No video

MWIJAKU AGALAGALA CHINI BAADA YAKUONA JUMBA HILI JIPYA LA ALIKIBA/ TAZAMA HAPA AMUOMBA MUNGU NAE..

  Рет қаралды 90,983

PMTV TANZANIA

PMTV TANZANIA

Күн бұрын

JISAJILI NA KUSHIRIKI PROMOSHENI ZA ROYAL SPORTS NA ROYAL WIN KUPITIA LINK HII 👉 pmbet.co.tz NA USHINDE ZAWADI MBALIMBALI IKIWEMO GARI AINA YA IST NA NISSAN DUALIS
.
TAFADHALI USISAHAU KU SUBSCRIBE KZbin CHANNEL YETU NA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WAKWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU
INSTAGRAM @pmtv___
TWITTER @Pmtvtz
TIKTOK @Pmtvtz

Пікірлер: 144
@baysadam235
@baysadam235 Жыл бұрын
Jumba la big boss King tajiri✊✊🔥🔥🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@philippemukandama2960
@philippemukandama2960 Жыл бұрын
Nice property 👌. Alikiba is very humble, he doesn't like to show off like other artists.
@rmbwitu1994
@rmbwitu1994 Жыл бұрын
Watu wengi wanafikili Ally hana pesa shida jamaa atangazi lkn ule mgorofa wa tabata pale daaaa jamaa analima mpunga maeka kibao
@godfreymwaipasi6539
@godfreymwaipasi6539 Жыл бұрын
Tatizo la wabongo wanabebwa na upepo mfalme mwenye ufalme wake toka kitambo kazi za maana maneno kidogo
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
unamjua mwijaku kwa uongo?mumesahau tayari ya Hamissa kuhusu lile gari?
@Nims643
@Nims643 Жыл бұрын
​@@kwisa4899tafta pesa mwanaume uwache Kua na wivu
@rehemathoya8754
@rehemathoya8754 Жыл бұрын
Ni mkimya sana, hana tattoo, hatukanani nyimbo zake swafi
@mdta8161
@mdta8161 Жыл бұрын
Hongera sana king kiba
@saudashani5981
@saudashani5981 Жыл бұрын
Mungu akuweke king 👑 Kiba na Kalibu sana msimbazi
@Kwazulu1
@Kwazulu1 5 ай бұрын
Ali Kiba doesn’t show off kama wale wezetu. Congratulations Allikiba. Location gani???
@mariamjuma1670
@mariamjuma1670 Жыл бұрын
Kwaninj wasanii wa danse awanamaisha mazuri nafikili wanapenda Sana kuongwa😅
@user-zh5ho6vo6w
@user-zh5ho6vo6w Жыл бұрын
Very nice King kiba
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Ali hanaga mbamba, Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi. 🤲
@miguelcasimiro2542
@miguelcasimiro2542 Жыл бұрын
Ukisikia ubora njo huu! Mwenye hela asemi 🎉
@agnesnjeleka4898
@agnesnjeleka4898 Жыл бұрын
Safi alikiba Huna mbambamba wewe safi sana
@naimahhussein8430
@naimahhussein8430 Жыл бұрын
Mashaa ALLAH
@HAMIDURAMADHANI-ev5od
@HAMIDURAMADHANI-ev5od Жыл бұрын
Njaa mbaya sanaaa😂😂😂
@Xavierdecristo
@Xavierdecristo Жыл бұрын
King 👑👑👑👑
@mesaidikazungu4299
@mesaidikazungu4299 Жыл бұрын
Mashallah Allah 🥰🥰🥰
@HakizimanaFiston
@HakizimanaFiston Жыл бұрын
Mwijaku iyo ninyumba yakawaida kwamtuu kama Alikiba mbona niyakawaida sana hiyo 😊
@antonywilliama2868
@antonywilliama2868 Жыл бұрын
njaa i itakuwa ww sio kwa ujinga huu
@mohamedsuleiman2785
@mohamedsuleiman2785 Жыл бұрын
Boss ingekuwa nyumba ya kawaida tanzania tungepewa passport ya daraja la kwanz Dunia kwenda tunako taka bila kuhitaji visa ila watanzania wengi hizo nyumba nsmna hii hatumiliki
@ibnayub2374
@ibnayub2374 Жыл бұрын
Mwijaku fala sana 😂😂😂
@mshuamsuya9201
@mshuamsuya9201 Жыл бұрын
Sema mwijakaa kashindikanaaa
@oscaroscar2555
@oscaroscar2555 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@aishatest4451
@aishatest4451 Жыл бұрын
hongera sana
@ramakinjoi4063
@ramakinjoi4063 Жыл бұрын
Mwijaku atafika mbinguni akiwa amechoka sanaaa aseeeh😂😂😂😂😂😂😂.
