Hongera serikali na trc. Kazi iendelee, sote tunafahamu umuhimu wa hii reli kwa uchumi wa nchi. Ikikamilika mpaka isaka, lot ya mpaka kigoma naamini tutazidi kuvutia nchi jirani kama drc nk kuzidi kutumia bandari yetu. Naamini ufanisi wa bandari utaendana na uchukuaji mizigo kwenda nje na hatimaye kuzifanya Drc, Rwanda, burundi kuzidisha uagizaji mizigo kupitia tanzania. Upande mwingine Tazara nayo itachochea mizigo ya Zambia. Nishauri upande wa TRA uje na mifumo rafiki ya kikodi itakayovutia wafanyabiashara wa mataifa jirani kuzudi kuwa na imani ya kutumia bandari zetu.
@mohamedsolomonkumaАй бұрын
Hongera Tanzania ni kiwa hapa kenya nawapigia saluti kwani nchi yenu inazidi kutamba kila siku kwa kasi.💪baada ya magufuli kuweka msimgi maalum.
@ShukurkollAngelАй бұрын
Mh Rais hongera sana pamoja na Serikali yako. Tunashuhudia juhudi zako kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu. Mwenyezi Mungu Akubariki.
@Tango696Ай бұрын
Safi sana mhe raisi keep it up ......tanzania yapaa juu
@emanuelmaraki975817 күн бұрын
Hongeraa watanzania Kwa walipa kodii zetuu
@HAPPYTADEIАй бұрын
Hongera serikali hatimae asilimia kubwa ya mizigo sasaivi itasafirishwa na serikali pato la taifa litaongezeka NA huu umeme wa REA from RUFIJI 2115MW ukisambaa vijiji vyote up to 2028 we'll be above $160B according to IMF projection❤❤❤❤❤❤🎉
@lulanjamd3886Ай бұрын
Hongera mama Samia Kwa kazi nzuri japo siipendi Ccm ila nafulahia jinsi unavyotimiza maono ya uncle Magufuli
@Abounaumaan224Ай бұрын
Eeeh... hata mimi nimeyaona leo pale bandarini😂
@iam_maglan101Ай бұрын
Hongera sana Serikali yetu pendwa Tanzania yani tupo na mpo 1000000% sio 5, Bali miaka 10tena 👍
@allymusira2153Ай бұрын
Hongera sana rais na serikali
@JumaIkasaАй бұрын
Hongera sana rais wetu ila wanainchi wa manyoni wanadai fidia ya kifusi yapata miaka 2 hivyo serikali ni wanainchi pia mlinzi wa kwanza wa rasilimali ya inchi ni mwanainchi tuna imani na wewe
@MillitaryMind-IPАй бұрын
Bravo. Izi ndo mambo wa Tz tunataka
@zobakazizi7637Ай бұрын
Sasa Habari njema. Hongera Rais.
@kiverysungura509Ай бұрын
Kazi nzuri TRC
@ThekingBuddarАй бұрын
CHAPA KAZI MAMA SAMIA NAKUMBUKA JPM ALISEMA CC TUNAMUONA KAMA MAMA.MPOLE LAKINI NI CHUMA KWELI KWELI
@davidluangisa4515Ай бұрын
Here we go..KAZI inaendelea...go go go Cargo
@gilbertmwakalebela2862Ай бұрын
Kazi nzuri
@victorjames3730Ай бұрын
Congo DRC sio land Lock county
@abuusaid3297Ай бұрын
Kazi nzuri hongereni sana,mimi nauliza ujenzi wareli ya sgr kutoka maktopora kuelekea tabora umefikia wapi??
@peterkaji7552Ай бұрын
Safi sana.
@nitumesokoni3164Ай бұрын
Pongezi sana serikali. Kazi nzuri sana
@penhe1Ай бұрын
Kwala paanze kutumika sasa, malori yasiingie Jijini Dar es salaam
@elinamilyatuu7337Ай бұрын
Haiwezekani
@mamlomamlo9064Ай бұрын
Tatizo wenye viti na watendaji wa mitaa ndio Wala rushwa wanayaruhusu yaingie mitaani mtaa wa amana yamejaa malori mengi utadhani tupo bandarini
@HAPPYTADEIАй бұрын
Ee aise hadi kero yani yakijazana barabarani kuanzia pale tazara hadi taifa kwa mkapa foleni hadi kero😢@@mamlomamlo9064
@nyambegamatoro6817Ай бұрын
Kama sgr bado inaishia Dodoma, kazi bado. Angalao ingekuwa imefikia Tabora.
@rayisadesigns264624 күн бұрын
Huna unalolijua ndugu, wanaume wanaitafuta Mwanza na Kigoma.. we uko wapi ndugu?!
