POLEPOLE Alivyowajibu WANAHABARI - "LISSU ANATUCHOKONOA, MWAKILISHI wa MABEBERU"

  Рет қаралды 85,844

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 678
@michaelbwoma2760
@michaelbwoma2760 4 жыл бұрын
The Guy is well informed and knows how to hit the point... You talked well comrade
@stellakutta6513
@stellakutta6513 4 жыл бұрын
Asante Sana Baba kiongozi wetu na viongozi wengine Kama wewe. Kweli wewe ni kiongozi Hali hasa wa Kitanzania na wewe na WaTanzania. Una uchungu a nchi yakima nchi yetu Kama Tanzania. Ukweli ni huo mtu Kama huyo ni wa Nini kuniingiza kwa yale ayatakayo.wapinzani wakekwama makangakawe. Na siku yao ni tarehe 28/10/2020. Mambo yote yatakuws tayari WaTanzania watskuwa jury na amani iko pale pale. Mungu yu pamoja nasi. Amina.Magufuli Oyeeee Wabunge na madiwani . Ccm juu juu zaidi.
@raymondroyer7414
@raymondroyer7414 4 жыл бұрын
Tunakupenda bure Komrade Polepole unapiga mpaka wapinzani wanasikilizia maumivu dadeki mpaka waisomee hasaaa
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 4 жыл бұрын
Sio waisome hata wewe pia sukari unanunua kwa bei ileile
@edmondthomas3321
@edmondthomas3321 4 жыл бұрын
@@bonnyngowo7567 ...inaelekea bado huelewi mamtiki ya "kuisoma".
@marksonbeauty6397
@marksonbeauty6397 4 жыл бұрын
@@edmondthomas3321 shida ni kuhisi unajua halafu hujui
@fnnyanda5993
@fnnyanda5993 3 жыл бұрын
Mhe. Polepole, SAFI SAAANA. Umewajibu kitaalamu. Mungu na Akubariki. Ushindi wa heshima upo.
@khalifawapili1799
@khalifawapili1799 4 жыл бұрын
Umejibu kisiasa sana aiseee😎
@babylonyNgwembe
@babylonyNgwembe 4 жыл бұрын
SAFI SANA H.POLE POLE YAN LISU ASIVURUGWE WALA KUSHIKWA SHKWA WALA KUSHTAKIWA MPAKA SIKU YA OCTOBER 28 APIGWE KWEUPE ASEPE ZAKE.
@chrissackland5369
@chrissackland5369 4 жыл бұрын
Hongera Kwakujibu Vizuri Kiongozi wangu Uongo wa Huyo jamaa Usipokuwa Makini Anakuingiza kingi
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 4 жыл бұрын
Nakuamini sana polepole wasituchezee raisi ni mmojatu magufuri
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 4 жыл бұрын
Ila polepole unanifurahisha unavyomchambua yule pimbi yaani umefunguka sana kumjua nia yake ndogo kabisa ya kutaka mwende na mihemko yake big up.
@khamismasoudy1898
@khamismasoudy1898 4 жыл бұрын
Hana..hoja za kujibu..huyu..mwehu..analeta..Mambo ya kijinga tu
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 4 жыл бұрын
@@khamismasoudy1898mkuki umekuingia
@ahmadnassor7375
@ahmadnassor7375 4 жыл бұрын
Very technical reply about Chato airport. Lazima kuwe na alternative airport ambayo ni Chato kucover Mwanza na nchi jirani. Kama hujaenda shule hii ni ngumu kuielewa. Kwa hili jibu polepole nakupa 💯 Well done brother
@estomihijohn6013
@estomihijohn6013 4 жыл бұрын
Haleluyaaaaaa! mitano tenaaaa! Tunamshukuru MUNGU WA MIUNGU MUWEZA ZAIDI YA KULIKO YOTE Kwa Kutupatia Rais JPM Mwenye AKILI TIMAMU.Tunashukuru sana sana "UNAMLINDA NA JICHO BAYA" NA ANASHINDA UCHAGUZI
@dicksonmatulile1523
@dicksonmatulile1523 4 жыл бұрын
Tujuane 28 October 2020 kwa jpm
@esterstivin9523
@esterstivin9523 4 жыл бұрын
Ana ukuu gani huyo
@marksonbeauty6397
@marksonbeauty6397 4 жыл бұрын
Wajinga wasioona ndio watakuunga mkono. Ccm haifai kabisa kuongoza tena Tz
@dicksondickson7751
@dicksondickson7751 4 жыл бұрын
Tunajua wanao mpinga jpm,niwapigaji na vyet feki
@marksonbeauty6397
@marksonbeauty6397 4 жыл бұрын
@@dicksondickson7751 wewe ndio hujielewi kabisa. Angalia uhuni unaotendeka hasa ktk uchaguzi ndipo utagundua ccm haifai kuongezewa hata siku moja ikulu.
@adammasunga4860
@adammasunga4860 4 жыл бұрын
We shoga
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 4 жыл бұрын
Hongera polepole somo zuri kuhusu uwanja wa Chato. Kumbe mkoa waGeita wilaya ya Chato.
@wilfredmlaki822
@wilfredmlaki822 4 жыл бұрын
Uko sahihi kabisa Mr polepole
@ezekielkizito1534
@ezekielkizito1534 4 жыл бұрын
Ila polepole nataman siku moja nije niwe Kama wewe uko vizuri Sana aisee
@barikimwakajumba2627
@barikimwakajumba2627 4 жыл бұрын
Bro unataman nafasi yangu. Hakika mimi polepole namkubali akifuatiwa na palamagamba kabudi hao ndo ma real model wang
@fredfungo7394
@fredfungo7394 4 жыл бұрын
lissu hafanyi mikutano kwenye viwanja vikubwa anafanya kwenye vichochoro ili kuweka presha ya watu hamuwezi magufuri ukitaka kujua hilo angalia umati uliopo kwa magufuri moshi halafu linganisha na mkutano wa lissu aliofanya moshi utapata jibu
@temkezatv4381
@temkezatv4381 4 жыл бұрын
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@lightnesselirehema1464
@lightnesselirehema1464 4 жыл бұрын
Hapo hata Magufuli anakushangaa
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 4 жыл бұрын
Kweli kabisa hamjui mbowe, mbowe ni moto wa kuotea mbali hafai hafai Lisu mshamba angemjua mbowe nje ndani wallah asingekua nae karibu na kua kwenye chama chake
@isayakyando2138
@isayakyando2138 4 жыл бұрын
Kaka polepole pole sana kwauchaguzi huu ccm kwisha
@halifalujaji6090
@halifalujaji6090 4 жыл бұрын
VIP ccm imeshakwisha kwa akili yako
@maulidisembe7295
@maulidisembe7295 3 жыл бұрын
Wewe polepole huna jipya njaaa tuu inakusumbuwa ukweli utabaki palepale mmewaibia watanzania
@mathiasmsese6128
@mathiasmsese6128 4 жыл бұрын
Tundu lisu atashangaa sana
@gloriamichael3698
@gloriamichael3698 4 жыл бұрын
Aaaaa nicheke Mimi aaaa
@elnathanvonpierre915
@elnathanvonpierre915 4 жыл бұрын
Duuh Mkuu Unapojibu fikiria mara mbili maana unamuharibia Rais wetu mpendwa kwa Pumba zako.. Unatamba na magari ya kifahari wakati mimi mwanachama naendesha mkokoteni...Ps jipange brother🙏🏻
@abdulyabubakar6247
@abdulyabubakar6247 4 жыл бұрын
Umeshasema wewe ni mwanachama wa kawaida so ni HAKHI yako kuendesha mkokoteni. Lakini ungekuwa kiongozi basi ungepata hio v8
@YusoufMjr
@YusoufMjr 4 жыл бұрын
@@abdulyabubakar6247 jibu simple san lenye kujitoshlza
@mbunimnyama561
@mbunimnyama561 4 жыл бұрын
Maa v8 duuuh safi sana!!
@wingodmruma8925
@wingodmruma8925 4 жыл бұрын
Magu mzalendo wa Tanzania hoyeeee?!! Comred polepole hoyeeee?! Mnyoosha njia camander musiba hoyeee!? Tunajambo letu watanzania tar 28 Ni Komandoo Magufuli 5 tena. Nabaadayahiyo tunampa 10 Tena. Komandoo magu kutoka chato. Wapenda amani wote hoyee? MUNGU ibariki Tanzania na watuwake Amina.
@bahatimohamedi2255
@bahatimohamedi2255 4 жыл бұрын
Safi sanaa pole pole nakukubari
@elimwazembe3631
@elimwazembe3631 4 жыл бұрын
Kwaiyo unajisifia kanakwamba mnamaisha mazuri yakutembelea magali mazuri yenye viyoyozi huku watanzania hawana maji sarama wala safi kwajili ya ujinga wenu .poa mtaisoma namba tarehe 28
@EdmundMipawa
@EdmundMipawa 4 жыл бұрын
Kwahyo unataka leo MO asitembelee Vogue yake apande daladala kisa kuna wananchi hawana Vogue? 😂 Huna akil ww eti
@elimwazembe3631
@elimwazembe3631 4 жыл бұрын
@@EdmundMipawa kumalamamayako ww ndohuna akili Mo naye ninani katika serikali ya ccm kama sio ukuma unakusumbua pumbavu zako katombwe mbele uko na uku wako
@EdmundMipawa
@EdmundMipawa 4 жыл бұрын
Umepanic 😂😅🤣
@elimwazembe3631
@elimwazembe3631 4 жыл бұрын
@@EdmundMipawa kwaujinga kama uo unaongea lazima upaniki .mtu mwenye akili timamu utamamfananisheje MO na serikali ya ccm?
@EdmundMipawa
@EdmundMipawa 4 жыл бұрын
Ni serikali ya watanzania..
@napendamazoezi446
@napendamazoezi446 4 жыл бұрын
Maswali yamekzidi upeo kbs, hamna hata moja ulojibu kisomi na kiufasaha. Alafu mtaji wa wanaccm husikubweteshe nakuhakikishia wanaccm wengi waliopigwa na utawala huu kwa namna tofaut tofaut ndio watakaompa kura zao Lisu amino husiamini.
