatabata4230
@kingwatabata4230 5 жыл бұрын
Kiongozi wangu polepole huwa unajibu vizuri sana tena kwa hakikaa👏👍
@yeahjimmundakega8228
@yeahjimmundakega8228 5 жыл бұрын
Safi sana ndugu Polepole kwa majibu sahihi unayo yatoa kwa hao waandishi wa habari !
@maisaalawi5399
@maisaalawi5399 5 жыл бұрын
Pole pole your very smart good job.
@kinotasontravel3883
@kinotasontravel3883 4 жыл бұрын
Nimekusoma sanaaaaa katibu wangu mwenezi ccm oyeeeeee!
@justusgration8695
@justusgration8695 4 жыл бұрын
Pongezi kwako Mh. Polepole Mungu akubariki Sana na majukumu mema.
@aidanndanzi5854
@aidanndanzi5854 4 жыл бұрын
Asante sana mkuu, tunakupata vizuri mno, umetusaidia kujibu vizuri maswali
@oscarkasalile9367
@oscarkasalile9367 5 жыл бұрын
Safi sana mkuu
@khneesajumaa2052
@khneesajumaa2052 5 жыл бұрын
Safi sana kwa majibu yako mazuriiiii
@deussylivesterjackob2138
@deussylivesterjackob2138 4 жыл бұрын
Adhibitiwe,anachafua nchi
@kwisa4899
@kwisa4899 5 жыл бұрын
Pole pole kaiva sana hizi sasa ndio siasa za kisomi
@yunusally3798
@yunusally3798 4 жыл бұрын
Hizo zahanati munazojenga ni kodi za wananchi sio pesa zenu kura hamupati na hamushindi
@abelubamba7409
@abelubamba7409 4 жыл бұрын
That's great,Polepole
@jumamustaph6253
@jumamustaph6253 4 жыл бұрын
Ahsante polepole tupo pamoja.
@habibushekulamba5071
@habibushekulamba5071 5 жыл бұрын
Safiiiiii... Uko vizuri umejibu polepole
@emmanuelmasali8449
@emmanuelmasali8449 4 жыл бұрын
Mr. Polepole! Uko sahihi niko pamoja nawewe...
@emanuelmgote4511
@emanuelmgote4511 5 жыл бұрын
Pole Pole, Uko vizuri.
@lucasmugoma2870
@lucasmugoma2870 4 жыл бұрын
Safi sana umewajibu vizuri sana polepole
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 5 жыл бұрын
Asante mh pole pole wanakubana lakini unajua anacho kifanya msiba ni uzalendo mkubwa sana
@josephelias6066
@josephelias6066 5 жыл бұрын
Safi sana polepole unaakiri sana
@husseinnyomi6120
@husseinnyomi6120 4 жыл бұрын
Kumbe nyie ni janja njanja
@maisaalawi5399
@maisaalawi5399 5 жыл бұрын
Sawa kabisa
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 5 жыл бұрын
👏🏾👏🏾👏🏾kwa Pole pole
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 5 жыл бұрын
Uko vizuri komulendi polepole. Umejibu vizuri.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Ahsante sana umewaelimisha vizuri kwani kikulacho kinguoni mwako chapa kazi baba uwe mpole kama jina lako
@tanzaniakwanza9564
@tanzaniakwanza9564 5 жыл бұрын
kweli mambo bado moto Kwahiyo kina Lisu na Zito wasubiri mpaka 2,100 😃😃😃😃😃😃👏👏👏🙌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙊🔥
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 5 жыл бұрын
Pole pole mtu makini sana❤👊
@nhoutyeddycole7506
@nhoutyeddycole7506 5 жыл бұрын
big up polepolee .
