Mama Bwana Yesu asufiwe,nimara yangu ya kwanza kushiriki kwa kipindi chako,yani yalenimepata kutoka kwako yamekua yamiujiza mikubw jana usiku nikiwa nikiomba Mungu akubariki zaidi na uzidi kuinuinuliwa mama
@cnm2976 Жыл бұрын
Mara kwa mara tunafanya usafi nyumba, tunafua nguo, tunaoga miili; lakini USAFI muhimu zaidi ni kutubu kwa Mungu wa Kweli mara kwa mara. Asante sana Apostle
@AnneOpondo-ie4ej Жыл бұрын
Nashukuru Mungu Kwa kupatana na hili ombi la toba maana lipenisaidia pakubwa sana niliyekua mtu sijui kutubu ndio nimejifunza Kwa nzia Leo Nina imani maisha yangu yanaenda kubadilika katika jina la Yesu, ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏
@angelamwangulumba1510 Жыл бұрын
SoMo hili limenigusa Sana mtumishi, Mungu wangu nipe nguvu nimshinde shetani niingie kwenye Toba ya kweli🙏🙏barikiwa Sana !
Amen amen...katika jina la yesu Christo ...Niko huru Niko huru katika jina la yasu Christo....God bless you
@janeturio7414 Жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa Bwana, nimekombolewa na damu ya Yesu Kristo hallelujah Amen and Amen ❤🎉
@veronicawilson4263 Жыл бұрын
Ubarikiwe San Mtumishi wa MUNGU hakika MUNGU azidi kukutumia vile apendavyo nakupat nikiwa 🇮🇶
@naemah8359 Жыл бұрын
Hata mm Apostle karibu nichukie ii channel yako 😢😢,tulipo maliza maombi ya vita hapo ndo nlijua mm c mzinifu ki mwili tu Ila kiroho☹️☹️ mm ni player...yani ni ushuda mrefu sana😢😢😢...bt final Majini mahaba wanikaa wenyewe eti hawaezi nioa mm n mvivu siezi chunga mbuzi za wazazi wao , Jesus Christ continue hilling me plz 🤲🏽🧎🧎😭😭😭🙏🏽🙏🏽🙌🏾🙌🏾
@maryongwae24093 жыл бұрын
Amen and Amen. Mungu nimwema kila Wakati. Barikiwa sana mutumishi.
@nellydeborah943Ай бұрын
Bwana Asifiwe ,mtumishi kumbuka kutoa earings maana ni kinyume na Mungu soma.1timotheo 2:9 na 1petero 3:3-4
@JoyceHaule-o7b5 ай бұрын
Amina Mungu atuhurumie na kutusamehe ahsante somo zuri sana
@KizitoMachota4 ай бұрын
Mungu akubaliki sana kwamafundisho mazuli mtumishi
@MiriamMigiha14 күн бұрын
Mama unanisogeza sna sna najiona nasogea
@apostleveramuro12529 күн бұрын
@@MiriamMigiha Amen amen sifa kwa Yesu
@hjgj38472 жыл бұрын
Amen oh Hallelujah mutumisi balikiwa sana umenielimisha sana
@lindaruhinda9168 Жыл бұрын
Oooh God thank you for this servant of yours
@dorothywilliam708114 күн бұрын
Shalom Apostle
@lovenessjoseph57182 жыл бұрын
Aiseee this woman has touched my heart alot namshukuru Sana Mungu kunikutanisha na hii channel amenifunua na kunifunua pakubwa Sana zaid ya Sana yani I feel blessed 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@bahatimwakajila8106 Жыл бұрын
Double coincidence of want 🙏🙏🙏
@tumainirushehera Жыл бұрын
Amen najiungamanisha na maombi haya
@ConsolataMwakitosi Жыл бұрын
❤
@mariamwaweru6049 Жыл бұрын
Amen amen powerful God bless you very much
@nasmamsangi284 Жыл бұрын
Amina ubarikiwe mtumishi 🙏 Ngoja ningie kwenye Toba ya kwelii ya majutoo na machoziii MUNGU nisamehe pale ambapo sijasimama sawasawa😭😭😭ukwelii tuna mambo mengii yanampa shetani uhalali ndani yetu
@chikondimadalitso Жыл бұрын
Umenihamisha kituo mtumishi ubarikiwe sana
@gervaschaula55205 ай бұрын
Amen
@revinaceliber5739 Жыл бұрын
Asante kwa hili somo nimekupenda
@ibrahimgabriel6948 Жыл бұрын
Najionganisha na uwepo wa Mungu katika hiyo madhabahuu tangu hivi Mungu anipe ufunuo mkuu zaidi Mungu abadili historiia yangu
Mtushi wa mungu Amina.mungu akuongezee hekima ya kutufundisha
@katrinakimaro44602 жыл бұрын
I'm
@AnetNkya11 ай бұрын
Shalom pastor from Tanzania Machame
@jenipherelihaki9531 Жыл бұрын
Barikiwa sana Apostle Vera
@hadijambwambo68339 ай бұрын
Barikiwa sana🎉naamini nitafunguaka .
