TRAINER WA KAJALA DENZEL AMWOMBA MSAMAHA ALIKIBA MBELE YA UMATI/NILIWAGOMBANISHA/MWIJAKU /TOMMYFLAVA

  Рет қаралды 31,619

Carrymastory

Carrymastory

Күн бұрын

TAINER WA KAJALA DONZEL AMWOMBA ALIKIBA MBELE YA UMATI KWENYE UZINDUZIN WA ALBAMU TOMMYFLEVOUR #TRAINERDENZELKAJALA #TRAINERDENZELALIKIBA #TRAINERDENZEL #tommyflavour #carrymastorytv #MAZOEZIALIKIBA

Пікірлер: 54
@ZaynabMshihiri-du9rj
@ZaynabMshihiri-du9rj Жыл бұрын
Maashallah nimependa sana msamaha wa dhati kabisa kutoka moyoni😘,hakika kila mwenye kusamehe yu pamoja na Allaah
@udizungwahimalaya5213
@udizungwahimalaya5213 Жыл бұрын
Ili jamaa chawa safi yani pure ana sifa zote z uchawa
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 Жыл бұрын
Allahummah ameen ❤❤❤🙏🤲 nimependa saaana wallah uyu kaka nimependa kaomba msamaha kwa dhati kabisah🎉🎉
@dogopapaa6004
@dogopapaa6004 Жыл бұрын
Ma Sha allah bless you all
@ummuadam2423
@ummuadam2423 Жыл бұрын
Maskini alipo maliza kashusha pumzi nzito mashallah, ila Ali ndio kusamehe anasamehe ila kwenye kitowe sahani moja ndio bas
@JumaJoseph-t4j
@JumaJoseph-t4j Жыл бұрын
Wasanii maskini wenye roho mbaya hawana hela wanatia aibu mjini omba omba
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar Жыл бұрын
Huyu kaka nampendaga wallah' ana busara sana'
@cptnbazil6121
@cptnbazil6121 Жыл бұрын
Hakutakua na training tena zaidi ya kuogopana tu
@vibetz9991
@vibetz9991 Жыл бұрын
Mazoezi hayawezi kuwa serious tena hapo,,,,,
@Zainab_salat
@Zainab_salat Жыл бұрын
Kweli maneno
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 Жыл бұрын
Mwijaku 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣💕
@albertmuyenga7895
@albertmuyenga7895 Жыл бұрын
Mungu akubadirishie maisha Danzel 🙏
@barakamwandiga2327
@barakamwandiga2327 Жыл бұрын
Hapo danzel anashusha2 brand yake kwa Level aliyofikia sio wa kumlilia Alikiba hadharani angemfuata private akigoma asepe 🤝
@neemaneykisanga
@neemaneykisanga Жыл бұрын
Kila mmoja,anajua tgaman ya,mtu kuomba,msamaha ni kitu kidogo sana macho mwa watu ila,ni kikubwa sana mbele ya mioyo yetu amejua,alikosea na,ndio maana amejitambua
@JofuPrince
@JofuPrince Жыл бұрын
Watu wanajua wapi walipotoka wewe weee unajua jema gani aliofanyiwa Denzel mpka reo kuomba msamaha mbere ya watu anasabu uyo
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar Жыл бұрын
Akimfuata pembeni itakua ni unafik
@joachimlema3299
@joachimlema3299 3 ай бұрын
Hahaha hapo Kuna kufanya promotion ya gmy yake
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar Жыл бұрын
Nampeda sana Ali kiba uwa ana hofu ya MUNGU
@westonyjob1747
@westonyjob1747 Жыл бұрын
Amekusamehe
@erickmillanei4346
@erickmillanei4346 Жыл бұрын
Huyo ni Trainer wa alikiba
@nelsonmaganya5391
@nelsonmaganya5391 Жыл бұрын
Alikiba msani wangu
@MariamMwandy
@MariamMwandy 4 ай бұрын
Mashalaa 🎉