@anithangao6564
@anithangao6564 4 жыл бұрын
Mbona kuna wa bunge wa darasa la Saba ccm na wanajitaja wenyewe pole pole ongea ukweli
@ababuumwanazanzibar4908
@ababuumwanazanzibar4908 5 жыл бұрын
Safiii Pole pole uko vizuri Brother CCM Hoyeeee
@omarramadhani3054
@omarramadhani3054 5 жыл бұрын
ababuu kassim safi sana
@margaretmkangala7774
@margaretmkangala7774 5 жыл бұрын
Sawa kabisa kumsifu Rais ruksa na nijambo jema
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 4 жыл бұрын
Pole pole yuko sahihi kwa sababu hahusiki na wahalifu. Kama Musiba ni mhalifu hiyo ni kazi ya Polisi sio kazi ya Katibu wa CCM. Haiwezekani Musiba amfanyie Magufuli kampeni kwenye mtandandao. Tunashauri Musiba aache kabisa kumfanyia Magufuli kampeni. Endapo anamfanyia na Watanzania wengine waruhusiwe kufanya kampeni kwa sababu sio wote tunaompenda Magufuli. Huyu Rais ni Dikiteta aruhusu wenzake wafanye Siasa. Siasa za Magufuli zinakinaisha maana anatumia kodi zetu kufanyiwa kampeni wakati sisi wengine hatumpendi. Magufuli ana siasa za kike. Ana wivu, muuaji, Fisadi, mtekaji, na dhulumati. Haiwezekani afilisi watu kisa kununua ndege kwa cash wakati Dunia nzima inanunua kwa asilimia 50. Masifa tu ya Wasukuma.
@abdalahfarida2074
@abdalahfarida2074 4 жыл бұрын
CCM na MAGUFULI wanamlipa Musiba kuwachamba Wapinzani na Dunia mpaka akajisahau akainyima Tanzania kupata Viwanja vya kutua ndege Duniani. Hii ndio shida ya kununua Elimu. Ukitumwa kusoma kasome sio ufeli ununue Elimu alafu uongoze wasomi. Musiba anasahau kuwa hata MUNGU alikuwa na wapinzani japokuwa mimi sio mmoja wao.
@ababuumwanazanzibar4908
@ababuumwanazanzibar4908 4 жыл бұрын
@@abdalahfarida2074 na wanaomtukana Rais wanalipwa na nani? Kama ni hivyo tukubaliane hizi account nyingi kwenye mitaandao zinazofanya kazi ya kusema uwongo na kutukana nazo mnalipwa? Jibu kwanza kama mnalipwa kwaajili ya kutukana na kusambaza chuki na uwongo basi usishangae Musiba nae kulipwa kwaajili ya kusema mazuri maana nyote mnatumika wala sio Musiba pekeyake
@horizongroup-tanzania6363
@horizongroup-tanzania6363 4 жыл бұрын
Uko vizuri.!
@anicethsalvatory180
@anicethsalvatory180 3 жыл бұрын
Pole pole uko sawa kwa majibu, Msiba anayozunguza yuko sawa.Tanzania Ni yetu Lazima tuilinde.
@jamesmtweve65
@jamesmtweve65 2 жыл бұрын
Kaka Pole pole uko vizuri mno wewe nikiongozi wa watu
@lamecktanda8148
@lamecktanda8148 4 жыл бұрын
Hongera karibu mwenezi taifa anayethibitisha uanachama ni mwanachama mwenyewe
@salummuhija4435
@salummuhija4435 5 жыл бұрын
Safi sana pole pole.
@johnkatindasa1750
@johnkatindasa1750 5 жыл бұрын
Sijasikiliza mpaka mwisho. Wewe polepole ndiyo Kiongozi halisi.
@jonsonmungure6552
@jonsonmungure6552 5 жыл бұрын
Kaka mimi nichadema ila namukubali jamaa kwa majibu yake ccm spendi
@christopherlazaro2006
@christopherlazaro2006 4 жыл бұрын
Ujiga
@linkreuben5804
@linkreuben5804 5 жыл бұрын
Pole pole yupo makini, Watangazali wamekurupuka, Kama hamuwezi kumuunga mkono, Muacheni Musiba awatie adabu wahuni!
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 4 жыл бұрын
UMAKINI WAKE UKO WAPI KUNUNUA NDEGE HAZINA PA KWENDA AU KUNUNUA NDEGE UACHE KUNUNUA MITAMBO YA KUCHIMBA MADINI UWEKEZE UPEWE ASILIMIA 13. MAJITU MENGINE YAKO KUSHANGILIA BILA KUFIKIRI YANAYOONGELEWA. KIPI KIZURI NDEGE ISIYO NA ABIRIA AU MITAMBO YA KUCHIMBA MADINI KUONGEZA AJIRA NA KIPATO. KWELI AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA SHIDA SANA.
