Ukikosa Elimu sahihi ya Network Marketing utaona kila kitu ni utapeli.
@rahmeersalmeen72294 ай бұрын
Definitely brother
@JosiaMakali4 ай бұрын
Ndo walewale
@Veryfunny815 ай бұрын
Wazee wa Good morning kumamake 😂😂😂😂😂😂
@KhamisOmar-x8f4 ай бұрын
Hata mimi nilikua miongoni mwa watu walowahi kufanya hii kazi mkoa wa Kahama... Kiukwelii vijana wanateseka sana mpaka kukosa chakula😢, naombeni mufatiliee kahama yupo mtu anaitwa Athuman Sufiani ndio anae ongoza hii kazi Kahama
@annamussa1855 ай бұрын
Hao Alayance ni matapeli bara kutwa kujivalisha suti 😅
@julianmsele38804 ай бұрын
njoo ni itigi na manyoni wapo wengi sanaaa, na saiv wanahamia morogoro
@fadhilisecha42685 ай бұрын
Jamii ya DeC hii...mbaya sana hii kitu. Mnawaumiza vijana
@MichaelMaro-hj7yo5 ай бұрын
HATARI HAO KWA NCHI N SHIDA CHUNGUZEN NCHI NZIMA
@m.m.tvmbebamaono5 ай бұрын
Hao alayance global ni wahuni sana huku kahama waliwadanganya wengi.
@GilbertObed5 ай бұрын
Asa kama Tapeli Tanzania imeingiaje hiv hatuwez jiuliza na sisi Na Usalama wa Taifa upo Kila Kampun Serikali mwaita Tapeli Asa vijana wootee watajiajili kwenye KILIMO Kama hamtaki makampun Tanzania myafunge sio kudharirisha Vijana na Heshima zao hao watu wazima kabisa
@GdFf-ik2eo4 ай бұрын
Yote hayo ukosefu WA ajira kwa vijana wetu mtt anasoma anamiliza chuo lkn kz hamna matokeo ndiyo hayo Kz mnapeana wenyewe kwa wenyewe
@StevenLyimo-u4y5 ай бұрын
Kwani wasajili wa makampuni hawalijui hilo
@hawaelymaricca76025 ай бұрын
serikali ikurudishie nauli kwani walikutuma
@ChipugeLaulian-fz1mv5 ай бұрын
Wamepiga rafik angu mlioni 4 dah hao ni shda
@HarunaKitiku-sv1fe5 ай бұрын
Hii kampuni si hii hii iliyopewa masaa 24 na mkuu wa wilaya njombe wawe wameshaondoka? Kumbe wapo kila mkoa?
@YonaApollo-m1v5 ай бұрын
Sawa kabisa
@anipelutego9895 ай бұрын
jamani mimi nimefika mpaka kwenye hilo kampuni lakini sjaona mafanikoio zaidi ya kukonda na njaa tulikuwa tunaaidiwa uongo kwakusema mtindo wa maisha nakusaidiana lakini skuweza kupata chochote na iliniskitisha manake niliumwa sikupata msaada na nikagundua ni uongo sana kitendo cha kumwita mtu kwa uongo
@anipelutego9895 ай бұрын
na wazazi wanadanganywa hivo na kampuni hili
@florianhenry71985 ай бұрын
Mtoto wangu alishawishiwa Kuacha chuo kikuu Ili ajiunge pale morogoro akaambiwa ni shirika la wazungu wanawasomesha nje ya nchi ....sikukubaliana nikaenda kuchunguza nikakuta ni madangulo tu .tembeza ngumi kichapo kikali mpaka Leo watu niliwahacha na alama ya ngeo pumbavu zenu.mtoto wangu nikamrudisha shuleni.......Wapo morogoro wengi wanatapeli wamanyara wameish UZA NGOMBE HADI WAMEISHA SERIKALI TTUSAIDIEN WATOTO WETU WANATELEKEZWA KWENYE MAMBO YA KAMALI
@FreyNetwork5 ай бұрын
😅😅🤣🤣🤣safi,,,nimeipenda hio,,,wee ukikuta watwange achia na maalama kabisa🤣😅....very good 💯
@yohanaraphael19224 ай бұрын
Wako pia kahama wengi hao wako bakungile house
@yacinterchuwa21485 ай бұрын
Qnet awa
@sayuni123-kl6xk5 ай бұрын
MOROGORO wamejaa sana
@joojombi23415 ай бұрын
Toa ripoti Polisi waka shughulikiwe. Serekali lazima iwajibike kutoa taarifa ktk redio na TV kupiga marufuku Tzd nzima upuuzi kama huo
@emmanuelmponji45535 ай бұрын
Kabisa wamejaa wana jiita Qnet
@khamisswalehe5 ай бұрын
wapo dar mbagala tafuteni vizuri
@FahadAbubakari5 ай бұрын
Acha waibiwe hayo mambo yashazungumzwa sana sa ka mtu bado hakomi Kuna nini
@PascalMwita-bv8kr5 ай бұрын
Sidhani kama mnaweza kuzifunga sababu wanavibali pia wanao wanasheria😅😅😅😅 jitaidini muwatoe make walimtoa barabarani jamaangu😊😊
