TOP 11: MIUJIZA ya MTUME MUHAMMAD (S.A.W) INAYOSHANGAZA ULIMWENGU HADI SASA... | THE BRAIN FOOD

  Рет қаралды 12,701

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

TOP 11: MIUJIZA ya MTUME MOHAMMAD S.A.W INAYOSHANGAZA ULIMWENGU HADI SASA... | THE BRAIN FOOD
Miujiza imekuwepo tangu enzi nyingi zilizopita Mungu mwenyewe akawa wakwanza kufanya miujiza hiyo ambayo inaashiria uwepo wake.
Tazama alivyoumba Ulimwengu. Ardhi ikiwa mgongo wa viumbe vyake huku ikizunguukwa na milima, Mabonde pamoja na Maji ambayo yanachukua asilia 70 kwa ukubwa. Na asilimia 30 pekee zinazobaki ndio sehemu za nchi kavu ambazo kuna makazi ya watu duniani kote.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 80
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm
@mustaphamatelefone-lc9pr
@mustaphamatelefone-lc9pr Жыл бұрын
Akika ametakasika Allah❤️❤️❤️
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 7 ай бұрын
Mashaallaah watabarakaallah Allah azidi kumshushia neema na Amani mtume wetu Muhammed swalaullah waley wasalaa 😢😢😢😢
@asiaa6573
@asiaa6573 Жыл бұрын
Mtume Muhammad Swalallahu Aaleyh Wasalam ❤
@user-ht7ob9go7r
@user-ht7ob9go7r 5 ай бұрын
Swalallahu alayhi wasalam
@chamnda1767
@chamnda1767 2 ай бұрын
ALLAHUMMA SWALLI ALAA MUHAMMAD YAA RABBI SWALI ALAYHI WASALLIM
@VenasJonas-jh1ng
@VenasJonas-jh1ng 3 ай бұрын
Mashaara
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo 3 ай бұрын
Allahu-akbar
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq 2 ай бұрын
SUBHANALLAH ❤❤❤
@nimefikaulipo
@nimefikaulipo 2 ай бұрын
Mashallah
@user-sf7lp1fs7d
@user-sf7lp1fs7d Жыл бұрын
Mashallah,shukran sana kwa somo zuri
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Жыл бұрын
Am waiting
@abdikarim324
@abdikarim324 9 ай бұрын
Allah Akbar
@abdullatif053
@abdullatif053 2 ай бұрын
SubhanaAalah❤❤
@DbgShg-su6op
@DbgShg-su6op 5 ай бұрын
Maashaalla ❤❤❤
@user-op3uk5me6d
@user-op3uk5me6d 8 ай бұрын
Oooo maa asha alla
@mwananassor8602
@mwananassor8602 Жыл бұрын
Takibir
@user-sf7lp1fs7d
@user-sf7lp1fs7d Жыл бұрын
Allahu Akbar
@abdullatif053
@abdullatif053 2 ай бұрын
Allah Akbar🎉
@kilungatv2161
@kilungatv2161 Жыл бұрын
He's Miracles sitll Exist
@zaburi2386
@zaburi2386 Жыл бұрын
Nabii Isa sio YESU KRISTO acha uposhaji ISSA hakufa msalabani YESU alikufa msalabani
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 6 ай бұрын
Anaongea ili aeleweke Mzee acha ubishi wakristo wanaamini ISSA ndio Yesu Kama Suleiman wanavomuita Solomon Ismaili wanavomuita isiaka Jibrili wanavomuita Gabriel Anaongea hvo kuweka mambo clear
@Hawanalugha255
@Hawanalugha255 5 ай бұрын
Msibishane nalo kafiri iloo halijielewi likienda chooni halijui kujisafisha
@rayyanothumanmohammed8261
@rayyanothumanmohammed8261 4 ай бұрын
Nenda ukasome biblia vizur wakati Yesu alisujudu nakumuomba mungu hii kikombe kipite sio kwa uwezo wangu ila kwa uwezo wako hivi mungu hakumsikiliza?