@zuhuraabdallah7530
@zuhuraabdallah7530 4 жыл бұрын
@@teddykanondo5753 P0le pole umeona waandishi wa habari walivyo na upungufu katika fikra na mawazo ya mstakabsri wa nchi yetu. Waandushi wa habari wa Rwanda 1994 walichangia vikubwa katika mauaji ya kimbari ya Wananchi. Maswali walio kuuliza tumeyasikia tumeyarafakari na tunawaona jinsi wanavyo shabikia maovu. Ni swali la kijinga kwa waandishi kuuliza uanachama wa mwanachama mmoja katika mwanachama zaidi ya milion kumi. Hata ulivyo jaribu kuwaeleza bado maswali yao yalikuwa hayana mshiko. Wewe ni msomi,wewe ni kiongozi na wewe umeiva kisiasa. CCM ins Serikali,CCM ina viongozi na CCM chama cha karne nyingi zijazo
@adamssaid4392
@adamssaid4392 4 жыл бұрын
Teddy wewe choko tu mpumbavu
@adamssaid4392
@adamssaid4392 4 жыл бұрын
Unataka ndege zije kwa Bibi yako hayo madini umeyaona wewe mpumbavu
@adamssaid4392
@adamssaid4392 4 жыл бұрын
Unataka ndege zije kwa Bibi yako hayo madini umeyaona wewe mpumbavu
@selemanijeanpierre7931
@selemanijeanpierre7931 5 жыл бұрын
CCM OYEEEEEEEEEEEEEE
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 4 жыл бұрын
CCM WAJINGA TU UNAKARIBISHA MAADUI KWA KUWAKATAA NDUGU ZAKO. KUMPIGA TUNDU LISU NA KUTAKA KUMUUA ZITTO KABWE KUMEMPONZA MAGUFULI. LAZIMA AINDOKE KAMA GADDAFI. AMESHIKA SIMBA MAKALIO YAKE.
@kiatu
@kiatu 5 жыл бұрын
Way too knowledgeable to......
@comrade83
@comrade83 4 жыл бұрын
Polepole we jembe hakuwezi
@lembesajackson9351
@lembesajackson9351 4 жыл бұрын
Pole pole bhana
@nhoutyeddycole7506
@nhoutyeddycole7506 5 жыл бұрын
polepole umechukua point 3 apo
@errydeo8865
@errydeo8865 5 жыл бұрын
kawatoa nishai vijana,they have no clue
@paulkisatulusana1142
@paulkisatulusana1142 5 жыл бұрын
Mr polepole usihangaishwa na maswali wanayoyajua majibu
@azizawadh5973
@azizawadh5973 4 жыл бұрын
Mtaani njaa kali
@saidaismail9203
@saidaismail9203 4 жыл бұрын
Pole pole kiboko nimekukubali hao hawajui wanacho kihoji
@datiusrutabasibwa4259
@datiusrutabasibwa4259 4 жыл бұрын
Kwakauri za msiba ni ccm na anatumwa kwani mbona anauvunjaji wa amani alafu shelia aichukui mkondo wakee????? Cjapenda nataka sheria ichukue mkondo wake
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 жыл бұрын
@@datiusrutabasibwa4259 huyu steve hajui sheria anadidai tu. Musiba kachukua fomu ubunge ccm. Je kama sio mwanachama wa chama hicho atachukuaje fomu?. Pili alisema mwenyewe kuwa ni mwana ccm video yake ipo utube sasa vipi uogope kurudia kauli yake kama huyu anajua sheria. Steve kasome wajumbe
@kelvinmtavangu7679
@kelvinmtavangu7679 4 жыл бұрын
Hongera Mhe. Polepole. Kazi kubwa iliyofanyika awamu ya5 pekee CCM imekamilisha asilimia kubwa ktk ilani iliyopo. CCM na amani Oyeeee 2020.
@tereseamasawe8111
@tereseamasawe8111 5 жыл бұрын
POLEPOLE SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
@paschalrutashoborwa7976
@paschalrutashoborwa7976 4 жыл бұрын
Mh.Polepole, kweli unajibu maswali kisayansi,binafsi na wa Tanzania wengi tunakukubali,ongera sana!
