KITABU CHA HENOKO KILICHOPIGWA MARUFUKU KATIKA BIBLIA, KINA SIRI ya KUSHTUA... | THE BRAIN FOOD

  Рет қаралды 357,989

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

KITABU CHA HENOKO KILICHOPIGWA MARUFUKU KATIKA BIBLIA, KINA SIRI ya KUSHTUA... | THE BRAIN FOOD
Biblia inawataja watu wa wili, ambao inasemekana hawakuwahi kuonja ladha ya kifo tangu kuumbwa kwao kwa karne nyingi zilizopita hadi leo hii.
Miongoni mwa hao, anatajwa Henocko kuwa ni binadamu aliyekuwa akitembea na Mungu.
Huyo, aliwabadili watu kutoka katika uovu na kumuelekea mungu, alikuwa mnyenyekevu mwenye busara na Mtenda haki. Lakini roho ya ushetani ikataka kumuingia. Mungu akamnyakua na kutoweka duniani kabla ya kifo chake kufika. Na anatajwa kuwa hai mpaka leo hii.
Kitabu chake kinachofundisha watu uchawi na ushetani katika Biblia. Kitabu hicho Kikafuta na kufichwa.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 536
@jamesimanwel5089
@jamesimanwel5089 4 ай бұрын
Muogopeni Mungu, soma biblia vzur acha kuchanganya ukweli na uongo, utahukumiwa kwa kwa kila neno lako liwe jema au baya
@cosmasnzioki7105
@cosmasnzioki7105 6 сағат бұрын
Shukuran kaka, mwenye ataki kusikilisa aende baali , tufuze chenye unanjua na mwenye ataki kusikilisa aende baali sio lazima asikilise,
@claudeclaude3543
@claudeclaude3543 Жыл бұрын
Tunashukuru sana Mungu azidi kukutumikisha
@dinairenge
@dinairenge Жыл бұрын
Amen wamepaa mbinguni
@emmanuelmwangelengele6240
@emmanuelmwangelengele6240 Жыл бұрын
Songa mbele kaka kazi nzuri
@CesyKhan
@CesyKhan Жыл бұрын
Kazi nzuri kaka 👌👌
@suzankamguna
@suzankamguna 5 ай бұрын
AMEN MUNGU AKUBARIKI
@Gwa-Kayaga
@Gwa-Kayaga Жыл бұрын
Global tv poleni sana kwa utafiti huu!
@user-ob4yx3zg4d
@user-ob4yx3zg4d 6 ай бұрын
Kunamwanafunzi alikua anaitw henoko,duh nomaaaa
@stellamwali1848
@stellamwali1848 3 ай бұрын
🎉❤napenda luhuga hii sana
@RaweMwita
@RaweMwita 7 ай бұрын
God bless you all the time
@vvip7992
@vvip7992 9 ай бұрын
Barikiwa sana
@user-zf3el3ef7k
@user-zf3el3ef7k Жыл бұрын
hakifundishi uchawi na ushetani ni uongo mimi nimekisoma chenyewe original,Henock alichukuliwa kwa kuwa alikuwa mtu mwenye haki
@msuyakennedy7902
@msuyakennedy7902 4 ай бұрын
Naomba hiki kitabu kama unacho
@damaspmtz1018
@damaspmtz1018 2 ай бұрын
Naomba Kama kweli unacho Kitabu hiki
@lebaijeremiah4540
@lebaijeremiah4540 Ай бұрын
Mimi nakiomba hicho kitabu napatikana mwanza buswelu mwanza
@ceohasna9940
@ceohasna9940 Ай бұрын
Ni kwel me pia nimekisoma na ninacho
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 10 ай бұрын
Wakristo tunaamini Yesu alikufa msalabani na siku ya tatu alifufuka, na akapaa mbinguni mzimamzima na mwili wake hadharani. Pia hata waislamu wanaamini kuwa alipaa mzimamzima na mawingu juu mbinguni.
@daudinyello4033
@daudinyello4033 4 ай бұрын
UKO SAHIHI ILA WAISLAM WANAAMINI KUWA MUNGU HAJAWAHI KUFA NA HAITATOKEA KUFA MILELE.