@alibell5246
@alibell5246 4 жыл бұрын
Baba weye nakupenda umchapakaz sana tuleteeni maendeleo wananch
@anoldpotentin2446
@anoldpotentin2446 4 жыл бұрын
Chama cha wanyonge viongozi wake wanatembelea V8😂🙌 wananchi huku hari ngumu
@neemagewe717
@neemagewe717 4 жыл бұрын
Fact polepole
@mohamedluwilo3167
@mohamedluwilo3167 4 жыл бұрын
Unanuwa vijana wengi wanadanganyika na vya bule kwa ahadi ya huyu mwehu. Magu ndiye mteule wa mungu
@johnsonotieno5308
@johnsonotieno5308 4 жыл бұрын
Mwandishi huyu Yuko vizuri hana chama no zake please
@elibarikimollel9629
@elibarikimollel9629 4 жыл бұрын
Hamphray hujajibu swali umezunguka tuu na kurudisha kashfa!. Ndio mana mna miradi na mikataba kibao isiyopitia bungeni!!! Musa Assad yuko wapi?!!
@salimujuma172
@salimujuma172 4 жыл бұрын
MbwA
@Unclerammaschannel
@Unclerammaschannel 4 жыл бұрын
Mrenda Mrenda mpeche mpeche midiocre kibaraka wa wazungu Tanzania
@tysonsinga5021
@tysonsinga5021 4 жыл бұрын
Polepole hata Kama mm Ccm sijawahi kukuelewa Broo Hauwezi kujibu maswali unayo ulizwa, Polepole Sisi Ccm tunaitaji chama Cha Upinzani imala Ili Baadhi ya viongozi wetu wanapo kosea wajilekebishe
@maimlelwa7894
@maimlelwa7894 4 жыл бұрын
Ameshindwa kujibu maswali yote mawili ya mwandishi wa darmpya
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
MASWALI YA KIPUMBAVU,YESHAJIBIWA MARA MILION
@depaolo3461
@depaolo3461 4 жыл бұрын
Maswali gani ya kipuuzi
@eliyatango3624
@eliyatango3624 4 жыл бұрын
Wazungu sindiyo wabeber?
@fredmushendwa357
@fredmushendwa357 4 жыл бұрын
Maana halisi ya mabeberu ni mafisadi wakinyonyaji ambao wengi wao wanatokea nchi za magharibi.Sio serikali zao wala wazungu wote, ni kundi la mtandao wa kinyonyaji,Hao ndio mabeberu na sio kila mzungu ni beberu. Watu hawana uelewa kabisa juu ya hili neno Beberu. Sasa kwanini beberu sio Mwafrika?!! Jibu ni kwasababu lengo la mabebu ni kuzinyonya nchi za kiafrica kwa kuhodhi mifumo ya kiuchumi na kuiba rasilimali zake. Mwafrika akijiunga na hilo genge bado sio beberu ila ni msaliti kwasababu bara la afrca ni kwa wafrica wote hata kama uko ulaya hapa ndio kwenu. Mwisho Mabeberu ni genge fulani la wazugu baadhi wenye nia ovu na nchi za kiafrica ikiwepo Tanzania na sio wazugu wote kama wanavyofikiri watu.
@jeremiahzacharia7655
@jeremiahzacharia7655 4 жыл бұрын
Asiyeitakia Tanzania mema na wanataka kuinyonya Tanzania hao ndio mabeberu haijalishi rangi yake
@amosjohn2413
@amosjohn2413 4 жыл бұрын
Mwakilishi wa mabeberu baba ako,polepole una matatizo mlipompiga risasi mlitegemea atakufa bila Shaka ata baba ako anawaza uyu mtu kaponaje ,na Sasa kawabana kweli mjiandae kuondoka
@mwambietv7614
@mwambietv7614 3 жыл бұрын
Hao mnao waita Mabeberu ndo kuna muda mnawaita wahisani tena cjui mna maana gani??
