Trainer wa LAVA LAVA afunguka Mazito, Utalizwa na Simulizi yake ''Dada yangu alinifukuza Nyumbani''

  Рет қаралды 7,252

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Fuatilia sehemu ya pili ya story ya Denzel Trainer hapa • ''DIAMOND Ananitukana ...

Пікірлер: 29
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 4 жыл бұрын
Dah amenikumbusha mbali sanaa makoko nimeshakula sanaa sai Alhamdulillah nashukuru mungu
@zuberimuhidin3128
@zuberimuhidin3128 4 жыл бұрын
Imeni Inspire sana
@dargym-thefitnessmasters5789
@dargym-thefitnessmasters5789 4 жыл бұрын
Denzeeeel trainerrrr
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 4 жыл бұрын
Esco mwili inakuja naona maisha yanaanza kuwa mazuri nahilo ndio furaha yetu wana SnS
@sponsor7882
@sponsor7882 4 жыл бұрын
NEVER GIVE UP KONDE BOY SAID
@lydiaakimana7988
@lydiaakimana7988 4 жыл бұрын
Uyo kama mimi maji sitakagi hata kusogelea kabisa 😀😀😀😀
@ckosmah21
@ckosmah21 4 жыл бұрын
esco kachange ghafla😂 king wa interview anajua sana kupangilia maswali
@beatricengalubutu7008
@beatricengalubutu7008 4 жыл бұрын
Watu wanapitia maisha magumu jmn kikubwa ni kuaminini kuna mungu
@mimiapa8436
@mimiapa8436 4 жыл бұрын
Esco umenenepa😅
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 4 жыл бұрын
Maisha ni safari ndefu
@abburakkaan5694
@abburakkaan5694 4 жыл бұрын
Wewe mtangazaji unauliza masuala ya kizembe yasio na umuhimu wowote. Nenda kwenye point,
@hopechidera
@hopechidera 4 жыл бұрын
Sasa mtangazaji anauliza masuala ya kizembe aje wakati unaona ni mazungumzo ya maisha ya huyo trainer na ndo point yote ile.
@ernestkatyega5781
@ernestkatyega5781 4 жыл бұрын
Wanawake wanazingua
@rockyvlogs2214
@rockyvlogs2214 4 жыл бұрын
💪
@niyongabiranoibrahim7794
@niyongabiranoibrahim7794 4 жыл бұрын
Part 2 tunaitaka kunafunzu humo
@devibenedictbenedict1294
@devibenedictbenedict1294 4 жыл бұрын
story yk imenigusa sn braza pole sn
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 4 жыл бұрын
Hongera kwa story nzuri! Wale wapenzi wa video's za mazoezi karibuni msubscribe channel yetu kujifunza mazoezi
@zeshahamisi1803
@zeshahamisi1803 4 жыл бұрын
Story nzur sema iyo miaka anavyo ichanganya anatufanya kama tusiiamin story form 4 kamaliza 2008 kasema amehaso miaka 4 Tena kama sijasikia vizur aliongeza mengine ikawa 7 ok Mala chuo 2010 Nini iki au alikuwa anamaanisha miezi🤦‍♀️
@irenekioko8211
@irenekioko8211 4 жыл бұрын
Unafuatilia miaka yake ya kupambana ndo umpe retirement au🤣🤣🤣
@zeshahamisi1803
@zeshahamisi1803 4 жыл бұрын
😂😂😂Anazingua bana
@irenekioko8211
@irenekioko8211 4 жыл бұрын
@@zeshahamisi1803 😂😂😂😂😂😂😂
@abburakkaan5694
@abburakkaan5694 4 жыл бұрын
Samahani kwa hiyo story ninekua interested. Samahani
@justinmwene3669
@justinmwene3669 4 жыл бұрын
Dan
@mariamhassan1723
@mariamhassan1723 4 жыл бұрын
Una sifa ww esco kha 😂
@ashapearubart2624
@ashapearubart2624 4 жыл бұрын
Na wewe pia ukifanikiwa. Wasaidie wengine.
@mariamhassan1723
@mariamhassan1723 4 жыл бұрын
Kuna watu walipitia shida sana
@samanthaali873
@samanthaali873 4 жыл бұрын
Esco chuma hukiwezi kukienuwa😃😃
@Bayothomusic
@Bayothomusic 4 жыл бұрын
Nani ni mbaya??? ona hii👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/opPOoJSKidR8oM0
@abburakkaan5694
@abburakkaan5694 4 жыл бұрын
Maelezo yote hayo ni westing of time kwa sababu ya masuala yako zembe
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
Mateka 3 wa Israel waachiwa kutoka Gaza wakiwa na Utapiamlo!
5:42
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 3,8 М.
I Spent 100 Hours Inside The Pyramids!
21:43
MrBeast
Рет қаралды 43 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН