Рет қаралды 4,288
TONNY RASHID AREJEA NCHINI, ATOA KAULI ya KIBABE kwa OSCAR RICHARD Kuelekea DAR BOXING DERBY..
BONDIA Tonny Rashid amewasili nchini kutokea Afrika Kusini alipokwenda kujiandaa na pambano lake dhidi ya Oscar Richard wa Naccoz, litakalopigwa Juni 29, 2024 viwanja vya Posta.