@neemamwabukusi5704
@neemamwabukusi5704 4 жыл бұрын
Mi siwachukii wapinzani maana wamesababisha viongozi wa CCM wajitambue hata kampeni za lissu zinazidi kumpaisha Magufuli 😀
@imanmodern
@imanmodern 4 жыл бұрын
Hakuna mnyakyusa mjinga ww
@Unclerammaschannel
@Unclerammaschannel 4 жыл бұрын
Mwa kilishi wa mabeberu Tanzania
@abcdabcd1605
@abcdabcd1605 4 жыл бұрын
WE MZEE HESHIMA YAKO NDOGO SANA
@thadeusmateru1356
@thadeusmateru1356 4 жыл бұрын
Polepole watu wanahoji maduhili yotte ya serikalli yanakusanywa kwa risiti mbona wanaopewa vitambulisho hawapewi risiti? Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa serikali atawezaje kukagua mapato hayo ? Naamini huna jibu la suala hilo ndiya maana unaishia kwenye matusi
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
KAWAULIZE WENYE VITAMBULISHO KENGE WE..KAKWAMBIA BARCODE,TS ELECTRONIC! UKISHA LIPIA DETAILS ZOTE ZIPO TRA
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 4 жыл бұрын
@@errydeo8865 NDUGU UNA POTEZA MDA WAKO KUBISHANA NA HAYO MANYUMBU MENGNE HATA KUJISHUGHULISHA AYA JISHUGHULISHI KAZI KUKAA MASKANI NA UMBEA HATA KITABU CHA UCHUMI KUSHIKA ASHIKI SASA WEWE UTA MWAMBIA NINI MTU WA HVYO AKA KUELEWA ACHANA NAYO KWANZA HATA KULA AYA PIGI YANI INGE KUWAGA COMMENT NDO KULA BASI TOBO ANGEKUA RAISI WA ONLINE
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 4 жыл бұрын
Ni rahisi sana kusema kuwz wapinzani wanauza nchi lakini ukweli ni kwamba wsliotufikisha hapa tulipo ni viongozi wa ccm. Na wanaosema kuwa wapinzani watauza nchi ni hao hao. Hoja za wapinzani hutokana na mapungufu ya watawala. Na ukimsikia pole pole akijaribu kuzijibu ukiachi uwezo wake wa kuongea hoja zake zinapwaya sana. Mfano amesema vitambulisho vya wamachinga vina barcode lakini tunajua vilitolewa kwa pamoja kama business cards. Unadanganya vina barcode uliwapata wapi wanachinga nchi nzima ukaingiza information zao kwenye system ili uweke taarifa za kila mtu kwenye mfumo huo wa barcode? Maana ili barcode ito taarifa za mwenye kitambulisho ni lazima ziingizwe kwenye hiyo barcode individual. Kama anaongelea barcode ya kuonyesha kuwa ni vilivyotolewa na serikali hapo sawa. Lakini hazitaonyesha taarifa za anayepewa. Na hicho ndicho lissu anachowaeleza watu kuwa hakitamsaidia mtu yeyote zaidi ya kuonyesha ni mmachinga na ni kwa upande wa serikali tu basi. Na ikiwa atapoteza au kuibiwa mtu yeyote anaweza kutumia maana hakina jina wa picha.
@jumannekhalifa7761
@jumannekhalifa7761 3 жыл бұрын
Bwege kweli mnatutambia v8 huku ss maisha magumu
@bayonicodem3185
@bayonicodem3185 4 жыл бұрын
Hawa wapiga dili tu hakuna chchte hapo Wote waxaka tonge tu,,
@maandaziimakavuu3790
@maandaziimakavuu3790 3 жыл бұрын
Safi nakuelewaga sana
@kasmirimichael9228
@kasmirimichael9228 4 жыл бұрын
Af ww unaeshabikia ccm hataakili hamna kwasababu mtu anajisufu kabisa tunatembelea v8 wakati wananchi hatuna hata maji
@adammasunga4860
@adammasunga4860 4 жыл бұрын
Swali ni sahihi kuombea mkopo
@respigiusshayo5091
@respigiusshayo5091 4 жыл бұрын
Hongera mkuu
@uzalendocontentschannel3277
@uzalendocontentschannel3277 4 жыл бұрын
Mh. Polepole.mwambie kuwa pesa za mchakato wa kuwapata wagombea ubunge na udiwani ulikipatia chama zaidi ya billion 4.3 kwa watia nia zaidi ya elfu 40.3 ambao kila 1 alilipa tsh 100000. Pesa hizo tu mbali na ruzuku za chama zinaweza kutosha kuendesha kampeni. So mwambie mgombea wa mbowe atafute hoja nyingine ya vitambulisho haina nguvu wala mashiko.
@tusajigwekanemela4784
@tusajigwekanemela4784 4 жыл бұрын
Nakuelewa kaka polepole
@rebeccamatwajo1358
@rebeccamatwajo1358 4 жыл бұрын
Using'ate maneno wew toboa ukwel
@mursallusinde9189
@mursallusinde9189 4 жыл бұрын
Dah pole pole big up SNA mkuu na najua ccm haikukuweka hapo kwa sababu unajua kuongea bali unajua kueleza kila kitu kitaalam tena kwa uelewa mkubwa. Nani alikua anajua kua sis ndo wakuu wa anga wa nchi 5 africa mashariki.? Rasmi leo mjadala wa kiwanja cha chato tumeufunga na tulio kua hatuelewi tumeelewa hilo la maji ni jambo jingine tena usalama kwanza😂🤣