@YohanaRichard-e6p5 ай бұрын
Hii kampuni ya alliance in motion global wapo hapa dar tz toka muda labda serikali wafanye uchunguzi maana hii kampuni Haina shida
@rosehaule67655 ай бұрын
Mwanangu alishaniambia pia na alikuwa ashaingia hawa watu wanawafatq watt chuo haswaa bahati nzuri tu mtoto wngu alijiongeza mwenyewe akanambia mama ni matapeli hawa akaachaga nilishukuru mnoo maana hili ni.pepo ukiingia utoki kirahisi Sasa hawa waeenda kukaa huko huko baadae serikali ndio inalaumiwa aisee
@OfficialA836405 ай бұрын
Wadada wa Oman wamepigwa sana kwa upumbavu wao yaani niwe Oman hàlafu nijiunge kitu nisichokielewa aisee wale walioliwa hd leo ukiwauliza wanaficha hawataki tuwacheke😂😂😂
@sabinaluyego44085 ай бұрын
Waao, piga kazimtumishi
@DM_155 ай бұрын
Wazee wa hela za unicef
@sir_ENOCKMACHA5 ай бұрын
😀😀😀😀😀😀😀 kumbe mmewakamata eeh hapa tabora wako kama vumbi dah hii dunia hii khaaa
@wisemaliva53765 ай бұрын
Hawa wanapiga utapeli kwa biashara ukinunua dawa hii ya meno ukifungua hii lebo inazawani mhh hapo ndiyo upigaji sasa
@joojombi23415 ай бұрын
Wapigaji hao, warejeshe pesa zao na wahusika wachukuliwe hatua kali
@NassTaima5 ай бұрын
Mi nshalipaga 60000😢
@estakapufi75825 ай бұрын
Selikali wasiwaachiwe mpaka warudushe pesa zao uzuli mewakamata
@Edger-bn2mt5 ай бұрын
Kwa hli hii mjuwe vjan kz hawana
@johnshauri31305 ай бұрын
Vijana warudishiwe hela walizotapeliwa siyo kupewa nauli
@FrolaMchomvu5 ай бұрын
Ndugu yangu alingia hapo
@zawadichalale40475 ай бұрын
Qnet qnet qnet matapeli watupu hao!
@khamisswalehe5 ай бұрын
dar wapo jaman dar wapo
@Jurbeg5 ай бұрын
Jamaa kapigwa nanjaa mpaka anasahau jumangapi 😂😂😂
@JovinPeter5 ай бұрын
Sasa nyie mnashinďwa kuwatäfuta wenye makapun
@KhamisOmar-x8f4 ай бұрын
No. Kwa inavyosemekan muanzilishi wa kampuni anatokea Philippines na ndipo ilipoanzia mpaka sasa kufika Tz
@khamisswalehe5 ай бұрын
dar pia wapo hao
@johnmshuta51335 ай бұрын
Hiyo cyo kampuni ni matapel
@MaliusMaliuskagumisa5 ай бұрын
🇹🇿😂😂😂😂 tz ninoma sana yn kunamda nafikiliasana akiliya mtumoja inavuta akili zawatu miambiri aiseee aponinoma sana uyojamaa niprofeshino alafu eti network maket 😂😂😂😂
@abednego38765 ай бұрын
Kumbe hawa matapeli wapo? 😂
@stanleypius33655 ай бұрын
Kamata hao matapeli tu
@renatusmakolo90235 ай бұрын
kwa kuangalia wengine ni kama wahitimu wa chuo kabisa, inauma wanavyofanyiwa na hawa wajanja wajanja
@sixmundleonard21355 ай бұрын
Mang'ombe hayaishi jamani
@jackloxley28655 ай бұрын
😅😅
@bashiruhassani10175 ай бұрын
Ata uku mwanza wapo weng
@GilbertObed5 ай бұрын
Kila inchi hii Campan ipo wew wazungumza Mwanza 😁😁
@jacksonkoisi61895 ай бұрын
Kwakweli.hao.ni matapeli.kuna vijana wawili.moja ni waarusha na mwingine anatoka sindeni.majambazi kabisa na ubaya ukifika hapo nawewe unaambiwa mdanganye mwingine aende huko linguine nasikia mkisema wasasi usimuruusu mtoto wako aende akuna mtoto anaye mwambie mzazi anako enta.
@HASSANBAKARI-q9c5 ай бұрын
MLIWAFINYA MIDOMO??
@funnytv93615 ай бұрын
Hao jamaa wapo Wengi sana Hapa Tz nilishawahi na mimi Kuitwa niliuzulia siku moja Yani wanakua kama Wamelishwa madawa adi Wana Misemo yao ya Kuitikia, kituo Kipo iringa Ismila Hotel 👈 ndo Walikua apo awo jamaa inabidi Wakamatwe Vijana Wanapotea
@FrankGasper-eq2ui5 ай бұрын
😂😂😂😂
@Starbrunodg5 ай бұрын
Maishamagumu 😂
@DaheerK5 ай бұрын
Hali ngumu ww mkuu wawilaya watafutie kaz siyo kuongea tu