@majaliwamsigwa3974
@majaliwamsigwa3974 5 жыл бұрын
Hivi akiwa mwana Ccm kuna tatizo gani jamani
@errydeo8865
@errydeo8865 5 жыл бұрын
wanao hoji hawjafanya research,ndo maana kawapa somo...
@franceslenis4512
@franceslenis4512 5 жыл бұрын
Good answers hamphrey
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Nafurahi sana baba unawajibu kiakili maswali yao
@pantaleokulaya5308
@pantaleokulaya5308 5 жыл бұрын
safi sana polepole and big up musiba
@godsonmhema2255
@godsonmhema2255 4 жыл бұрын
Uko sawa polepole uko poa majibu yako safi
@simonmsola3423
@simonmsola3423 4 жыл бұрын
Polepole jnahakili mingi zaidi yao hongera,badala wakufanyie interview wakajikuta unawafanyia interview wao, asante sana, mm nakuombe uje uwe Rahisi pia, unaakili nzuri ya uongozi.
@anthonykusita7102
@anthonykusita7102 5 жыл бұрын
Safi sana polepole
@festosindani4427
@festosindani4427 5 жыл бұрын
hongera kiongozi wetu polepole kwa busara zako
@saidlwambo1995
@saidlwambo1995 5 жыл бұрын
Hata hao waliopo KATIKA upinzani chimbuko lao ni CCM.
@KhadijaNgozi-ln4ww
@KhadijaNgozi-ln4ww Ай бұрын
Safe.sana.polepolle
@kisakahasani8712
@kisakahasani8712 4 жыл бұрын
Sawa pole Pole
@rajabalfarazliganja397
@rajabalfarazliganja397 4 жыл бұрын
Safi sana Ndugu polepole wewe ni zaidi ya CCM
@benedictormpemba6223
@benedictormpemba6223 4 жыл бұрын
Hongera Sana nimekuelewa vizuri PolePole Safi sana
@adammkwizu2418
@adammkwizu2418 5 жыл бұрын
Huyu kiongoz ni jembeeeee
@kassimmandwanga8221
@kassimmandwanga8221 5 жыл бұрын
Comrade polepole hongera sana
@luindamchwakanigee4811
@luindamchwakanigee4811 5 жыл бұрын
Haowanaokuoji ni kenge
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 4 жыл бұрын
Mbona matusi!!! sikiliza dozi ikuingie vizuri wewe!!!
@pascalmanyama2304
@pascalmanyama2304 4 жыл бұрын
Pole pole kuwa mkweli.Mtu anatukana watu unasemaje havunji sheria za nchi.
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 5 жыл бұрын
Watangazaji wenyewe hamjui kutengeneza maswali hadi aibu swali ni msiba kujibizana na waziri wa mambo ya ndani ya serekali ?
@azizawadh5973
@azizawadh5973 4 жыл бұрын
Tengeneza na wewe yako umuhoji
@zachariabhokombe813
@zachariabhokombe813 4 жыл бұрын
Wanarukaruka tu
@tinamzava834
@tinamzava834 3 жыл бұрын
@@azizawadh5973 ccm wanafiki
@leonardbihanda7878
@leonardbihanda7878 4 жыл бұрын
Mwalimu Nyerere alijenga viwanda vingi sana katika nchi hii katika hawamu ya kwanza, mashirika ya umma karibu yote yalianzishwa na Nyerere...chuo kikuu cha kwanza, jeshi la wananchi wa Tanzania ni mengi... nampenda sana Dr raisi Magufuli lakini ndugu Polepole kakosea kuwa hawamu ya kwanza haya hayakufanyika, hawamu ya kwanza ndio msingi wa yote tunayoona sasa!! kumbuka maendeleo ni hatua kwa hatua, ukweli wa kwamba unapokea nchi haina wasomi, unafanyaje?! Inabidi usomeshe watu kwanza na kulinda rasilimali za taifa, mwl alikuwa na mipango mingi sana,kwani unadhani mwalimu hakujua hii nchi inamali? kuna baadhi ya maeneo yenye madini km Buhemba alikuwa anaweka kambi za jeshi hiyo yote ni kulinda mali za nchi,watu wetu wakisoma vizuri watachimba huko mbeleni, hakutanguliza ubinafsi,baba wa taifa aliwahi kuwaambia wachimbaji wa nje watupe asilimia 51 wao wachukue 49 wakakataa, mwalimu akasema basi km hamtaki tutachimba miaka ya mbele, leo maendeleo haya yote ni msingi mzuri wa baba wa taifa, hata hivi sasa miradi mikubwa inayotekelezwa kama sirligar gorge ni Plan ya mwl Nyerere.. nchi hii ilikuwa na viwanda ambavyo vilianzishwa na Nyerere. Kama mali za nchi zisingetunzwa tungekuta nini?! Kama angekuwa mlafi si angekula vizuri kama wenzake kina Mobutu, mzee Kenyatta nk. Namheshimu sana baba wa taifa yeye kwanza wengine wanafuata, daa nampenda sana hayati baba wa taifa.Dr raisi Magufuli anafanya kazi nzuri sana anatumia hazina iliyotunzwa vizuri na baba wa taifa.Big up mr president.