@thobiasshija7624
@thobiasshija7624 4 жыл бұрын
Nimeshakupata bro sana
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 2 жыл бұрын
Kweli kila zama na Watu wake,kujitapa kote kwa sasa upo wapi? we mpuuzi
@rashidmoleli8938
@rashidmoleli8938 4 жыл бұрын
Kaká uliwanyoosha🤣🤣🤣 raha sana ccm oyeeeee
@jonathanvalentine9188
@jonathanvalentine9188 4 жыл бұрын
Watanzania jitambueni, ukisikia Tanzania tumejaliwa rasilimali ujue zimenunuliwa V8 wanachukua viongozi wa CCM wananchi mtabaki bila maji, ccm wanaona lissu anakuja na maendeleo ya wat u wanaanza kurubuni watu et katumwa na mabeberu ili wachukue rasilimali, mtanzania husiyejielewa utabaki kusema ccm oye wenzako wanatembelea magari ya kifaali kwa fedha za rasilimali
@bojobojoni6247
@bojobojoni6247 4 жыл бұрын
Lissu kaja na maendeleo gani??? Hahahahahahahahaha
@zenassylvester125
@zenassylvester125 4 жыл бұрын
Hata wewe unaweza kununua iyo v8 ukijituma kwa kufanya kazi vyema, usingoje serikali ikuletee nyumbani fanya kazi ufanikiwe, kuna biashara nyingi za kufanya jitume acha kulalamika
@daddieeddie5057
@daddieeddie5057 4 жыл бұрын
Hakuna kitu kama Maendeleo ya watu bila vitu dunia nzima
@farihiayusuph6405
@farihiayusuph6405 4 жыл бұрын
Kuleni baba nchi niya kwenu matokeo mmepanga bado mnatutisha sawa
@yonahmbengale4156
@yonahmbengale4156 4 жыл бұрын
Wewe ndio msukule wa Tanzania
@davoo2555
@davoo2555 4 жыл бұрын
Hatuna mabeberu miaka hii maana Tanzania ni Nchi huru, kwanza wanakuwaje mabeberu wakati haya mandege mliyo nunua pesa zao mmekopa, pesa za kuboresha Elimu ni wao wanatoa, pesa za chanjo madawa hospitalini bidhaa zetu tunazozalisha hapa ndani tunategemea kuzisafirisha kwenda kwao kupata faida nzuri na fedha za kigeni hao ni mabeberu gani sasa. CCM ndio mabeberu wa hii Nchi. Hatuna mabeberu zama hizi tuna wadau wa maendeleo au marafiki wa mandeleo (Development Partners)
@godmremi3558
@godmremi3558 4 жыл бұрын
Na Wale Wenye Ndoo Za Maji Kichwani,Ni Vijana?Au Hawapigi Kura?
@adorakisamo8071
@adorakisamo8071 4 жыл бұрын
Hivi pole pole ni Mzee au kijana
@eliyatango3624
@eliyatango3624 4 жыл бұрын
Babu
@abdulqareemseif9050
@abdulqareemseif9050 4 жыл бұрын
Kaka yake maalim seif
@miagielangoi3272
@miagielangoi3272 4 жыл бұрын
Hahahahaah kijana mzee
@mwajumashomari5279
@mwajumashomari5279 4 жыл бұрын
Toeni mapovu lakini mwenzenu yupo juu, hata mkitoa povu yeye anapeta tu
@amenyemwansile631
@amenyemwansile631 4 жыл бұрын
Haeleweki
@bandorajr
@bandorajr 4 жыл бұрын
Mgombea wa Mbowe na Mwakilishi Mkazi wa Mabeberu hapa nchini. Ha ha ha ha ha ha ha
@kipwintoadam2556
@kipwintoadam2556 4 жыл бұрын
Unaonekana mkumbavu mjinga usijielewa malaya mkubwa
@bojobojoni6247
@bojobojoni6247 4 жыл бұрын
@@kipwintoadam2556 akili ndogo huwaza matusi sio kujibu hoja.hahahaha Na wewe toa maoni yako sio matusi
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 4 жыл бұрын
@@kipwintoadam2556 ACHA MATUSI WE BOYA SIASA SIO UADUI AU UNA DHANI UKI TAFUTWA UPATIKANI? ACHA UJINGA UKIKOSA CHA KU KOMENTI NYAMAZA
@fubanjenjele521
@fubanjenjele521 4 жыл бұрын
Muuliza swali anauliza kwa woga, uliza kwa ujasiri ili watz tupate uelewa
@abdulkarim242
@abdulkarim242 4 жыл бұрын
Kwaiyo kwa kauli yake kuhus vitambulisho ana maana ya kwamba CCM niwakusanyaji kode... Maana kataja taasisi mbali mbali zinazokusanya kodii zisizo kua TRA kwaiyo pia CCM niwakusanyaji kodi za serekali
@jameshokororo6067
@jameshokororo6067 4 жыл бұрын
" arudi huko huko kwa mabwana zake ubelgiji "
@chriskapungwe7614
@chriskapungwe7614 4 жыл бұрын
Polepole jembe kweli hapo ndipo utaona ewezo wa jpm kakuibua kijana unachapa kazi hatali
@babylonyNgwembe
@babylonyNgwembe 4 жыл бұрын
BWANA UYU MWANAHABARI MASWALI HAYA ANGEKUA ANAWAULIZA CHADEMA ASINGEDUMU WANGE MTOA UKUMBINI MAPEMA.