@hanafiSaidi-ji9ms
@hanafiSaidi-ji9ms Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 siopoa
@lavimusic_
@lavimusic_ Жыл бұрын
Si mpaka afike huko mbinguni
@malikmasoud3190
@malikmasoud3190 Жыл бұрын
Njaa noma sn
@yakoubayoub8958
@yakoubayoub8958 Жыл бұрын
😂😂
@sixberttindwa9622
@sixberttindwa9622 Жыл бұрын
Chawa chawa
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Жыл бұрын
Mwijaku akilala hoi
@user-fm8ll7ln9i
@user-fm8ll7ln9i Жыл бұрын
😂😂uyu jamaa atafika mbinguni kachoka sana
@stanleyoreri6447
@stanleyoreri6447 Жыл бұрын
Huyo ndio the only one king 😂😂 hatari sana .kitu nampendea hapendi kujionyesha onyesha kama wasanii wengine
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
😂😂😂dah inaitaji wehu kumudu maisha mjini
@henryachila5448
@henryachila5448 Жыл бұрын
Kuwa chawa ni kazi aise
@rizikirobert4596
@rizikirobert4596 Жыл бұрын
Ninjaaa tuu inakusumbuaa mwijaku
@petercostakisoka
@petercostakisoka Жыл бұрын
🤴 👑 🤴 👑
@habibumasenga6213
@habibumasenga6213 Жыл бұрын
Mbona gari yenyewe hana nembo was jina mwijaku unazingua 😊
@user-zr7cj9tx4i
@user-zr7cj9tx4i Жыл бұрын
King kiba kwanza yupo jilani Sana na mungu wake arfu ana sifa za kijinga arafu ni mtu mmoja pis Sana na mkurima mzur tu wa mpunga ,sio kama wasanii WENGINE kaz Yao skendo tu arafu hawana chochote piga kaz king kina swar swara tano mungu hatakuongoza kwenye MAKOSA omba msamaha Kwa mungu
@user-jz4ff4pg5f
@user-jz4ff4pg5f Жыл бұрын
Huyu mwijaku kama sio uchizi ni ushoga maana kama niuchawa umepitiliza
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Жыл бұрын
Mwijaku jamani😂😂😂😂😂😂
@albertmalenge-cs6zy
@albertmalenge-cs6zy Жыл бұрын
Ila mwijaku daaah
@charlesjackson-zx5zg
@charlesjackson-zx5zg Жыл бұрын
Mwijaku wewe ni Mwislam bila shaka,je,waisilamu mnaamini kuwa Mungu ni BABA!, naomba jibu.