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 2 ай бұрын
Ujielewi ivi kwenye Bible jina lake yesu kristo!!
@edwinismail9401
@edwinismail9401 2 ай бұрын
msichanganye dini na sayansi. dini ni imejaa uongo na utapeli . sayansi ndio vitu vyote imeelezea.
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 2 ай бұрын
Ww choko ukiristo ndo utapeli ila uislam upo sawa kabisa mana hao wanasayansi wameisoma Quran vizur tu
@edwinismail9401
@edwinismail9401 2 ай бұрын
@@omarymwaluko9765 Yani mwana sayansi asome Quran 😂😂😂 hiyo inayosema jua linazama kwenye dimbwi la matope 😂😂😂
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 2 ай бұрын
@@edwinismail9401 Quran hio hio wanaisoma vizur tu nakubadilisha baadhi ya mambo sababu wanasayansi hawamuamin MwenyezMungu
@SabraSalim-pq8pj
@SabraSalim-pq8pj Ай бұрын
Ww hem nyamaza usije juta baadae
@omalijohn-il9xe
@omalijohn-il9xe Ай бұрын
😊
@user-tm4rn9oj6u
@user-tm4rn9oj6u 4 ай бұрын
Phenex Kaifa Ndwata
@TomAyodi
@TomAyodi 10 күн бұрын
Uongo uongo uongo
@erickmanyo3098
@erickmanyo3098 Жыл бұрын
Sijawahi sikia muujiza hata mmoja ndio nimesikia hapa
@omaar5693
@omaar5693 Жыл бұрын
kwa vile huamini Muhammad ndio maana unashangaa miujiza yake
@ronaldmatimbo9691
@ronaldmatimbo9691 Ай бұрын
Miujiza😂😂
@hamenyimanasalum7289
@hamenyimanasalum7289 Ай бұрын
Ukimtaja mtume unapaswa kumtakia rehem za Allah sijuwi hiyo tv niyamakafir gani
@zaburi2386
@zaburi2386 Жыл бұрын
Ukitaka kujua hio miujiza ni uongo wa kiwango Cha Rami nikwamba mwezi uki shake kidogo tu kwenye muhimil wake hii Dunia inaweza kupolea mbal maana Dunia na mwez vinategemeana ki gravity sembuse kupasuka
@godsservantrimo9844
@godsservantrimo9844 Жыл бұрын
Sasa ulipasuka na hakuna kilichopotelea..ndio muujiza huo sasa...maana ingepotelea haungekuwa muujiza bali kitu cha kawaida...tumia akili
@Hawanalugha255
@Hawanalugha255 5 ай бұрын
Soma Qur an 54 wewe juhaali
@lavieestbelle3263
@lavieestbelle3263 4 ай бұрын
😂😂😂wapinza ni wanakinzana na kila kweli wooooi
@rayyanothumanmohammed8261
@rayyanothumanmohammed8261 4 ай бұрын
Ndiyo maana yakaitwa maujiza
@khalidkhazab2348
@khalidkhazab2348 4 ай бұрын
Maskini hujitambui
@edwinismail9401
@edwinismail9401 2 ай бұрын
mtume hajawahi fanya muujiza wowote.