@peterezrom5194
@peterezrom5194 4 жыл бұрын
Unajitahidi kufanya kazi yako lakini labda mwende tofauti na kura
@fikiriniamani7281
@fikiriniamani7281 4 жыл бұрын
Aeleze vizur,watakimbia nchi
@abdul-aziziomar5989
@abdul-aziziomar5989 3 жыл бұрын
We mbele ya lisu ni nani,unajifanya kumdharau
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 4 жыл бұрын
Sio vitambulisho vya Taifa alisema vya wa machinga Acha kupotosha we maandishi
@jamesthomas390jj
@jamesthomas390jj 4 жыл бұрын
Kuna vitambulisho vya machinga na vitambulisho vya wajasiliamali??? Yaan ww ndo hamnazo kabisaaa😂😂😂
@josephgomalo41
@josephgomalo41 4 жыл бұрын
Haijalishi.. cha msingi ni kile Polepole amewaelimisha kuhusu BAR CODE.. ambayo ni namba inayomtambulisha mmliki wa card isiyo na jina kwenye mfumo wa computer za benki. Kwani hiyo BAR CODE inaunganisha taarifa za mmiliki wa kadi hiyo na kumbukumbu za kimfumo wa kielectroniki au DATABASE za kibenki na za kiserikali .. kuanzia tarehe ya kuzaliwa, picha yake, mahala alipozaliwa, address anakoishi, ndugu zake, kazi yake na kama ana rekodi ya uvunjaji wa sheria ambayo ndio itamnyima mikopo..! N asio jina! Kutowekwa jina kwenye kadi kutawakamatisha wezi wa kadi hizo kwani utapotumia kadi ambayo sio yako utakamatwa.. kwani mfumo wa benki utakufichua. Kaa chonjo.. bar code ndio habari ya mjini dunia nzima! Msome muelimike sio kufuata mkumbo wa mhuni kama Lissu!
@hamadisalim8173
@hamadisalim8173 4 жыл бұрын
Mwajulikana mbali kwa wizi
@basickasote538
@basickasote538 4 жыл бұрын
Mjasiriamali anapewa kitambulisho (barcord) na jina la mteja vinaingizwa kwenye kumbukumbu kwenye halmashaur husika
@hoseavusindawa5664
@hoseavusindawa5664 4 жыл бұрын
Hujielewi nini maana ya kitambulusho? Kikipotea kitajulikana vipi kwamba ni yake?
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 4 жыл бұрын
@@hoseavusindawa5664 Kikiokotwa peleka polisi, wakiona Barcord watapeleka halmashauri na kuona hiyo barcord ilichukuliwa na mtu gani. As simple as that, unless otherwise kuna issue nyingine nyuma ya pazia.
@salimseif5491
@salimseif5491 4 жыл бұрын
@@TM.Sullusi Sasa tabu yote ya nini? Wangweka jina na picha tabu yake nini,majiziiiiiii wakubwa
@ibrahelectronics7978
@ibrahelectronics7978 4 жыл бұрын
Hii siasa banaa😭😭😭
@dramanirinju8153
@dramanirinju8153 4 жыл бұрын
Asa kwenye V8 tumefikaje tena? Hizo ni kodi za watanzania acha ujinga.
@chaavikachangilamathew5753
@chaavikachangilamathew5753 3 жыл бұрын
Vitambulisho vya Taifa au vya wajasiliamali
@petersteve4909
@petersteve4909 4 жыл бұрын
Umati gani wawatu waakati alikuwa anawapa hera wabodaboda na kuwawekea mafuta kwenye pkpk awu hzo hera ndio zinamuuma huyu mzungu mweusi
@issakitundu617
@issakitundu617 4 жыл бұрын
Hapo kwenye v8 tu ndo imeniuma doh! Na tabu hiz jamn nyie wenzetu mnatutambia v8
@denicmsigwa5199
@denicmsigwa5199 4 жыл бұрын
Wacha tuliwe
@mwahamedychilungu8981
@mwahamedychilungu8981 4 жыл бұрын
@@denicmsigwa5199 tuna yataka wenyewe
@denicmsigwa5199
@denicmsigwa5199 4 жыл бұрын
@@mwahamedychilungu8981 Duh hatari aiseee
@gwajiboiboi8664
@gwajiboiboi8664 3 жыл бұрын
Nyie Mnaona V8 tu Mataila Nyie Angalieni Magali Wanaotembelea Ma Rais wa Marekani huko Muone
@fnnyanda5993
@fnnyanda5993 3 жыл бұрын
Unataka watawala wetu wasafiri kwa Mikokoteni ya Kuvutwa kwa Ng'ombe?!. Au Watakuwa wanawahi ktk majukumu yao au Dharura mbalimbali kwa njia gani?! Kama siyo kwa kutumia Magari imara na yenye Mwendokasi wa kutosha?!. Pia, Kiongozi ana Heshima yake, Gari zuri analotumia ni HAKI yake. Mtu Mshamba na hasa Mpumbavu, hawezi kuelewa na kutofautisha Mtawala na Watu wa kawaida. Ndiyo maana kuna, "Meza kuu-High Table",Kuna VIP nk. Ndiyo maana halisi ya " UTAWALA".
@mgallason...5686
@mgallason...5686 4 жыл бұрын
Don't Panic, don't listen to those madness whistlers move on and do the work. You have ajob to do and we have our work to finish on 28th. Mashoga Hawana nafasi katika nchi yenye katiba na sheria pamoja na utamaduni wake, narudia watanzania tunaongozwa na sheria na utamaduni wa nchi ambapo haushabikii ushoga, hizo ni tabia za Wabelgiji pamoja na washirika na wafuasi wake.