@JumaSeleman-mi2zx
@JumaSeleman-mi2zx Жыл бұрын
😂😂😂 sema pastor nkusikie porojo zako
@patrickkambi423
@patrickkambi423 Жыл бұрын
This man make me smile 🤣🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
Bado kdg anene kwa lugha😂😂😂
@majidseyyid9485
@majidseyyid9485 Жыл бұрын
😂😂😂😂 uyu jamaa asee anatabu sana
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 Жыл бұрын
Hizo heka 8 zipo wapii hyo nyumba ya kawaida wanamiliki mpka wauza nyanya mm kiukweli bado cjaona msanii mjanja wote mnakaa mjini tafuta heka kumi Jenga humo kila kitu unafuga unalima kila kitu na hamshindwi mnabak kupost mijumba ya Raman za zamanii
@angelfalleh-wb9rg
@angelfalleh-wb9rg Жыл бұрын
Ila watu mna roho mbayaaaa imagine unaumia na mafanikio wa wanaume wenzio c htr hii😁
@mudywaya328
@mudywaya328 Жыл бұрын
mwijaku namkubalisana👍
@vitrahbongz9420
@vitrahbongz9420 Жыл бұрын
Hakun nyumb ya Billion tano hapo tumepigwa 😂😂
@iddymtitiko
@iddymtitiko Жыл бұрын
Hujapigwa manzeee bali maisha nayo yanapanda kila siku sion kama kuna shida kwa hiyo pesa sisi tunaojenga vibanda vya mguu mmoja lkn vinatutoa jasho
@ernestjulius3209
@ernestjulius3209 Жыл бұрын
Nyumba mikocheni gharama
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Жыл бұрын
​@@iddymtitikoEt kibanda cha mguu mmoja😂😂😂😂😂
@malcomg1004
@malcomg1004 Жыл бұрын
Mwijaku wanao wanakuona unavyojiaibisha sababu ya Njaa😂
@KaumbyaTibenda
@KaumbyaTibenda Жыл бұрын
😂😂😂😂eti jamani
@apolinemalungano9155
@apolinemalungano9155 11 ай бұрын
Huyu jamaa uchawa utamuuwa 😂😂😂😂
@KichuyaMaja-qq5zn
@KichuyaMaja-qq5zn Жыл бұрын
Kweli uchawa hatariii
@edwinlazaro1368
@edwinlazaro1368 Жыл бұрын
Daah sijui tutahadithia nn wajukuu zetu sisi chawa
@dullayomwinyi3359
@dullayomwinyi3359 Жыл бұрын
Kweli ww ndo chawa wa kweli
@Makavelithedon2086
@Makavelithedon2086 Жыл бұрын
*Wanaume tunaendelea kupungua halafu utaskia huyu nae eti Most influencer in Tanzania WTF*
@Domplex-uf7ih
@Domplex-uf7ih Жыл бұрын
Huyu jamaa atakuja kufirwa aseee
@Lea-iz8fd
@Lea-iz8fd Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@salimbilali5174
@salimbilali5174 Жыл бұрын
Mwijaku tutakupelek portrieltz 😅😅😅
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Hahaha anaishi kwenye nyumba au anishi kwenye Expesive life? hahaha mwijaku noma
@munamuna4621
@munamuna4621 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂chawa asieleweka😂😂
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 Жыл бұрын
Hv jumba la billion 5 unalikujuwa kweli? Au bilion 5 unazani nimatako
@supertallone1902
@supertallone1902 Жыл бұрын
Sijui watasema nn wambeya😂😂😂 Maana walimnanga san😂😂
@godfreymwaipasi6539
@godfreymwaipasi6539 Жыл бұрын
Cha kusema hawatakua nacho zaidi yatabishana yenyewe kwa yenyewe ila napenda the way anavyoishi hataki mikiki ya kijinga anajua anafamilia yenye heshima zake buana
@godfreymwaipasi6539
@godfreymwaipasi6539 Жыл бұрын
👏👏kongole kwake za kutosha
@KusayaSimon-qf2om
@KusayaSimon-qf2om Жыл бұрын
hongera zako king
@ahammedmahruki8708
@ahammedmahruki8708 Жыл бұрын
Yaani huyu alali wala asinzii😅😅
@yakoubayoub8958
@yakoubayoub8958 Жыл бұрын
😂😂
@petersynto2043
@petersynto2043 Жыл бұрын
Njaa bhana😂😂
@gracelee565
@gracelee565 8 ай бұрын
Guy is OTT 😂😂😂😂😂😂
@Arnoldpriscuss
@Arnoldpriscuss Жыл бұрын
uchizi
@jumannerajabu8259
@jumannerajabu8259 Жыл бұрын
duh uchawa nao kazi
@ahmedsdk6736
@ahmedsdk6736 Жыл бұрын
Huyu Jamaa Alisha Mkufuru Mungu Muda Mrefu Sanaa Ila Tu Hajui...!!
