Рет қаралды 3,394
KUSINI NEWS
Trekta hili dogo linatumia lita mbili za mafuta kulima hekari moja Kwa kutumia nusu saa.Trekta hili ni kivutio kwenye maonesho ya NANENANE mkoa wa Ruvuma yanaendelea kwenye viwanja vya nanenane Msamala mjini songea mwaka 2020.