@laiserkuyan6075Ай бұрын
Hapa kazi tu inaetelea
@danielandrew9892Ай бұрын
Safi Raisi wetu
@AnnahamisiMasangula14 күн бұрын
Pia mabehewa ya golofa mbona ayaji na kichwa chake na kina kuwa na supidi zaidi watuambie kama wameisha kula
@AmaniMathodАй бұрын
MAMA YETU ...RAIS WETU SAMIA SLUHU HASSAN.....HAUNA BAYA.....MITANO TENE......KWA KISHINDO
@HamisMsingida15 күн бұрын
💪👍🖐️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯💯💯💯💯💯
@dostovan5142Ай бұрын
Yes this is something
@anafisuleimani7083Ай бұрын
Safi sana
@UnitedAfrica-uw9ctАй бұрын
Engineer Yusto Goima (PE)
@shabanimbululoАй бұрын
Wazee wa kubeza Kila kitu mnateseka mkiwa wapi
@AmriHaruna-l4zАй бұрын
Kabisa aisee hawanaga jambo jema
@meshackmwaluko844Ай бұрын
Safi sana !!
@JustinMwashilindiАй бұрын
Jambo jema sana
@ThekingBuddarАй бұрын
JPM HOYEEE NA MAMA SAMIA
@FrankPatrickMangeraАй бұрын
Vipande vingine jmn! Tufike hata Tabora
@cidewashington670Ай бұрын
The legacy of John Pombe Magufuli ,Rip
@IsayaSosolo-nx8zkАй бұрын
Ngedere vp mmewapereka wapi? Hizo mbwembwe msije Anza kuwasingizia ngedere ya kuwa wanachezea reli
@ThekingBuddarАй бұрын
USISAAU KUWABADILISHA KAMA UNAVYOFANYA AKUNA WAZIRI WA SEHEMU MOJA
@ThekingBuddarАй бұрын
MAMA SAMIA CHAPA KAZI
@Optionxll_Playz1Ай бұрын
Shirika letu ra reli lingeanzisha viwanda vya kujenga mabehewa na vivafaa vingine mbona wahandisi tunao wengi tu ,na Technology ni kidogo tu wanunue wataramu wetu wapate kazi.
@nasibugunda7927Ай бұрын
Bandari ya kwala vp?
@HavanansiDataАй бұрын
👍👍
@mugishamajeba9628Ай бұрын
Kumbe ni mabeewa ayo
@gwamakapeter21Ай бұрын
🔥🇹🇿
@yasiniSwedi-qg5ocАй бұрын
Niuzembe mpkaleo ET ndo yameingia 264duu? Kama jpm angekuahai zaidi ya1000 yangekuwA yameingia na yangeshaanzakazi niuzembe uzembe tu wziwamiundombinu umetawala selikali ipotu hv Kama jpm angekuwepo wz huo ungetamalaki kamaulivyotamalakisasa? Kama aliweza kuzbiti ujangili wa tembo angeshindwa Leli?mjitasiminibwana mnatia aibu
@rayisadesigns264617 күн бұрын
Yasingeletwa mngetukana, yameletwa mnalaumu!! Ndugu jifunze kuwa na shukrani!!
@beaugosseadam6831Ай бұрын
Kwani hili lichawa ndo lilichukua nafasi ya Jamila ?
@rajabukipara3008Ай бұрын
Mama m 5 tenaaa😂
@AlexKinunda-j9lАй бұрын
Nakupa asilimia 100% ni kweli apewe tena mitano zaidi.
@Ndu-wa.uroony2Ай бұрын
Kama nyaya za umeme zimeibwa nayo yako mbioni kuporwa
@djoziljr9999Ай бұрын
Achaaa u negativity
@florianruttahindurwa1189Ай бұрын
Potlink bado na nikama ujenzi umesimama, sasa behewa zimekuja ila kazi hamna.
@rayisadesigns2646Ай бұрын
Acha uongo. Wanaume wanapambana porini huko ili kukamilisha kazi na sgr ya Mtwara inakuja soon.
@florianruttahindurwa1189Ай бұрын
@rayisadesigns2646 kaka unazingumzia mtwala ambako hata greda halijapelekwa@,, mi nazungumzia kipande cha kuingia bandalini ambacho kama uko dar utaelewa ninachokisema.
@SaidKipangoАй бұрын
Tumepigwa, reli zote za sgr behewa zake za mizigo zikiwa flat wagon yaa behewa chanja zinatakiwa ziwe doub stack wagon, ambazo zinabeba 40 feet conteiner mbili ambazo ni juu na chini kwa kuzibebanisha yani juu na chini ,sasa hix zilizoletwa mbona kama zile za mgr za kizamani
@utopolo543Ай бұрын
Acha ujuaji. Mambo mengine unaachia wataalamu. Kinachomatter ni tonnes per axle sio mbwembwe za kubeba double stack. Hii inabebeba 35tonnes per axle... Nyingine nyingi Africa kama ile SGR ya kenya inabeba 25 tonnes per axle pamoja na kuwa na double stack wagons. Hii ya Tanzania iko too superior and capable. Mambo mengine kama hujui mkae kimya tu
@MhinaKulewaАй бұрын
Big up utopolo@543
@karimkinwary4668Ай бұрын
Mwambie hyo awe mzalendo aache kidomodomo chake hakuna wakumfaidisha@@utopolo543
@nahlaaasidee1848Ай бұрын
Acha ujuaji , au Chadema unapumulia mipira. Na mtakunya kokoto mama anaupiga mwingi, ukishindwa kuvumilia jinyonge.
@enockelia9567Ай бұрын
Pia rolling stock za double stalk nilisikia zitakuwepo wacha tusubiri batch zingine zitakazo kuja. @@utopolo543