@user-yc1fc7ir3c
@user-yc1fc7ir3c 2 ай бұрын
​@@daudinyello4033yesu alikufa kama mfano kua tukifa tukiwa upande wake Yan tukiamini katika yeye tutafufuka hatutokua kuzimu milele hivyo karibu katika kiristo upate uzima wa milele
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
​@@user-yc1fc7ir3ctoka uko umepigwa
@user-rt9qr3ie9g
@user-rt9qr3ie9g 4 ай бұрын
Hongera kaka umejitaidi
@boniventuredaud3259
@boniventuredaud3259 Жыл бұрын
Asante kwa elimu nzuri kumbe yeye ndo alibuni kalamu.
@JacksonSylver
@JacksonSylver 6 ай бұрын
Kalamu ilibuniwa na mungu sio enock sababu kabla ya uumbaji wa viumbe mungu alianza na kalamu ili kuandika kila kinachotokea hadi mwisho wa dunia ndo maana kila kinachotokea kimeandikwa so heshimu sana kalamu ndugu
@StevenPeter-sg7zo
@StevenPeter-sg7zo 5 ай бұрын
​@@JacksonSylverumelishwa matango pori ndugu yangu
@edwardkamina143
@edwardkamina143 4 ай бұрын
@@JacksonSylver futa hiyo comment unapotosha watu
@franciswanyoike7310
@franciswanyoike7310 5 ай бұрын
Nimesoma mwenyewe kitabu hiki wala sikuona uchawi wala ushetani humo ndani. Henoko,(Enoch) ameshuhudiwa kuwa mtu alie eneda na Mungu hivi kwamba Mungu kamuchuku akiwa hai wala hakufa kama ilivyo desituri ya wana adamu wote. Mtu yeyote aweza kuagiza na kujisomea kitabu hiki kweye mitandao.
@magorymara5515
@magorymara5515 4 ай бұрын
Mwanadam anapotaka kufanya jambo baya hugeuza mambo yawezekana mtu mzuri aligeuzwa kuwa mbaya kwanini wakitoe kama ni kibaya mbona mungu wetu hutuonyesha yote ili tuchague wenyewe
@omondiandika5661
@omondiandika5661 3 ай бұрын
Kazi nzuri
@boscomtani1006
@boscomtani1006 Жыл бұрын
Unadimulia vizuri, nikikusikia kwa mbali nafananisha sauti yako na Professor Jamal Mustapha wa the Story Book ya Wasafi TV na Wasafi FM
@kozzomix120
@kozzomix120 Жыл бұрын
Piya mimi nimezani ni Jamal😂😂
@intaneti1634
@intaneti1634 Жыл бұрын
nafikiri amejifunza kwa jamal
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 8 ай бұрын
Kijana wa prof. Jamal april
@AbdallahJuma-rk9lb
@AbdallahJuma-rk9lb Ай бұрын
asante sana zidi kufanya utafit birakusikiriza maneno.
@jobnabiyeh
@jobnabiyeh 4 ай бұрын
Elijah ni Yohana mbatizaji, Enock hajulikani na mwanadamu hatima yake kwa sababu hadi wa leo hakuna aliyeona kaburi “ lake ila alikuwa mtumishi wa Mungu na aliyempendeza sana na hakumkubali aonje mauti. Mungu alimpandisha mbinguni; hakuwa mchawi wala muovu, Mungu hapeani rehema zake kwa waovu namna ya wachawi au majoni: hiyo basi Mungu ni Msafi tena Mtakatifu....!