@saidlwambo1995
@saidlwambo1995 5 жыл бұрын
Polepole upo vizuri,
@hilalisaidseif8483
@hilalisaidseif8483 5 жыл бұрын
Kumbe king msukuma msomi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Hatumwi na chama cha Mapinduzi hiyo changamoto wananchi waeielewe nchi yetu wapi inavyoelekea
@annapeter4994
@annapeter4994 4 жыл бұрын
Waandishi wa habari hongereni sana, mengine tunamuachia Mungu
@saulyvictory6913
@saulyvictory6913 4 жыл бұрын
Kaka uko vizuri hao nakutafuta ili ukosee wapate kukujadili kwa upuuzi wao kana hila zaoo mkuu
@omarikinyory5785
@omarikinyory5785 4 жыл бұрын
POLEPOLE NDUGU MH UNA AKI YA KUWA KIONGOZI UNAJUWA KUWONGEA UNAJUWA KUJENGA OJA TENA KWA PWENTY UNAJUWA KUJIBU GOOD JOB BROTHER
@EK-kp2np
@EK-kp2np 5 жыл бұрын
Kiongozi unayejitambua mh. Polepole, majibu yako yamenyooka na elimu yako inasaidia walipa kodi waliokusomesha, siyo kina Akasha ( acacia) 😂, na huo ndiyo uzalendo🙏🏼🇹🇿
@mamamaria8840
@mamamaria8840 5 жыл бұрын
Kweli wauliza maswali ni vilaza
@biancamass8921
@biancamass8921 4 жыл бұрын
Safi mheshimiwa polepole wamezidi na maswali yacyo na msingi
@bahishaalexander3641
@bahishaalexander3641 5 жыл бұрын
Polepole ni msomi, anaakili, anajitambua, anaona mbali sana, cha ajabu mnauliza maswali ya kijinga Sana, hivi mmekosa maswali ya msingi kweli?
@saimonmanyerezi7169
@saimonmanyerezi7169 5 жыл бұрын
Hawamuwezi.wameshindwa.
@azizawadh5973
@azizawadh5973 4 жыл бұрын
Ya msingi kama yepi
@adelaidemghase7600
@adelaidemghase7600 4 жыл бұрын
😂😂😂
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 жыл бұрын
Msomi hawez kusema mtu kachukua fomu ya ccm kisha aseme hajui
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 4 ай бұрын
POLEPOLE UMETUSALITI WANANCHI UMEBADILIKA SANA 🖐️🇹🇿
@selemanikassim7018
@selemanikassim7018 5 жыл бұрын
Polepole polepole jina tu lakini hpa ni mwendo mdundo,. Hichi kichwa nakielewa sana ....