@jacksonbundi6298
@jacksonbundi6298 Жыл бұрын
Alikiba bado mguu wa kuku anaumiliki mh naona 😮
@khadija5761
@khadija5761 Жыл бұрын
Mashaallah 🎉🎉🎉
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 Жыл бұрын
Maskin kaka wawatu alimkosea nn kiba
@deboraezekiel784
@deboraezekiel784 Жыл бұрын
mwijaku msamaha umekuwa wako tena 😀😁
@Doubles-p1x
@Doubles-p1x Жыл бұрын
Kumbe mwamba alijichanganya
@lovvy854
@lovvy854 Жыл бұрын
Mwijaku Ali akikupa ata mboro utainyonyaa hadharani mume bwege wew
@AsnathSeveline
@AsnathSeveline Жыл бұрын
Mwijaku jaman😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nizclemencelampslabiche2007
@nizclemencelampslabiche2007 Жыл бұрын
Ivi Mwijaku kweli ni mzima 😂😂😂😂😂
@Zainab_salat
@Zainab_salat Жыл бұрын
Chawa wa pesa
@tatumhogo5742
@tatumhogo5742 Жыл бұрын
Safiiiiii
@happysanga6846
@happysanga6846 Жыл бұрын
Mwijaku mpana
@vibetz9991
@vibetz9991 Жыл бұрын
Kwani alifanya nn???
@fadhilphone2515
@fadhilphone2515 Жыл бұрын
Maskini daah
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar Жыл бұрын
Ali Kiba Mshauri Denzel abadilishe dini' aingie kwenye dini yetu ya Haki ' ni mwelewa na anajitambua pia ana hofu ya MUNGU
@marlonjr294
@marlonjr294 Жыл бұрын
Mambo haya si kuonyeshena hadharani, huyu CLOWN kama anajua dini vipi unampigia magoti binaadam mwenzako..
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx Жыл бұрын
Denzel trainer amemkosea nn Kiba mbona sielewi
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 Жыл бұрын
Baba levo hayingi Pamoja na H baba kwa Marino hayo
@sabrinasabrina3974
@sabrinasabrina3974 Жыл бұрын
maskin jmn kwel
@sabrinasabrina3974
@sabrinasabrina3974 Жыл бұрын
mwijakuu jmn eti mwez mnzmaa
@kingkendrickk
@kingkendrickk Жыл бұрын
Vipi tena
@deathrow8004
@deathrow8004 Жыл бұрын
HAKUNA JAMBO ZURI KM KUMUOMBA MSAMAHA
@williamkazimoto6548
@williamkazimoto6548 Жыл бұрын
Ha ha, kufuta jasho na shati. Mwijaku bhana
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc Жыл бұрын
Heeeh makubw
@yusrairakoze3966
@yusrairakoze3966 Жыл бұрын
Amekusame kiba soyo waroho mbaya kama wengine afu mwijaku wewe unamatqtizo mengi mtu mzima ila hukuwi akili
@sabrinasabrina3974
@sabrinasabrina3974 Жыл бұрын
baadhi ya wasemaa mwijak anaroho safi tn ni mtu mwenywe hekimaa semaa tu anajichetuaaaa
@سارهانا-ز8ت
@سارهانا-ز8ت Жыл бұрын
❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Жыл бұрын
😢😢❤
@robertwafula3100
@robertwafula3100 Жыл бұрын
Huyu mwijaku angekua tu mkenya
@missindependent1893
@missindependent1893 Жыл бұрын
😂😂😂😂😅😅😅😅😊😊😊
@udizungwahimalaya5213
@udizungwahimalaya5213 Жыл бұрын
Hamumiezi huyo tuachieni wenyeweee😂😂😂😂😂
@kigoracredit7314
@kigoracredit7314 Жыл бұрын
😢😢
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
DENZEL MWALIMU WA MAZOEZI WA ALI KIBA /MARIOO NI MVIVU
28:54
Gangana Info Channel
Рет қаралды 19 М.