@joycepatofondo
@joycepatofondo 3 ай бұрын
Hapana Enock hakufa alichukuliwa mbinguni maana angeachwa angeachana na Mungu n kumuasi, yohana mbatizaji alikua n mfano wa Elia ndio maana enzi za Yesu wakasema hangekuja mfalme wa wayahudi kabla ya kuja kwa Yesu na Yesu akawaambia mbona elia ashawai kuja n aliekufa na kuzikwa na Mungu ambaye kaburi lake halijulikani n Musa ambaye shetani na malaika Mikael walikua wakipigana ju ya mwili wa Musa ndio maana Mungu mwenyewe akamzika n hakuna binadamu anayejua hpo mahali paka Sasa ambaye Yesu anafananishwa n Musa
@user-ip1vx4yj2c
@user-ip1vx4yj2c 4 ай бұрын
mungu akubalik san awe kalib yako
@joelthuo9557
@joelthuo9557 4 ай бұрын
Good work,keep up.Don't stop.say it to the top of your voice. You represent all people even us Christians
@HillaryBiketi-df7tt
@HillaryBiketi-df7tt Жыл бұрын
Kasi nzuri, Mungu wa mbinguni atukuswe
@erastonzogela1405
@erastonzogela1405 6 ай бұрын
Aiseeeeee
@dinairenge
@dinairenge Жыл бұрын
Enok ikombingini nimalaika mubengine bamalaika
@user-rb9cw2mp9l
@user-rb9cw2mp9l 4 ай бұрын
Safi sana
@PeterMx-yo7ln
@PeterMx-yo7ln Жыл бұрын
Kazi nzuri.Enoch anatafsiriwa na bhaadhi ya Wachungaji kuwa miongoni mwa washuhuda wawili watakao rudi siku za mwisho na kumpinga mpinga kristu Enoch na Elijah wanatabiriwa kurudi cku za mwisho sababu kwa bibilia inasomeka Washuhuda wa mwisho watakao rudi kumpinga mpinga kristu watakuwa watu wawili ambao hawakukufa.Watarudi kumpinga mpinga Kristu na kisha kuuliwa mji mtakatifu wa Jerusalemu kutokana na wafuasi wa dini ya mpinga Kristu,na wengi kusherekea duniani na kupeana zawadi lakini watafufuka baada ya cku 3 ......Ufunuo wa Yohana 11:3-......
@yusuphharuni4459
@yusuphharuni4459 Жыл бұрын
🤔
@jacksonrock6535
@jacksonrock6535 Жыл бұрын
🤣 Story Za Mtaani Biblia Inasema Nafsi Au Roho Zilizotoka Duniani Nakwenda Mbinguni Zitarudi Siku Ya Mwisho Hana Duniani Kwa Ajili Ya Hukumu Ya Ulimwengu
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 11 ай бұрын
Kama matakwa ya Mungu kwa mwanadamu ni kutii amri zake kumi tu, huu ujuaji mwingine unamsaidia nini mwanadamu ili akubalike mbele machoni ya muumba, Henoko aachwe km Henoko na usanii wake !
@nassonimfumbilwa6461
@nassonimfumbilwa6461 9 ай бұрын
@@godfreyobadiah7892 usijidanganye blooo kuwa kushika amri kumi za mungu ndyo umekidhi vigezo vyote hakuna kitu kama hcho * Mwanadamu anatakiwa kushika amri kumi za MUNGU,kuwa na neno la MUNGU na kuliishi pamoja na matendo ya haki ya utakatifu.
@nassonimfumbilwa6461
@nassonimfumbilwa6461 9 ай бұрын
Fact they will come kipindi Cha dhiki kuu kuja kuubili Injili watu wasipokee chapa ya 666 ya mpinga kristo upo right bloo👍
@johnambrose7223
@johnambrose7223 4 ай бұрын
Henoko akaishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela. 22 Henoko akaenda pamoja na Mungu baada ya kumzaa Methusela miaka mia tatu, akazaa wana, waume na wake. 23 Siku zote za Henoko ni miaka mia tatu na sitini na mitano. 24 Henoko akaenda pamoja na Mungu, naye akatoweka, maana Mungu alimtwaa.
@jeremiahmunoru7390
@jeremiahmunoru7390 3 ай бұрын
ulisoma wap mambo haya nisaidie njue.kwenye kitabu gani
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 3 ай бұрын
tupee kifungu tusome
@gollokillo3300
@gollokillo3300 3 ай бұрын
Watu waliopo mbinguni hawafi ilikuaje akafa akiwa keshafika mbinguni
@faidaonesmo
@faidaonesmo Ай бұрын
​@@jeremiahmunoru7390mwanzo 5:21-24
@deogratiusdeo6954
@deogratiusdeo6954 11 ай бұрын
Saf sana
@DavidTito-wi7np
@DavidTito-wi7np 3 ай бұрын
Thank you
@user-ht8my1cn6t
@user-ht8my1cn6t 10 ай бұрын
Mungu
@shizoshop2469
@shizoshop2469 8 ай бұрын
Kwanini mungu awaluhusu mbwa hao hii nimewahi kusikia kwa jamal wa wasafi
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 18 күн бұрын
Mungu hatembei
@Tumainy
@Tumainy 5 ай бұрын
Be the blesd kaka
@user-mw9vu8db3h
@user-mw9vu8db3h Жыл бұрын
Asante kwa elimu hii kumbe Enoch ndio aliyebuni kalamu and kuandika biblia yake..