@aginiweyessayakyando9855
@aginiweyessayakyando9855 5 жыл бұрын
Wazungu watakuja kuomba misaada tz....it will come to pass...God bless tz God bless CCM God bless JPM
@mbonireamina6497
@mbonireamina6497 5 жыл бұрын
Ha ha ha ha nimecheka mpaka mbavu zimeuma. Dola 1 = 2300/= T.shs alafu Mzungu aje kuomba msaada Tanzania. Tumewabagua Wazungu wasije kuwekeza Tanzania kwa kuwakumbatia Wachina tumeisha. Hawa Wachina ni wajenzi wazuri sana wa barabara na magorofa lakini waneiba sana meno ya Tembo na viwanda walivyojenga sana sana ni kujenga kiwanda cha kuua Punda. Musiba ni mbwa tu.
@winfredhart6724
@winfredhart6724 4 жыл бұрын
@@mbonireamina6497 vizuriii
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 4 жыл бұрын
Day dream!!!
@florakankutebe3987
@florakankutebe3987 5 жыл бұрын
Jaman hii ndo faida ya kuwa msomi, naona unajibu vizur kaka
@josephsilumba4731
@josephsilumba4731 4 жыл бұрын
Katibu wetu uko juu sana (BIG UP)
@maxgabinos2273
@maxgabinos2273 3 жыл бұрын
Duh!!! Aisee Tanzania ina vichwa makini, ndio mana wanga wamekuwa wengi, ivi kwa mwana CCM msomi, anaejiamini na makini kama Hamfrey Polepole hawa waliopandikizwa mapepo kutoka uko nje si wanaonekana vituko. Mana ktk chama chao wangekuwa na mtu kama polepole ata mmoja tu walau wangefikiriwa na wapiga kura. Bahati mbaya wote wana akili za Kvant. CCM HOYEEEEEEEEEEEEE........
@maxgabinos2273
@maxgabinos2273 3 жыл бұрын
Ukweli katibu muenezi wa CCM umenifurahisha sana, umejibu maswali na ukawasaidia kuyaweka ktk namna ya kuleta maana na kueleweka zaidi. Ukweli Tanzania kwa sasa ipo juu kwa kuongozwa na watu makini kwelikweli, ndio mana wanga wamekuwa wengi na asieona jitihada hizi bas atakuwa ni uzao wa Covid 19, mana kwa aina ya Mtanzania kama Rais magufuli na viongozi alio wateua kumsaidia, kama ingekuwa team ya mpira ligi ya uingereza msimu uliopita bas ni Liverpool. Waandishi mpaka wameomba kumaliza kipindi eti muda umeisha, Zuhura nae akakutana na Prof. Kabudi, yani hadi raha, ukweli nikiona watu hawa makini, najivunia kuwa Mtanzania, chezea shule wewe, wenye vihere here wote!!! kwenye hoja zao wapate majibu ya maswali yao toka kwa watu makini wa aina yenu.
@benjabenjapasipanofucriwa5096
@benjabenjapasipanofucriwa5096 4 жыл бұрын
Watangazaji mmesoma Sana mpaka. Natafuta njia ya kukimbia maswali angekua fundi kutoka ubergij Ange yapangua yote
@mnegaamina6085
@mnegaamina6085 4 жыл бұрын
Kabisa polepole uko vizuri sanaaaa
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 5 жыл бұрын
watangazaji wanaonekana ni watu wa vidole viwili
@jaziumusa4131
@jaziumusa4131 4 жыл бұрын
Sasa unataka nini
@ibrahimgwasma235
@ibrahimgwasma235 4 жыл бұрын
Watangazaji wa chadema wamekutana na no nyingine
@nicethamanonga5855
@nicethamanonga5855 4 жыл бұрын
Wasikuchoshe hao
@tzmny4909
@tzmny4909 5 жыл бұрын
Hao wahandishi kama mashoga
@khamisalikidarasa6331
@khamisalikidarasa6331 4 жыл бұрын
Pole Pole usiwafanye watanzania mambumbu au wajinga maneno anayoyaongelea musiba kama angezumza mtu mwengine angelikuwa sasa hivi angelikuwa magereza sasa hivi .
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 4 жыл бұрын
Khamis jisemee wewe ndo humwelewi ulikimbia umande hata ya kuzaliwa huna kaongea kwa busara sana halafu kisomi kaiva jembe hilo kaa na umbulula wako ndo zenu kila kitu kubeza tu
@tereseamasawe8111
@tereseamasawe8111 5 жыл бұрын
POLE POLE NI MTU MAKINI SANA.