@skbgosple7766
@skbgosple7766 Жыл бұрын
Hahahah haya bana
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 Жыл бұрын
Unatoka povu sana kijana kwani ukiongea taratibu hutasikika?
@bjzee1981
@bjzee1981 Жыл бұрын
Duh umbea kazi jamani
@vickybrit87
@vickybrit87 Жыл бұрын
😂😂😂mwijaku hunifurahisha akirusha Cheche.
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
mwijaku muongo jamani 😂😂😂
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 Жыл бұрын
Ila mwijaku na tafuta ela kwa shida
@alouisejohn7752
@alouisejohn7752 Жыл бұрын
Mwijaku kumbe mbumbumbu
@sarahjagadi4884
@sarahjagadi4884 Жыл бұрын
mbona lakizamani jamani(kuukuu)
@bjzee1981
@bjzee1981 Жыл бұрын
Mbona ya kawaida tu.
@user-zj4yx1yu2r
@user-zj4yx1yu2r Жыл бұрын
😅😂😂😂mwijaku
@user-xk3cq2hr8k
@user-xk3cq2hr8k Жыл бұрын
Naweww Yako Iko wapi
@naswiruzubair7436
@naswiruzubair7436 Жыл бұрын
This is ridiculous- this house can’t be worth of 5BTsh …
@wiseboy_znz4719
@wiseboy_znz4719 Жыл бұрын
Build urs then give us statement
@naswiruzubair7436
@naswiruzubair7436 Жыл бұрын
@@wiseboy_znz4719 to me this reply sounds to be below average to comment on.
@venturejackson6357
@venturejackson6357 Жыл бұрын
Afu hyu mwana wakampime rinda mtakuja nishukuru badae hyu mwana anavielelezo vyte vya ushoga yaan
@sixberttindwa9622
@sixberttindwa9622 Жыл бұрын
Unaijua nyumba yab5.3 unaijuwa ww chawa
@stevensiwity944
@stevensiwity944 Жыл бұрын
Unaijua nyumba ya Billion 5.3 ww bwege,cjui shule ulienda kusoma nn ww,na wengine mnasema eti Kiba apendi kujionyesha,sasa kwa akili ya kawaida hapo mnaona hawakupanga kwamba twende tukakurekodi huku ukipiga porojo
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Жыл бұрын
Heka ngapi? 😰😰 nahisi sijasikia vizuri jamani..
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Жыл бұрын
Kamuuhubirie yule tajiri wako wamadale Anaejitangaza kilasiku anahela
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Жыл бұрын
😂😂😂😂hv mke wa mwijaku akimuangalia mumewe hv anajisikiaje??doooo
@daudimasawa7684
@daudimasawa7684 Жыл бұрын
mwijaku inakaa hadi mke wake ako na IQ KUBWA KUMLIKO
@methewbuzuruga-eg8oz
@methewbuzuruga-eg8oz Жыл бұрын
Huyo ndiyo mwenye degree sasa sijui hapo ameshawapiga shilingi ngapi maana hapo yuko kazini ndiyo masomo aliyosomea mwenzetu ikiwemo kushika matiti ya bodgurd sijui hicho chuo Kiko wapi hapa tanzazania
@lutenganolukali2122
@lutenganolukali2122 Жыл бұрын
Hapo Heka 8 ??
@hawagondwe2056
@hawagondwe2056 Жыл бұрын
Mwijaku anatako c mchezo 😅😅
@lvanyDaniel_pw7kk
@lvanyDaniel_pw7kk Жыл бұрын
IPO siku huyu mwijaku ata kuja kujikwaa adondokee kwenye mboo ya kiba
@HakizimanaFiston
@HakizimanaFiston Жыл бұрын
Nyumba nipana kabissa nikubwa ila haimanishi kwamba ninyumba ya ki star haaa wewe tafuta chochote 😊
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Nyumba ina srutch tele
@margaretnyamwilahila292
@margaretnyamwilahila292 Жыл бұрын
What's wrong with this Mwijaku?? Is he okay or ??