@user-sn9nm1wu9j
@user-sn9nm1wu9j Ай бұрын
yesu sio mzungu
@AndyDach
@AndyDach Ай бұрын
Ni nani?
@dinairenge
@dinairenge Жыл бұрын
Amen
@kafwimbimilambo8556
@kafwimbimilambo8556 Жыл бұрын
Unafafanuwa kweli
@lonsman
@lonsman 11 ай бұрын
Good work
@PetonillaNzomba
@PetonillaNzomba 5 ай бұрын
Hii story ni ya kweli, hiki kitabu ndio nasoma Sasa. Mungu akuzindishie hekima
@Afrikahuru28
@Afrikahuru28 5 ай бұрын
Kinapatikana wapi?
@felisianliheta3155
@felisianliheta3155 4 ай бұрын
Kinapatikana wapi?
@ayoueNzowh
@ayoueNzowh 4 ай бұрын
Playstore kipo search BOOK OF ENOCH
@ceohasna9940
@ceohasna9940 Ай бұрын
Nimekisoma ila hakifundishi uchawi ila kinaeleza namna uchawi ulivyoingia
@neemagabrieli-ff4mq
@neemagabrieli-ff4mq 11 ай бұрын
Ukweli hatuujui kwa hiyo huenda kaka huyu kasema ukweli siwezi kupinga jaman
@mastaplan
@mastaplan Жыл бұрын
Mkakati wa MUNGU MMOJA ni mkubwa sana na ndio hii dunia ya sasa ilivyo na hadi ijayo na hadi tutakapo adhibiwa na MUNGU MMOJA kwenye mizani ya HAKI.
@user-hh8mo9ki9q
@user-hh8mo9ki9q Жыл бұрын
😢nimeelewa 3:43
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 Жыл бұрын
Halo unachanganya maandiko ya vitabu vinne tofauti vinavyopingana kabisa unajalibu kuhadaa mioyo ya watoto wachanga
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 3 ай бұрын
Sahihi kabisa
@musangamfuracelestin6629
@musangamfuracelestin6629 2 ай бұрын
Mureke nsenge, nkuko abambere yacu hashize bizeraga Imana mubiboneka nibitagaragara. Uwiteka Mana, ndagusaba guhagarika ibitero byose bya satani nabakozi bayo bose. Imigambi yose mibisha ya secyibi maze uyiburizemwo Mana. Kuko njyewe Musangamfura celestin ibyumbwira byose biba ari ukuri. Kandi ibyo unkorera Mana ni ibitangaza kandi biboneka na nyuma yo kubyerekwa. Botyo rero Mwami wanjye ndashimiye Amena. 8:35
@Hamis-kp1em
@Hamis-kp1em Жыл бұрын
Hajji wa Kassim
@Shockabsober
@Shockabsober Жыл бұрын
Mwisho wa Dunia Bado Brother
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe Жыл бұрын
😆😆😆
@joycepatofondo
@joycepatofondo 3 ай бұрын
Mbali na hichi kitabu bt mwisho umekaribia sana maana maovu yanazidi upendo umepoa ndoa za asbhi Jioni watu wameachana zimejaa n yote yaliyotabiriwa katika kitabu Cha Mathayo mengi yameonekana
@AnnaAstadhia
@AnnaAstadhia Ай бұрын
Siku zote ukweli ujitenga na uongo.acha usanii. Biblia inasema enoko akatembea pamoja na Mungu naye Mungu akamtwaa.maana akuonja umauti.