@masungajumapili5864
@masungajumapili5864 4 жыл бұрын
wew porepore ni mazuri gani ambayo amefanya magufuli mpaka munafikia mahali munamuludisha nyuma hata mwalimu Nyerere acheni uongo jamani magufuli kafata nyao tu
@lamecktanda8148
@lamecktanda8148 4 жыл бұрын
Kweli wajitokeze huko Rais wetu Magufuli
@amedeussiprian6695
@amedeussiprian6695 5 жыл бұрын
umefunguka baba pole pole nmependa unavyofafanua mambo hongera katbu
@salummuhija4435
@salummuhija4435 5 жыл бұрын
Waandishi wetu mnakwama wapi, kwani hata akiwa ni mwana ccm shida nini kwani!!
@kelvinmnyalape9658
@kelvinmnyalape9658 4 жыл бұрын
Kuna haja gani yakua na mfumo wa vyama vingi Kama anae simamia uchaguzi anatokana na chama furani?
@tinamzava834
@tinamzava834 3 жыл бұрын
We polepole na msiba wote ni wanafiki
@raheemmahadi2987
@raheemmahadi2987 5 жыл бұрын
Tatzo Ephraim unajadl na watangazaj wana ka upinzan sio kuliza hil watambue
@kyambarungwematv6828
@kyambarungwematv6828 4 жыл бұрын
Pole Pole mwanzo nilikuwa sikuamini San lakini kwa leo kwa kujibu maswali kwa ufasaha ongera kwa ilo nakukubali kwanzia Leo ccm oyeeeeeee magu juuu
@elipidiuskweyamba5787
@elipidiuskweyamba5787 5 жыл бұрын
Polepole wanaokuhoji wametumwa ili kumjua Musiba ili waandike mengi na kuzua migogoro
@Tiffany340
@Tiffany340 5 жыл бұрын
Sasa uyo mtangazaji anakataa nini nawakati vyama vya upinzadni zimezaliwa baada ya Ccm ndio mana viongozi waanzilishi waupinzani karibia wengi walikuwa Ccm..mhe.polepole hao watangazaji wamezowea kuwakuhoji wasanii tu
@datiusrutabasibwa4259
@datiusrutabasibwa4259 4 жыл бұрын
Ujui ulicho changia wala auelewi wanazungumzia nn
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 5 жыл бұрын
Wandishi 0kabisa mulizeni musiba
@atimanamanga6289
@atimanamanga6289 5 жыл бұрын
Jaman mwenye uthibitisho wa kampuni ya acacia kupotea anipe aisee. Kuna mijitu mifala sana huku mtaan nikiiambia kuwa Tanzania hatukamatiki inaomba ushahid. Naombeni sana
@gracewiliam8872
@gracewiliam8872 3 жыл бұрын
Ok
@TheMtandao
@TheMtandao 5 жыл бұрын
Waandishi wa habari! Mnaonekana mna mapungufu kwenye kuandaa maswali! Mnae muuliza anajua lengo lenu na mwelekeo wenu ingieni youtube mjifunze buree
@punguzauzitofurahiamaisha
@punguzauzitofurahiamaisha 4 жыл бұрын
Hii Interview Ilikuwa Konk sana. Kiapo Ni Usanii
@davydany9648
@davydany9648 4 жыл бұрын
Kwa kichwa kilichomakini kama mh polepole unatakiwa ujopange sio kwa mtazamo huo ulioufanya,hongera p
@mdbosco1640
@mdbosco1640 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏💞💞💞💞💞
@jacoblukumay472
@jacoblukumay472 4 жыл бұрын
Huyu ni mwanasiasa original na siyo photocopy! Nakukubali sana unajibu maswali kwa umakini mkubwa!
@GillesMalenke-es9mr
@GillesMalenke-es9mr Жыл бұрын
😢
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 88 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 25 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 6 МЛН
MNASHOBOKA??
8:12
Joti TV
Рет қаралды 301 М.
POLEPOLE AANIKA SIRI YA MAGUFULI "YEYE NI HATUA MOJA KUFIKA KWA MUNGU"
4:51
MANAGER
5:54
Joti TV
Рет қаралды 1,2 МЛН