Mtumishi Munishi, i thank God for you sir. You are the first person to preach to me about Salvation back in 1994 when you visted kenya & had a crusade at madaraka west. I got born again in that crusade Since then i have grown & rooted in Christ Jesus. Many peoples lives have been changed & discipled by God through me too, kindly keep PREACHING CHRIST.. Do not be DISTRACTED sir.. that you & may God bless & keep you brother..
@DANIELMACHARIA-d5y23 күн бұрын
God bless you Pastor Munishi the real man of God.
@justusmokaya2542Ай бұрын
Munishi is always right . I support and trust him way better than Ng'ang'a
@isaacmboi869225 күн бұрын
Nga'ng'a has done the worsed thing na shameful thing ever...... The bible says we Christians,wateule wa mungu tutaukumu mataifa.....mataifa haitawai tuukumu..... Nganga ameenda kwa mataifa kumshitaki muumini mwezake its shame.....
@LukmanShiythsАй бұрын
Mwambie kuwa mambo ya kidini" is not legally binding."
@edwinbillionaire1662Ай бұрын
Munishi achana na matapeli wa Kenya wanaojiita wakamilifu kuliko wengine hao hawajuhi kitu,yesu mwenyewe hawajuhi wanajua vitu kuliko mwenye vitu.
@lawmaina78Ай бұрын
Munishi achana na yule mhuni tu, huwa sielewi watu hufuata nini kwake.
@mutualoka1809Ай бұрын
Brother munishi, jua yakwamba nganga hajaokoka vizuri, ukibishana na nganga Hilo ulijue.
@jimlinekimani232623 күн бұрын
But ni pastor anaombea watu wanapona
@jimlinekimani232623 күн бұрын
Mtolee wimbo moja ya kumrekebisha...kama Ile uliyoimbia malebo
@JosephineKamau-m7wАй бұрын
Utafika binguni umechoka sana,wacha uchokosi.
@dzelbahnijmb1765Ай бұрын
Nkunda P. Munishi. Setu!
@patricksasita865Ай бұрын
Munish msamehe shugulika na mambo ya kiroho,usiwe waulimwengu kama yeye,mhukumu yuaja ambae ni Yesu.
@emmanuelmaingi2363Ай бұрын
Pia kulingana na maandiko, watakatifu hawafai kupeleka makosa yao kwa majaji ambao hawamjui Mungu tunayemkiri. Yawapasa nyinyi wawili kutafuta kundi la wahubiri wenye hekima kuwatolea hukumu. Maandiko yanawaambia, ikiwa mtawahukumu ata Malaika, bona msihukumu kuhusu mambo madogo?
@elgringo8592Ай бұрын
Ng'ang'a ni takataka but wakenya wanapenda mtu mpuuzi😅😅munish yuko sawa
@JosephineKamau-m7wАй бұрын
Lakini munish,ya nini umjibu ili hali si wewe alikuwa ana adress,munish,wamkosea ya nini,ulitumwa na nani kumkosea,kuna wakristo wengi wanatuma dunes kwa mitandao enda ukosoe hao.Apostle nganga hutawezana na yeye,enda studio toa wimbo tumikia mungu wako,nganga sio mungu wao.utaumia sana bro.
@LukmanShiythsАй бұрын
Munishi anajibu kwa vile nganga ni kio cha jamii.Nganga asiporekebishwa,wengi wataumia
@janekaniniАй бұрын
Unapenda kuchokoza nganga sana
@isaacmboi869225 күн бұрын
Haaaa 🤣🤣 wewe ni mfuasi wa nganga
@janekanini25 күн бұрын
@isaacmboi8692 ata!Mimi SI mfuasi wake wala sijawahi kumpenda Hila mnishi nikaa anafurahi wakati nganga anapo ropokwa Ile kuropokwa ya nganga ua anatopokwa bila mpango
@steveromeo1779Ай бұрын
Si uhubiri injiri wivu ya nini ....nganga hutai sema mazuri yake nliona akipeana ,unga,pesa, ata akiombea mtu akapona ...Mimi kitu Moja na jua ni uyo Mzee Ako na mungu huezi kua na kanisa ya mabati CBD na haijaguzwa ya wanjiru iliguzwanlakini ya commander serikari nne na bado wanaiheshimu ..mungu Yuko pale
@LittlelightMАй бұрын
Nganga is a commedian, not a pastor.
@producergoodmanАй бұрын
😂😂😂😂 hapo kwa my LORD imenichekesha sana
@WinnieResianАй бұрын
Pastor Nga'nga na Munishi ni kitu kimoja😂
@hassanzuberi9091Ай бұрын
Ng'ang'a ni jambazi wa zamani,vile aliona atakufia jela juu ya wizi wa mabavu akaamua kuja na njia mpya ya kuiba kwa kiwadanganya kondoo kwa jina la Mungu 😂 Ajawahi kuacha huuni wake wa kutapeli watu..Nisaidie kuumuliza sakata na mke wake aliyemgongaga na gari lake mwenyewe
@NellyMadeniАй бұрын
Munishi upo sahihi, huyo ni jambazi achana nae. TP huyo Nganga nayeye anajua
@DonMooFILMES_ExpressАй бұрын
Kwani Munishi ni Mkenya au Mtanzania?. Kipindi nasikia gospo zake kipindi cha zamani nilizania ni Mtanzania
@Hassan_MengiАй бұрын
Mtz aliyekimbilia Kenya serikali ya Mzee Kikwete walipokuwa wanamuwinda kwa maneno mazito aliyokuwa akizungumza dhidi ya CCM
@thomaswilsonrotich6467Ай бұрын
Is all that worthwhile ?
@siasakenya2889Ай бұрын
Mzee wacha Vita yaujinga ubiri injili
@Hassan_MengiАй бұрын
Rudi tu nyumbani mtumishi
@MoFashАй бұрын
Apostle hua anapumbaza watu aje kua ni mchungaji?....licha ya vituko vyake bado watu wanapenda kumskiliza.huyu tapeli...jMbazi ni jambazi tu hajawai wacha
@hassanzuberi9091Ай бұрын
Munishi nakubaliana na ww kwa 100%🎉 nga'ang'a ni tapeli mkubwa na anatumia biblia visivyo kabisaaaaa, mm sio pastor ila kitendo cha kitupa sadaka nje eti lazima mtu. Atoe kuanzia 1k kiendelea huu sio ukiristo ila upagani, Ulipewa bure toa bure na mtu anatoaga kila alichojaliwa hakuna kupangiwa😅😅, huu ni uganga na uhuni wa kujificha kwa jina la Yesu kristo
@dennisnyamokobaАй бұрын
Huyo ni mlevi anakunywa nao vombe
@BlessingsAdika-g3nАй бұрын
Mlevi
@producergoodmanАй бұрын
Hapo sawa mtumishi, nakubaliana na wewe. Commander ni jambazi tu, alianguka kitambo
@Millpuff_showАй бұрын
WE NDO ULIMWANGUSHA? MASKINI HII NI NINI SHIDA YAKO, ? SHUT-UP