Hongera TRC, Hongera kwa mkandarasi na consultant kwa kazi kubwa sana waliyoifanya wakishirikiana na TRC. Sasa, huyo Jamila wangu yupo wapi? Mbona hajaonekana katika media au mitandaoni kwa muda mrefu sana?
@athumaniabdi41228 сағат бұрын
Hongera sana kwake mkuu wa inchi, hiv mkandarasi ni Nani mturuki au mchona
@princecharmy683820 сағат бұрын
Jaman shushen bei ya Treni Mchongoko watu tunashindwa kupanda, unakuta tren zoote zimejaa ila ya Mchongoko haijawah jaa coZ bei ni kubwa sana na mnatoa treni ata nusu haijajaa mm naona mnaingia hasara
@eddechriss266417 сағат бұрын
😂😂😂 VIP hua haizingatii kujaa, na hiyo ndio maana ya VIP
@renatusblandes113117 сағат бұрын
Nauli yake ni tsh ngapi?
@iddikimia49516 сағат бұрын
Dodoma singida mwanza imefikia wapi?
@chuchumeta83745 сағат бұрын
7.3%?or73?😮
@allymusira215319 сағат бұрын
Halafu mtu anasimama bila aibu kusema serikali haijafanya kitu
@issahmanyenye626716 сағат бұрын
Wew huo mrad umesimama mrad mzima site inayofnya kaz ni1 Tena inawatu wakuhesabu we jiulize tangu mrad umeanza ad Leo ni kalbia miaka2 lkn bdo Wana %7.4 why
@yahyamajidyahyahilalal-har876213 сағат бұрын
@@issahmanyenye6267mradi unaendelea sio tatizo
@rayisadesigns264610 сағат бұрын
@@issahmanyenye6267acha uongo hakuna project iliyosimana, hivi hao wanachokifanya ni nini hapo au wanakata viuno?! Hivi unavyobeza maendeleo ya nchi yako ndiyo unapata nini?! Jifunze kuwa mzalendo!! Kazi zinaendelea labda we umejifungia chumbani huoni yanayofanyika huku ukikoment utumbo!!
@HamisiKitalika7 сағат бұрын
Kikubwa mradi uishe hiyo sio barabara kwamba mwaka mmoja uishe ,pia hata kipande cha dar to dodoma umekamilika takriban miaka minne kwahiyo wewe usiingize akili yako ya haraka kwenye mradi unaochukua takriban tirion 16 sio jambo dogo ni mradi mkubwa tokea uhuru hatujawahi kuwa nao,so usichukulie poa@@issahmanyenye6267
@AbuuRamadhani-o7k7 сағат бұрын
Tunasubir kwa ham huu mradi ufike DRC burundi na uganda
@issahmanyenye626716 сағат бұрын
Nyie jamaa wanafki kwel onyesheni at site 5 znazofnya kaz
@athumaniabdi41228 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@emmanuelbenjamin41862 сағат бұрын
Zero report from Isaka to Mwanza section, I think nothing is going on there just freezing😢
@PabloDallas25521 сағат бұрын
Samia apunguze spidi au mnasemaje waungwana😂
@allymusira215319 сағат бұрын
Mitano 5
@isackrichard635614 сағат бұрын
Aongezeee bado bado mpaka nchi nyingne za Afrika zije kushtuka tayar zinatumia vitu vya 'MADE IN TANZANIA' Sio MADE IN CHINA tena😂😂
@AbuuRamadhani-o7k7 сағат бұрын
Tunahitaji hii SGR ifike DRC iturahisishie biashara na DRC
@ogdosho9318 сағат бұрын
Kwani mchongoko na hizo zingine zinatumia mafuta gani? Mpaka mchongoko iwe na bei ya juu zaidi
@yahyamajidyahyahilalal-har876213 сағат бұрын
Mchongoko umeme 😂😂
@drom_inthehouz3 сағат бұрын
Zote zinatumia umeme, isipokuwa mchongoko ni EMU ina speed zaidi, na configuration ya ndani ni luxury zaid.
@ogdosho932 сағат бұрын
😀😀😀 Alaaaa kumbe umeme nlisahau😅
@ogdosho932 сағат бұрын
@@drom_inthehouz basi zile mchongoko ndani ndo ovyo kuliko zile zingine ziko poa zaidi
@a4afrika20 сағат бұрын
Wapi Benny Mwanantala???
@isackrichard635614 сағат бұрын
Jina langu ni Ben Mwanantala na mpiga picha wangu ni Augustino bulegea Reli Tv, hapa kazi tuuuu😂
@a4afrika14 сағат бұрын
@isackrichard6356 Yuko wapi mwamba huyu?
@jumashedafa16 сағат бұрын
Wekeni jitihada zaid ya kufanya reli ya tabora mwanza ifanye kazi kwanza...ikiingiza pesa mnahamua uko kigoma kwa speed kubwa huku mkiendelea hii ya dodoma kwenda tabora taratibu
@storytownTv11 сағат бұрын
Asilimia 7 mnatanganza..😢 nyangau nyie
@jumaally83872 сағат бұрын
Nisawa kabisa ili watu wajuwe kuwa kunashughuli za Ujenzi wa SGR zinazoendelea, watu wingi wanjuwa Ujenzi umekomea Dodoma na hakuna kinachoendelea Tena, nihaki ya raia kupata habari
@bonosaugustine654520 сағат бұрын
😂😂wakenya wametuchokoza ngoja tuguse Tena batani wakipate twende kwao