@barakaj.j.1976
@barakaj.j.1976 4 жыл бұрын
Chama cha mbowe
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 4 жыл бұрын
JAMANI HUYU POLE NI MZEE AU KIJANA?
@ramathedon4001
@ramathedon4001 4 жыл бұрын
uyu ni kijana aliyezeeka kabla ya mda wake kutoka na na uongo wake kwa wa Tanzania.
@danielmoses2244
@danielmoses2244 4 жыл бұрын
Ukishafahamu ITAKUSAIDIA NINI?
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 4 жыл бұрын
@@danielmoses2244 katafute POMBE NA BANGI UCHANGANYE shoga mkubwa!
@missangela6720
@missangela6720 4 жыл бұрын
@@ramathedon4001 Yaani kijana mdogo kawapelekesha hadi mmechanganikiwa. Ujue hata umri wa Makonda wa 34 hajafika, lakini mziki wake lazima mkasimulie kwa Wazungu wenu mwaka huu.
@ramathedon4001
@ramathedon4001 4 жыл бұрын
@@missangela6720 mwisho wenu October 28
@coolruler6820
@coolruler6820 4 жыл бұрын
Umati sio kura,,,,pia wengi wa umati tambua ni vijana halafu wengi wao ni ushabiki tuu na siku za kura hawaonekanagi. Ukiuliza wale vijana waonyeshe kadi ya mpiga kura ktk 100 hawafiki 20
@allyjumanne7331
@allyjumanne7331 4 жыл бұрын
Wasani ndio kura
@jonathanvalentine9188
@jonathanvalentine9188 4 жыл бұрын
Mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali ni wa CCM Unategemea nini?
@jonathanvalentine9188
@jonathanvalentine9188 4 жыл бұрын
Taja matumiz ya hela za vitambulisho acha kubwabwaja kenge wewe
@coolruler6820
@coolruler6820 4 жыл бұрын
@@jonathanvalentine9188 Kazi kweli, nazungumzia kura unazungumzia vitambulisho, hapo ndipo ziro inapatikanaga
@solomoneglesius9448
@solomoneglesius9448 4 жыл бұрын
Ogopa huo umati usiojitmbua🙄 akishindwa na kwa makusudi akaingiza hao wasiojitambuwa barabarani unadhani watakuuliza swali???🙄
@edigajoseph5130
@edigajoseph5130 4 жыл бұрын
Waizi nyinyi hatuwataki
@zamberimturi5593
@zamberimturi5593 4 жыл бұрын
Umeibiwa nn we ndezi😁
@sjfamily8121
@sjfamily8121 4 жыл бұрын
Hawa wengine ni misukule tu yani wanafata upepo watokea wapi, eti nae kaibiwa na hajui alicho ibiwa
@bendit4476
@bendit4476 4 жыл бұрын
Mheshimiwa Polepole hapo umelikwepa swali
@rabyngira2016
@rabyngira2016 4 жыл бұрын
Hakuna mweshimiwa hapa fala tu huyu
@ibrahimbakary2464
@ibrahimbakary2464 4 жыл бұрын
Fala baba yako matako senge wewe
@castomwanasilanda2511
@castomwanasilanda2511 4 жыл бұрын
Yaaan hana point kabisa huyu
@castomwanasilanda2511
@castomwanasilanda2511 4 жыл бұрын
Ungea point wewe
@castomwanasilanda2511
@castomwanasilanda2511 4 жыл бұрын
Mmetesa watu alafu unataka kuwaaminisha siku wanainchi
@stellamwasenga6205
@stellamwasenga6205 4 жыл бұрын
Kumbe tunawategemea mabeberu waje kutalii ndo maisha yaende huyu polepole hajui kula na kipofu
@mathiasmsese6128
@mathiasmsese6128 4 жыл бұрын
vibaraka wa mabeberu
@depaolo3461
@depaolo3461 4 жыл бұрын
Sio kutawaliwa
@khadijamohd1216
@khadijamohd1216 4 жыл бұрын
Ss mtu huy ajenge kil kit kw wkt mmoja kwan ana Nguv za miujiza, hao Libya wamewekew kila kit na wamemuuw Gadaffi hili ni ttz la binaadamu hakinai.
@marksonbeauty6397
@marksonbeauty6397 4 жыл бұрын
Hivi nyie manaoongelea habari za Libya ni mnazijua au mnafata upepo km mnavyopelekwa na ccm? Muwe mnajiongeza wajinga nyie
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 4 жыл бұрын
Unadanganya bila kutumia akili onyesha barcode inafanyaje kazi. Lissu kaonyesha kwa details kuwa hakiwezi kutumika kuombea mikopo. Kama mnaamini mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali mbona mkashindwa kuamini ukaguzi wa chadema? Utakuja kutueleza tu siku ikifika. Umeshindwa kazi ya kukijenga chama unakimbilia kumngangania mbowe. Watanzania wanajua ukweli kuhusu lissu na misimamo yake kabpa hujafikiriwa kuwa mwenezi. Watanzania walimsikia lissu kabla ya kuwa kiongozi wa kisiasa jivyo huna unachoweza kueleza. Utaleta usanii ukitegemea tume na jeshi la polisi. Chunga sana unachokiongea . Magufuli hakukuchagua ili uje kuwa msanii wa chama Alitehemea mgombane sana juu ya nini kifanyike kuimarisha chama kuliko kumsifia huku ukimwachia kazi ya kukinusuru chama. Uwanja wa chato na wa dodoma ni upi ulikuwa na umuhimu wa haraka? Kumbuka watanzania hawadanganyiki siku hizi. Ukisema jam o wanalinganisha na uhalisia wanapata jibu. Hata ukiona hawaongei sio wajinga na Magufuli alikuambia hilo .