@BeatriceHenry-t3i Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yk Mtumishi Mungu wetu akutunze na familia yako
@catherinekiondo9555 ай бұрын
Shalom !! Apostle.
@abdallahmabubu58472 жыл бұрын
Shalom.. Mama Mungu abariki kazi yako
@kashindiseti4493 Жыл бұрын
Amen ❤️🙏
@luganomwaulesi8761 Жыл бұрын
Barikiwa, ni somo lina mwaka nimejifunza, nasikia moyo wangu unawaka moto natamani kupiga kelele
@ashamabunya26162 жыл бұрын
Asanteee mama nimejifunza leooo
@ashasalum72872 жыл бұрын
Barikiwa sana mama.somo hili ni fireeeee
@madamleticia94 Жыл бұрын
Ameen Mtumishi wa Mungu 🎉🎉
@neemakimaro99542 жыл бұрын
Namshukuru mungu nitatoka nilipo kwa damu ya yesu
@theonamagese58572 жыл бұрын
Amina mtumishi umenifundisha toba ya kweli
@SalomeKhalfani-cm9xy5 ай бұрын
Mama naomba hiki kipindi maana nakihitaji sana niwe nakipitia kila wakati
@apostleveramuro12525 ай бұрын
Chukua mpendwa download au jitumie whatsap
@HappyAnton-yv4ms Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu tunaomba acess ya kudowload ili tuweze kusikiliza vizuri
@SarahWilson-g7l5 ай бұрын
Shaloom shaloom mom
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
😢😢😢Niko omani lakin kila siku naota nafanya kazi nzito kijijini alikozaliwa mama na kuruka sehem mbali mbali
@innocentkituma27144 ай бұрын
Amen Amen Amen
@Julita-y3c11 ай бұрын
Sina la kusema ila nashukuru sana kwa yale nimepokea kutoka kwako
@elizabethchiwamba83722 жыл бұрын
Shalom Dada yangu, Amina natamani niwe na Huduma kama yako
@lucasgasper52352 жыл бұрын
Muombe Mungu
@jsangelinakitengeso61963 жыл бұрын
Mungu akubariki unatufunua sana ni wengi wanafaidika na mafundisho yako
@apostleveramuro12523 жыл бұрын
Barikiwa
@roymuwowo46072 жыл бұрын
Sharoom
@claritachuwa86072 жыл бұрын
@@apostleveramuro1252 Ameen
@mohamedwilison76022 жыл бұрын
Amina mtumishi mungu azidi kukupigania
@seerdoreen8005 Жыл бұрын
Alleluia 🙏🏽
@ashaabdallah2003 Жыл бұрын
Apostle wangu
@queenmassawe4298 Жыл бұрын
Yan haya maombi nimeyaona leo nikasema ata kama niya mda wacha nijaribu kuomba jmn nimejisikia vizur na nikapata kitu km likohozi limakaa kooni nikaliteka uwii nitaendelea kufatilia ila nimejiona walau na mm naweza kuomba sasa
@ElizabethMalombola8 ай бұрын
Shalom.