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 2 ай бұрын
Ww kweli choko ujitambui
@user-ht2dl4ft6n
@user-ht2dl4ft6n Ай бұрын
Sasa wewe unasema mtume amepewa qu'aran sasa miujiza gani yenye amefanya naniwakati amepewa na malaika ajamupa kitabu chochote. Acheni kutudanganya ayo yote ayapo kwenye bibilia kama mtuwe wenu niwakweli toweni andiko kwenye bibilia kume andikwa Muhammad iwe kwenye zaburi kwenye injili kwenye torati ayo nimaneno yenu
@zaburi2386
@zaburi2386 Жыл бұрын
Eti Muhammad aliponya vipofu wakt Quran 80:1 inakata
@omaar5693
@omaar5693 Жыл бұрын
hiyo aya haihusiani na kuponya vipofu. maana yake "ALIKUNJA USO NA KUPA MGONGO"
@nimefikaulipo
@nimefikaulipo 2 ай бұрын
عَبَسَ وَتَوَلَّىٰ
@nimefikaulipo
@nimefikaulipo 2 ай бұрын
Alikunja kipaji na akageuka,
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 2 ай бұрын
ww ni kafiri
@zaburi2386
@zaburi2386 Жыл бұрын
Apo Majin kuwa waislam nikwel 😂
@omaar5693
@omaar5693 Жыл бұрын
wapo waislamu, wakristo wapagani na wengineo wapo pia gangsters walitangulia kuwepo duniani wakaishi vibaya mungu hajapenda akawadrive away tulipoumbwa sisi wakawa wanaiga tunavyoisha na ka kutufundisha wehu wao wapo waloamini manabii na kukubali imani kama huamini basi lakini na wakristo pia wapo Haha mashoga na wasagaji pia wapo
@abdikarim324
@abdikarim324 9 ай бұрын
Nani aliumba Kila kitu kwa hii Dunia?
@abdikarim324
@abdikarim324 9 ай бұрын
Kwanza soma wewe, juu ata elimi hauna, kabla sisi bin-adamu kuletwa duniani, Kuna viumbe walikuwomo kabla,(majini)
@user-go2ci8uy3s
@user-go2ci8uy3s 5 ай бұрын
S.A.W
@FarajaMtavangu
@FarajaMtavangu 2 ай бұрын
uislamu ni dini katuni ni picha Hilo na malengo yake ni kumuinua star wa kumfunika Jesus lakini wenye akili wamejua zamani
@MbappeHeritie-rx1hq
@MbappeHeritie-rx1hq 3 ай бұрын
Achauongo qoraani ni uongo saweye nanabii ni muongo
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 2 ай бұрын
Ww ni shoga kafiri
@kassimndaro9220
@kassimndaro9220 11 ай бұрын
Mashallah
@zaburi2386
@zaburi2386 Жыл бұрын
Ukitaka kujua hio miujiza ni uongo wa kiwango Cha Rami nikwamba mwezi uki shake kidogo tu kwenye muhimil wake hii Dunia inaweza kupolea mbal maana Dunia na mwez vinategemeana ki gravity sembuse kupasuka
@omaar5693
@omaar5693 Жыл бұрын
mujiza wa qurani unaukanisha kwa sayans, je ule musa ameigawanya bahari ni sayansi ipi maji yasimame kama majengo kati yake ikawa njia bila ya maji kuwa barafu kut 14:16
@abdikarim324
@abdikarim324 9 ай бұрын
Wewe ni kafiri TU, na ni ngumu kwa makafiri kuelewa quran
@abdikarim324
@abdikarim324 9 ай бұрын
Kila nabii alifanya miujiza kwa idhini ya Allah na wakati wake, miujiza ya Muhammad inaendelea kuonekana Kwa Quran Hadi kitimie kiyama
@MSIMBATIBoy-zd2rm
@MSIMBATIBoy-zd2rm 8 ай бұрын
SASA WEWE UNAJUA MAANA YA MIUJIZA , AUNA HAKIRI
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 7 ай бұрын
​@@abdikarim324hebu tupe Aya toka kwenye Quran Muhammad alifanya muujiza kama siyo uongo wa kiwango Cha lami?
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 21 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 33 МЛН
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 80 МЛН
MWANAMAPINDUZI: "TUTAWAPOTEZA, POLISI MSIWATAFUTE..." amtaja spika tulia
13:56
MIUJIZA 9 YA MTUME MUHAMMAD  S.A.W | MARHUM SHEIKH MUHAMED ISMAIL BAILE
28:58
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 10 М.
VITA VYA TABUK  | ADPLUSSWAHILI
2:56
ADPlusSwahili | Podcast
Рет қаралды 2,4 М.
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18