@fgvh2151
@fgvh2151 Жыл бұрын
Mungu akuifathi kaka
@pascalerick3525
@pascalerick3525 Жыл бұрын
Quran ina miaka 1500 lkn biblia ilianza kuandikwa kipindi husika kwa kila tukio sasa uamuzi ni wako uwasikilize wahusika walioandka au umsikilize mtu mwingine
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 9 ай бұрын
Ww ndo wale wafata mkumbo unakurupuka tu ujui unalo ongea, Sasa kipindi cha uyo Enock Yesu alikuepo?au injili ilikua tayari, jitathmin elim yenu ya kidini ndogo sana usijilinganishe na waislam Waislam wana elim kubwa sana tena sana ya kidini
@nashmakali1967
@nashmakali1967 3 ай бұрын
kweli
@lokanasamuel
@lokanasamuel Жыл бұрын
wewe kaka wachanana mamboya mungu kuhi fundisha habariya mbinguni fundisha habari zenuza duniya nakuhitafuta sayari zenu zingine
@Hamis-kp1em
@Hamis-kp1em Жыл бұрын
Hajji wa kassim, huwa nakufuatilia kaka unafanya kaz kubwa allah akunariki
@benjaminsemwenda3152
@benjaminsemwenda3152 Жыл бұрын
Sema unamcopy sana Jamal April wa The Story Book Hadi Unakera, Embu Jaribu Kuwa Wewe....
@fridalyanguka1733
@fridalyanguka1733 Жыл бұрын
Nini unakereka ikiwa huyo ni mwanadamu kama wewe na hayo ni mawazo yake jaribu na wewe.
@jamilmwinge3695
@jamilmwinge3695 Жыл бұрын
Nimesoma comments zetu bali naomba punguzeni ukali wa maneno ukiona msoma story kakosea basi ww kasome zaidi ujue ukweli kisha create na ww voice story tutakusikiliza au kama unamkosoa bc mkosoe kwa lugha sahihi bila mihemko.
@robertrevelian6986
@robertrevelian6986 Жыл бұрын
Pp
@robertrevelian6986
@robertrevelian6986 Жыл бұрын
P
@elopheygandabway
@elopheygandabway Жыл бұрын
Very true ,well said bro
@abeidomar2433
@abeidomar2433 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@AjNgailo
@AjNgailo Жыл бұрын
BABA
@lukelomngongo
@lukelomngongo 10 ай бұрын
@user-md7ug5dd9r
@user-md7ug5dd9r Ай бұрын
Hii story tuu hakuka ukweli
@AfsaliKweyu
@AfsaliKweyu 10 ай бұрын
Endelea hivyo ukweli.
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 Жыл бұрын
Yale yaliyofunuliwa kwenu hamtaki kuyatenda mnakazania kitabu cha henoko ambacho ambacho hakipo wala hakina uwezo Wa kumwadibisha MTU katika haki someni Yale yaliyopo muujue ukweli acheni kuhangaika na aya za kishetani na falsafa zilizojaa hekima za kuzimu jueni lengo la bibilia yote ni wokovu kwa mwanadam mwanzo 3:15 na ujue tunaelewa kusudi la mchanganyiko wa kitabu unachosoma maana nimaandalizi tu
@MwaineShabani
@MwaineShabani 4 ай бұрын
Hngr
@SilasMwangi-hx8nf
@SilasMwangi-hx8nf 7 ай бұрын
naona majini,mashetani naelewa vizuri
@VedastinaJohn-um5lj
@VedastinaJohn-um5lj 5 ай бұрын
Mimi naitwa mchungaji DOMISIANO FEDLIKI naishi kigoma nimependa sana mimi ninaswali hivi kwanini kweri upo wazi ira wachungaji wengi na wariosoma fyuoni mamawao huaminisha watu kwamba kanisa ambaro Mungu anaroripenda ni jengo hata zuuri mamirioni ambayo yangesaidia jengo ra kawaida nakureta mamirioni mengi kwa Yesu yooote yanaishia kwenye jengo ?
