Kwa zinazoenda Dar. Tatizo hawa Zanzibar 1 hawataki kuzipita boti za Bakhresa zama hizi sio kwasababu zinapitwa. Watamtia Aibu Bakhtesa. Uhalisia hizi Boti Kijani ni hatari sana
@tumaxaad10 ай бұрын
Habarini hakuna mashindano
@Sheila-u7f10 ай бұрын
Mh mashindano kwenye atar mnazo kweli
@SaleIddiАй бұрын
Hakuna Kilimanjaro ata moja inahimili mkondo wa pemba
@omarzubeir390710 ай бұрын
Hapa inaonyesha wazi kuwa k8ndie mshindi kwakimya alichokionyesha mpiga camera
@Jadidatz10 ай бұрын
Umeshindanisha boat au mawimbi
@tunduruonlinetv10 ай бұрын
Boss 🙄😆🤣🤣
@AHIMTYKIJANGWANIPEMBA-bc2wj25 күн бұрын
Sisi wazawa wa Zanzibar ndy tunajuwa mabingwa wa bahari Zanzibar 3 inakimbia sanaaaa kuliko boat ZTE za kilimanjaro
Sasa battle ipi hapo mbona hakuna lolote? Ushamba tu.
@awadhsalim268010 ай бұрын
Ushamba tu! Unataja ushindani alafu ata hauonyeshi vipi mumeshindana
@nasibugunda792710 ай бұрын
sio ushamba elewa tu kwamba hiyo boti ya bakhressa ni mpya inauwezo mkubwa sana kuliko hii aliyopanda huyu jamaa sasa imetembea zake hata kuiona hawaioni ndo maana unaona patupu
@allymbarouk5362Ай бұрын
Kwa safari ya raha na salama zaidi ni Kilimanjaro 8 HZo mbio hata farasi wanazipiga tu
@ShaabanJuma-s3zАй бұрын
Sio kwamba bakhresa hawezi kuipita iyo aah aha kaamuwa tu kwenda na mwendo wake ila anajiweza na sio lazma kushindana
@ShaabanJuma-s3zАй бұрын
Boat mpya halafu ushindane nayoo mpuuzi mmoja ww
@AnkallyPandu4 ай бұрын
Nataka ziondoke sawa sawa ndo hapo utajua boti ipi ina speed sio moja itangulie kwa madakika,
@utaani110 ай бұрын
Hii inaweza kilimanjaro inaweza mkondo wa Pemba
@IBRAYOGamesTZ9 ай бұрын
Kiuhalisia upo hivi Boat ya Zanzibar 3 haiyendi Dar bali Route yake Zanzibar to Pemba kisha inaenda Tanga afu inarudi Tena pemba ndipo inakuja Zake Zanzibar na Kilimanjaro 8 Route yake Zanzibar to Dar Dar to Zanzibar kama vile Zanzibar 1&2 pia Route Zake Zanzibar to Dar Dar to Zanzibar sas sijui wew Umepanda Zanzibar ipi apo
Ipi mbona mpiga camera hujatoa matokeo tukajua Nani kashinda
@tunduruonlinetv10 ай бұрын
😀😀🙏Kaka
@hajikhatibhaji716210 ай бұрын
Ndio nimeona kapita lkn pantonoli
@tunduruonlinetv10 ай бұрын
🤣🤣🤣🙏💯
@zulfahaji9110 ай бұрын
Nikiendesha mm gari za abiria mbio ningelikwisha kamatwa na kupelekwa polic. Zamanii. Tajiri kuchezea roho za abiria ruksa. Si ndio
@feisalboy67029 ай бұрын
Kbs kbs na Jambo hili ni la muda mrefu ss linafanywa lkn serikali wamelinyamazia kimya wakishaua watu ndio watakuja juu
@IdirisaAli-wm1sv10 ай бұрын
8 dume speed boat
@mosaidi26336 ай бұрын
Tu nahitaji Pemba safari ya saa saa moja 1 tu
@adamseif5356 ай бұрын