@missangela6720
@missangela6720 4 жыл бұрын
My dear, huyo Mzungu mgombea wenu ni just another cornman, mwanashari, wala si mwanasheria
@goodlucky8532
@goodlucky8532 4 жыл бұрын
Bdo wiki moja tu MAGUFULI FOR CHANGE (M4C)😂😂😂
@goodlucky8532
@goodlucky8532 4 жыл бұрын
Tar. 29 mtarud ubergij au America 😂😂😂
@missangela6720
@missangela6720 4 жыл бұрын
@@goodlucky8532 Itakuwa kukimbilia huko, wala siyo kurudi tu
@abubakarmalinza9339
@abubakarmalinza9339 4 жыл бұрын
Kwann mnamshabikia muuza nchi. Mna ajenda gani. Kwann mnatumika kuangamiza taifa lenu
@omarkb6775
@omarkb6775 4 жыл бұрын
Uyu pole pole mbona kazeeka sana duh mtoto mdgo kazeeka kwa unafiki
@aganolamotoeliya2027
@aganolamotoeliya2027 4 жыл бұрын
Chuki zako tu.
@kilangavanamaurus7818
@kilangavanamaurus7818 4 жыл бұрын
Acha kauli za udaku brother ! Utasemaje chama cha mbowe huku mmekisajili. Jiheshimu eboo. Kwa hiyo ccm utakiita chama cha nyerere ? Vipi ww ?
@meryjohn7120
@meryjohn7120 4 жыл бұрын
Hapo magufuli alifanya sawa
@daudsylvester3193
@daudsylvester3193 4 жыл бұрын
Polepole nakukubali sana
@isaacshauri4828
@isaacshauri4828 4 жыл бұрын
Tarehe 28 tunamaliza, wakapande ndege warudi kwa mabeberu
@hassaninkoja284
@hassaninkoja284 4 жыл бұрын
Nawewe una v8
@joycepius7050
@joycepius7050 4 жыл бұрын
Huna jipya anawakimbiza mchakamchaka.
@josephgomalo41
@josephgomalo41 4 жыл бұрын
Upotoshaji haumkimbizi ye yote zaidi ya wasiojielewa.. utakuwa mpumbaviu wa hali ya juu kufikiri Lissu anamtishia magufuli anayekubalika dunia nzima na wenye kujielewa wewe una wazimu..!
@zamberimturi5593
@zamberimturi5593 4 жыл бұрын
Anawakimbiza akina nan?
@mgallason...5686
@mgallason...5686 4 жыл бұрын
mnaomtukuza mpenda ushoga ndio msiojielewa na bila shaka mmeshiba amani iliyopo.
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 4 жыл бұрын
Joyce, maisha yanakukimbiza wewe mchakamchaka
@bugabyarugaba5242
@bugabyarugaba5242 4 жыл бұрын
Jiandae kununa 28
@mohamedwarsame3073
@mohamedwarsame3073 4 жыл бұрын
Sasa hicho kitambulisho Chenye code utapewa mkopo.
@mariambeautysonghuseni9549
@mariambeautysonghuseni9549 4 жыл бұрын
okey basi nimekuelewa kama nihivyo nisawa
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 4 жыл бұрын
Mh Polepole una akili nyingi sana . Mungu azidi kukupa akili zaidi na zaidi.
@alabasmziwanda
@alabasmziwanda 4 жыл бұрын
Yaañi añaúlizwa swali íla anajibu tófauti na swali
@richardsawe6777
@richardsawe6777 4 жыл бұрын
Mkuu hiyo calculator unakuwaga nayo siku zote?, au ulijua mapema kuna hethabati
@majosamalundi3687
@majosamalundi3687 4 жыл бұрын
Atakuwa alijuwa mapema
@michaelmandia4405
@michaelmandia4405 4 жыл бұрын
Ni simu hiyo
@johnsonotieno5308
@johnsonotieno5308 4 жыл бұрын
Umeongea vizuri ila kwenye magari unamaanisha nyinyi ni Bora kuliko vituo vya afya na dispensary zisizokua na magari nyinyi mnatumia v 8aibuuuu
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 104 М.
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 16 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
MAHOJIANO YA HUMPHREY POLEPOLE  NA STAR TV
51:05
Amb. Humphrey H. Polepole
Рет қаралды 35 М.
FULL HOTUBA YA MHE TUNDU LISSU MKOA WA DODOMA
33:27
Chadema Media TV
Рет қаралды 105 М.
Dakika 48 za Lissu jukwaani Temeke baada ya kutua uwanja wa ndege
48:19
Mwananchi Digital
Рет қаралды 204 М.
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 16 МЛН