@gracelee565
@gracelee565 8 ай бұрын
He's lost it in a good way!!!!😅😅😅
@flinchclassic1531
@flinchclassic1531 Жыл бұрын
Huyu atachizi😂
@KaumbyaTibenda
@KaumbyaTibenda Жыл бұрын
Afu kweli😂😂😂😂😂
@aishatest4451
@aishatest4451 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@shukranisalvatory6101
@shukranisalvatory6101 Жыл бұрын
Billion 5.3 anaijua kweli huyu, Eka 8 mbona hazionekani apo
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 Жыл бұрын
Usipojituma katika kutafta ujue utafanywa bwege ona huyuuuu mwanaume anavyodhalilisha ulimwengu
@godymaster8727
@godymaster8727 Жыл бұрын
Anajua bilion kweli
@user-iu9je5xl3y
@user-iu9je5xl3y Жыл бұрын
Huyu jamaa ni chawa. Mala Kwa diamond jamani kuna watu Bila uchawa hawaishi
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 Жыл бұрын
Kama unafamilia utakuw uliwah kwa sasa tyr umeshakuwa shoga
@bbcwrld
@bbcwrld Жыл бұрын
Baba yake na mtu uyo hapo 😂😂
@hamisahillary8615
@hamisahillary8615 11 ай бұрын
😂😂😂😂❤❤❤
@rambostalon2888
@rambostalon2888 Жыл бұрын
Acha kusifia wanaume wenzio na ww pambana choko ww
@gulusabiti9177
@gulusabiti9177 Жыл бұрын
Huyu atakuja kufiii
@eskalade486
@eskalade486 Жыл бұрын
Nyumban gan sasa apo angalia konde jumba alalo ish
@edithajonh2970
@edithajonh2970 Жыл бұрын
Kuma la mama yako Sasa huyo konde wako anaishi nyumba ya kupanga na diamond wako Kama Wana pesa wajenge nyumba zao waishi kwenye nyumba zao Kama alikiba
@BijouxMunezero
@BijouxMunezero Жыл бұрын
Wanawake utawajua tu kwaiyo lile chicha alilopanga harmonize nayo nyumba ile
@billiamwilliamtv6505
@billiamwilliamtv6505 Жыл бұрын
Ali kiba ana gorofa mbili za kwake sio kupanga
@Am-vo5cu
@Am-vo5cu Жыл бұрын
Kuna maana iliyofichika na kile mwijaku hukifanya
@Am-vo5cu
@Am-vo5cu 5 ай бұрын
Kweli kabisa. Ni kama hutumwa kutoka kigoma maneno yake sio tuu ya kejeli bali huyo ni mchawi wa mwisho
@mwantumkombo3014
@mwantumkombo3014 Жыл бұрын
Billion 5 unaijua ww au unaropoka tu
@user-uo9tq8cc7q
@user-uo9tq8cc7q Жыл бұрын
Mwijaku inawezekana kwa matendo yako wewe ni shoga haiwezekani kumsifia. Mwanaume mwenzio mkeo anakusikia laaa kazi kwelikweriiiiii
@user-nz6rs9vn3t
@user-nz6rs9vn3t Жыл бұрын
Kuna muda linasema ukwel kuna mud anazngua dah
@championtop2
@championtop2 Жыл бұрын
Billion 5 kma ananunua mwehu kama wewe😂
Mkojani Na Mau Nan Zaidi
8:23
Cheka Comed
Рет қаралды 112 М.
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 87 МЛН
白天使选错惹黑天使生气。#天使 #小丑女
00:31
天使夫妇
Рет қаралды 14 МЛН
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 9 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 87 МЛН