Nyinyi mnasema tu znz 3 yaonesha hamuijui mwaisikiaa
@hajikhatibhaji716210 ай бұрын
Namaanisha pantoni
@saidseif732510 ай бұрын
Wanashindanisha vifo
@AbdullatwifJecha8 ай бұрын
Hakuna boti inayompiya k8 kwasasa imeletwa kwa ushindani tu iyo
@BinBadru10 ай бұрын
Kitaalamu k8 ni kubwa kwa injini na ni mpya na Bagharesa aliitengeza maalumu kwa kuishinda znz 1,2 na 3,na ndiomaana juu hakuweka deki,ina mwendo balaa,huyo znz atazipita azam k nyengine lkn sio k 8
@tunduruonlinetv10 ай бұрын
Ahsante kwa ufafanuzi 🎉🎉🎉
@nasibugunda792710 ай бұрын
aisee ndo maana kila nikiangalia naona patupu
@salumabdallah299010 ай бұрын
Kashapigwa mara kibao ila kwenye znz 3 itowe maanaa hio hana mpinzani kwa mwendo
@denisrukangula222710 ай бұрын
Mbona hata havionekan
@smilevideocreatorsznz10 ай бұрын
Wacha ujinga wewe, ZANZIBAR hakuna mashindano ya boti
@PascalJoseph-td2go15 күн бұрын
Ila kweri watu wajinga sasa kwenye maji mbio za nini wakati usafiri wa hatari alafu baandae tunasema mipango ya mungu wasomi tumieni akili acheni kutumia elimu mlizopewa na watu
@omarkapula5888 ай бұрын
mzushi tu na jazba zake kila mmoja na safari yake ni mjinga tu
@salitosofo556110 ай бұрын
Ww jamaa muongo yani boti zinatoka bongo kwenda bongo
@tunduruonlinetv10 ай бұрын
🙄🙄🙄Bongo kwenda bongo kaka bongo hipi tena hii ya tanzania na zinakwenda bongo ya Congo???
@decodesuza69964 ай бұрын
8 baba yenu mbwa ww
@amourshadhil200510 ай бұрын
Kilimanjaro 8 Hana mpinzani mpk Sasa. Mpiga camera punguza ushabiki km betting hapo unaliwa
@AbuuRuqaiyyah10 ай бұрын
Ndio ni kweli kilimanjaro no8 ndio boat no1 unguja ya pili ni no7 halafu ndio zinafuata hizo zingine
@amourshadhil200510 ай бұрын
@@AbuuRuqaiyyah mm boti zote nishapanda. Nafanya kazi Dar ijumaa narudi unguja j2 jioni naenda Dar kwaio hakuna yeyote Kwa usafir wa majini Kwa ruti za Dar-Znz Kilimanjaro 8 inatembea sana. Na nimepeleleza hali ya hewa ikiwa mbaya wale Zanzibar one ndio wanakwenda speed Azam wanakwenda kulingana na bahari ilivo. Yaani siku zote ikiwa mvua na bahari chafu Zanzibar one anafika mwanzo. Lkn ikiwa hakuna mvua. Hata km bahari chafu wanapitwa mara zote
@tunduruonlinetv10 ай бұрын
Ahsante sana 🙏🙏🙏
@davidgerald189810 ай бұрын
Kwahio dar to zanzibar inatumia dk7 alizo rekodi
@muryd699910 ай бұрын
😂😂😂
@SleepyChocolateBonbons-ib6hv10 ай бұрын
Aaa useng sasa bn hatuon zinavyo fukuzan tunaon bahar t kuharian mb 2
@mrafm728510 ай бұрын
Itabidi tuweke trafik na tochi baharini
@tunduruonlinetv10 ай бұрын
😂😂😂😂😅Mungu wangu trafk tena??? Na torch pia?? 🎉
@piterasifa375710 ай бұрын
Yan wanae mfukuzia wala hana time nao et tunampita