@antoniocassanho1991
@antoniocassanho1991 Жыл бұрын
Aaaaaaaaaaah ongera kwa kutupondeya muda🤥
@user-jh9yv1zp1l
@user-jh9yv1zp1l 4 ай бұрын
Mbn waislm mnajifny mnajuw kuichambua biblia,ss hatuendn na nyie kwasbb hatuabud majn n pia ss tunabatizw kw maji marefu
@user-vq7fw2xl4e
@user-vq7fw2xl4e 4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@henrykigugwe5112
@henrykigugwe5112 Жыл бұрын
Hehee
@MustafaOmach
@MustafaOmach Жыл бұрын
Mkowapi hapa Tanzania napenda niwatembelee kwa ajili ya kuandaa trekta namba za simu ni muhimu
@anatorihamisimlewa1094
@anatorihamisimlewa1094 14 күн бұрын
Still im not sated, ipi ni sababu halisi ya kitabu cha enoch kupigwa marufuku?
@EmmanuelMwambaji-vk2th
@EmmanuelMwambaji-vk2th Жыл бұрын
Umeigiza sauti ya Jamal lakini uko poa
@user-dj7kz1lx6e
@user-dj7kz1lx6e 4 ай бұрын
natamani kupata kitabu chake
@NahasonHarun
@NahasonHarun Жыл бұрын
😢
@innocentkihinja7912
@innocentkihinja7912 13 күн бұрын
mmmmh
@AndreaPaul-ox6oz
@AndreaPaul-ox6oz 3 ай бұрын
Achen uongo bana mnapenda kuchanganua biblia na huo ukuta uko eneo gan
@tbwoy216
@tbwoy216 Жыл бұрын
Wewe wasema kitabu Cha Enoch kimefichwa lakini bado wasoma simulizi ndani ya BIBILIA tukwelewe vipi brother?
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
🤣kwa ufupi biblia imefanyiwa marekebisho mara nyingi sana hasa nyakati Uingereza inatafuta uhuru na ndo biblia tunazotumia leo ila mengi mno yamefichwa kwani hata katika biblia hawasemi wayahudi walikuwa watu weusi bali wanatuonesha wale wazungu waliopelekwa pale miaka kadhaa baadae baada ya watu weusi kuuliwa pale Israel sawa na pale Misri/Egpty kumbe maeneo hayo yote yalikaliwa na watu weusi eeeh chukua hiyo mf. pia pale Argentina wazawa ni watu weusi bali miaka ya 500 waliuliwa wazungu wakidai ngozi nyeusi ni laana
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Kwani Kumbukumbu la Taurati ndo Taurati OG?!
@tbwoy216
@tbwoy216 Жыл бұрын
Ndio
@user-pb3sx8uk7c
@user-pb3sx8uk7c 10 ай бұрын
😮😮😮
@user-mo6zh6dk2g
@user-mo6zh6dk2g 5 ай бұрын
Haupaswi kusema uongo sema yaliyo kweli
@johnmuemawambua6019
@johnmuemawambua6019 4 ай бұрын
Wanefili walikua hata kabla ya mwanzo sita, hakuna malaika waliozaa na wanadamu, hio ni tafsiri ya uwomgo, soma vizuri kizazi kutoka Adamu walikua wakuu hadi Nuhu.
@peternoga
@peternoga Жыл бұрын
kuna vitabu ambavyo havijulikani waamdishi wao siyo hicho cha Henoko tu lakini kigezo walichokitumia cha kusema et hakina mwandishi ni sababu tu lakini kuna siri kubwa kuhusu hilo
@user-ll4gy5nj2r
@user-ll4gy5nj2r 5 ай бұрын
Historia hizi za kikafiri na kupotoza jamini ilisojua uislam ni dini
@peterpastory
@peterpastory Жыл бұрын
Mimi nishawachikaga, Mungu ni infallible na can not contradict himself.angewezaje kuacha walinzinwafanye uovu wakati anawaona na hataki maovu! Upotovu tu.mwisho wa maisha ni kifo
@DavidMabele
@DavidMabele Жыл бұрын
Kweli
@fgvh2151
@fgvh2151 Жыл бұрын
Vile nimefuatilia kuhudumu anasema hawa watu walikuja kwa mfano wamalaika na kumbe yalikuwa majini,,walipofanya mapenzi na wanawake kihebrania wakazama majitu na hayo majitu leo hii yako america,,ndio yanatajirisha marican
@AdamHaonga-cp4lf
@AdamHaonga-cp4lf 11 ай бұрын
Kwani shetani si ni alikuwa malaika sasa dhambi aliipata wapi.