@monicakijazi6351 Жыл бұрын
Blessed mummy
@AnetNkya11 ай бұрын
Am blessed
@jeannekatembe63962 жыл бұрын
Nipo pamoja nawe mtumishi wa Mungu
@placidiensabimana49932 жыл бұрын
Mungu akubaliki sana sana na ubalikiwe sana
@fatumandejesalim75922 жыл бұрын
Apostle mimi niko saudia arabia na niko mgojwa sana naomba maombi tuuu
@anyubangu41483 жыл бұрын
Ameen Apostle...Hili somo nalisikiliza kila wakati.
Shalom mama nimekuwa mnge kwako lakin toka niazi kukusikiliza natamani kila wakati nipate maombi yangu niko tanzania
@apostleveramuro12525 ай бұрын
Karibu salome tutakuwa tz mwezi wa sita pale mapinga kwa maombi ya kufunga na kuomba 3days karibu sana kuanzia tar 29-21 jube
@SalomeKhalfani-cm9xy5 ай бұрын
@@apostleveramuro1252 ok karibu mama naomba mungu atufikishe ukikalibia nijulishe
@bornfacechengah7100 Жыл бұрын
Shalome shalome
@hadijambwambo68339 ай бұрын
Mara yangu ya kwanza ku
@priscatemba23112 жыл бұрын
Amen apostle
@cocushubilabalongo62022 жыл бұрын
Ameeen
@jackiemaggy24842 жыл бұрын
Ameeeeeeen and ameeeeeeen
@neginalmahundi19142 жыл бұрын
Amen dada
@janethpaschal15872 жыл бұрын
Sharom apostle
@esperancemuco14753 жыл бұрын
Dada kwali Munugu azidi kuku ongeza nguvu
@ibrahimgabriel6948 Жыл бұрын
Najionganisha na wewe mtumishi
@buyegiandrew8822 жыл бұрын
Nimesikiliza leo tumbo limevulugika Sana na nasikia kitu kinataka kutoka kooni nakooa Sana ila yanatoka mate tu
@fatumandejesalim75922 жыл бұрын
amen
@noellah31042 жыл бұрын
Nimeelewa kitu bwana azidi kukuinua zaidi na zaidi milele yote
@justinejustine4568 Жыл бұрын
Amennn mafundisho ya lazima saana mungu akubari saana
@justinejustine4568 Жыл бұрын
Shalom shalom
@justinejustine4568 Жыл бұрын
Amennn ni kweli kabisa
@sarrysichy57262 жыл бұрын
Powerful
@AimtongaKimaro10 ай бұрын
Naona uliyoyapitia ni Kama yangu naomba namba ya cm
@apostleveramuro1252 Жыл бұрын
Chule David uje usikilize haya maombi yatakusaidia sana ila tu omba kwa mzigo na kumaanisha sio uishie kusikiliza tu utabakia hivyo
@wannaproducts2 жыл бұрын
Isaya 52:1-2
@roymuwowo46072 жыл бұрын
Shalom
@EstherOduor-qq3hl10 ай бұрын
watu wanatumia bundle ambayo ni pesa please.kama ni ujumbe ni vyema uende moja kwa moja adi kwa ujumbe
@veeinn7965 Жыл бұрын
Amen amen 🙏🏿
@AnetNkya11 ай бұрын
Yani nimetulia kimya naelewa na kuelewa
@louisendunguru71062 жыл бұрын
Hapa ndio chanzo cha kusogea
@vivianlyimo68303 жыл бұрын
AMINA
@placidiensabimana49932 жыл бұрын
Shalome mutumishi wamu
@mashlizo2 жыл бұрын
Mtumishi naweza kuwasiliana na wewe vipi,?