@estermathias8354
@estermathias8354 8 ай бұрын
​@@AdamHaonga-cp4lfkosa la shetani nikutamani kiti cha mfalme ambae n Mungu wa muumba mbingu na nchi.tamww
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 3 ай бұрын
@@fgvh2151 shetani ni roho,na malaika ni roho,hawana maumbile ya kiume wala ya kikee.elimu hizi peleka kwa waisilamu wenzenu
@SamweliKatani
@SamweliKatani 4 ай бұрын
hy bn
@hansiempire5093
@hansiempire5093 Жыл бұрын
Maandishi kama ya Ethiopia na Eritrea ivii
@abdulrashid1506
@abdulrashid1506 11 ай бұрын
Ukitaka usipate shida we soma Qur'an tu maana ni kitabu kisicho na shaka ndani yake na ni uongofu kwa wenye kumcha Mwenyezimungu Lakini huku kwengine changamoto ni nyingi sana, we uliona wapi Malaika akazae na binadamu!!
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 5 ай бұрын
😂😂😂 awa watu ni hatar
@lokanasamuel
@lokanasamuel Жыл бұрын
ndipo mandiko ilituagiza kwawakatihu wahongo watatokea wengi wanashindanana kristu
@Anielmax
@Anielmax 4 ай бұрын
Je kutembea na Mungu ni kuasi kweli?
@manaregilly-fc6uu
@manaregilly-fc6uu Жыл бұрын
Kanisa ni kaani Ama kilamtu atafute mungu wake
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 Жыл бұрын
Sa sijui tumwani nani enoko au wewe mwandishi.
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 10 ай бұрын
Kitabu hiki sio cha kikristo ni cha waabudu mashetani na wote wanaoamini juu ya majini na usomaji wa nyota, na ndiyo maana kimefanywa kuwa siri na hakikubariki kwa kuwa kina unga mkono usodoma na ulozi..
@user-gq1yf9so5r
@user-gq1yf9so5r 5 ай бұрын
Ndugu msimulizi, kama unajikita ktk kumuelezea Enock basi bakia ktk biblia. Kama unazungumizia kitabu cha kiislamu basi bakia huko. Ukristo hauamini ktk majini. Acha kuchanganya uislam na biblia. Ni ngumu kuchanganya mafundisho ya ukristo na imani nyingine bila kuharibu.
@daudinyello4033
@daudinyello4033 4 ай бұрын
MAJINI YAPO NA MAPEPO YAPO NA NDIO MANA HATA MAKANISANI YAPO YANAKEMEWA KILA SIKU...
@loner_wolf
@loner_wolf 4 ай бұрын
Majini kivipi ? Biblia inaongelea shetani kama.mwalimu .....je kitabu cha majini ? Kwasababu Paulo anasema " hemenayo na eskanda ,ambao watu hawa nimempa shetani awafundishe wasimtukane mungu " . .... Mm siamini kama biblia ni kitabu kitakatifu cause luka 1:1 anasema watu wengi wametia mikono kutunga habari zile katikati yetu ,nami kwa kuwa jimejitafutia tafutia usahihi nami nimeamuwa kukuandikia taratibu ,theofilo mtukufu " . Lkn pia biblia inasema Yesu alibadiri maji kuwa pombe/divai , but najua yesu ni mtume wa mungu , iwaje atengeneze pombe ilhali mungu ameiharamisha pombe .....napata wasiwasi sana juu ya biblia , naona ni kitabu cha mila ya kirumi and that's why Xmas haipo ktk biblia lkn tunaikuta ni siku kuu kwa warumi na wakristo .