@apostleveramuro12522 жыл бұрын
Tuma whatsap kwa namba hii +1678 270 7594
@fridashani65623 жыл бұрын
Shalom 🙏🏾🙏🏾
@hyasintapantaleo1102 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe🙏🙏🙏
@nellydeborah943Ай бұрын
Eeh mara.ya kwanza kuskia eti kuna Apostle mwanamke hata kwa bibilia nimetafuta hakuna.wanawake tuchunge vile tuna jiparade kwa miito tumeitiwa.mwanamke ana nafasi ya uinjilist ,unabii lakini sio Apostle na uchungaji.hata madhabau sio yake.sisemi kuwa niko na kinyume cha unayosema ila clag umejipa sio.samahani
@apostleveramuro1252Ай бұрын
@@nellydeborah943 soma waefeso 6:11-12 na pia hii toba na rehema inakuhusu ili kuondoa hicho kiburi cha uzima ndani yako. Yaan umeshajihesabia haki kiasi cha kujipa nafasi ya kumpangia Mungu nani awe nani ilikufanya kazi ya Mungu wewe dada ebu shuka Yesu ainuliwe loh
@apostleveramuro1252Ай бұрын
Mungu hana mipaka kama nyie mafarisayo Mungu anaangalia moyo uliotayari kumtumikia kama alivyosema kwenye yoel 2:28 matendo 2:18 kasome halafu kuwa muombaji sio unakremisha tu vitu vya rohoni vinahitaji maombi dada usipokuwa muombaji utakuwa na machuki na mawivu bila mpango wowote.
@apostleveramuro1252Ай бұрын
@@nellydeborah943 tena wewe ni mtumishi lakini unakiburi cha uzima na kama nimejipa hii huduma Mungu sio Mungu basi hata wewe ungejipa lakini kama ni Mungu amenipa na akuhukumu kwa maneno ya kinywa chako. Nimekuona unanifwatilia sana kwa roho mbaya na chuki sana. Reduce your bitterness ili uinuliwe na Mungu acha kujihesabia haki mwanamke mwenzangu.
@nellydeborah943Ай бұрын
@@apostleveramuro1252 ww uelewa kabisa hapa sio bitterness or kiburi hapa ni kweli na kama utaki kuifuata kweli ya biblia basi ww ndiye unakibururi.Mtumishi wa kweli lazima atii Biblia.mwanamke aruhusiwe kuwa mchungaji wala mtume na wala haipo kwa biblia ila waweza kujiita nabii na mwilinjislist .jambo lengine wanawake wastahili kujipamba kwa kuvalia earings na neccklesses .soma 1timotheo 2:9,1petero 3:3-4.na biblia inasema Mungu analitazama neno lake ili kulitimiza.Mungu ni wa mipangilio.na pia jua hapa sio jambo la kuinuliwa hapa nikutembea kwa neno la Mungu na kutii kwa kulitenda.kumbuka Yesu akasema wengi watasema tulitoa unabii na kufanya miujiza lakini atasema ondokeni mimi siwajui ,ila anamjua yule tu atendae mapenzi ya Baba na ni kuheshimu yale yameandikwa Kwa biblia na kuyatenda.ww una kiburi ungetafakari kwanza na kusoma vifungu nimekupa kwanza ,lengo langu ni kuikomboa nafsi yako.mbingu sio vile mnaidhania .na nikupe advice anza maisha ya toba na utakaso na uachane na vitu vya yezebeli ,SAHIZI sio kutafuta umaarufu wa uongozi bali ni kuangalia roho yako na ya wale Mungu amekutuma kwao,isije kapotea.sina ubaya nawe lakini fungua moyo wako kwa yale na kuambia itakuwa ya msaada kwa haswa kwa roho yako umileleni.God bless you
@HusnaKibwana-c4s6 ай бұрын
Amen
@happinesssweke7821 Жыл бұрын
Ameen
@helenmdee40042 жыл бұрын
Ameeen
@veransyenga24272 жыл бұрын
Amen apostle
@apostleveramuro12522 жыл бұрын
Wajina
@veransyenga24272 жыл бұрын
@@apostleveramuro1252 Asante kwa mafundisho mazuri.wajina