@user-jh9yv1zp1l
@user-jh9yv1zp1l 4 ай бұрын
​@@daudinyello4033nyie mnasali nayo
@thekingdragon8358
@thekingdragon8358 Ай бұрын
ww ndani yako yanaishi majini wachafu ndo mana unachukia uislamu utambui ukirsto ulikuja juzi na wazungu
@Pablolookman
@Pablolookman Ай бұрын
Tatizo wa kristo wamekalilishwa. wakati Majini ya nakuona kuliko unavojijua wewe endelea kuwa kipofu
@user-kv1qr3gv9t
@user-kv1qr3gv9t 4 ай бұрын
Je enoki alikua mwisilamu au mkirito
@EmmanuelMikael-in1ej
@EmmanuelMikael-in1ej Жыл бұрын
Jitahidi unapoweka kitu online weka na fact vingjnevyo utapotosha wengi
@BashirMahero
@BashirMahero 5 ай бұрын
Hampendi ukweli kaeni hivyo basi huu ndio ukweli uliopo na utaendelea kukua hatabishana na ukweli
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Mpotoke mara ngap mshapotoka
@Beau___witynes
@Beau___witynes 9 ай бұрын
😂😂😂😂 Na bado hamjasema
@user-iv6gs5id5x
@user-iv6gs5id5x Жыл бұрын
jamani mambo ya MUNGU hayahitaji mbwembwe nikweli kabisa kwenye biblia kitabu hicho Hakipo lakini Kuna vitabu vinavyoeleza MATOKEO ya kitabu hicho kama vile mwanzo ,6:1-6 lakini Kwa ushairi tu kwamba tumtake mwl wa kweli Yesu atufundishe maana yeye hawezi kusema uongo
@fridachuwa8622
@fridachuwa8622 11 ай бұрын
Soma biblia hiyo vizuri uone uongo ulioko ndani
@andersonkibaha
@andersonkibaha Жыл бұрын
Nimesikia kama umetaja kifo cha henock ila nakumbuka kama henock hakufa ila alipaa
@GeorgeUsele
@GeorgeUsele Жыл бұрын
Uwe unasikiliza sio unakurupuka
@issakawaya8315
@issakawaya8315 Жыл бұрын
Malaika awana matamanio majina ndiyo wenye matamanio
@Beau___witynes
@Beau___witynes 9 ай бұрын
Henock hakufa alinyakuliwa na mungu.
@JosephMikononi
@JosephMikononi Жыл бұрын
Henoko ndiye kipenzi Cha mungu, hajawahi kutokea Kama henoko na hatatokea, henoko Kuna Siri kubwa mungu ameifanya, henoko amerudi duniani, na elia amerudi na Hawa wote wameonja kifo,
@bryson0772
@bryson0772 5 ай бұрын
Henoko ndio kipenzi cha Mungu kushinda YESU?
@juliusdonard933
@juliusdonard933 Жыл бұрын
Story book nyingine n uongo mnasimulia kaka
@DavidMabele
@DavidMabele Жыл бұрын
Dhibitisha basi kama ni uongo
@gideonemmanyi9593
@gideonemmanyi9593 Жыл бұрын
jitahid kuwa unasoma vitabu
@christophercostantine7497
@christophercostantine7497 Жыл бұрын
hakuna kitu kinaitwa story kikawa Cha kweli , Cha msingi nikuendelea kuamini Tunacho amini tu
@user-ws6ou4vu5g
@user-ws6ou4vu5g Жыл бұрын
HUYO NABII IDRISSA KWA WAISLAM NI NABII SIYO MCHAWI NA HAJAKUFA BADO YUPO PEPONI NA YEYE NDIYE WA KWANZA KUJIFUNZA ELIMU YA KUANDIKA SIYO UCHAWI
@EmmanuelSanga-ts8fk
@EmmanuelSanga-ts8fk 4 ай бұрын
Haya ni maneno yanayo vutia lakini Siri iliyomo ni Moto usio Zimika maana ni udanganyifu
@noelngowitechnicalsolution
@noelngowitechnicalsolution 4 ай бұрын
mpotoshaji
JESUS (Swahili: Kenya) 🎬
2:01:45
Jesus Film
Рет қаралды 2,7 МЛН
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 16 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 78 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 53 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 62 МЛН
The Story Book : Usiyoyajua Kuhusu Jua
26:54
Wasafi Media
Рет қаралды 918 М.
MAAJABU YA BIBLIA. SEHEMU YA 1
7:32
Computer Trainings
Рет қаралды 4,3 М.
BIBLIA TAKATIFU KITABU CHA ZABURI (SWAHILI AUDIO)
4:02:24
Simulizi za Biblia
Рет қаралды 9 М.
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 16 МЛН